KUOTA NA SAMAKI , NINI MAANA YAKE?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • USIPUZE NDOTO

КОМЕНТАРІ • 105

  • @richardmusango8388
    @richardmusango8388 День тому

    Apostle utabiri wako Ni kweli kabisa Mungu akubariki

  • @DENISBWIREOFFICIAL
    @DENISBWIREOFFICIAL 4 місяці тому +2

    Amen 🙏 God bless you from Kenya.

  • @petersonwiliamchachapeterw6144
    @petersonwiliamchachapeterw6144 2 роки тому +3

    Bwana yesu adifiwe mtumishi wa mungu Mimi niliota nachoma samaki wilikuwa wengi lakin kukatokea watu waili vijana wakachukua wakala Na walikuwapo wengne weng wamenizunguka

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  2 роки тому

      Amina! Jibu lako Liko hapa
      ua-cam.com/video/uuDyWprUK88/v-deo.html

  • @dianalyamuya4809
    @dianalyamuya4809 Рік тому +1

    Amen Mungu akubariki sana mtumishi

  • @happyjohn7630
    @happyjohn7630 Рік тому +1

    Pastor nimekuelewa vzr Mungu akubariki san lkn swali langu ivi samaki wakiwa ndani ya mtumbwi na watu niwengi na mimi nanunua samaki kweny baadhi ya mitubwi hii ni samaki alie kufa au niktk samaki wazuri hii imekaaje mtumishi

  • @EMMAHMOKAYA
    @EMMAHMOKAYA 2 місяці тому

    Amen

  • @brightonsospeter5100
    @brightonsospeter5100 2 роки тому +3

    Nimeota nimetega samaki kwa ndoano samaki alivyo nasa kwenye kumtoa ndani ya maji watoka samaki wengi wakubwa wakubwa walio nasa kwenye ndoano moja

  • @user-gc8kx8rl8q
    @user-gc8kx8rl8q 6 місяців тому

    Amina asante sana kwa tafsiri ya ndoto

  • @cosmakomba7772
    @cosmakomba7772 2 роки тому +5

    Mchungaji unayo ongea kuusu ndoto unaningusa sana tafsili nikweli tu nakuomba uniombee napitia wakati mgumu sana kwenye familia yetu hasa nduguzangu wa dam kabisa kuanzia mzazi mpaka nduguzana pleas maombi yako tafadhali

    • @DanielJengela
      @DanielJengela 5 місяців тому

      Nimekula kipande samaki kibichi nilipoamka nilikosa raha mpaka Leo nakumbuka sikuelewa

  • @VioletWamwandu
    @VioletWamwandu 2 місяці тому

    Mm nmeota dadangu anachoma samaki akanipa nkauze . Ila hawakunuliwa wote lakini. Wengine nkaona wamechanganyika na maji tena wakarudi vizuri. Nkawala kw afuraha

  • @happinessmarato9845
    @happinessmarato9845 2 роки тому +1

    Mungu akubariki snaaa

  • @lilymwasi1221
    @lilymwasi1221 3 місяці тому

    Amen amen 🙏🙏🙏

  • @esperancengongo-bw2sd
    @esperancengongo-bw2sd 4 місяці тому

    Amina mungu nisaidiye niyaishi

  • @AminaLukinda
    @AminaLukinda 3 місяці тому

    Mm nimeiota nalowa samaki kisha nikawpika nawalikua wengi sana

  • @VirginiaWavinya-q8q
    @VirginiaWavinya-q8q 6 місяців тому

    Ameeen

  • @Susan-xu1xf
    @Susan-xu1xf Рік тому

    Bwana asifuwe pastor mimi niliota hii do to mara mbli nilikwa nachota samaki nikipeleks church na zilikuwa wengi sana nisaidiye pastor

  • @Mamantontine
    @Mamantontine 2 місяці тому

    Niliota navua samaki.mara nahuza samaki

  • @MariamChando-sj2yh
    @MariamChando-sj2yh 4 місяці тому +1

    Ndoto viongoz wamekuja kusafisha uwanja wangu na wanataka kujenga shule

  • @pameladonald4100
    @pameladonald4100 8 місяців тому

    Ameeeeeeeeen Baba

  • @zohrazohra1051
    @zohrazohra1051 7 місяців тому

    Good

  • @javerymsangi2856
    @javerymsangi2856 2 роки тому +1

    Baba mchungaji mm nmeota watu wamekuja nyumban kusali jumuiya mama akawaletea chakula wali afu mm mchana sikula nikachukua chakula nilichobakishiwa ilikua ugali samaki ila samaki alikua nusu wakat tunakula kuna mdada jirani yangu akachukua kile kipande cha samaki na kumla nkaja kuona mifupa tu ndipo mama akaniletea kipande kingine cha samaki mtamu sana.samaki Hugo alikua amepikwa mbichi/mchemsho

  • @lucyjoseph4025
    @lucyjoseph4025 Місяць тому

    Mimi nimeota nimetoa samak kwenye friza nikawaeka sehem wapoe nikawafunika nikaondoka kwenda kibandani nikanunua tena walio kaagwa wa shilingi 4000 nikarudi nao nyumban ndoto hii inamaan gan?

  • @happinessmarato9845
    @happinessmarato9845 2 роки тому +1

    Mungu akubariki sana nimebarikiwa na maeleezo yako mungu azid kukupa maono

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  2 роки тому

      @Happiness Marato Barikiwa Sana pia na usisahau kuelezea wengine kuhusu hii channel.

  • @tumainimwakisile4855
    @tumainimwakisile4855 Рік тому

    Ubarikiwe mtumishi wa mungu.mimi niliota ndoto nimewachoma samaki wengi lakini hawako sehemu nzuri ya kibiashara. Nikamwambia mume wangu tubadilishe mazingira ili hao samaki wauzwe.Hii inamaanisha nini?

  • @kintusarah2948
    @kintusarah2948 Місяць тому

    Baba nimeota samaki wengi wamevulia wako nje ya maji na samaki mkubwa kutoka kwenye maji akaja akanipiga kiunoni

  • @kihilamasuke6976
    @kihilamasuke6976 Рік тому

    Mimi nimeota samaki wengi wamekufa wameoza na wengine wakinywa maji Kama wanaotaka kufa ila na wengine wazima kabisa ila nikaona watu wengi hospital wanakufa na wengine kutuka sehemu mbali mbali wanaletwa wamekufa nikabaki Mimi na vijana wengine Kama wanne hivi na pia hali ilikuwa mbaya Sana tukaambizana tusitoke nje

  • @giftmathias6344
    @giftmathias6344 4 місяці тому

    Mimi nlilala nikiwa na majonzi sana nlilia sana kabla ya kulala, then nkaota samaki wengi sana waliokaangwa

  • @ndayambajefikirini7252
    @ndayambajefikirini7252 2 роки тому +1

    Nimeota naonyeshwa viatu vya bouti vyeupe nikaonyeshwa na mtu ambae kishakufa ,alivijinasibisha mwenyew kwakuniambia kua niviatu vyake alikua ameviwekesha kwarafiki,nisaidie ndoto mchunaj

  • @ardnydiaofficial2778
    @ardnydiaofficial2778 3 місяці тому

    Nini Mana ya samaki ukiwaona wakoo sokoni niwabichi

  • @suzamsheinam2305
    @suzamsheinam2305 2 роки тому +1

    Bwana yesu asifiwe mimi nimeota nimekula fried fish inamanisha nini

  • @happinesssizya8118
    @happinesssizya8118 2 роки тому +1

    Kama umeota Kuna mtu anakuvulia samaki mbele yangu ila Mimi muhusika naogopa kuvua kwa mikono yangu je inamaana gani

  • @rahelybruchady8969
    @rahelybruchady8969 2 роки тому +1

    Asante baba mchungaji kwamaana ya ndoto hii maana hata Mimi nimekuwa naota samaki aliyekufa, ila pia naomba unipe maana ya kuota mtoto anakuja kwako bila kujua unamkuta ndani, au unakutana nae kazini, pia unakutana nae ukienda shopping lakini mtoto huyu anakuwa katika mazingira ya hatarishi yaani kunakuwepo nyoka. Nisaidie kujuo hii.

  • @mamaafrika1481
    @mamaafrika1481 Рік тому

    Nikweli kabisa

  • @hellenmwenda4971
    @hellenmwenda4971 2 роки тому +1

    Nimeota na nunua samaki wadogo wadogo wamepangwa mafungu nikanunua mafungu mawili wakukaanga nini maana yake

  • @terryadhiambo6905
    @terryadhiambo6905 Рік тому +2

    Mm nimeota Niki tupiwa mfupa ya samaki na mzazai mama Ina maana gani tena waki cheka wakiwa na ndugu zangu

    • @terryadhiambo6905
      @terryadhiambo6905 Рік тому +1

      Tafadhali n jibu tu aki nijue 😩😭

    • @terryadhiambo6905
      @terryadhiambo6905 Рік тому +1

      Tafadhali n jibu tu aki nijue 😩😭

    • @justinejustine4568
      @justinejustine4568 Рік тому +1

      Shalom mutumishi wa mungu mimi niliota naona samaki wako katika safuriya samaki wameshemuswa sikunjuwa mana yake tena iyo siku naota sombe ao kisavu nataka ninjuwe mana yake

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  Рік тому

      Terry Naomba nikiwa live uniandikie kwa comment nitakujibu . Kila siku saa tano kamili na saa mbili usiku.

  • @user-kj6lp7ue1u
    @user-kj6lp7ue1u 2 роки тому

    Pia mm kaka naota sana navua marangi ila sijui mahana

  • @rutinginyaneysam.5087
    @rutinginyaneysam.5087 2 роки тому +1

    Ooooh!! Niliota kaka mmoja alikua na samaki wengi kiasi lkn kukawa na kikwazo kiserikali so ikawa hao samaki hawez kuwamili watatupwa, ko mimi na wenzangu tukamshauli asimwage hao samaki atupe sisi tukale, hivyo mimi nikachukua samaki mkubwa zaidi ya wenzangu wote na wengine wachache na hao samaki walikua wamekufa hii inamanisha Nini???🙇

  • @PatrickMheni
    @PatrickMheni 3 місяці тому

    Mchungaji,mineota samakiwengi wamekaangwa,wazuri mafungu mawili nnimaansyake

  • @miriamsisanya7609
    @miriamsisanya7609 Рік тому

    Bwana asifiwe mchungaji mm nishawai ota nko chini ya maji na samaki wako juu yangu,nko chini nawatazama samaki wakiwa juu.ina maana gani.

  • @user-ze5be5ex4g
    @user-ze5be5ex4g 6 місяців тому

    Mimi nimeota naletewa samaki wengi sana wa aina tofauttifauti je inamaana GANI kuletewa samaki?

  • @user-kj6lp7ue1u
    @user-kj6lp7ue1u 2 роки тому

    Mchungaji mm naitwa Ruth mongare Kuna ndoto uanga inasumbua sana inarudia kila wakati kuhuzu maindi choma please. Maindi mbinchi ama ya kubanda Yani ndogo kwa shamba kweli inasumbua sana na ingine huyoga zile ndogondogo kila wakati naomba unitabuhuzilie please

  • @hellenmwenda4971
    @hellenmwenda4971 2 роки тому +1

    Tena nikaota mama amenipa samaki akasema nimechoka kazi zilikuwa nyingi kule baharini nikamuliza kwani wewe ndie uliye wavua akasema tumepewa kazi ya kuwa kusanya kwenye maji lakkini pesa walotulipa nikidogo sana nini maana yake nisaidie Mchungaji

  • @silvia5351
    @silvia5351 10 місяців тому

    Naukiota unakula samaki kukaangwa naupo kundi la watu wengi na mnakula pamoja na wengine kaondoka,unakuta kati yao unajua moja wao?

  • @SmilingDriftwood-ew5xt
    @SmilingDriftwood-ew5xt 4 місяці тому

    Naota nakula samaki kambale, maona samaki kambale kwenye tope, naona samaki kambale, napewa samaki kambale nini maana yake

  • @sarahbigirimna765
    @sarahbigirimna765 2 роки тому

    Muchungaji mim niliwaota samaki nikiwanunuwa sokoni walikuwa wengi napia kulikuwa nawatu wengi

  • @joyceshiyo7257
    @joyceshiyo7257 11 місяців тому

    Yani samaki alikuwa wangu sana kwakuwa na watoto ila kwenye kapur kubwaa

  • @adhyamboevalina2835
    @adhyamboevalina2835 Рік тому +1

    Nimeota na omena mangunia mingi Sana Kwa ngumba

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  Рік тому

      Ni baraka mungu ana enda kubariki kazi ya mikono yako. Weka bidii

  • @MaryYahu
    @MaryYahu Рік тому

    Mm nimeota nimeletewa Tenga ila anamimina akaniambia wameisha

  • @mbarikiwambarikiwa6479
    @mbarikiwambarikiwa6479 2 роки тому +1

    Nimeota ndoto ya samaki wengi wakiwa ndani ya gunia ila ni sato wadogo wadogo, ila ndani ya hao samaki kuna mmoja mkubwa ninamwambia mwanamke mmoja chukua hyo mpikie mumeo.
    Je maana yake nini, nisaidie nijue.

    • @hojamathias9989
      @hojamathias9989 2 роки тому +1

      Nimeiota pia hii ndoto leo Mungu tenda muujiza juu yangu

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  2 роки тому

      @hoja Mathias ndoto ya samaki ni baraka , utabarikiwa Hadi use baraka Kwa wengine.

  • @hojamathias9989
    @hojamathias9989 2 роки тому +1

    Naaamulu hizo pesa nizipate wakati ni sasa wa kupata 2 million pound

  • @pamelamwandemele5588
    @pamelamwandemele5588 2 роки тому +1

    Ubarikiwe pastor sasa huyu mtu anatokaje kwenye vita hi isio isha?

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  2 роки тому

      @Pamela ndumu Kwa maombi ukiharibu kila roho Ina pigana nawe, tumia mathayo 18:18-19 Kwa maombi , nautashinda.

  • @jenvenamaurne3645
    @jenvenamaurne3645 2 роки тому

    Mimi Kuna mama ypo kwenye familia ni mke wa mjomba Mara nyingi na mwota Mara anamtupa mtoto wngu Mara naota nampiga nini maanake

  • @AshaNansi
    @AshaNansi 8 місяців тому

    Nime ota nimevua samaki wengine nikawa namugawanyia rafiki lakini akasema amepata wake wengine pia nikabeba samaki wangu wengine nikaenda,je inamaanisha nini

  • @josephinesamweli3033
    @josephinesamweli3033 2 роки тому +1

    Nimeota nakimbizwa na samaki

  • @joshuasikaonga5698
    @joshuasikaonga5698 Рік тому

    Muchungaji bwana yesu asifiwe sasa mm mchungaji niliota watu wanauza samaki nn maana yake

  • @cosmakomba7772
    @cosmakomba7772 2 роки тому +1

    Naomba namba unayo tumia wasap

  • @ernestlameck5523
    @ernestlameck5523 Рік тому

    Mtumish je ukiota mko wawili halafu mwenzio akawa ana wavuatu wew unakosa je hii imekaaje?

  • @user-pt1xr3xf7t
    @user-pt1xr3xf7t 11 місяців тому

    Mimi adija niliota samaki akiwa hai nayuko ndani akizunguka kwenye ukuta wa nyumba ndani ilikuwa na maana Gani mtumishi

  • @alexjohn1479
    @alexjohn1479 2 роки тому

    Mchungaji Mimi nipo mwanza ila hua naota samaki Mara kwa mara Sana Leo nimeota samaki WA bichi sangara tuna wa andaa mimi na Mama yangu(aisha kufa) yani tuna watengeneza kwa ajili Ya kuapika tena ndoto ikanipeleka nipo sehemu kuna vijana wawili wanabanika samaki wengi Sana wakubwa tena nikaota kati Ya vijana hao mumoja wapo yupo ana parua SAMAKI Mkubwa Aina ya sato je Mchungaji hiyo ndoto ina maana gani

  • @DENISBWIREOFFICIAL
    @DENISBWIREOFFICIAL 4 місяці тому

    Ukiotaa una cheza gitaa ina manisha nini

  • @kaundimemussa9575
    @kaundimemussa9575 2 роки тому

    Asnte sn baba mchungaji mm nimeota navua samaki Niko na watt wadogo wakike kwa wanaume lkn samaki mmoja tumboni mwake kukawa na mwanaume amebeba taulo.kama anaenda kuoga.nn maana yake

  • @piliabdallah397
    @piliabdallah397 6 місяців тому

    Nimeota samaki ambepikqa nawaza jins ya kumpakua

  • @MaureenBarasa-q6o
    @MaureenBarasa-q6o 7 місяців тому

    Nn maana ya Kuona samaki mkubwa akimeza nyoka mkubwa katika ndoto

  • @elizabethjackson3865
    @elizabethjackson3865 Рік тому

    Baba mimi nimeota nakula dagaa na Ugal na Shangazi yangu na watoto wake tulikua kwenye mkusanyiko wawatu

  • @user-po8mn4gj5w
    @user-po8mn4gj5w 2 роки тому

    Niliota Niko sokoni na Uko Kila mtu anauza omena na samaki inamaana gani

  • @zuwena1zuwena114
    @zuwena1zuwena114 Рік тому

    Nakuomba unisaidie nimeota kachomwa vizuri na akamwagiwa tuwi halafu mtu akanyofua akanilisha pls na nikala na alikua mtam

  • @jenithandyetabula3805
    @jenithandyetabula3805 Рік тому

    Mi nimeota nanunua samaki wanene aina ya Sato, walikuwa wazuri mpaka rafiki yangu akawatamani kuliko wa kwake

  • @esthermomanyi4516
    @esthermomanyi4516 Рік тому

    Ndoto when selling samaki

  • @jasminisharifu7446
    @jasminisharifu7446 Рік тому +1

    Nimeota nawatoa Samaki sehem za siri mithiri ya kama papa hv wakubwa wakubwa wa 4 nini maana yake

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  Рік тому

      ua-cam.com/users/livepQc-BsQaGfA?feature=share

    • @PrincePajero-hv8qe
      @PrincePajero-hv8qe Рік тому

      Mchungaji mimi nimeota kuna mtu kaangusha samaki nikamuuita aloangusha aje kuchukua hakuja yeye wakaja watoto nikawapa wakapike na mimi nikachukua

    • @PrincePajero-hv8qe
      @PrincePajero-hv8qe Рік тому

      Mchungaji maana yake nini

  • @severaminja7406
    @severaminja7406 Рік тому

    Kuota kuna mtu amekaanga samaki anafanya biashara anachukua samaki mkubwa anakugawia nusu yake

  • @stanleymathias2529
    @stanleymathias2529 2 роки тому

    Nimeota natoa samaki wengi kwenye shimo wengi sana

  • @azizamichael2861
    @azizamichael2861 9 місяців тому

    Mtumishi mimi nimeota nimepewa samaki nitengeneze ili niwakahange nini maana yake

  • @ndayambajefikirini7252
    @ndayambajefikirini7252 2 роки тому +1

    Nakuomba tafsiri hizi:shemeji yangu kaota ananywolewa ndevu na nywele zakichwa,pia alikua na mtoto akanyolewa nywele.

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  2 роки тому +1

      @Ndayambaje Fikirini , karibu Sana na ujiunge nami saa mbili kamili, masaa mawili kutoka sasa nitakuwa live na nitakupa jibu nikiwa live . Na kumbuka ku subscribe Kwa hii channel

    • @ndayambajefikirini7252
      @ndayambajefikirini7252 2 роки тому +1

      Shukran

    • @mariamumakala6146
      @mariamumakala6146 Рік тому +1

      Uchawi huo

  • @happyjohn7630
    @happyjohn7630 Рік тому

    Na Nilikuwa kiwanili watu wanisaidie tuwabanike kweny moto

  • @violetkazira6092
    @violetkazira6092 Рік тому

    Mimi nimeota samaki mkumwa akitabika samaki wadogo

  • @SabinaPaschal-el1vf
    @SabinaPaschal-el1vf Рік тому

    Mimi nimeota samaki wengi sana wakiwa kwenye bwawa

  • @cchareskyaromwita9731
    @cchareskyaromwita9731 Рік тому

    Nimeota nikokwenye bwao kubwa nakamata kambare

  • @joyceshiyo7257
    @joyceshiyo7257 11 місяців тому

    Nimeota mtu kanipa samaki wawili

  • @euniceorao2732
    @euniceorao2732 11 місяців тому

    Nimeotea dagaa mingi

  • @estermwima8810
    @estermwima8810 Рік тому

    Nime.ota.wazimu.akiwa.amefungwa.kambo

  • @abdallahyazidu6347
    @abdallahyazidu6347 Рік тому +1

    Mimi huwa naota nirudishwa kwenye kazi yangu ya zamani na hii ndoto imejirudia mara nyingi sana hii inamaanisha nini

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  Рік тому

      Angalia maana yake hapa nimetafsiriua-cam.com/users/live0q7ieLLmqms?feature=share

  • @rebeccakoina
    @rebeccakoina 2 роки тому +1

    Amen

  • @irenegervas9319
    @irenegervas9319 5 місяців тому

    Amen

  • @buhitexmohamed4785
    @buhitexmohamed4785 Рік тому

    Amen