Sifa Nzuri Nne Kuhusu Kuota Na Nyoka

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 38

  • @MmeMke-b9n
    @MmeMke-b9n 18 днів тому

    Asante sana pastor

  • @HalimaIdrissa
    @HalimaIdrissa 5 місяців тому +1

    Bwana yesu Asifiwe mchungaji nimeota nyoka wa kijani pia kenge wa kijani naomba kujua inamanisha nini

  • @MmeMke-b9n
    @MmeMke-b9n 18 днів тому

    Naombo unifafanurie ndoto ya kuona unapambana na watu wenye silaha aina ya pistor,nitafurahi sana mkinisaidia pastor

  • @macrinerchafu
    @macrinerchafu 2 місяці тому

    Ubarikiwe,baba nimefunguliwa

  • @RebeccaAkiruLokui
    @RebeccaAkiruLokui 7 місяців тому

    Mungu akubariki mchungaji. Mimi kwa hii mwezi wa pili niliota chatu nusu ikipita Mbele yangu. Tafadhali, naomba unitasfusirie.

  • @MildredShinali
    @MildredShinali Рік тому +2

    Napenda sana mafundisho yako mtumishi wa mungu

  • @MmeMke-b9n
    @MmeMke-b9n 18 днів тому

    Mimi Erasto from Dar es salam

  • @violetmmbaga3761
    @violetmmbaga3761 2 місяці тому

    Amen

  • @dorcasobanya
    @dorcasobanya 5 місяців тому

    miguu yaku iwe kama ya kurungu amina 🙏🙏🙏🙏

  • @ReginaAtilio
    @ReginaAtilio 10 днів тому

    Mm nimeota nyoka shambani kwetu mweusi mkubwa akaanza kunikimbiza akaning,Ata mdomoni akaingia mwilini mwangu

  • @jenniferurasa7439
    @jenniferurasa7439 11 місяців тому

    Ipo good saut

  • @Joyyyyyjoy-yo3jj
    @Joyyyyyjoy-yo3jj 9 місяців тому +1

    Ameen

  • @MariyumaHosssam
    @MariyumaHosssam 11 місяців тому +1

    Ameni mtumishiii minimeota nimeumwa na nyoka mguu wa kulia nini maana yakeee

  • @charleswesley894
    @charleswesley894 Місяць тому

    Nimeota nimeuwa nyoka tano nabaadaye nikawachoma nanikawala sijui inamaanisha nini?

  • @floramochiwa572
    @floramochiwa572 Рік тому +1

    Shalom Mtumishi
    Jana nimeota rafiki yangu laleta nyoka na nyoka akaingia mwilini kwangu. Nini maana yake.

  • @ShidaMjovella
    @ShidaMjovella Місяць тому

    Naomba namba ya simu

  • @NatashaChebukati
    @NatashaChebukati 10 місяців тому

    @RevPeter Mimi nimeota mwezi umoja uliopita nakimbizwa na nyoka nikakimbia kwa nyumba then nikatoka kama Niko na kichwa cha nyoka kwa mkono na mwili wako naubeba kwa mabega.
    Ila mwaka jana nilipitia mambo mengi sana adi nikaama place nilikua naishi na nilikua naota nyoka sana ikinikimbiza na watu wengi kunikimbiza.
    Naomba usaidizi ya maana

  • @ElizabethMwandolela-ti8ik
    @ElizabethMwandolela-ti8ik 17 днів тому

    Mchungaji nimeota nimemshija nyoka kichwa chake na mkia nimemtoa ndani nikamakusha njee sijui inmaana gani

  • @irinenanciebarasa5566
    @irinenanciebarasa5566 Рік тому

    Bwana YESU asifiwe mtumishi wa MUNGU Leo mm nimeota ndoto ya nyoka alikua anatembea kwa room ya mum mkubwa....nyoka huyo sijaona nyoka mkubwa Kama huyo

  • @coka164
    @coka164 7 місяців тому

    Mm nmeota nyoka anatuchimbia sehemu ya kujificha na alikua ni nyoka wa kuogofya ajabu

  • @DoreenEmmanuel-ed2xv
    @DoreenEmmanuel-ed2xv 4 місяці тому

    Mimi naotaga nyoka chatu ananiambia mwilini,mara nimemeza nyoka namtapika

  • @ritalijera7260
    @ritalijera7260 2 роки тому

    Shalom mtumishi

  • @mhindimhindi2169
    @mhindimhindi2169 11 місяців тому

    samahan mm nimeota npo sehem ya pori kubwa na lilikuwa na nyoka wengi mnoo lkn hawakunidhuru hapo sielewi inamaan gani

  • @vicklesdonald-ng3dq
    @vicklesdonald-ng3dq 9 місяців тому

    Nimeona nyoka katoka kwenye kiduka change kdg kwenye Kona kwa ndani nimkubwa maana yake nn mtumishi

  • @hellenmwenda4971
    @hellenmwenda4971 2 роки тому

    Week iliyopita niliota niko kwa room kubwa na wenzangu tukawa tunatadika tadiko tulale nilipomaliza kutadika nikawa natafuta pillow yangu siioni ngafla nikajiona niko nnje kwenye pako kama ni shamba kuna miti lakini hakuna nyasi kulikuwa nikama pameshafishwa bado tu mti mmoja mmoja nikaona nyoka anakuja kwa mbali wa rangi ya green alipokuawa karibu nikaona fimbo nikawa nataka nichukea lakini nikachukua jiwe nikawa nataka kumpura akapanda kwenye mti akaanza kuongea huyo nyoka anasema ni mwanamke nilikuwa nimebeba mtoto mgogoni nikakazana mpka wa nyumba kulikuwa na watu inje nikawauluza kuna watoto wangu hapa wakanyamaza nikafungua mlango nikaona kitanda nika mlaza yule mtoto

  • @PhideliciousAlphonce
    @PhideliciousAlphonce 8 місяців тому

    Nimetoa nimepigwa jiwe la kichwa na mwanamke mnene,kwenye barabara kuelelea kijijini ,naomba msaada mana hamna kitu kinaenda tena.

  • @shebahmorara3453
    @shebahmorara3453 Рік тому

    Amen Mimi niliota

  • @LinnetMammito
    @LinnetMammito Місяць тому

    Nliota nayo usiku

  • @SyliviaCylo-lt4xo
    @SyliviaCylo-lt4xo Рік тому

    Paster nimeota nikiwa na mpea nyoka mkubwa chakula na mlisha poster niambie inamaanisha nini na ninaomba uniambie

  • @SeruwaMarie-nw5gb
    @SeruwaMarie-nw5gb 8 місяців тому

    Zasubuhi mchungaji nataka unitafusiliye nime ota niko na wa cungaji wa kiuwa nyoka I namaana gani

  • @hellennafulasimiyu1009
    @hellennafulasimiyu1009 Рік тому +1

    Kuamkia Leo nimeota nyoka wakiniguata nikiwa na mamangu lakini mamangu akaangusha simu akabaki nyuma so mm nikatoroka nyoka zikanifuata zikinirukia rukia

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  Рік тому

      @Hellen nafula Simiyi uko kwenye vita ya kichawi, mama kuangusha simu atapoteza kitu cha maana kutokana na nguvu za uchawi omba sana ushinde hii vita.

  • @LizzyBen-y6d
    @LizzyBen-y6d 8 місяців тому

    Mm niliota tunakimwizwa na nyoka ila mdogo wangu ndio alibanwa na huyo nyoka

  • @shebahmorara3453
    @shebahmorara3453 Рік тому

    Mimi niliota nikiabia mtu hauwe nyoka but niliona Kaa ni mwanaume na

  • @hellenjemeli4971
    @hellenjemeli4971 Рік тому

    Niliota nikiona nyoka kubwa nini maana yake

  • @mariamkaseleko6310
    @mariamkaseleko6310 Рік тому

    Ameen