KUOTA UNAKULA MAHINDI AMA KUONA MAHINDI KWA NDOTO INA MANISHA NINI?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • Join this channel to get access to perks:
    / @revpeternjihia
    Katika channel hii, huwa ninakusaidia kujua nini maana ya ndoto zako nikitumia misingi ya Bibilia Takatifu. Subscribe na ubonyeze Kengele ya Notification ili uzipate video zangu pindi ninapoenda live. Pia ukitaka kuwa wa msaada kwa huduma hii kupitia matoleo unaweza nipigia simu kupitia/Whatsapp 0706945821

КОМЕНТАРІ • 105

  • @MariamKisoma
    @MariamKisoma 9 місяців тому +3

    Ameeeeen barikiwa sana mtumishi wa Mungu aliye hai

  • @nabirabakary4209
    @nabirabakary4209 Рік тому +2

    Mimi ni muislam lakin Mchungaji nakukubali sana tafsir zako hazina mba mba mba ni ukweli mtupu ❤

  • @esterlyanga26
    @esterlyanga26 Рік тому +4

    Nashkuru sana pastor kwa mafundisho yako mazuri, nabarikiwa sana, be blessed pastor

  • @dorahalfayo355
    @dorahalfayo355 2 місяці тому

    Amen amen. Mtumishi wa Mungu

  • @bettymariga
    @bettymariga Місяць тому

    Amen napokea in the might name of jesus christ

  • @JudithWanyonyi-cp6mq
    @JudithWanyonyi-cp6mq Місяць тому

    Amen amen amen uparikiwe mjungaji unanijenga kiroro

  • @irenemwanri3023
    @irenemwanri3023 Рік тому +2

    In the Name of Jesus increase my seed of blessings and greatness within me.Thank you Jesus I'm great.!!

  • @TehsHdhdh-lm3ow
    @TehsHdhdh-lm3ow 3 місяці тому

    Amen I receive in Jesus name amen 🙏🙏🙏🙏

  • @nyambochristelle7640
    @nyambochristelle7640 Рік тому +1

    Yaani pastor unaongelea mimi tu hapa🙏ubarikiwe saana🙏🙏🥰

  • @sophiashatiba5005
    @sophiashatiba5005 4 місяці тому

    Pole sana mtumishi wa mungu kwa msiba mungu kupea guvu

  • @gloriarimba4080
    @gloriarimba4080 11 місяців тому

    Amina🙏,,nmejibika ndoto yangu ya mahindi na nmeelewa kiundani thank postor🎉🎉

  • @VirginiaMusembi-l7m
    @VirginiaMusembi-l7m Місяць тому

    Amen

  • @SelestineNgongesa
    @SelestineNgongesa 5 місяців тому +1

    Amen l receive

  • @JudithWanyonyi-cp6mq
    @JudithWanyonyi-cp6mq 2 місяці тому

    Amen amen amen

  • @NivardWilla
    @NivardWilla 6 місяців тому

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu nimefunguka channel hii kwa mara ya kwanza lakini naona ndoto zote mbili kuvuna wakati mwingine nimeonyeshwa nakula mahindi
    mwamba ukitoa chemichemi ya maji nisaidiwe mtumishi

  • @sophias3334
    @sophias3334 Рік тому

    Amen 🙏🙌🙌 muchungaji napenda mafundisho yako nadan mungu anasaba nami acha mbegu imee ndan yangu

  • @user-kt2rj5hm3s
    @user-kt2rj5hm3s 2 місяці тому

    Amen 🙏🙏🙏

  • @RamaLove-rt7if
    @RamaLove-rt7if 10 місяців тому +1

    Pastor Mimi nimeota navunja mahindi shambani ,lakini Hindimoja liliwekwe pesa nyingi sana

  • @missj7826
    @missj7826 8 місяців тому

    Amen 🙏🙌👏I receive in JN

  • @Rasoa-n1q
    @Rasoa-n1q 8 місяців тому

    Nakupata vizuri

  • @MariyumaHosssam
    @MariyumaHosssam 11 місяців тому

    Amen Amen Amen Amen Amen Amen mi nimeota na kula mahanadi na watoto wangu

  • @AMINASAIDI-mx7rs
    @AMINASAIDI-mx7rs 11 місяців тому

    Amina

  • @HalimaCharles-kn3xb
    @HalimaCharles-kn3xb 7 місяців тому

    Amiina

  • @magrethmicheal4663
    @magrethmicheal4663 4 місяці тому

    AMEN 🙏

  • @elizabethjackson3865
    @elizabethjackson3865 Рік тому +1

    Amen Amen pastor umeongea ukweli

  • @happpyfuraha
    @happpyfuraha Рік тому +2

    Amen mtmish mm niliota nimepend mahindi shmbni

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  Рік тому +2

      ua-cam.com/users/liveWQrReL6dVTs?feature=share

  • @brendam5516
    @brendam5516 2 місяці тому

    Mimi nimeota Jana nimeenda kupanda maindi Kwa neiba wetu natulikuwa watu wengi Hila mm nikasema siwezi nikamwaga mbolea nikaingia nikaanza kupanda maindi at the same time Kuna jirani yetu alifariki kitambo Hila nimeona tuko kwake na tuko wengi sana wamepika chai na wameweka Kwa Lita kumi Kuna msichana wake akamwaga Kwa sufuria na watu walikuwa chungu mzima sijui inamanisha nn mtumishi wa mungu

  • @joycemugide
    @joycemugide Рік тому

    Niliota nikipima mahindi Mimi naitwa Joyce Mugide na ninashukuru sana mtumishi wa Mungu umenisaidia sana

  • @mebo.muchika3667
    @mebo.muchika3667 Рік тому

    Ameeeen

  • @fatumamlula4484
    @fatumamlula4484 10 днів тому

    Mtumishi nimeona watu wanavuna mahindi mengi sana Nini maana take nn?

  • @divinahkemunto9056
    @divinahkemunto9056 Рік тому

    Amen,Leo pastor nmeota na mahindi mbichi yaan fresh

  • @dafrozaaaron5817
    @dafrozaaaron5817 Місяць тому

    JE KUOTA UNAENDESHA GARI??

  • @nairathamad2584
    @nairathamad2584 Рік тому

    Twende kweny point

  • @rahmamsagati9231
    @rahmamsagati9231 Рік тому

    Kweli paster mm nimeota nko kwa shamba navuna mahindi iko rangi ya kijani mahindi yalikuwa mazuri sana

    • @richardndegese1448
      @richardndegese1448 9 місяців тому

      Unaenda kupata baraka kubwa kwa kazi unayoifanya

  • @FadhilJuma-xz5sr
    @FadhilJuma-xz5sr 5 місяців тому

    Mtumishi wa mungu Mimi niliota mahindi choma lakini ilikua unauzwa lakini mm nilipo kula sikulipa inamanisha nn

  • @ZawadiBenjamin
    @ZawadiBenjamin 2 місяці тому

    Nin maana ya kuota unga wa mahind

  • @NancyKwamboka-b3z
    @NancyKwamboka-b3z Рік тому

    Mm nliota mahindi iko kwa Shamba langu na mahindi zenyewe ni nono, mrefu yaani zimeiva kweli kweli. Pia na hapo hapo nikaona migomba za ndizi pia zimeiva hadi zingine zimevunjika lakini hazikuwa zimekomaa sana, nikakata moja yenye ilikuwa karibu kukomoa nikauza.

  • @KIJANAPONZEE
    @KIJANAPONZEE Рік тому

    Morning mtumishi wa mungu nisaidie hapa kwa hii ndoto niko na mara mbili nikiota na nzile insect nyeusi sijui jina nzikiwa zapepa mchwa nyingi sana nikipita juu na haziniumi mara ya pili naota nazo tena zimepepa mchwa zikitokea kwa ukuta mahari nafanya kazi hio inamaanisha nini naoba unifafanulie pastor

  • @naomongwenyi2865
    @naomongwenyi2865 Рік тому +2

    Mtumishi wa mungu mimi niliota my cousin mwenye hatujakuwa in good terms for a long time akinipea mahindi nipeleke kisiagi tena akanipea 100 akaniambia kama nachukua 100 siwezi chukua mahindi so sielewi inamaanishaje

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  Рік тому

      ua-cam.com/users/livepQc-BsQaGfA?feature=share

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  Рік тому

      ua-cam.com/users/livepQc-BsQaGfA?feature=share

  • @bernadettewamunzira9693
    @bernadettewamunzira9693 Рік тому +3

    Jambo papa Pasteur, leo nimeota niko na mama yangu,mama yangu ameshaga fariki,sasa nikamuota iko nashamba kubwa la maindi yenye yamesha komaa,sasa nikaona watu wanakuja kuchuma,nikawa namwambia mama kwa nini unaluusu wachume wenyewe ,nikamwambia wachumiye tatu 3 tu ili nawengine wapate,akawa ameitika,nikaona ni mechemusha maindi yakaiva nikachukuwa nikaanza kula,pakawa mama umoja alikuwa na mwanahe walikuwa wakisubili mama awape maindi,sasa saa wameona maindi yangu yameiva vizuri wakayatamani.naomba unambiye nini maana yake?

  • @goodrichzumu8793
    @goodrichzumu8793 Рік тому

    Amen pastor maana leo nimeota nmepewa maindi yakuchoma na rafki yangu nile

  • @shukranisibale1739
    @shukranisibale1739 Рік тому

    Amen mtumishi

  • @abelubamba7409
    @abelubamba7409 Рік тому

    Mungu anisaidie,nimekosa mimi,nimekosa sana

  • @RehemaAllyMsindi
    @RehemaAllyMsindi 7 місяців тому

    Kuota nataka kupewa mahindi mabichi Yako shambani ila mke wake anakataxa anasema hayajakomaa ila mume anasema yamekomaa anachuma ila nikashituka naona binyonga jian watatu

  • @SharonOlwal-p8n
    @SharonOlwal-p8n 6 місяців тому

    Na ukiota uko kishiagi

  • @stellamwali1848
    @stellamwali1848 Рік тому

    ❤ashate Mitumishi nimepata akajibu ya doto zangu about nduma

  • @elizabethmoh5049
    @elizabethmoh5049 Рік тому

    Amen mm nimbegu ya mungu

  • @Rasoa-n1q
    @Rasoa-n1q 8 місяців тому

    Pastor mimi nilota niko kwa shamba kubwa ya Mahindi na imekauka so natafuta Ile ya kuchoma

  • @nyambochristelle7640
    @nyambochristelle7640 Рік тому

    Amen paster

  • @kaninimuindi-dl7zs
    @kaninimuindi-dl7zs Рік тому

    Pastor naukiota ukikula mihongo yaani eating cassava for 3times inamaanisha aje

  • @JosephinaSamwel
    @JosephinaSamwel 4 місяці тому

    Mchungaji nimeota ndoto nimejinyea mbele zawatu

  • @shadrackbirgen1398
    @shadrackbirgen1398 Рік тому

    mimi naitwa alice chemtai,niliota ndoto rafiki wa mumewangu akinipea mahindi mchamsho viwili lakini sikukula

  • @user-ho4ky7ej5e
    @user-ho4ky7ej5e Рік тому

    Mm nimeota panya ninataka kumcho akakimbia

  • @SharifuSimba
    @SharifuSimba 8 місяців тому

    Pasta nimeonta nime kata naindi shambani nika mpa mke wangu Achome Nini maana yake

  • @justina9279
    @justina9279 7 місяців тому

    Nilikuwa job nikaputwa,niliota kama nimeenda kwa boma yao,nikapata kuna matanga,mama akasema anisipitie kwa njia ile watu upiitia akanionyesha njia nyingine,,

  • @edithmideva
    @edithmideva 4 місяці тому

    Mi nliota napea mtu mahindi mbichi

  • @rutaindukasongoro6583
    @rutaindukasongoro6583 6 місяців тому

    Kuota mtu anaanika mahindi

  • @salahmringi-gz9dw
    @salahmringi-gz9dw Рік тому

    Mtumishi Mimi nimeota nanyeshea mahindi inamaana gani?

  • @rahmamsagati9231
    @rahmamsagati9231 Рік тому

    Je ukiota na mahindi yaliopikwa

  • @user-uj6jp8oy8i
    @user-uj6jp8oy8i 6 місяців тому

    Mimi nimeota nime mumuwa mahidi ya kuchoma

  • @user-hx1sj2rr6f
    @user-hx1sj2rr6f 6 місяців тому

    ukiota unanunua bt uko na pesa 1000 huyo mwenye anausa ana cheje bt unaenda na mahindi dio utamuriba badaye nini

  • @Hotjoy-mt2vl
    @Hotjoy-mt2vl Рік тому

    Niliota Na mahidi ikiwa kwamangunia mengi sana nanilikua kwa soko

  • @ReginaAtilio
    @ReginaAtilio 6 місяців тому

    Kuota huna nguo upo uchi afu unaomba nguo

  • @everlinekisache6976
    @everlinekisache6976 Рік тому +1

    Jana niliota nilikua kwa shamba ya mahindi na napenda kuota hii ndoto sana

  • @MarylineAmina
    @MarylineAmina 10 місяців тому

    Ukiota unakula mahindi n maharage huamanisha nn

  • @RehemaAllyMsindi
    @RehemaAllyMsindi 7 місяців тому

    Kuota binyonga barabarani 3

  • @NancyKwamboka-b3z
    @NancyKwamboka-b3z Рік тому

    Number uako ya WhatsApp Pastor

  • @user-vv9yh3dn5q
    @user-vv9yh3dn5q 11 місяців тому

    Ireceive

  • @edithmideva
    @edithmideva 10 місяців тому

    Niliota nachoma mahindi

  • @Aaa-vs8dr
    @Aaa-vs8dr Рік тому

    Bwana asifiwe mmi nishabiki mgeni ukiota wapepeta mahindi fresh lakini upate yote nipolofu tembe tatu tuu nduo ni nzima yamanisha nni na nyengine nikaona watu waponda mahindi wakiyamwaga juwani nawengine wanapepeta alafu wananiuliza mimi wayatie wapi yale ambayo wameyapepeta mimi nikawaambia wayatie katika kikapu cha mtoto wangu hii nato yamanisha nni

  • @elizabethmoh5049
    @elizabethmoh5049 Рік тому

    Ata unaongea na mm

  • @NancyKwamboka-b3z
    @NancyKwamboka-b3z Рік тому

    Na ukiota na ndizi mbichi shambani hadi zingine zimevunjika alafu nikamjuma Mmoja nikauza ina maana gani Pastor?

  • @dorcaswawira6096
    @dorcaswawira6096 Рік тому

    Niliota Jana usiku nikipeleka mahindi kusaga lakini sikuwa na pesa ya kulipa kwa kisiagi ndugu mdogo wa mama yangu(uncle) akanipa shiringi ishirini nikasagie

  • @sophiajacksonjacksonmeshac1468

    Nimetoa nimebeba mahindi kwa ungo nimeendakupukuchulia kanisani ili nitoe mchango sjui nn maana yake

  • @hamadkhalfan6529
    @hamadkhalfan6529 Рік тому

    Nimeota nachoma mahindi na marafiki yangu

  • @Joyyyyyjoy-yo3jj
    @Joyyyyyjoy-yo3jj 6 місяців тому

    Amen

  • @teresiajumwaamosteresiajum7667

    Amen Amen 🙏🙏🙏🙏

  • @khaledotibi3706
    @khaledotibi3706 11 місяців тому

    Amen Amen

  • @gloriarimba4080
    @gloriarimba4080 11 місяців тому

    Amen🙏

  • @mamaafrika1481
    @mamaafrika1481 Рік тому

    Amiin 🙏🙏

  • @njokiissa1271
    @njokiissa1271 Рік тому

    Ameen 🙏

  • @NancyKwamboka-b3z
    @NancyKwamboka-b3z Рік тому

    Mm nliota mahindi iko kwa Shamba langu na mahindi zenyewe ni nono, mrefu yaani zimeiva kweli kweli. Pia na hapo hapo nikaona migomba za ndizi pia zimeiva hadi zingine zimevunjika lakini hazikuwa zimekomaa sana, nikakata moja yenye ilikuwa karibu kukomoa nikauza.

  • @nolascomashelle6838
    @nolascomashelle6838 6 місяців тому

    Amen

  • @VictoriaKuboka
    @VictoriaKuboka 8 місяців тому

    Amen

  • @irenearisa8123
    @irenearisa8123 10 місяців тому

    Amen

  • @Jane-hi8kh
    @Jane-hi8kh 9 місяців тому

    Amen

  • @semenkukulakime2019
    @semenkukulakime2019 Рік тому +1

    Amen

  • @TraylineVera-vj9in
    @TraylineVera-vj9in 11 місяців тому

    Amen

  • @AgnesJambi-z8p
    @AgnesJambi-z8p Рік тому

    Amen

  • @user-wk2ot2nv7d
    @user-wk2ot2nv7d Рік тому

    Amen

  • @margretmuasya6762
    @margretmuasya6762 7 місяців тому

    Amen 🙏🙏🙏

  • @abelubamba7409
    @abelubamba7409 Рік тому

    Amen

  • @MachokiMakindi-fq6sf
    @MachokiMakindi-fq6sf Рік тому

    Amen

  • @janneferisaya83
    @janneferisaya83 9 місяців тому

    Amen 🙏

  • @lastbornpurity
    @lastbornpurity Рік тому

    Amen

  • @jackysally7349
    @jackysally7349 Рік тому

    Amen 🙏🙏🙏

  • @NancyKwamboka-b3z
    @NancyKwamboka-b3z Рік тому

    Mm nliota mahindi iko kwa Shamba langu na mahindi zenyewe ni nono, mrefu yaani zimeiva kweli kweli. Pia na hapo hapo nikaona migomba za ndizi pia zimeiva hadi zingine zimevunjika lakini hazikuwa zimekomaa sana, nikakata moja yenye ilikuwa karibu kukomoa nikauza.

  • @magdalinamwikali7251
    @magdalinamwikali7251 Рік тому

    Amen 🙏

  • @NancyKwamboka-b3z
    @NancyKwamboka-b3z Рік тому

    Mm nliota mahindi iko kwa Shamba langu na mahindi zenyewe ni nono, mrefu yaani zimeiva kweli kweli. Pia na hapo hapo nikaona migomba za ndizi pia zimeiva hadi zingine zimevunjika lakini hazikuwa zimekomaa sana, nikakata moja yenye ilikuwa karibu kukomoa nikauza.