NABII GEORGE "CHANZO CHA KIFO CHA MTOTO WA CHIEF GODLOVE KUNA SIRI KUBWA NYUMA YA PAZIA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025
  • Mahojiano na Nabii George

КОМЕНТАРІ • 42

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw Місяць тому

    Nabii na mtumishi wa Mungu upo vizuri Sanaa hapo lazima uwe na maadui watu wanafikili tofauti

  • @augustinonyambuya849
    @augustinonyambuya849 Місяць тому

    Nabii na mtumishi wa mungu upovlizuri sana.

  • @GeorgeMushi-q8s
    @GeorgeMushi-q8s Місяць тому

    Sijui kisa wala chanzo lakini haki ya huyu mtoto kuishi imepokonywa... wahusika hawawezi kuwa salama.... Mungu aipumzishe roho yake mahali pema.

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 Місяць тому +2

    Mungu yupo Yesu yupo Malaika wote wa Mbinguni wapo huyo Mtoto kwa msaada na NGUVU za MUNGU ALIYETUUMBA ATAMUADHIRI ALIYEMUUA

  • @GabrielyMathias-e1b
    @GabrielyMathias-e1b Місяць тому

    Upo vzr kiongozi

  • @Zakariasimon032Zakariasimon0-l
    @Zakariasimon032Zakariasimon0-l Місяць тому +1

    Dah!!! Dunia IPO Kasi sana

  • @WitinessJoseph
    @WitinessJoseph Місяць тому +3

    Huyu mchungaji anahekima Sana ameongea vzr Sana kwaakili

  • @RehemaMbise-e9i
    @RehemaMbise-e9i Місяць тому +1

    Ni kweli mtumishi awe na kiasi kaka godlove usipende kuonesha vitu vyako sio wote wema kwako sio kila mtu anakupenda fanya mambo yako kimya kimya

  • @MahengelaKanna
    @MahengelaKanna Місяць тому

    Pole saña mungu amlaze Mali pepon tutamkuta

  • @JOSEPHMwakibinga
    @JOSEPHMwakibinga Місяць тому +5

    Swala la kusema iwe mfano kwa watu wengine. Umeisha wahi kuona watu wameacha? Na huyo mama wa mtoto anajua Kila kitu waachieni hawo mliowakamatwa

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 Місяць тому +5

    MUSITAKE KUWAONEA WATU KUWAKAMATA HUYO DADA KAJUA MWANAE MTAPOTEA DUNIANI SIKU SAA KILA KITU KWA TAMAA YA PESA CHEFF NA MAMA MTOTO WANAJUA YOTE ☝️🤲😭

    • @mariammwinyi6444
      @mariammwinyi6444 Місяць тому

      😢😢

    • @mariammwinyi6444
      @mariammwinyi6444 Місяць тому +1

      Damu ya watoto Ndio inatumika saana kwenye huo mchezo 😭

    • @NDaKI250
      @NDaKI250 Місяць тому +1

      Yaan hiki ndo nakifkiria mda wote huyu Dada nmeshangaa kumjua chief godlove yaaan mtu wa chato kamfaham vp mtu wa mbeya yaan hapa huyu Dada tamaa ya pesa imemponza moyo wangu unaamini hivi kabsa....

  • @SKEFFAMALIO
    @SKEFFAMALIO Місяць тому +1

    6:11

  • @chazzwanyeche
    @chazzwanyeche Місяць тому

    😢

  • @jerusalemsuccess4562
    @jerusalemsuccess4562 Місяць тому +1

    Wameua wenyewe ni mikataba ya kuzimu. Kweni Godlive kakakamikiwa mara ngapi kuwa nimtumishi wa shetani?

  • @Cosmasy
    @Cosmasy Місяць тому +1

    Hata yeye chifu apunguze maneno kauli mbaya mitandaon na kuita masikin takataka

  • @Mamkubwa
    @Mamkubwa Місяць тому

    Tukumbuke...duniani wivu upo. Usijionyeshe ulichonacho. Kuna wale hawana watakutamani..... na hata kimaombi tu anaweza kuomba kikutoke ulichonacho.... dini zinafunza ivyo. Soma utaona. Usianike ulichonacho.

  • @anonciatamanirkiza9675
    @anonciatamanirkiza9675 Місяць тому

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @rachelndaki5642
    @rachelndaki5642 Місяць тому +1

    Jmn hopo kwa mfanya biashara mkubwa Tz ila ni mkubwa dodoma sio tz nzima kwanz tumemjua kupitia tukio la mtoto wak vingnevyo alijuan na chf gd lv bas au nawa tz mlimjua huyo jojo mm namjua wakwenye misseon iposbo

  • @SuzanaChananja
    @SuzanaChananja Місяць тому

    Ivi hiyo boda angekuwa ametemda jaman angeludi nyumbani bila hofu

  • @jumakitanda9183
    @jumakitanda9183 Місяць тому +1

    Pole chief y dunia hayo

  • @jerusalemsuccess4562
    @jerusalemsuccess4562 Місяць тому +1

    Wametoa kafara wenyewe. Kamchezo kao wenyewe hako. Watu wanatoa kafara watoto wa viuno vyao. Nilishangaa kuona musa chesa online tv akisema mwamposa anatoa kafara kwa kuchukua mwanamke anamtia mimba halafu anamtoa hiyo mimba basi kafara ya viuono vyake imekamilika. Hao walitika ili kuondoa ushahidi kaffara ikishatolewa

  • @MwashamKhery
    @MwashamKhery Місяць тому

    Imenisikitisha saaana kila nafsi itaonja umauti na kila nafsi itavuna ilichopanda Dunia mapito tu ata wao watakufa tu

  • @KassimallyKassim
    @KassimallyKassim Місяць тому

    km anaakili chf huo ndo mwanzo wa kujifunza na majivuno yake

  • @HappyJackson-m9u
    @HappyJackson-m9u Місяць тому

    Ongea vizur mtoto wakiume unalemba sauti kama mtoto wakike

  • @AdiaAhmad-s5o
    @AdiaAhmad-s5o Місяць тому

    Yaani wewe una maono kweli usemayo Lakini..majuto mjukuu

  • @MedsonMmkubwa
    @MedsonMmkubwa Місяць тому

    Akuna anajua kinacho kuja rabda angekufa mamayake

  • @LassSamwel
    @LassSamwel Місяць тому

    Duu uyo bodaboda namjua aisee siamini kama ni yeye

  • @SKEFFAMALIO
    @SKEFFAMALIO Місяць тому

    Ww. Acha upumbavu

  • @MedsonMmkubwa
    @MedsonMmkubwa Місяць тому

    Shida Tanzania watu wengi wamejaa wivu watuwanaotaka kusaidiwa watajurikana vip. Baresa nachifu kiumri. Mkubwa nani?

    • @mariammwinyi6444
      @mariammwinyi6444 Місяць тому

      Na wewe ni member of 👁️🔺

    • @Mamkubwa
      @Mamkubwa Місяць тому

      Sio Tanzania, duniani wivu upo. Usijionyeshe ulichonacho. Kuna wale hawana wanatamani... hata kimaombi tu anaweza kukutoa ulichonacho.... dini zinafunza ivyo. Soma utaona

  • @israelmkaka2807
    @israelmkaka2807 Місяць тому

    Pumbavu...sio mkewake

  • @HassanKilonzo-x1l
    @HassanKilonzo-x1l Місяць тому

    Mbn mwana habar nimlamba lips

  • @JumaMussa-k6w
    @JumaMussa-k6w Місяць тому +1

    Akamatwe huyo mama wa mtoto

  • @augustinonyambuya849
    @augustinonyambuya849 Місяць тому

    Nabii na mtumishi wa mungu upovlizuri sana.