UCHAMBUZI || Uvamizi wa Urusi kwa Ukraine

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • Kufuatia kuendelea kwa mashambulizi ya kijeshi kwa Ukraine kutoka kwa Urusi mchambuzi wetu Ibrahim Rahbi anatoa tathmini ya uelekeo wa mashambulizi hayo.

КОМЕНТАРІ • 158

  • @mohdnasser894
    @mohdnasser894 2 роки тому +1

    Leo juu ni mkristo mwezenu mta Sema sana ila wakati zinapigwa inchi za kiisilamu hakuwa mnasema kitu chochote

  • @m.seifsaid4836
    @m.seifsaid4836 2 роки тому +14

    Bora Watanzania tusipendelee upande wowote, nchi nyingi za Kiafrica isingekuwa Urusi mpaka leo tungekuwa tunatawaliwa na hizo nchi za magharibi. Nchi za East na Urusi ndio waliotuamsha kudai uhuru na hata kuingia vitani zidi ya wakoloni.

    • @petershimbi7014
      @petershimbi7014 2 роки тому +1

      nimekupata kaka
      nashukuru kwa kuwakumbusha waafrika

    • @abedinegoraphael4774
      @abedinegoraphael4774 2 роки тому

      @@petershimbi7014 kama vile kifaru cha 34 kilivyo wachachafia wanajeshi wa hitla

  • @abdulwahababdulkadir9965
    @abdulwahababdulkadir9965 2 роки тому +7

    Sisi kama tz tunaionya urusi kwa mara nyengine tena kwamba kuna raia wetu hapo ikitokea lolote lile they will be responsible for this hatutaangalia wapi pakupiga so wasitishe vita kwa haraka zaidi

  • @jabiraxmed7898
    @jabiraxmed7898 2 роки тому +17

    Kwa ufupi NATO wanataka kuingiza ukran katika umoja wao ili waweke silaha zao kuelekeza urusi na warusi.waliwambia zamani marekani hawawezi kuingiza ukrane katika NATO .itakua wamevuka red line .na putin alita kimandishi epewe uhakika ukrane hawajiungi NATO .ndio western Europe na America wamekataa na ukrane kijiunga NATO itakua ni urussi national security haipo salama .

    • @theophilotheodosy5565
      @theophilotheodosy5565 2 роки тому

      Huyo mchambuzi wa Azam yupo biased, hatoi facts za chanzo na kila kitu

    • @gasperselestini4748
      @gasperselestini4748 2 роки тому

      marekan mnaichukulia simple wenyewe hahaha .. kwanza wajiingize kwenye vita na rusia hili iweje yaan kwan hawajui madhara ya vita ???? nchi yao inongoza kwa uchum mkubwa dunian makampun makubwa ya tech yako kwao mabilionear wakubwa wa dunia wako kwao wapigane vita na mrusi alafu watapata nn???? ukrain kuna hutajir gan hadi marekan hakaiingile hio vita???? wakishapiga na urus then akashinda kwenye hio vita hatafaidika na kitu gan???? kama sio kuporomoka kiuchumi kwa taifa lake ...... USA wanatumia akili za chuo kikuu hawatumii akili za chekechea

    • @jabiraxmed7898
      @jabiraxmed7898 2 роки тому +1

      @@gasperselestini4748 Haha nchi inayongoza GDP kiuchumi ni CHINA na uchumi wa marekani ni kwenye makaratasi tu lakini hali halisi sio hivyo marekani wanaongoza kwa madeni na uwezo wa kulipa hawana wana print money ni hatari na wewe unangalia kwenye tv tu nenda kuangalia maisha ya wamarekani utalia home less kibao bara barani utashangaa kuwa ndio nchi inayosifiwa kiuchumi sasa uchumi gani ambao raiya wake wanalala nje na ndio nchi peke duniani iliyoendelea lakini haitibu raiya wake ukiumwa marekani kama huna pesa ndio basi tena nchi za Europe zote unatibiwa bure

    • @macleanmodest9470
      @macleanmodest9470 2 роки тому

      %%%mm%mp

  • @amosmichael487
    @amosmichael487 2 роки тому +4

    Mungu tujalie sie mwisho mwema

  • @saidhamad533
    @saidhamad533 2 роки тому +3

    Marekan mazoea kuchezea nchi za afrika na nchi za kiarab ila apo kakaa kimya

  • @legend9805
    @legend9805 2 роки тому +4

    Wewe waongea upuuzi tu waegemeea upande wa magaribi sanaa chambua vizuri mpaka ilipofikiaa

  • @omarymohamed7271
    @omarymohamed7271 2 роки тому +1

    Oooh god bleas

  • @ibrahimabdullah1887
    @ibrahimabdullah1887 2 роки тому +6

    Acheni upuuzi marekani hawwzi kuchokoza irusi kwanza yupo chini kama shioni yakitupwa mabomu itasa.mbaratika

  • @salumufabien1786
    @salumufabien1786 2 роки тому +1

    Russia anahaki ya kuivamia Ukraine maan urusi inatetea maslsy ya inch yk

  • @amosmichael487
    @amosmichael487 2 роки тому +6

    MATAYO 24: 7,8
    Kwa maana taifa litaondoka kupigana na taifa na ufalme kupgana na ufalme kutakua na njaa na matetemeko ya nchi mbali mbali.
    Hayo yote ndio mwazo wa utungu (uchungu)
    Kristo Yu karibu kurud tujiandae

  • @robbyman6213
    @robbyman6213 2 роки тому

    Mungu Aimalize Vita Hii

  • @rashidjuma1969
    @rashidjuma1969 2 роки тому +1

    Mrusi ni mwanamme na mmarekani na nato hawawezi kufanya lolote kwa mrusi na mwisho wa siku wataweka vikwazo tuu mchambuzi unalijua hilooo

  • @victorsanga2229
    @victorsanga2229 2 роки тому +6

    Ninacho jua askari wa Urusi ni wachovu sana, NATO na USA wakiamua Putin atashindwa haraka sana!

    • @m.seifsaid4836
      @m.seifsaid4836 2 роки тому +5

      Tafathali usisahau nguvu za Warusi vita vya pili, walikufa warusi milioni 20, lakini waliweza kuzikomboa nchi nyingi sana za Europe zilizochukuliwa na Hitler ( Hungary, Checoslovakia, Litvania ,Poland, Romania, Bulgaria, Yugoslavia, East Germany, Letonia nyingi nyingine zikaunda Warsaw Pact na Marekani waanzisha Nato.

    • @konshazikonsha6180
      @konshazikonsha6180 2 роки тому

      VICTOR SANG Ulijuajeee!!!!!!!!🤔🤔🤕🤕

    • @adamally6
      @adamally6 2 роки тому +1

      ni wachovu unajifariji cw

    • @anithasemwano8276
      @anithasemwano8276 2 роки тому

      Unawajua vizuri Askari wa Urusi?

    • @dominicjulius3108
      @dominicjulius3108 2 роки тому

      Wanaaskali mpaka watoto warusi

  • @Tiffany340
    @Tiffany340 2 роки тому +3

    Russian na Chinese wanasubiri Marekani wajitokeze tu.. Washughulike nayo.. Marekani anamaadui wengi anaogopa

    • @joh7282
      @joh7282 2 роки тому

      Bado kiduku umemsahau

  • @jabiraxmed7898
    @jabiraxmed7898 2 роки тому +2

    Hii ni kwa ajili ya @dominic julius Russia au urussi kabla ya kuwa Soviet union ilikua ni empire ikiongozwa na romanov dynasty family tsars wa mwisho kuongoza urussi ni tsars nicholas 2 .tena Russia ilikua empire kubwa sana kulikoni ya kingereza. Yakatokea mapindizi urrusi ya kumuondoa tsars nicholas. Ndio akatoke Lenin akawa kiongozi wa urussi ndio akaunda Soviet union na kuanza kuleta siasa za ujamaa hata nyinyi tanzania muliiga kupitia nyerere. Na tsars nicholas walimuweka kizuizini kwa muda badae wakamuwa pamoja na watoto wake Watano katika mji ambao upo urusi unaitwa akateringbor .V.I.Lenin alipoanzisha ujamaa pamoja Soviet union alichukua badhi ya sehemu urussi akawapa ukrane na kunda taifa la ukrane kabla ya hapo ilikua hakuna taifa la ukrane yote ilikua ni urussi na kipande vipande vya radhi za nchi nyengine kama polland Germany nk. Kwa kujua sio tatizo yote ni Soviet union. Na kihistoria warusi na ukrane ni ndugu wa damu baba mmoja mama mmoja kabla ya mji mkuu wa urussi hivi sasa Moscow karne hizo za nyuma mji mkuu ulikua keyv amba ndio mji mkuu wa ukrane hivi sasa .baada kufariki Lenin rais wa Soviet union akawa ni Joseph stalin ambae taifa lake ni geogia ni geogia na sio mrusi kama unakumbuka mwaka 2008 urussi na Georgia walipigana sababu ndio hii hii ya kutaka kuongiza geogia NATO.Joseph stalin ndie aliekua rais wakati Hitler anavamia Soviet union. Ndio baada kufariki Joseph stalin wakaja viongozi wengi wa kuongoza umoja nchi za Soviet mmoja wao anaitwa nukita kama nimekosea kuandika vizuri jina lake mutanisameh. Nikita alikua anatokea upande wa ukrane ni mu ukrane na ndie aliptowa kipande cha sehemu tena ya urusi akawapa ukrane sehemu wenyewe unaitwa Crimea kwa vile anajua ni nchi moja hakuna tatizo na cremea ni mji wa kihistoria sana kwa warusi wamepigana sana kuidhibiti sehemu hiyo amepigana na uengereza wafaransa na wa Turkish vita kinaitwa cremea war ni muhimu sana kwa warusi .rais wa mwisho wa Soviet union ni Gorbachev na ndie aliesababisha kuvunjika Soviet union nafikiri utakuwa umenifaham tumejifunza mengi .sasa baada kuvunjika Soviet union urussi ikawa iko dhaifu sana kiuchumi hapo ndio matsofa ya ulaya na marekani waka chukua fursa ya kutaka kuigawa tena urussi kwa sababu warusi ni matajiri sana ki raslimali ni kama congo vile congo ya ulaya na rais wa mwanzo wa urussi ni boris Yeltsin au Yeltsin lakini ilimshinda urusi nchi ikawa unataka kugawika kama unakumbuka Chechnya republic ipo ndani ya Russia federation kwani urusi ni federation country. Chechnya wakataka kujitenga ndio Yestin akajiuzulu urais ndio akaja Huyu putin na ndio kaotowa urusi mbali sana na kibaya sana .ndio nchi za ulaya na marekani ikawa hawampendi kabisa hawataki hata kumsikia na warusi wanampenda sana na watu wengi dunia nzima wanampenda kaifanya urusi super power tena ni hayo tu kwa kiufupi sana ni long history ASANTE SANA

  • @petermwanyondo5370
    @petermwanyondo5370 2 роки тому

    Sio kweli huyo Putin wakiamuwa kumfanyia watambeba Kama bagibo

  • @bigtribecompanylimited7169
    @bigtribecompanylimited7169 2 роки тому +1

    Urusi haiwezi kuruhusu marekani awake mambo yake Ukraine.

  • @tryphonedanda616
    @tryphonedanda616 2 роки тому +1

    Sifa kwa kwa Mungu

  • @dragonmaliva6996
    @dragonmaliva6996 2 роки тому +1

    Pollen sana UK

  • @jabiraxmed7898
    @jabiraxmed7898 2 роки тому

    Jamani ombeni duwa hivi sasa ukrane wamekubali mazungumzo na urussi wa

  • @galdersniper2701
    @galdersniper2701 2 роки тому +7

    huyu mchambuzi anaipenda marekani kuna vitu vingine havijui, ukisema urusi wanamuweza na kumpiga kumtoa m binafs naona kachamke jiulize angekuwa Tanzania wangesubiria tuu au wangekuwa washatupiga

    • @joh7282
      @joh7282 2 роки тому

      Apo sasa ishu marekani anajua kuwa jamaa hawana masihara na uzuri jamaa kaisha zungumzaaa ingilia huoneee

    • @petershimbi7014
      @petershimbi7014 2 роки тому

      @@joh7282 mchambuz mnafiki tu huyo

  • @jabiraxmed7898
    @jabiraxmed7898 2 роки тому

    Na kwa kuongezea marekani walipotaka kujitangazia uhuru wake kutoka kwa uengereza uengereza na ufaransa na badhi ya mataifa ya ulaya walitaka kaivamia marekani lakini mfalme wa urussi akapeleka meli zake za kivita kuilinda marekani isivamiwe na uegereza na ufaransa na Alaska marekani yote ile ilikua sehemu ya urussi lakini wakawauzia wamarekani ASANTENI

    • @jabiraxmed7898
      @jabiraxmed7898 2 роки тому

      Kwa kufafanua alaska marekani hile ilikua ni sehemu ya urussi. Lakini warusi wakawauzia marekani

  • @Stays_Shopping
    @Stays_Shopping 2 роки тому +3

    Yan Urusi ni wagonvi jaman ☹️☹️

  • @zephaniapeter3167
    @zephaniapeter3167 2 роки тому

    Besisira nione geita renisana

  • @joh7282
    @joh7282 2 роки тому

    Kama wanamuweza waingie marekani wao si wababe na ni watetezi wa wanyonge awasaidie sasa hao kwenda kupaki majeshi pembeni huo ni uogaaa watu wanauliwa sana wao wamekaa pembeni

  • @babalao910
    @babalao910 2 роки тому +2

    URUSI JUU JUU JUU ZAIDI, HAWATAKAGI UNAFIKI.

  • @rukaka_jr4514
    @rukaka_jr4514 2 роки тому

    Mlishaambiwa jaribuni kuingia mtaona majanga kihistoria haijawah kutokea

  • @hamisisilimu1245
    @hamisisilimu1245 2 роки тому +2

    We muongo!
    Mrusi kajipanga

    • @princebuganzilut2047
      @princebuganzilut2047 2 роки тому

      Well said. Jambazi hujua nini anataka muibiwa hajui ataibiwa nini na lini hivyo jambazi kajipanga big true

  • @matukutajuma156
    @matukutajuma156 2 роки тому +4

    WACHA UONGO WEWE RABI KWANINI RAISI WA UKREIN ASEME KAACHWA PEKE YAKE KAWAPIGIA MARAISI MAGHARIBI 27 HAWAMJIBU AMEKIRI WAMEKUWA WAOGA NA KWAUCHUNGU KAAMUA KUPAMBANA KIVYAKE ACHA UONGO!

  • @fredmramba6612
    @fredmramba6612 2 роки тому +3

    Jamani wenzetu wanaheshimu Sheria waliojiwekea hizo sio tanzania ndio maana watu wengi humu awaelewi wanaleta ushabiki wa CCM na CDM 😀😀😀 mungu tusamehe atujui tutendalo mtu anaSema urusi hawamuezi American American amuwezi urusi wewe unaijua Vita?

  • @rashidigangira6799
    @rashidigangira6799 2 роки тому

    Hatari sn

  • @yes2676
    @yes2676 2 роки тому

    Hizo ndevu, ajiandikishe kwenda vitani

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 2 роки тому +2

    🤣🤣🤣 siku 2 wameshaingia kiev je wakipewa mwez 1 itakuwaje?

    • @joh7282
      @joh7282 2 роки тому

      😂😂 uyo mchambuzi wa marekani azungumzeee

  • @salehkhamis8653
    @salehkhamis8653 2 роки тому

    Mchambuzi upo sahihi kabisa big up ndugu

  • @adamsengo1869
    @adamsengo1869 2 роки тому +1

    Hawamuwez mrusi

  • @janethjohn7053
    @janethjohn7053 2 роки тому

    Hakuna aaiewezekana ni timing tu

  • @sadickomary9999
    @sadickomary9999 2 роки тому +1

    We mchambuzi ni muongo kweli, unachambua usichokijua you don't know how might is Russian army!! Funguka, acha kusikiliza vyombo vya habari vya West na Us, tafuta vyanzo vingine vya habari

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 2 роки тому

    Marekani Kam a ni palestina engesema

  • @marymfugwa847
    @marymfugwa847 2 роки тому +1

    Nacho omba tz ipeleke jeshi kuwasaidia Ukraine kama walivyo wasaidia Kongo.

    • @komboarts7110
      @komboarts7110 2 роки тому +1

      Mbali sana huko brother ukraine na tz. Mpeleke ndugu yako mwanajeshi😂😂😂

    • @babalao910
      @babalao910 2 роки тому +2

      Hahahaha TZ ikipeleka wanajeshi, Kabla hawajavuka mipaka ya Tz watakuwa wameshakuf.

    • @adiliomar3006
      @adiliomar3006 2 роки тому

      Eneo hili ni la jw hairuhusiwi kupita

  • @mzeeomary5780
    @mzeeomary5780 2 роки тому +2

    Check ndevu zake unafanya nini huko

  • @ramadhanishabani1644
    @ramadhanishabani1644 2 роки тому

    Hhhhhh mtangazaji apo umeboronga inchi za magaribi haziwezi kumpiga mrusi

  • @jabiraxmed7898
    @jabiraxmed7898 2 роки тому +2

    Nyie wacheni ujinga hamna munachojuwa fanyeni reserch kwanza half of population of Ukraine ni warusi na haungwi mkono na raiya wake na NATO western Europe na America hawawezi kupigana na warusi kabisa na fatilieni history vizuri ndio mutafahamu hii vita

  • @johnbanda6601
    @johnbanda6601 2 роки тому

    Kwakweli hili swala ni la kuangalia lisije kuzua mzozo kwa mataifa mengine

  • @kilalikanestory3635
    @kilalikanestory3635 2 роки тому

    Kwanini serikali ya Tanzania isitume ndege watoke?

  • @jumamnumbwa9483
    @jumamnumbwa9483 2 роки тому +6

    Urusi hatari Ina nguvu za kijeshi za hatari Ina makombora ambayo nato hawana Wana ita hypersonic missiles Technologies hii wanayo urusi china na na Korea wataalam wanasema hayazuiliki na yana kasi mara 5- 7 ya spidi ya sauti, speed of sound ndio maana mbabe anatembea kifua mbele kama tai,

    • @allyvindili9752
      @allyvindili9752 2 роки тому

      Laana iwashukie wanaodhurumu hak. Za wanyonge

    • @awardhakimu4777
      @awardhakimu4777 2 роки тому +2

      Una huakika kwamba marekani awana hypersonic

    • @abiollashayo5698
      @abiollashayo5698 2 роки тому

      hujui kitu ww,america ndio anasilaa za maangamizi ambazo taifa lolote duniani

    • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
      @sanoureyaliwadoakaroyo1696 2 роки тому +2

      @@abiollashayo5698 uwo Ndio Ugonjwa Wa Akili Wewe Unafikir Kila Salaa Alio Nayo America Rasia Hana Ama China,Korea Hawana Ilo Unajidanganya Sna Tna Sna Hakuna silaa Yoyote America Anayo Zalisha China Akawa Hana Ama Rassia Hana Wee Jiulize Kma Hanawa Silaa kma America Anazo Zalisha Kwann Mataifa Haya Yanakua Jeuri Kwa America Sio Kma Mataifa Mengine Yakifokea Na America Yananywea Usie Zuzu Wewe Amka

    • @dominicjulius3108
      @dominicjulius3108 2 роки тому +1

      Hakuna silaa ambayo America Hana yy ndio mgunduzi wengine ndo wanakopy

  • @mickidadmiraji5949
    @mickidadmiraji5949 2 роки тому

    Acha wachapane mbona marekani kavamia pakistani lkn hamna aliyesaidia pakistani kwa sababu gani?

  • @leonardnelson5651
    @leonardnelson5651 2 роки тому

    Au sio

  • @leotena8456
    @leotena8456 2 роки тому +2

    Jamaa akiongea anaangalia pembeni kama warusi wanakuja

  • @hekimaandindilile4000
    @hekimaandindilile4000 2 роки тому

    Nampenda putini naipenda chini naipenda Korea na washirik wote was nchi izo lakini kwasababu majeshi ya nato makorof ndio uanafanya ujinga afri naona wapige tyu Korea kiduk big up

  • @jucric2945
    @jucric2945 2 роки тому

    Ufb

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 2 роки тому

    Kwanini Russia jamani inaipiga Ukraine kila nchi siifanye mambo yake kwanini kutesa watu km wazee, watoto,wamama,walemavu na wasio na hatia,watu wa mataifa mengine, Mungu walinde Ukraine people, Tanzanian, na raia wa mataifa mengine,acheni Vita ni mbaya basi wababe wasubili Vita ya moto wa jehanamu

  • @kambugarakim4840
    @kambugarakim4840 2 роки тому +1

    Hakuna mchambuzi hapa kuna mpuuzi uwezo mdogo

  • @mukumbilwa4990
    @mukumbilwa4990 2 роки тому

    Sasa kwa nini otan ilimuwa Kaddafy??kwanini??

    • @legend9805
      @legend9805 2 роки тому +1

      Gadaffi alitaka kuendeleza afrika na waachane kutegemea ulayaa na afrika itumie helaa mojaa ya pan african currency wasitumie dollar. Ndio walimuuwa

  • @lodianiyogusenga7839
    @lodianiyogusenga7839 2 роки тому

    P

  • @musabarnabas7628
    @musabarnabas7628 2 роки тому +2

    Huyu mchambuzi mmemtoa wapi? Hana uchambuzi huria maana anavjokisema chote kimaekea mlengo wa wasemavyo byombo vya habari vya kimagharibi. Lengo l Putin ni kumtoa Zelensky?

    • @salehkhamis8653
      @salehkhamis8653 2 роки тому

      Mchambuzi yupo sahihi kabisa hio vita haitachikua siku nyingi wange ingia NATO hapo ndio ingekua vita ya mda mref

  • @zainabuabdul7852
    @zainabuabdul7852 2 роки тому

    Weeee mchambuzi muongo nato uwezo kupiga urusi hanaaaaa nipo Poland urusi ni shughuli nyingine

    • @pascalsamwel3038
      @pascalsamwel3038 2 роки тому

      Iyo urusi ya kariakoo upo au hacha kukalili Putin anakufa mda si mrefu subiri uone.

    • @pascalsamwel3038
      @pascalsamwel3038 2 роки тому

      Iyo urusi ya kariakoo upo au hacha kukalili Putin anakufa mda si mrefu subiri uone.

  • @issamswahili1746
    @issamswahili1746 2 роки тому

    😡😡

  • @legend9805
    @legend9805 2 роки тому

    Wewe waongea upuuzi tu waegemeea upande wa magaribi sanaa chambua vizuri mpaka ilipofikiaa