HISTORIA USIYOIJUA JINSI MAREHEMU REMMY ONGALA ALIVYOKOKA KANISANI KWA ASKOFU GWAJIMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 вер 2024
  • Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page jgwajima Instagram bishopgwajima
    Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time

КОМЕНТАРІ • 136

  • @piusnkwale
    @piusnkwale 5 місяців тому +4

    Baba yangu gwajima.Mungu aendelee kukupa uzima na mafunuo zaidi

  • @HAAM670
    @HAAM670 5 місяців тому +4

    Glory to God, Glory to God. Ushuhuda unatia moyo kabisa wa kusonga mbeleee. Thank you Bishop JG. Tanzania Yote kwa YESU

  • @LucianSanga
    @LucianSanga 20 днів тому +1

    Amini Hata katikati ya Waovu Hutoka Mambo Mema Hii ni kanuni ya MUNGU

  • @itiamekimbui722
    @itiamekimbui722 5 місяців тому +3

    kwakweli baba ni library ya maisha. mungu ashindi kukuinua pamoja na sisi you are our marking scheme 🇰🇪

  • @bakarishaban9311
    @bakarishaban9311 6 днів тому

    Gwajima,pazeni,sauti zenu,,taifa,linaangamia,maarifa,yamekwisha,watuwanaabudu,vitambaa/Maji/,udongo/,Mafuta,Wamemusahau,Mungu

  • @AbishagiPeter
    @AbishagiPeter 5 місяців тому +1

    MUNGU AKUBARIKI sana Askofu J. Gwajima.

  • @GoodluckAmos
    @GoodluckAmos 5 місяців тому +20

    Mch Gwajima amenifanya niinuke upya kiroho kun vitu nilitaka kufanya nikaacha sasa nakiri ntafanya na ntafanya tena, nmejifunza meng sana

  • @EmirataJkente
    @EmirataJkente 4 місяці тому

    Amina Baba. Mungu wa mbinguni yumo ndani yako. Tunsonga mbele kwa neno lako.mungu azidi kukupa nguvu zaidi na mamlaka ya juu sana kugeuza falume za dunia kuwa falme za mwanakondoo.

  • @ngelellageorge8571
    @ngelellageorge8571 3 місяці тому +3

    Hallelujah kwa ushuhuda huo wa jengo la baa hadi kanisa na kuokoa wengi kutoka kifo cha dhambi na kuwafanya watu wafike mbinguni salama.

  • @rodriguesvictorvalerio6886
    @rodriguesvictorvalerio6886 5 місяців тому

    Asante baba wa mataifa. Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿 tunakupenda, na tunatarajia ujio wako ardhi hii.

  • @kesiawailes1223
    @kesiawailes1223 5 місяців тому +5

    Unanifanya niendelee kusimama katika kusudi la MUNGU

  • @Sidathikibuga
    @Sidathikibuga 2 місяці тому

    Haleluya baba yang ❤❤❤❤❤❤❤

  • @ApaelMbise
    @ApaelMbise 4 місяці тому

    Baba mungu akupe neema zaidi na matrio zaidi nimeamka kwa ushuda huu

  • @YonaTisho-iu2ng
    @YonaTisho-iu2ng 5 місяців тому +5

    Mapambo kwa wanawake ni tatizo kubwa sanaa.Watumishi mtadaiwa damu zao na mnajua ukweli wote

    • @GrantMwakalambile
      @GrantMwakalambile 5 місяців тому +1

      Mapambo wp ww mnakaa kuhukum watu et mapambo ko hutaki watu wajipambe

    • @GloriousRestorationTV
      @GloriousRestorationTV 5 місяців тому +2

      Kwahiyo wewe ujumbe woooooote umeona mapambo tuuuuu!!!!

    • @kilianmtotowamungu3885
      @kilianmtotowamungu3885 5 місяців тому

      Kila kanisa lina misingi yake msingi wako ni sawa na hiyo mingine pia ni sawa .kosa kutaka wengine wafanye na msingi wa kanisa lako

    • @SamwelKipenzi
      @SamwelKipenzi 5 місяців тому

      1Petro3:3, Mapambo, mapambo, mapambo, wanawake wengi wataingia motoni kwa sababu ya mapambo. nguo za kubana, makeup, makucha bandia, suruali za kike, , nguo fupi,nguo za mabega wazi na mtiti wazi, na wote wanaotetea mapambo bila kujua mnamtetea shetani, ni heri mtu anapozuia mapambo unyamaze kuliko kuunga mokono utapata hukumu ileile anayopata kahaba, BWANA YESU atusaidie. Mathayo18:7 Ole wao waletao mambo kukosesha.

  • @Kiyonga2014
    @Kiyonga2014 5 місяців тому

    Bishop Gwajima you are the best pastor!

  • @revocatusassey2507
    @revocatusassey2507 5 місяців тому +1

    Nimebarikiwa sana baba Mungu akutunze

  • @samwelmjika9871
    @samwelmjika9871 5 місяців тому +1

    Very powerful teaching

  • @mussathomas3661
    @mussathomas3661 5 місяців тому

    Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu nabarikiwa sana na neno lako Mungu akutunze

  • @yuzzob
    @yuzzob 4 місяці тому

    Mungu akubariki, ujumbe umenipa booster nikiwa mwendoksi kivukoni-Kimara nikalichubguza eneo nilipofika ubongo

  • @ntezumwamijeremie7064
    @ntezumwamijeremie7064 5 місяців тому +1

    Mchungaji Ngwajima nafwata mafundisho miujiza ambayo Mungu anakutumikisha.Nakupenda.Mchungaji mwezako Jeremie From Glory of Christ/Rwanda

  • @YEDIDIAPHILIPO
    @YEDIDIAPHILIPO 2 місяці тому

    So powerful🙏🙌

  • @devothamagawa7161
    @devothamagawa7161 5 місяців тому +1

    jina la Yesu libarikiwe❤

  • @pastorheri715
    @pastorheri715 5 місяців тому +1

    Nakubali kunolewa katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth

  • @vieterinamoko5087
    @vieterinamoko5087 5 місяців тому

    The Testimony is very encouranging,God's our provider.

  • @IssacAman
    @IssacAman 4 місяці тому

    Amina Gwajima nabarikiwa sana na wew

  • @thadeusmathiews2564
    @thadeusmathiews2564 2 місяці тому

    The living testmony nime barikiwa

  • @jacklinemoses2247
    @jacklinemoses2247 5 місяців тому

    Amen baba yangu kusudi la Mungu litasimama imara kwenye kizazi changu Kwa jina la Yesu amen

  • @RaymondMuya
    @RaymondMuya 5 місяців тому

    Mchungaji hongera sana kwa ushuhuda wa lemi ongala kuokokea kanisani kwako

  • @ceciliamaswai8219
    @ceciliamaswai8219 5 місяців тому

    Nimekuelewa Sana mchungaji Gwajima

  • @richardmanyilizu-rp8hf
    @richardmanyilizu-rp8hf 5 місяців тому

    Amen Mungu akubariki mtumishi

  • @kapanikapani5280
    @kapanikapani5280 5 місяців тому

    Asante sana mtumishi kwahakika nimebarikiwa sana

  • @joycemughogho3773
    @joycemughogho3773 5 місяців тому

    Amina mtumishi kwa ushuhuda huu nimetiwa nguvu sana❤

  • @beatricefilbert1171
    @beatricefilbert1171 5 місяців тому +1

    Amen dady nakupenda

  • @JevisonMwesiga
    @JevisonMwesiga 4 місяці тому

    mungu akutie nguvu mtumishi wa Mungu

  • @marymuthoni1551
    @marymuthoni1551 5 місяців тому

    Amina, Mungu ni mwamunifu kwa yote, asante

  • @annissdaprincess3846
    @annissdaprincess3846 4 місяці тому

    Amina hallelujah

  • @michaelmassae3970
    @michaelmassae3970 4 місяці тому

    Mungu akubariki

  • @josephshida469
    @josephshida469 4 місяці тому

    Amina nakuelewa sana mzee

  • @isacksimonmahungilo
    @isacksimonmahungilo 5 місяців тому

    Ila nakumbuka mchungaj gwajima s alitaka kumfufua amina chifupa

  • @piuslyimo486
    @piuslyimo486 5 місяців тому +1

    Gwaji boyyyyyyyyy

  • @pastorprospermlembasayunip500
    @pastorprospermlembasayunip500 4 місяці тому

    Ushuhuda mzuri sana

  • @praxedajovinary4560
    @praxedajovinary4560 5 місяців тому

    Mungu wa mbinguni azidi kukutumia apendavyo

  • @michaelmangoni989
    @michaelmangoni989 4 місяці тому

    Mungu ni mwema

  • @stephennganga4827
    @stephennganga4827 4 місяці тому

    Mtumishi ubalikiwe sana.

  • @jobmunyali7229
    @jobmunyali7229 5 місяців тому

    GOD is good 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻

  • @giftkelvin7
    @giftkelvin7 5 місяців тому

    This is very powerful testmony, pastor andika kitabu cha hii story

  • @RichardHenjewele-gs8rk
    @RichardHenjewele-gs8rk 5 місяців тому +1

    Amen

  • @ArcoiriscelestialTv
    @ArcoiriscelestialTv 5 місяців тому

    Amem gwajima

  • @RaymondMuya
    @RaymondMuya 5 місяців тому

    Napenda sana mafundisho yako

  • @saidatowainda525
    @saidatowainda525 5 місяців тому

    Barikiwa sana Dadii

  • @dorahmavazi111
    @dorahmavazi111 4 місяці тому

    Mungu ni mkuu

  • @braisonjohnnzunda
    @braisonjohnnzunda 5 місяців тому +1

    Kwakweli wewe ni hazina ya ajabu sana ubarikiwe baba

  • @essaukapufi424
    @essaukapufi424 5 місяців тому

    Asante Baba,

  • @agnesnzali3175
    @agnesnzali3175 5 місяців тому

    Ushuhuda wa kujenga sana huu

  • @vitaasumani4613
    @vitaasumani4613 5 місяців тому +1

    Mungu yupo jamani

  • @WestonMbuba-ff4jk
    @WestonMbuba-ff4jk 5 місяців тому

    Mvula ana sauti nzuri sana

  • @IssacAman
    @IssacAman 4 місяці тому

    Kweli kabisa kwa ushuhuda huo Mungu atuongoze wote Tz

  • @ndemabhwila
    @ndemabhwila 4 місяці тому

    Gwajima uko wapi bashite anavuluga inchi umekaa kimya mbinguni huendi ng.'o

  • @rerisamba
    @rerisamba 5 місяців тому +1

    Imagine mtu alihubiria mpaka kina Remmy halafu mtu ameanza huduma juzi na kufungua account utube ana mnena huyu masiah wa Mungu hua inaniuma kweli

  • @pastorprospermlembasayunip500
    @pastorprospermlembasayunip500 4 місяці тому

    Haleluyaaaaaa

  • @ndemabhwila
    @ndemabhwila 4 місяці тому

    Huko ulikoenda mungu amekuacha siasa ni mambo ya kidunia. Wacha polojo

  • @TetekoOg
    @TetekoOg 4 місяці тому

    Kwakwel nimebalikiwa sana

  • @makoyelwango6048
    @makoyelwango6048 5 місяців тому

    Ukweli muhimu

  • @MosesKaponda
    @MosesKaponda 4 місяці тому

    ❤❤

  • @aminathatwahir8462
    @aminathatwahir8462 4 місяці тому

    Woow woow......huu ni ushuhuda wa vizazi na vizazi. Ubarikiwe sana sana kwa kushare huu ushuhuda kwakweli umeniinua.
    Mungu akubariki sana na ni maombi yangu akupe hatua zaidi na zaidi. Wewe ni hazina kwa nchi yetu. Ubarikiwe sana

  • @samwelmakuni8079
    @samwelmakuni8079 5 місяців тому

    Hata mimi kichwa ngumu 😢 leo nimeelewa

  • @sylvanuskavindi2756
    @sylvanuskavindi2756 4 місяці тому

    Waumini wa hilo kanisa wana mihemko kama boss wao.

  • @jobmunyali7229
    @jobmunyali7229 5 місяців тому

    🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🕊️🔥

  • @JacquelineBusime
    @JacquelineBusime 5 місяців тому

    Baba Askofu siku gani Mungu wa ufufuo na uzima atakuruhusu uje Burundi?

  • @ndemabhwila
    @ndemabhwila 4 місяці тому

    Tengua kauli ulisema yule ni daudi alubeti bashite wakati jina lake ni makonda

  • @hazygardmericho9571
    @hazygardmericho9571 5 місяців тому

    Mahubiri haya nasikiliza mwanzo mwisho, ila ushuda mwingi na miujiza nasinzia

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 4 місяці тому

    Mwaka gani

  • @JonasMwase
    @JonasMwase 3 місяці тому

    Mchungaji wetu

  • @RaymondMuya
    @RaymondMuya 5 місяців тому

    Haya ndio mafundisho ya kiroho

  • @tadeichaula3278
    @tadeichaula3278 5 місяців тому

    Penda sana pastor Gwajima

  • @Lucymaraule
    @Lucymaraule 3 місяці тому

    1994 makasi alikuwa ameshaokoka tayali apo umedanganya

  • @benedictobucke9062
    @benedictobucke9062 5 місяців тому +1

    Kemea mapambo kwa wanawake, kemea uvaaji wa kidunia, kemea mitindo ya kidunia ya unyoaji nywele, kemea makeup, kemea upakaji rangi kucha na midomo. Tafadhali onya na karipia, wengi wanaenda kuzimu ya moto kwa sababu ya Mambo hayo

  • @MCNgakungaJunior
    @MCNgakungaJunior 5 місяців тому +1

    JASUSI LA MBINGUNI!UBARIKIWE SANA!KIUKWELI WEWE NI MTUMISHI WA TOFAUTI SANA.MUNGU AKUZIDISHE MARA ELFU NA ELFU.

  • @JaneBuluba
    @JaneBuluba 5 місяців тому +1

    BWANA AZIDI KUKUINUA

  • @Leonard-jl8gt
    @Leonard-jl8gt 5 місяців тому

    Ngwajima acha ubunge imetosha, roho zinakusubiri huku mtumishi

    • @JaphetShilinde
      @JaphetShilinde 5 місяців тому

      Yote iyo ni kazi ya mungu mpendwa

    • @meryololo5410
      @meryololo5410 5 місяців тому

      Mungu akulinde Tanzania iwe ya YESU

  • @piusnkwale
    @piusnkwale 5 місяців тому

    Aleluiaaaa

  • @rachelkimaro653
    @rachelkimaro653 5 місяців тому +2

    Askofu Gwajima Ana akili nyingi sanaa nikianza kumsikiliza huwa siwezi ishia njiani barikiwa sanaa na Yesu akupe umri mrefu utimize maono aliyowekeza ndani yko

  • @HuseinJomba
    @HuseinJomba 4 місяці тому

    Tuko kanisan tunapigiwa hadith 😢hivi tumesali tayar ama

    • @Julina9099
      @Julina9099 4 місяці тому

      Hadithi umeisikiliza toka rohon mtu wa Mungu

  • @directorabson
    @directorabson 4 місяці тому

    Aliye na Mungu mwache TU usimzuie barabarani

  • @milley7185
    @milley7185 5 місяців тому

    Ukiwa unataka kuomba pesa Je 😂😂😂😂 tupige simu

  • @GoldenchipsChips
    @GoldenchipsChips 4 місяці тому

    😅akaenda akamuomba MUNGU PESA AKAMPA 😂😂

    • @benjamenshepa1000
      @benjamenshepa1000 4 місяці тому

      Sasa Cha ajjabu nini au kwa akili zako umefikilia zililushwa zikaanguka. Tumia ufahamu Mungu analeta pesa kupitia watu

  • @SamwelKipenzi
    @SamwelKipenzi 5 місяців тому +1

    Tukiingia ktk chaneli hizi, tunawakumbusheni tu, enyi wanawake mnaodhani kuwa mnaenda Mbinguni na mawigi yenu na mapambo ya kishetani. Ni kwamba mapambo yanawapeleka motoni. 1Petro 3:3, alafu wachungaji hawasemi. Wanawaacheni muingie motoni na makeup zeni, amkeni YESU anarudi mtaachwa.

    • @emmanuel-o2x
      @emmanuel-o2x 5 місяців тому

      Wachungaji wengi wanataka sadaka hawapendi kuponya roho za waumini

    • @Julina9099
      @Julina9099 4 місяці тому

      Hata hizi simu tunazotumia zitatupeleka motoni
      1 Petro 3
      3 Kujipamba kwenu, kusiwe kujipamba kwa nje, yaani, kusuka nywele; na kujitia dhahabu, na kuvalia mavazi;
      1 Petro 3
      4 bali kuwe utu wa moyoni usioonekana, katika mapambo yasiyoharibika; yaani, roho ya upole na utulivu, iliyo ya thamani kuu mbele za Mungu.
      5 Maana hivyo ndivyo walivyojipamba wanawake watakatifu wa zamani, waliomtumaini Mungu, na kuwatii waume zao.
      Tuombe roho mtakatifu aweze kutusaidia kuelewa maandiko na kuyatafsiri tunapoyasoma
      Bwana yesu Asifiwe

  • @NamkundaelPotential
    @NamkundaelPotential 4 місяці тому

    😂😂😂❤

  • @WestonMbuba-ff4jk
    @WestonMbuba-ff4jk 5 місяців тому

    Hii ya kudaiwa unapatikana ninakubalianana wewe

  • @LeonardFrancis-hk9ku
    @LeonardFrancis-hk9ku 4 місяці тому

    Hawa wapentecoste bhana😂

  • @gracenyangusi6230
    @gracenyangusi6230 5 місяців тому

    😅😅😅❤

  • @jobmunyali7229
    @jobmunyali7229 5 місяців тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇹🇿🇺🇬🇰🇪

  • @richardmanyilizu-rp8hf
    @richardmanyilizu-rp8hf 5 місяців тому

    Amen Mungu akubariki mtumishi

  • @imansmwatete4953
    @imansmwatete4953 5 місяців тому +4

    The pastor of this generation....knowledgeable and anointed.

  • @rumariletimba7585
    @rumariletimba7585 4 місяці тому

    Amen

  • @WincheslausNshashwe
    @WincheslausNshashwe 5 місяців тому

    Amen

  • @MilloWamilonga-ft8ir
    @MilloWamilonga-ft8ir 4 місяці тому

    Wapumbavu ndio watamsikiliza pimbi huyu.
    Mbona hajamfufua mwendazake jiwe la magufuli aliyempendelea kwenye ubunge.
    Ana laana kuu huyu msukuma.

    • @benjamenshepa1000
      @benjamenshepa1000 4 місяці тому

      Mungu akusamehe saana ndugu yangu hujuw usemalo

  • @ShadrackNdorenge
    @ShadrackNdorenge 5 місяців тому +1

    Huwa namaliza bando bila kujuta Kwa huyu mwamba

  • @andrewkabalika4690
    @andrewkabalika4690 Місяць тому

    Mungu azidi kukutumia.

  • @livingmunisi5963
    @livingmunisi5963 5 місяців тому +2

    Yani mchungaji gwajima nayapenda sana mahubiri yako na shuhuda zako natamani tuwe na TV ya ufufuo na uzima

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 4 місяці тому

      Mbona hajamfufua mwendazake jiwe magufuli

    • @fidonifidel
      @fidonifidel 4 місяці тому

      ​@@MilloWamilonga-ft8irHauna ufahamu wowote juu ya Mungu

    • @MussaSmano-v1c
      @MussaSmano-v1c 28 днів тому

      ​@@fidonifidel Ni kweli kabsa haelewi anachokisema hana ufahamu wowote wa Mungu.