MAU MPEMBA NA NDOTO ZAKE ZA AJABU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • #MauMpemba #MakameNuhusi #ZmotionStudios
    MAU MPEMBA NA NDOTO ZAKE ZA AJABU
    Kila wiki Zmotion Studios imaweza video mpya za kila aina zinazohusiana na wachekeshaji maarufu Zanzibar na Tanzania kwa ujumla wanapendwa na kukubalika kila kona kutokana na kutengeneza video nzuri na zilizojawa na maadili na mafunzo.
    Ili kutoa maoni yako na kujua video gani ipo katika maandalizi kwa sasa, usikose kufutailia ukurasa wetu wa facebook link hapo chini
    KUTANA WA WASANII WANAOKUJA KWA KASI KATIKA VICHEKESHO
    -Mau Mpemba
    -Makame Nuhusi
    KUTANGAZA NASI TUPIGIE: 255774001600
    / zmotionstudios
    / zmotionstudios
    / zmotionstudios

КОМЕНТАРІ • 35

  • @yussufmohd6707
    @yussufmohd6707 3 роки тому +1

    Pemba muko vizur sanaa kwenye kisiwa cha marashi

  • @hamoudalrawahy2720
    @hamoudalrawahy2720 5 років тому +3

    Mau mpemba ticket 🎫 italiwa na panya😊😊😂😂😂

  • @luqmanmshangama5834
    @luqmanmshangama5834 5 років тому +1

    Nakukubali sana

  • @ilhammohd7170
    @ilhammohd7170 4 роки тому

    Welldone

  • @nassornasser3733
    @nassornasser3733 5 років тому +1

    Pemba na Zanzibar vp ww mtangazi .sema Pemba na Unguja bhana

    • @snsonlinetv8432
      @snsonlinetv8432 5 років тому

      Nassor Nasser bora uwaeleweshe mana hawajui kama Zanzibar ni unguja na pemba

    • @othmanhamad258
      @othmanhamad258 4 роки тому

      Saw c mbay

  • @fifo262
    @fifo262 5 років тому +1

    Ama MAU leo umenichekeshaa da yn najikuta natoa sauti hasa wapemba mnaweza kazeni kamba

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb 2 роки тому

    😃😃😃😃mau

  • @shafiqaabdallah7281
    @shafiqaabdallah7281 3 роки тому

    Mau super actor.

  • @shafiikhamis2336
    @shafiikhamis2336 5 років тому

    Duh, aisee umetisha mau

  • @yassirrashid7802
    @yassirrashid7802 5 років тому

    Tangazo limetulia sana

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 4 роки тому

    hahah hii kali

  • @alibakarmohd3563
    @alibakarmohd3563 5 років тому +3

    Hahahaha "Tuseme nishapendwa na mfanyakazi wa ndege?"

  • @hamidyakoub6865
    @hamidyakoub6865 5 років тому

    Hhh mau
    Zmotion muk vizur xn

  • @zulehahamadi4540
    @zulehahamadi4540 5 років тому

    Mauwa bwana

  • @mohdrahma5145
    @mohdrahma5145 5 років тому

    😃😃😃Heee Mau Nakupenda buree

  • @omaryabdallah5931
    @omaryabdallah5931 5 років тому

    Ni iweke ndan iliwe mpanyaaa 😂😂😂😂😂😂

  • @rahmanjoki9938
    @rahmanjoki9938 4 роки тому

    Eti pemba na zanzibar... pemba si ni zanzibar pia. Hata hamjielewi

  • @kingayo4272
    @kingayo4272 4 роки тому

    Ety Zanzibar na Pemba

  • @pembapemba215
    @pembapemba215 5 років тому

    Pemba wanakudharau xna

  • @mohammedseph7952
    @mohammedseph7952 3 роки тому

    Acheni ujinga Pemba ni wapi na Zanzibar ni wapi?

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 5 років тому +1

    Jamaa ni kumbe Pemba sio Zanzibar

  • @mbaroukhabib8048
    @mbaroukhabib8048 5 років тому +6

    Safari dar es salaam .Arusha .pemba na unguja ndo vizur sio Zanzibar wakati Zanzibar Ni muunganiko wa wisiwa vya unguja na pemba na visiwa vidog vilivyozunguka. Huo Ni ushaur maan tunakuwa tunakosea Sana apo kwenye Zanzibar unguja na pemba

    • @is-haqsalim5207
      @is-haqsalim5207 4 роки тому

      Mbarouk Habib assante kwa kuelimisha hilo maana wanatuharibia kiswahili

  • @kingayo4272
    @kingayo4272 4 роки тому +1

    Achane ujinga nyinyi sasa Zanzibar na Pemba ndio nn sasa

  • @SA-xj8hc
    @SA-xj8hc 5 років тому +3

    Safari za Unguja na Pemba mnazifanya ghali sana ukilinganisha na za Bara . Masafa ya Unguja na Pemba ni madogo sana na hailingani kabisa na bei yake kwa ukilinganisha na masafa ya Mikoa ya bara kwa ongezeko dogo tu la bei .
    Fikiria ticket ya Dar -Arusha itofautiane na ticket ya Unguja Pemba kwa 10-15% !
    Niwieni radhi kama nimekosea

  • @mpembainc
    @mpembainc 5 років тому

    😂🤣 @Jamal icho kikoba kina nn? Ulipo kipo 😆😆😆😆

  • @billylovebillybillylovebil8895
    @billylovebillybillylovebil8895 3 роки тому

    🤣🤣😂😂😂

  • @fatmafatma550
    @fatmafatma550 5 років тому

    😆😆😆😆👍

  • @aminamrope9785
    @aminamrope9785 5 років тому

    😄😄😄

  • @imansaid8020
    @imansaid8020 5 років тому

    😂😂😂

  • @fatmaaly9686
    @fatmaaly9686 5 років тому

    😆😆😆😆😆

  • @abdallahmgotto7474
    @abdallahmgotto7474 5 років тому

    Hahahaha