NDOTO UNAONA MIGUU YAKO AU YA MWINGINE INA MAANISHA NINI?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • Katika channel hii, huwa ninakusaidia kujua nini maana ya ndoto zako nikitumia misingi ya Bibilia Takatifu. Subscribe na ubonyeze Kengele ya Notification ili uzipate video zangu pindi ninapoenda live. Pia ukitaka kuwa wa msaada kwa huduma hii kupitia matoleo unaweza nipigia simu kupitia/Whatsapp 0706945821

КОМЕНТАРІ • 55

  • @dorothymoshy1920
    @dorothymoshy1920 Рік тому +3

    Kweli inasikitisha, Yesu hujawahi kushindwa,Yesu tenda muujizaaaaa.

  • @EMMAHMOKAYA
    @EMMAHMOKAYA 2 місяці тому +1

    Amen

  • @gracengairo6214
    @gracengairo6214 2 місяці тому

    Amina ubalikiwe nakufatilia sana baba

  • @KeruboIrene1333
    @KeruboIrene1333 7 місяців тому +1

    Long time mtumishi 👋 peace be upon you 🙏
    Nimeota mguu ila sio wangu
    Aunt yangu ana kidonda kwa mguu,,amefuliza 1k aende hos, amefika hos wanaitaji 4 k.so hakutibiwa

  • @esthernzisa877
    @esthernzisa877 Рік тому +1

    Asante mtumishi umenisaidia, mi nilikua naosha kichwa na minguu

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 9 місяців тому +1

    Asante mtumishi wa Mungu

  • @sharifahairstyles602
    @sharifahairstyles602 11 місяців тому +1

    Ubarikiwe sanaa

  • @LucyMalingumu-xb2vp
    @LucyMalingumu-xb2vp Рік тому

    Asante mtumishi nimeota naosha uso,mikono,na miguu nikapaka mafuta nikabadili na nguo

  • @lilylekulelilylekule5242
    @lilylekulelilylekule5242 Рік тому +1

    Amen Father .Mungu akatende🙏nimeota namsugua mtu miiguu.

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  Рік тому

      ua-cam.com/users/livemS387K8O5Wo?feature=share

  • @irenemwanri3023
    @irenemwanri3023 Рік тому +1

    Asante Mungu nashukuru kuwa tuko na afya ni kwa neema tu

    • @veronicanaaly2441
      @veronicanaaly2441 Рік тому

      Bwana yesu asifiwe mtumishi mimi nimeota mguu wangu umepigwa shoti na mwanaume ambae sijui baadae akakimbia nini maana yake

  • @saidimafu9524
    @saidimafu9524 Рік тому +1

    AMINA

  • @filomenaemmanuel14
    @filomenaemmanuel14 14 днів тому

    Mimi nimeota mguu wangu moja umevunjika natembelea bandia

  • @EsterEmanueljelly
    @EsterEmanueljelly Місяць тому

    Nilitoa visigino vyangu vime0asuka sehemu tatu kila Mguu inamaa Gani mtumishi

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 Рік тому

    Amina

  • @SulymanAbdul-ko1wu
    @SulymanAbdul-ko1wu 4 місяці тому +1

    Unatusaidi

  • @VeronikaNchingu
    @VeronikaNchingu 7 місяців тому

    Mchungaji mimi nimeota mguu wangu wa Kalia umevunjika na nimefungwa bandeji

  • @jacklinibrahim8805
    @jacklinibrahim8805 Рік тому +1

    bwana yesu asifiwe Mimi nimeota niguu yangu haina nguvu kusimama hadi mtuanishike mkono ndo nitembee

  • @euniceorao2732
    @euniceorao2732 Місяць тому

    Niliota sister yangu ameketi kati kati ya miguu ya mtu mwingine

  • @elitrudakashuku7404
    @elitrudakashuku7404 Рік тому +1

    pia nimeona katika ndoto, nazima gari letu ila baba mkwe akanicheka na kuondoka nalo

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  Рік тому

      Omba sana kuna jambo una onyeshwa litatokea baya sana na ukataye maisha ya shida na kejeli maishani

  • @tinaagnes2301
    @tinaagnes2301 10 місяців тому +1

    Leo nimeota natangezwa miguu yani natengezwa kucha kusafishwa

  • @idayagicheha
    @idayagicheha 8 місяців тому +1

    Mimi nimeona miguu lakini sijaona mwili nasiyangu

  • @Fidelanna
    @Fidelanna 2 дні тому

    Ukiota unakatwa magamba na kisu

  • @graceanthony-nk1xf
    @graceanthony-nk1xf 6 місяців тому

    Niliota miguu yangu imeshindwa kutembea kwa kasi baada yabinti mmoja kunishika mkono ili aniongoze twende sehemu nyingine haikuweza ata kupiga hatua😢nilijiforce lalkn sikuweza kusogeza kabsa miguu yangu maana nigafura tu ilikuwa mizito haimove maana ake nini

  • @NeemaMwedadi-s8j
    @NeemaMwedadi-s8j 6 місяців тому +1

    ukiota umesimama afu unageuka unaona kama mtu anaucora unyayo wako ina maana gani pastor

    • @AnneNdabila-uv2qh
      @AnneNdabila-uv2qh 3 місяці тому

      Asante sana mtumishi wa Mungu, ubarikiwe sanaaa

  • @magrethpanga2062
    @magrethpanga2062 Рік тому

    BWANA yesu asifiwe mtumishi wa MUNGU,nimeota nimekuwa mrefu pia ni mevaa viatu virefu nilikuwa naongea na mtu lakini alikuwa mfupi maana yake Nini?

  • @sophiajacksonjacksonmeshac1468
    @sophiajacksonjacksonmeshac1468 3 місяці тому

    Nimeota naona nyayo za mtu yaan alipopita nn maana yake

  • @bintimbuto5740
    @bintimbuto5740 Рік тому +1

    Je ukiona kumbi kumbi wengi iyo inamahana ngani?

  • @zaifatynyangarika8287
    @zaifatynyangarika8287 11 місяців тому

    Aposto mimi nimeota nimepigana na mwanamke kisha nikampiga hadi alishidwa kuamka nika chukua nguo yake nikaikatakata na mkasi but na yeye alinichanja kwenye kisikuno cha unyayo nini maana yakee please

  • @hellenmwenda4971
    @hellenmwenda4971 Рік тому +1

    Niliota sio mara moja naosha miguu yangu

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  Рік тому +2

      Hiyo ni mamlaka na utawala maishani, unaenda kubarikiwa

  • @bintimbuto5740
    @bintimbuto5740 Рік тому +1

    Je ukiota umemwangiwa damu munguuni Alafu mtu mwengine akakuosha na mate yake na iyo mate ikawa kama sabuni namaji iyo inamahanisha nini?

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  Рік тому

      Kuna mtu mungu atamleta akusaidie maishani hila usidharau namna atatumia kuwa wa baraka kwako

  • @lydiamajura8503
    @lydiamajura8503 10 місяців тому

    Yohana 13:1

  • @tiiiiiiiii
    @tiiiiiiiii Рік тому +1

    Dady naomba nitafute NAHITAJI unisaidie

  • @elitrudakashuku7404
    @elitrudakashuku7404 Рік тому +1

    pastor, nimeota naenda kuteka maji na mama yangu

  • @marthaadammakatobemwakatob4246
    @marthaadammakatobemwakatob4246 4 місяці тому

    Kuota miguu imekanyaga damu

  • @wardaomary2997
    @wardaomary2997 Рік тому

    Nimeota nasuuza miguu bombani

  • @perisndiritu4841
    @perisndiritu4841 Рік тому +1

    NA UKIOTA UKIONA MTU AMEFUJIKIA MGUU KWA SHAMBA LAKO

  • @mareh18
    @mareh18 10 місяців тому

    Na ukiota miguu yako iko na crakes

  • @besty8152
    @besty8152 Рік тому +1

    Niliota miguu yangu ikiwa na mawhite

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  Рік тому +1

      Kuna hatua utachukwa maishani na kile utafanya kitabarikiwa

    • @akbaslismh9874
      @akbaslismh9874 Рік тому

      Niliota nanawa miguu na maji bombani

    • @cecychaaz1434
      @cecychaaz1434 10 місяців тому

      @@revpeternjihia baba nimeota mguu wa mwanangu amevaa kobe yan mguu wake umebadillika umekua kobe pia anavidole vingi lakin haogop ila mm nahofu sn hapo hapo natoka njee naona kuna msiba jiran ila wanalazimisha walete kwetu bas police wakawa wanawarudisha wakae sehem husika nimekua nikiota misiba mfurulizo kwa jiran zangu ila sion jenez naogopa

  • @Agnesmkenda
    @Agnesmkenda 12 днів тому

    𝑀𝑚 𝑛𝑖𝑚𝑒𝑜𝑡𝑎 𝑦𝑎 𝑚𝑤𝑒𝑛𝑔𝑛𝑒 ℎ𝑎𝑤𝑎 𝑤𝑒𝑧𝑖 𝑘𝑢𝑡𝑒𝑚𝑏𝑒𝑎 𝑤𝑒𝑛𝑔 𝑠𝑎𝑎𝑎𝑛𝑎 𝑙𝑎𝑘𝑖𝑛 𝑚𝑚 𝑛𝑎 𝑟𝑎𝑓𝑖𝑘𝑖 𝑦𝑎𝑛𝑔𝑢 𝑡𝑢𝑘𝑎𝑤𝑎 𝑡𝑢𝑛𝑎 𝑡𝑒𝑚𝑏𝑒𝑎 𝑖𝑙𝑎𝑎 𝑤𝑎𝑛𝑎𝑓𝑢𝑛𝑧𝑖 𝑤𝑒𝑛𝑔𝑖 𝑤𝑎𝑛𝑎 𝑡𝑎𝑚𝑏𝑎𝑎 ℎ𝑎𝑤𝑎𝑤𝑒𝑧 𝑘𝑢𝑡𝑒𝑚𝑏𝑒𝑎 𝑚𝑎𝑎𝑛𝑎 𝑦𝑎𝑘𝑒 𝑛𝑛

  • @margaretnyakio7498
    @margaretnyakio7498 11 місяців тому +1

    Amen amen

  • @ChristinaMayanga
    @ChristinaMayanga Рік тому

    Amina