MAKAME NUHUSI | NIKIPATA UBUNGE NITAHAKIKISHA MUHAMMED SALAH ATACHEZA KOMBE LA MBUZI |AdilAbdallah
Вставка
- Опубліковано 16 вер 2024
- #AdilAbdallah #HarusiyaJirani#AdilAbdallahQaswida#AdilAbdallahMakameNuhusi
Karibu ujiunge nasi Adil TV. Adil TV nikituo kinacho onyesha Video tofauti kama vile Move,Tamthilia,Qaswida,Comedy Clip,Show n.k Ili kujiunga nasi bonyeaza SUBSCRIBE ili kupata video mpya kila tunapo ingiza.
Pia weka komenti zako katika video hii. Napia TUNATANGAZA BIASHARA YAKO tupigie 0774 362 246
Km u nakubali zanzibar tuna vipaj vya peke gong like yk
Aloooo ww makame nuhuc ni fundii tena nakukubali sanaaa
Tena sanaaaa
We noma
Unamkubal makame nuhusii ( gonga like ) hapa
ah yaan komedy zke zpo vzur nachek mpk tumbo laniuma
Indirect message for our leaders
Hatariiiiii kama umeona hadi mbirimbii gonga laik hapa tujuane
Hahahahahaha nyiye wapemba wenzangu nawakubali sana
From KSA...Exit 18 aiseeee mko juuu Majuha
Nuhus ww nomaaa 😁😁😁😁
Uwii mie
Leo jino laniuma ninavo cheka kma ninaye lia😭😁😁
Pole sana
Pole sana my
Anaikuliba tim ya majuwa ndo hivo tena like
Kama mume wakubali ma body gad gonga like hapa😁😁majuha mupooo🙌
Namkubali sana Makame Nuhusi
Mnamkosea mungu kwa matusi acheni ujinga nyinyi...unatukana unacheka ila mungu hapendi just jirekebisheni tu.
Hahahahaha samata mzuri ktiya vichwa hahahahah
Nakubali camer man
Kama umeona bodyguard wa mbunge kachukua buflo gonga like
😁😁😁😁😁. Mecheka hd nimezimia.
Firdous sio peke yako naam hivyo ndio CCM wanavyowafanya wafuasi wao na wao hawaamki maana sawa sawa na maiti alivyosema Kenyata Kenya imetawala wagonjwa lakini Tanzania wanao ongozwa ni maiti
Firdous Said 😇😇😇
Hahahahha bodyguard anadookowaaaa ahahhahaha
Ananifurahisha Sana wallah
Ipooo vizuriii sanaaaa
I'm imraan Ak real name from somalia ndo na watch video zko keep going bro
timu majuha tujuane bas kwa kucoment chochote hapa piga kelele kwa timu majuha akeeee majua safi safiiii 😂😂😂😂
Zanzibar one
Mbunge mungu anakuona
hahahaa nimecheeka jamaani hahahaha daaah kiaatu
Nani amesikia. Mshikaki. Wa. Mbirimbi uko. Juu kaka🤣🤣🤣🤣🙏
😂😂😂😂😂
Kucheka dawa 😅 hongera Makame
Hahahaha mbunge hana taa viatu nimecheka Kwa saut 😃😃😃😃
Nomaaaa sana 😂😂😂😂mbunge hy
Mm sio mpemba ila jamani nyote ni ndungu mpemba na mzenji ni kitu kimoja furahini tofauti weka pembeno
Nakukubali sn mpendwa tup pamoj
Hilo ndo tatizo linalotuumiza,na Tanganyika watumia njia hiyo kutukandamiza
@@princenyakurungwi6925 tanganyika tumefanyaje buddah
Hahaha mbavu zangu jamani yani mikojo imekaribia kunitoka haha
Tim majuhaaa 😁😁😁
Ha haaaa gan tafikiri bomba la maji
Mipira kugeuka badia ww kweli nuhusi
Majuha safiiiiiiiii
Hahahahahaha yan hizo jezi na mpira utatumia mpaka unakufa
Hahahahahhahahaha majuha tupo wengi 2020 iyo ishafika wabunge ndo hao
Daa hizo bunduki sio poa
Nimecheka sana timu ya majuha
Wakina baba huko nyuma mtanipa🤣🤣🤣🤣😋😋😋
Message sent
hahahahahahahah mahame nuhusi na mau fundi nyi mnajua kuliko joti nampoki mala wanakuwa wanawake jau siwapendi jot na mpoki
Duh! Hii team wehu kweli ujumbe kiwembe umefika lakini😂
😀😃😄😁😆😅🤣😂 Intelligence hataree
Huu ujumbe ni mpana
Mko tayari kuchezewa nyuma 😂😂😂
😃😃😃hana kosa wakimpa kura akakimbia 😃😃majuha oyeeeee
🙏 pleas 🙏
share, like, comment and subscribe...
kazi imechezwa na allymamba, feisalshavu(kid'shavu) na petercomedy
ahsante kwa support yako...
Follow on instagram
@CHENGAlive
ua-cam.com/video/xTQFRru2HQU/v-deo.html
HaahahaaaaA hatsri si kwa kuchezewa nyuma huko na kuchezea vichwa unatukana tuuuuuu hahaaa na wao wapumbavu wanaitikia tu
Mbunge kama omba omba haahaahaa awo majeshi mumewatoa wapi naona wameshika SMG za maana
Timu majuwa tupo😂😂😂😂
majung yann
Hahaha
Hahahahahahhaha muhammedi salah atashirikk kombe LA mbuziiii hahahahahahha
🤣😂😂🤣🤣 bodyguard nae anazidi kuniumiza mbavu
Mshikaki wa mbirimbi jamaaniiiiiiiiii hahahahahha
Hahahahha unatoka na uchafiiiii aaaaaaaahahahah
wa 1 like
Daaaah hiii bunduki
Mbunge acheka kama samaki wakukaanga chezea kura weee🙌🙌
Faiza Said tena ana meno kama changu
🙄🙄🙄🙄🙄😁😁😁😁
Umetisha ww uko fiti
Km samaki wa kukaanga😆😆
mushawahi kuona kiatu cha mpira hakina njumiii hahahhhahhahhahha
Haahahahaha eti Majuhaaaaa daaaah wamegusajeee hawaa.. Eti ndi Baba majuhaaaaaaa haahahahaha daaah dadakii wazenjiiii
nakukubali
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 jan mda mwengine hua ata hutk kucheka lkn ucheke tu
Umeonaaeee 😂😂😂😂😂
@@omanmuscat3461 kazingua kwel mana waarabu washanitibua hapa nilikuwa nnahasira zangu najikuta nacheka tu baada ya kuchek vidio hii
Nzuri ila kuweni sirias kidog ili tupate uhalisia
Kweli hawapo serious
Majuha oyeeeeeeee🎅🎅🎅
Yuko vizuri kama umechoka akili inakupa faraja
Naifungua tu hii video naamza kwa kucheka
Massage sent
Duh,hhhhh nyasi bandia ng'ombe wamezila,nime iona hio
Jaman mishkaki
Boraa tuunde kikosii chaa kuuzaa mkaaa
Hahahaaaa duh hatari
Huyu mtu kwakwel kiboko wa comedy🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nyie majua kweli sio uongo
Eti timu ya majuha hahaaaaa
Wenyewe washajijua
Mwenye akili tu ndio ataelewa huu ujumbe...waliobakia wataendelea kua team majuha🤣🤣🤣🤣
Mipira yote inageuka badia nimeipenda iyo
Mbunge ata yebo yebo bc hujavaa😄😄😄😄
Amaa kweli hawa ni majuha
Vichwa vya,,,,,,,,,,, au
Hatirii mipira kugeuka baadia
Mbavu zangu miee😂😂😂😂
Hahahhahahhahha Wazanzibar tukisha shiba Chai ya mdalasin na BaBaanziii Ahhh
Sawa mm sina. Neno
Hahaaa😆😆😆🤣🤣🤣🤣mbavu zangu.
Daaah nimeondoa stress asanteni
Mbunge jaman hatavihatu hukuva🤣🤣🤣😂
NAKUBALI KAZ
Paswa kichwa
Wazee matuc taratibu taratibuuuu...
Mbavu zangu mie ,ila jihadharin na matuc
Ndo viongozi wetu WA zanzibar ao hahahahahhahahaha dah
😁😁mie jmni
Masikini et kule ulaya anawachezea mbele huku atewachezea nyuma mkotayari ndioooo🙄🙄🙄🙄🙄🙄😹😹😹
Timu ya majuha hoyeeeee ndio🤣🤣🤣🤣
Jamani nyasi eti zimeliwa na ngombe 😂😂😂😂😂😂😂😂😂wewe nouma makame😂 timu majuha tujuane kwa jezi zetu
😂mbafunzangu
Msimu wa majuha
C kuchekesha huku
Hhhhhh yuko wp Mau Mpemba
Hahahaha🤣😂