Mwingine aliyetoka gizani na kuongoka

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 397

  • @rayaali7551
    @rayaali7551 3 роки тому +3

    Bismilaaah maasha allaah alhamdulilaaah yaaraby azidi kutuhidi na kutuongoza na kutuongowa katika njia iliyo nyooka yaaraby AAMEENA YAARABY🤲🤲🤲🙏🙏🙏

  • @Evnelsonkariuki
    @Evnelsonkariuki 3 роки тому +3

    Jesus is Lord..Mungu akusamehe..Usitukane ukristo..

  • @aaibrahim4487
    @aaibrahim4487 3 роки тому +10

    They aimed to bring confusion in Islam but Allah barricade their evil idiology, They planned but forgotten that Allah is the best of planners.... Mashallah great work

    • @Mombasaweldingworks
      @Mombasaweldingworks 3 роки тому

      Only by the blood of jesus all you have to do is to let him into your crooked inner self and you will be whole again...

    • @sevenscounty409
      @sevenscounty409 3 роки тому +1

      @@Mombasaweldingworks we love jesus more than u so called Christians, just so u know

    • @Mombasaweldingworks
      @Mombasaweldingworks 3 роки тому

      @@sevenscounty409 say you love isa ,but not our lord Jesus from the holy bible who died for our sins..

  • @marianachriss2444
    @marianachriss2444 3 роки тому +5

    YESU KRISTO ndio Njia ya kweli na uzima,na Ndio Nuru ya ulimwengu wote

    • @patiancekelvine8678
      @patiancekelvine8678 3 роки тому

      Kila ulimi utakir ya kuwa Yesu ndie Bwana
      Huu ni mwanzo tu,, wimbi la wokovu laja tena wokovu wa kweli sio huu wa kupapasapapasa maana watu wataokoka sanaaa maana kumuamini Yesu ndio njia ya pekee kwenda kwa Mungu Baba

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 3 роки тому

      @@patiancekelvine8678 Ameeen Haleluyaaaa

    • @erickotero5759
      @erickotero5759 3 роки тому

      True Jesus is the way

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 3 роки тому

      @@erickotero5759 Halelujah Halelujah JESUS CHRIST is Lord of Lord and King of king lion of judah alpha and omega

    • @essyjerry9482
      @essyjerry9482 3 роки тому +1

      Amen na yesu kristo yuaja

  • @festusmuli5397
    @festusmuli5397 2 роки тому +1

    Kwa Yesu Kuna uponyaji s waganga wanaeza ponya hila yesu humusaidii mama ungemwambia umuombee kwaza aweze kupona

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 3 роки тому +1

    Masha Allah, Allahu Akbar, Allah akuzidishie elimu, umri na afya njema sheikh wetu Ramadhan na Allah atupe mwisho mwema sote waislamu pamoja na vizazi vyetu Allah Humma Amiin

  • @briejoy3760
    @briejoy3760 2 роки тому +1

    Kweli pastor Ezekiel anawakosesha usingizi 😴😴 yaani mko desperate kuprove kitu hkuna 🤔🤔 muachie Mungu kazi yake🙌🙏

  • @nooor1120
    @nooor1120 2 роки тому

    Maa shaa Allah natamani niwe nimekuzaa mimi sheikh Ramadhan.
    Nakuombea kwa Allah akuhifadhi na akujaalie dua zako ziwe mustajabah.

  • @hadiyamohamed594
    @hadiyamohamed594 3 роки тому +1

    Huu ni msiba mkubwa kutowafundisha dini watoto wetu . 😭😭😭😭Huu ni mtihani kwa kila mzazi lazima mtoto I mfundishe dini iko awe na nguzo imara ya kutopotezwa . Shukran sheikh Allah ndie atakulipa kwa ujira wako

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 3 роки тому +3

    Waaleykum salaam warahmatullah wabarakatuh sheikh Ramadhan. ALLAH akuepushe na hasad na akulinde sheikh wetu..

  • @seniorcade1784
    @seniorcade1784 3 роки тому +7

    M.a sheikh Ramadhan Allah akurahisishie kazi ya daawah ....kwa juhudi yako InshaAllh uta badilisha makanisa mengi kuwa msikiti,.

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 3 роки тому +4

    Alhamdulilah Allah ashukuruwe kwakweli Shekhe Ramadhani Allah atakulipa.

  • @suheilahsuheilah4968
    @suheilahsuheilah4968 3 роки тому +1

    subhanaallah ya rabby tuokoe umm wa mtume s.a.w kwa siku tukufu zibadilishe nyoyo za waja wako ya rabby Tue kitu kimoja na tuishike bendera yetu ya LAILAHA ILALLAH MUHAMMED RASULULLAH YA RABBY

  • @dennistwala206
    @dennistwala206 3 роки тому +29

    Umesema kuna uhuru wa kuabudu na pia muislamu hafai kutukana dini zingine, in your previous clips it's obvious wewe mwenyewe umetoa kejeli, umeonyesha uhasama/chuki flani. What you're show is double standards, you're not walking the talk. Alaf kuhusu point ya vitamba haviponyi ni Mungu, nakubaliana na wewe kabisa, ila Yesu alipomponya kipofu batimayo, alitema mate chini akiunda tope na kumpaka machoni hatimoye upofu ukamtoka, kwa si vitamba si matope, ni nguvu ziko behind it na imani yako. Unafanya vyema kuhubiri uislamu, lakini fanya kihekima, kwa upendo bila chuki, maana hivyo inakuwa rahisi kushawishi mtu kuwa muumini. As you said we have freedom of worship, lets respect it, it's a person choice, for God does not force Himself on us, He has given us a choice to worship Him. Personally I have grown with Muslim brothers and sisters peaceful and with love, and they used to share their teachings to me but not like the way you're doing, in theu would easily persuade us, hii yako ni kama tisho flani. If you wish to win souls, stick to teaching Islam, show us umuhimu wake, leave other religions, fighting them and showing hatred towards them, wont make you win more souls. Nmesema kwa upendo, natumai despite our differences, we continue to live in peace and harmony.

    • @ibrahimdawood6547
      @ibrahimdawood6547 3 роки тому +4

      Kama kuna uhuru wa kuabudu, mbona wanatishia huyo mama mjane asiende kuabudu kanisani na wanamlazimisha kwenda msikitini?

    • @katherinasamwel3937
      @katherinasamwel3937 3 роки тому +5

      Huyu shehena ana shuki na dini yetu YESU ndio njia ya kweri na umima sasa huyo dada simjane na dini ya kiisilamu ina luhusu kuoa wake wengi shehe bola umuoe tuu huyo mjanee 😄😄

    • @blackke6085
      @blackke6085 3 роки тому +5

      Sheikh Ramadan amejaa chuki tu na wakristo

    • @fjghfufgg3227
      @fjghfufgg3227 3 роки тому +2

      @@blackke6085 hio ni kweli kabisa na haifai ivo sisi sote tuliumbwa na Mungu

    • @fjghfufgg3227
      @fjghfufgg3227 3 роки тому +3

      @@ibrahimdawood6547 Sasa hapo wanafanya makosa mbona iwe lazima ya kua muslim ilhali mtu ni halali yake, kwani kua Muslim ni lazima??si bora mtu aende pale anapotaka na pia Mungu ni yule yule so wacheni watu wawe huru muache kuwafunga

  • @phoebemwikali
    @phoebemwikali 3 роки тому +8

    We all need peace nothing else ...kindly preach peace

  • @nuruali9608
    @nuruali9608 3 роки тому +1

    Allahumma Aamiin.Aamiin...Mungu akulipe kheir shekg wetu...Mungu akupe barka ziteremke km mvua shekh Rsmadhan

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 3 роки тому

    Alhamdulillah mashaa allah mitihani tumeumbiw ss heri kumuomba mungu kuliko kumshirikisha Allah na vitu vingine ahsante shekhe wetu

  • @iddyally7228
    @iddyally7228 3 роки тому +1

    Allah awajalie mashekh wetu kwa kazi nzuri sana mnafanya na awaepushe na madui wa uislam

  • @furahamossi3199
    @furahamossi3199 3 роки тому +2

    Mansha Allah sheikh tabarakallah Allah akulipe kheir insha Allah watarejeya Allah yupo pamoja nanyi

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 3 роки тому +2

    Shukran sheikh ramadhan kwa juhudi zako za da'waa,Allah akulipe pepo

  • @rooseupojuubuanaaarose3011
    @rooseupojuubuanaaarose3011 3 роки тому +3

    Masha Allah tabarak Allah.....tupo duniani kulingania dini sheikh wetu

  • @ukweliwauislamu9590
    @ukweliwauislamu9590 3 роки тому +5

    Masha Allah , JazakAllahu kheyran ustadh Ramadhan kuria ....

  • @fatmamombasa3430
    @fatmamombasa3430 3 роки тому +2

    Masha ALLAH Akhy Ramadhan Allah akulipe mema akupe nguvu ueze kuufikisha kalima ya lailah illah llah

  • @amsodewiz4901
    @amsodewiz4901 Рік тому

    Mwenyezi atujaalie kheri ustadh

  • @maryambintukhadija1604
    @maryambintukhadija1604 3 роки тому +1

    Maa Shaa Allah shekh wangu ramadhaan kuria bin kaguo

  • @mahdiyusuf3431
    @mahdiyusuf3431 3 роки тому +2

    May Allah bless you Sheekh luck off understanding their own faith
    Allah sw only can cure and no one can help you May Allah give understanding of faith

  • @Nana-do5po
    @Nana-do5po 3 роки тому +21

    Right now in Kenya we are in peace time let's peace prevail.

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 роки тому +1

      Ikiwa siasa haijakutoeni kwenye amani...dini itakutoeni vp???

    • @dorcasatieno3705
      @dorcasatieno3705 3 роки тому +1

      asante daa MUNGU akubariki sana tuko na amani

    • @halma7764
      @halma7764 3 роки тому

      Mashaallah

  • @repentjesusiscomingsoon8799
    @repentjesusiscomingsoon8799 3 роки тому +1

    Amina, umefanya vizuri sana kutoka kwa ushirikina wa Ezekiel, mtafute Mwenyezi Mungu kwa bidii cha muhimu acha uvivu na kupuuza nguvu ya Mungu ndani yako,Mola yuko kila mahali kwa watu wote, na Mungu ana subira sana kwa hivyo lazima uwe na subira pia, usitake vitu vya haraka haraka, lkn ukifuata njia mkato utapotezwa,🙏🙏

    • @annkuya1446
      @annkuya1446 3 роки тому +1

      Lakini uponyaji unatoka kwa Yesu pekee yake ambaye ako mbinguni kwa Nuru pekee .Yesu alisema wacha wafu wafuate wafu wenzake maana mfu mwenye ako kwa kaburi kwa Giza haweze kumponya MTU aliye Hai.Bali walio hai ndio humfuata aliye juu milele kwa Nuru nayr akiomba kwa Jina LA Yesu Ataponywa.Mafarisayo ndio ilikua kazi yao juu ya wivu walipokua wanaona Yesu akiponya watu wanamwendea yule aliye ponywa na kumdhihaki asitaje jina LA Yesu kamwe. Maana walikuwa wanaona wao wakiombea MTU kwa Jina LA mwenyezi Mungu pekee bila kumtaja Yesu hakua anapona, Sasa ili watu wasimfuate Yesu awaponye walimkejeli sana na kumuita majina yasiyo faa.Yesu ndiye Alpha na Omega Hakuna mwenye atakuja baada Yake. Yesu amesalia Mfalme Mshindi wao wenye walitegemea Dini yao kuwaokoa waliangamia katikati dhambi zao kwa kaburi LA sahau na bado wanangonja Hukumu ya Mwisho kutoka kwa the same,same Jesus Christ. Yesu ndiye ufufuo Wa Mwisho tukifuata maangizo yake tutaishi naye.

    • @annkuya1446
      @annkuya1446 3 роки тому

      Mungu yupi .Taja jina LA Huyo Mungu please?

    • @hansmswagara2789
      @hansmswagara2789 3 роки тому

      @@annkuya1446 yan nyie mmeaminishwa kuwa mzungu ndo Mungu wenu kwan alie muumba mamayake yesu anaitwa nani

    • @fjghfufgg3227
      @fjghfufgg3227 3 роки тому

      @@hansmswagara2789 na nyinyi Mungu wenu ni mwarabu pia so sote gora moja

    • @annkuya1446
      @annkuya1446 3 роки тому

      @@hansmswagara2789 Ni wapi penye pameandikwa kwa Bible ati Mungu ni Mungu?,Mungu Wa Bible alituumba kwa Sura Yake yeye mwenyewe na kwa mfano wake alivyo yeye mwenyewe ndivyo Bible inasema.Ndiyo unaona Bible imetafsiriwa kwa kila Lugha, hata nyimbo za injili ya Yesu zimetafsiriwa kwa kila Lugha maana Mungu Wa Bible anelewa Lugha zote na hana ubaguzi kwa mwenye anamtaka,ukimwita atakusikia maadam anapatikana kila pahali.

  • @onesmusmusyoka222
    @onesmusmusyoka222 2 роки тому +1

    Jameni wachaneni na pastor wetu Ezekiel aendelee na kazi ya ,pastor Ezekieli akujii mtu yeyeto kwa nyumba

  • @davidmarimi6598
    @davidmarimi6598 3 роки тому +2

    Nafikiri nimakosa kwa mkristo kwenda msikitini kufuata wakristo wanaosilimu. Vivyo hivyo Ramadan kuria hafai kwenda kanisani kufuata waisilamu wanaohudhuria huko. Sheikh ananjia zingine anaweza kutumia kushawishi waisilamu wasiende huko. Tuheshimu uhuru wa kuabudu.

  • @naimaabuualii578
    @naimaabuualii578 3 роки тому +1

    Kabisa Leo umeongea maneno kuntu mpk nashangaa na Mimi ilakuwaje wanatukane ila mungu akuweke shekh wetu kipenzi chetu Ramadhani kiboko yao 🤗

  • @khadijakhamis381
    @khadijakhamis381 3 роки тому +4

    Ma shaa Allah mungu amuhifadhi na amuongoze

  • @nuruali9608
    @nuruali9608 3 роки тому +1

    ALLAH AKULIPE KHEIR USTADH RAMADHAN NA AKUJAALIE NUSRA KILLA UNAPOKWENDA NA HUYO DADAETU ALLAH AMPE MAISHA YA KHERI NA BARKA KWA KUMRUDIA MOLA WAKE...NA WENGINE WALIOTOKA KWENYE DINI ALLAH AWARUDISHE....AAMIIIN AAMIIIN..YAARABB.M

  • @abdiaosman4488
    @abdiaosman4488 3 роки тому +1

    Mashallah ustadh kuria.. endelea kuwabia ukweli Allah atakulipa in sha Allah

  • @rassorabbat8761
    @rassorabbat8761 3 роки тому +1

    Ustadh rama mola akuzidishie zaidi

  • @zainabumwagiroabdallamwagi97
    @zainabumwagiroabdallamwagi97 3 роки тому +1

    Dadaangu mungu amekuonesha nuru na hiyo ndoto yako ni njema na inakuonesha ufuate njia iliyonyooka ,njia yawale aliowaneemesha mwezimungu,nao ni mitume na masahaba na wajawema waliotangulia uachane na hiyo njia ya waliopotezwa na kupotea.

  • @naomymose1866
    @naomymose1866 3 роки тому +2

    Wewe wenye unachuki falani kwa waliokobolewa, waja kutisia na kuwafingia watu WA Mungu, kumfikia yesu kristo

  • @salmanassir7886
    @salmanassir7886 3 роки тому +1

    MashaAllah sheikh Ramadhan........ Allah azidi kukupa nguvu utangaze dini ya Allah

  • @dopesalo
    @dopesalo 3 роки тому +5

    shukran bro...amazing work. ma sha Allah

    • @princessmuthoni373
      @princessmuthoni373 2 роки тому

      Kwa yesu Kuna mwangaza.njooooni mnitafute nko within

    • @princessmuthoni373
      @princessmuthoni373 2 роки тому

      My friend acha kuingilia kabisa Mimi nimetoka kwa uislam nimerudia yesu wangu plzzzzz usimwingilie pastor Ezekiel,mbona mnahoji waislamu acha mtu afiate dini yenye anataka

  • @boscokimonyi1412
    @boscokimonyi1412 2 роки тому

    Dini haitawai peleka mtu popote , zingatia uhusiano wako binafsi Kati yako na mwenyezi mungu , zingatia kutenda mapenzi yake mwenyezi mungu . Haijalishi wewe n Muslim hau mristo lakini uhusiano wako na mungu n Jambo La msingi

  • @mahdiyusuf3431
    @mahdiyusuf3431 3 роки тому +2

    Sheekh Ramathan May Allah bless you Amiin

  • @wamugimohammed3848
    @wamugimohammed3848 3 роки тому +2

    Asalam Alaykum warahamatulilh wabarakatuh! INSHA ALLAH ALLAH akuongoze SHEKHE RAMADHANI kwa kuinusiuru DINI ya haki Amin Amin!

  • @norahmwenyewe.2799
    @norahmwenyewe.2799 3 роки тому +3

    I think Islam mean peace 🙏just preach about peace,the rest leave to our almighty God Who is in heaven yeye ndiye mwenye kuugumu.

    • @samxx411
      @samxx411 3 роки тому +1

      Hata kumuokoa binadam mwenzio katika ushirikina pia ni peace mana Mungu hapendi kushirikishwa, uislam utamfikishia yeyote ambayo hajielewi na anashirikisha hata bila ya kujijua baadae ukufata sawa hukufata sawa wewe na Mungu wako

    • @ignasmalema8354
      @ignasmalema8354 2 роки тому

      Islam mean surrender, if you not surrender you die

  • @xavierowino
    @xavierowino 2 роки тому

    She said she got healed of hiv due to Ezekiel's prayers. She turned hiv negative. So now that she has come to Islam, does she gets to keep her healing? And who gets the credit for the healing? The church or Islam?

  • @hamoodalrawahy2026
    @hamoodalrawahy2026 3 роки тому +1

    MAASHAA ALLAH MAASHAA ALLAH MAASHAA ALLAH. TABARAKA RAHMAN ALLAH AZIDI WA IBAREEK

  • @makenakendi9014
    @makenakendi9014 3 роки тому +1

    Mashaallah ALLAH BARIIK always my brother

  • @davidmarimi6598
    @davidmarimi6598 3 роки тому +3

    Uhuru wa kuabudu unapatia mtu uhuru wa kubadilisha dini pia. Nimeona wakristo wengi waisilamu na hakuna pasta anaenda msikitini kuwafuata huko. Vivyo hivyo mtu akienda kanisani asifuatwe huko

    • @mshai203
      @mshai203 3 роки тому

      Uislamu ni dini ya haki dini ya kweli na ni dini ya Allah subhallah wataAllaH

  • @abdalaauame3863
    @abdalaauame3863 3 роки тому

    Mashalla allbdulilai ustaz ramazane

  • @jacquesuwezo228
    @jacquesuwezo228 2 роки тому

    Wewe sheh jiangaliye utapigwa na Mungu acha kufatiliya yasio kuusu acha kuzuwiya watu wamjuwe Mungu wakweli

  • @gladysrael3396
    @gladysrael3396 3 роки тому +4

    Unajoka bure sikuhizi hawafai buibui ndio mziwajue uislmu qwisha Mombasa kristo ndio kuzema

    • @blackke6085
      @blackke6085 3 роки тому

      wow!

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 роки тому +1

      Unajidanganya hali ya kua unaujua ukweli. Uisilam hauezi kwisha duniani si Mombasa, kenya si ppte na unazidi kukua.

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 роки тому +1

      Na Allah anasema na mkigeuka atawaleta watu wengine badala yenu, nao hawatokua kama nyinyi. Na si unaona watu wa dini tofauti wanausoma uisilam na wanaingia ktk uisilam na kua waumini wazuri zaidi kuliko waliozaliwa nao???
      Qur-an 47:38.

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  3 роки тому +1

      Hiki kiswahili ni Cha wapi?

  • @alsalihintvonline9232
    @alsalihintvonline9232 3 роки тому +1

    Elimu ni nguzo ya dini jamani tusomeni dini tujuwe.... Kizuri na kibaya please hii yote ni kukosa kujuwa Imani ndogo mungu atuhifathi insha Allah

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 3 роки тому +3

    Good job Ustaz

  • @eunicemwangirani8684
    @eunicemwangirani8684 3 роки тому +2

    Utapata shda sana sheikh..huezi zuia injili...injili ni moto💪💪💪💪💪💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @aminaamiri7684
    @aminaamiri7684 3 роки тому +6

    Shekh wetu Allah akuzidishie umr mref wenye manufaa

  • @kanuhummer6485
    @kanuhummer6485 3 роки тому

    Asalam alaykum,ustadh mtafute na yule alie sema anaishi liko anaitwa mwanamkuu said,

  • @geegunen9219
    @geegunen9219 3 роки тому +4

    MashaAllah Ustadh Wangu Ramadan

  • @hanifajuma6121
    @hanifajuma6121 2 роки тому

    Hizo vitambaa hua zina nguvu ya giza, manabii wa mungu walifanya muijiza bila kupatia watu vitu, isitoshe yesu mwenye hakua NA sarakasi hizi tunaona siku hizi, pia mwanza kuna mwingine anaitwa papa god.

  • @mariamsefukhamissi8809
    @mariamsefukhamissi8809 3 роки тому

    MashaAllah Tabarakallah Allah akuongoz zaid sn

  • @khaddy2736
    @khaddy2736 3 роки тому

    Waudhi sana jameni khaaa!!!

  • @sevenscounty409
    @sevenscounty409 3 роки тому

    Kazi zuri sana ustad ramadhan

  • @nekesaester2068
    @nekesaester2068 3 роки тому +1

    Mbona huyu jamaa anamchimba pastor Ezekiel

  • @CynthiaJohnson-rl2yq
    @CynthiaJohnson-rl2yq 3 роки тому +5

    Porojo tuuuuuu ,huyu Shee alifungua hii channel kumpinga pastor Ezekiel tu hana mambo mengine

    • @prettyaysha7892
      @prettyaysha7892 3 роки тому +2

      Sasa waonaje na wewe ukifunga channel ya kwako ukampinga sheikh ramadhan😏😏😏😏kwani ni kesho

    • @mufunyiibrahim3655
      @mufunyiibrahim3655 3 роки тому

      Hi channel ni ya dawaa imekaa zaidi ya 5 yrs

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  3 роки тому

      Hii channel ni mzee kuliko tv ya Ezekiel

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 3 роки тому +1

    Awa wngine hfanya maskhara Tu ni washenzi utaenda vip kanisani,kama unashida Lilia waislam wenzako,mtu wa Mombasa ATI hajui kama kuwa mkirstu ni laana,hao njaa inawasumbua((umasikini ni nusu ya ukafir)

  • @erickobiero5922
    @erickobiero5922 3 роки тому +3

    No time to argue about God,for religion I leave it to you brother but what I know JESUS IS THE WAY TRUTH AND LIFE.dini baki nayo ndugu lakini YESU ndio uzima hakuna shortcut hapo.

  • @kihimbamushyaibrahim7284
    @kihimbamushyaibrahim7284 3 роки тому +1

    Ukweli sheikh Sisi WA Islam tunahitaji kuweka mipangilio yakupiganisha umasiki,nahii twaweza jaribisha small projects,umasikini,maradhi kama hauna imani waweza potea wazee wetu hawakuwa nanidhamu(plan)sahihi sheikhe wavijana kila hali ikiwabana waweza wakapotoshwa!!!miskitini tumezungumzia sana akhera(Moto na jana) asante alakini vipi twaweza pata mugao wetu duniani!??kwanini tusifunze ufugaji kuku,bata,sungura,havihitaji dongo kubwa!wallahu waliyu atawafiiq tuanze kusanya Dola kumi kumi au tano in two years let's see how we can achieve asanteni

  • @maimunamohamed9811
    @maimunamohamed9811 2 роки тому

    Allah atuepushe na hawa mapastor wa uongo

    • @FannyLopez-q1r
      @FannyLopez-q1r 3 місяці тому

      Allah nimuongo kama mapasta wauongo ivoujuwi tuu

  • @festusmuli5397
    @festusmuli5397 2 роки тому

    Hii diyo ndini ambayo inatishia kuua wafuasi wake wakienda inje ya msikiti najua Kuna wengi Sana wanataka kutoka hila wanaofia maisha yao

  • @teshilifestyle4952
    @teshilifestyle4952 3 роки тому +3

    All we need now is peace Muslims and Christians that's all we need in our country Kenya

  • @selfaakinyi7824
    @selfaakinyi7824 3 роки тому +2

    Sio kwa ubaya ila hawa wanao hojiwa Kuna mengi wanaficha, ila wacha Mungu atupiganie,

    • @ambasaephraim9182
      @ambasaephraim9182 3 роки тому

      Hawa wanatishiwa maisha usidhani yanayotoka moyoni mwao ni ya ukweli

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 роки тому

      @@ambasaephraim9182, Hakuna anayetishiwa kuuliwa. Hv ww hujawaji kuwaona waisilam wanaoritad kawaua nani??? Msikaririshwe mkakariri.

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 роки тому

      Hao ni waisilam wanaokuja makanisani kwa ujinga. Na wengi wao hua hawajasoma...na kumuongoza mjinga hakujakatazwa na hakuna anaechukia ila iblis na wtto wake ima mashetani watu au majini. Hv Pastors wangekua wanasambaza neno la Mungu halfu wanaona watu wanaingia misikitini kwa sabbu zao tofauti wangekhofia kuwafuata wakawaongoza ili wasije kupotea??? Lkn wanajua km uisilam ni uongofu na wanaujua km wao wanapoteza watu na target zao haswa ni wale wasiosoma au waloghafilika tena wawapoteze vipembeni na sio penye waliosoma...na ndio mana hawaendi misikitini wanaona wataadhirika. Halafu ukiachia mbali huu mtindo wa kufata mke/mume ambao upo kwenye kila dini...wanaokuja kwenye uisilam wengi hua wamesoma na kuamini kwa hio hua vigumu mtu kumtoa.

  • @wangagirl3508
    @wangagirl3508 3 роки тому +1

    Sisi hata hatuna haja ya kutukana waisilam ni nyingi ndio mnatufwatilia sana na mbona mnaita pts Ezekiel ni mchawi

  • @getrudezighe4483
    @getrudezighe4483 3 роки тому

    Mtaongea sana nabado

  • @adbulmama5065
    @adbulmama5065 3 роки тому

    Kweri cheh Allah awalipe kwa ico munacofanya Allah awalike kesho ashera

  • @fahmilomar957
    @fahmilomar957 2 роки тому

    ostadhi ramadhan kazi unoifanya hakika inaujira mkubwa kwamungu uskate tamaa man ibilisi yupo nawewe ili akupoteze

  • @ceciliawanjiru9177
    @ceciliawanjiru9177 3 роки тому

    Hawa waislam wanamfuata Ezekiel hakuna ata mmoja azekiel ameendea kwake akamleta kanisani kwake but I don't know why islams are complaining and they are healed Hata Shukrani hamna

  • @carendeborah5687
    @carendeborah5687 2 роки тому

    Hata Mimi nikitoka huku Dubai nitavaa abaya niingie nayo church ndo nione mkinikujia Mimi muislamu..Kenya Kuna freedom of worship

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  2 роки тому

      Wewe sio Muislamu jifunze adabu za uislamu kabla ujiite Muislamu

  • @ramadhanyusuf2401
    @ramadhanyusuf2401 3 роки тому +1

    Waislamu wamefumzwa na Allah watizame marafiki wanaokaa nao.wengi wao wanakaa na marafiki ambao sio

  • @munirashughuli7224
    @munirashughuli7224 3 роки тому +3

    Alhamdhulillah 🤲

  • @fauziaabdullah3733
    @fauziaabdullah3733 3 роки тому

    MashaAllah shukuran sheikh kwakutuilimishaa

  • @mufid707
    @mufid707 3 роки тому +1

    Alhamdulillah Alhamdulillah

  • @winnysyombuandambuki5475
    @winnysyombuandambuki5475 3 роки тому +3

    Mbona mkienda kwa hao wagaga hamsemi mkatangaza

  • @samotero2323
    @samotero2323 3 роки тому

    Wewe dawah KAZI Yako ni kuwatoa waislamu wako kwa ukiristo.

  • @mamuskamery45
    @mamuskamery45 3 роки тому +1

    Waaleikum salam warahmatullah wabarakatu

  • @mzaliwaseif7079
    @mzaliwaseif7079 3 роки тому +1

    Hata baadhi ya wachristo walishaga helewa kuwa ni nguvu ya jiza ndo yenye kutumika ila ndo ivo tena. Jina la Yesu inakuwa ni cover tu. Bado tunalo tatizo la corona linaitaji dawa.

  • @fatmazullu4933
    @fatmazullu4933 3 роки тому +3

    Watu mnakariri maujinga! Eti mnafuga majini! Hayo majini yanafugwaje shubaamit zenu nyie!

  • @asiaphilmon2233
    @asiaphilmon2233 3 роки тому +3

    Mashallah

  • @hadassahdebintisarah4250
    @hadassahdebintisarah4250 3 роки тому

    Una roho mbaya ww! Nashangaa Mungu yupi mnaye muabudu waislamu na vile wengi wenu roho ženu ni nyeusi Kama makaa.... Yaani lzma ilitumie jiná la pst Ezekiel kwa kila vedio zako ukiweka au?

    • @mufunyiibrahim3655
      @mufunyiibrahim3655 3 роки тому

      Mbona hao pastor hawajaponya corona

    • @hadassahdebintisarah4250
      @hadassahdebintisarah4250 3 роки тому

      @@mufunyiibrahim3655 mbona nasheik pia hawaponyi ama pia yao sio maombi? Ní jukumu la kila mtu kuombea corona sio la má pastor

    • @hadassahdebintisarah4250
      @hadassahdebintisarah4250 3 роки тому

      @@mufunyiibrahim3655 ua-cam.com/video/lwy7W1l7Rzo/v-deo.html kuona ni Bure nenda ka jionee alfu nitumie sheik wako akiombea Pepo la corona pia nione, YESU Christo ndiye Jia ya kweli na haki

    • @mufunyiibrahim3655
      @mufunyiibrahim3655 3 роки тому

      @@hadassahdebintisarah4250 tumechoka na miujiza fake. Mambo ya kupanda mbegu na kununua vitambaa ndio uponywe sio injili ya yesu ni ukora na biashara

  • @fjghfufgg3227
    @fjghfufgg3227 3 роки тому +2

    Nyinyi mwanzo ndo hua mnatusi wakristo eti mnawaita makaffir kwani nyinyi ni wema???

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 роки тому

      Km hata haq unaiona tusi basi utapata taabu sanna. Mbona ww unamuita mshirikina anaekwenda kwa waganga??? Je nayy aseme unamtusi???

    • @fjghfufgg3227
      @fjghfufgg3227 3 роки тому

      @@alhamdulillah5796 na nyinyi mbona hamuwaiti hao wanaoenda kwa waganga makaffir??? basi tuambieni maana ya kaffir ni nn kabla hamjaambia wenzenu ivo na mbona waislamu wakienda kwa waganga hamuwafuati??? Na mbona wakienda kanisani muna wafuata??? Nasubiri jibu pia

  • @khamissalim7437
    @khamissalim7437 3 роки тому

    Dawah imefika sekh Ramadan

  • @maureenmasoni1276
    @maureenmasoni1276 3 роки тому

    una kazi kweli, umbea kila uchao

  • @zaburionlinetv6245
    @zaburionlinetv6245 3 роки тому +1

    WOTE WALIODANGANYWA NA HAWA WAIBA SADAKA NI LAZIMA WAUMBULIWE

  • @wallace0phidi732
    @wallace0phidi732 3 роки тому

    Y r u mentioning Christians

  • @carolinenjeriwanjau7601
    @carolinenjeriwanjau7601 3 роки тому +2

    Wewe Wacha mtu binafsi ajichagulie ile jia ataedea usijeukapata shida siku ya kiaama mtu akisema niwewe ulimzuia kupitia jia ya kweli. Jalibu kuenda jehanam peke yako fuata iyo dini Yako ya shetani peke Yako. Wachana na watu wenye wanataka uzima wa milele YESU huiyeeeeeeeeeee

    • @liyanahilwa9666
      @liyanahilwa9666 3 роки тому +1

      Anafanya kazi yake kama Allah alivo amrisha.
      Kuwa na heshima dadangu na ujishu'lishe na lilo amabalo lina kuhusu.
      I urge yu to do yur own research regarding religion & especially Islam.Have fact full before yu base yur argument or comments.
      #We sincerely invite yu to Islam,the ONE&ONLY TRUE NATURALLY DESIGNED, RELIGION ON THE SURFACE OF THE EARTH & A COMPLETE WAY OF LIVING FOR ALL MANKIND.
      Read& learn with an open mind sister as ignorance is no defence

    • @carolinenjeriwanjau7601
      @carolinenjeriwanjau7601 3 роки тому

      @@liyanahilwa9666 ebu nikuambie ukweli dadangu iyo jia mumepitia waisilamu wezangu siyo ya kweli muko Dani ya ufalme wa shetani na diyo sababu mukipata shida kama ya ugonjwa na mengine munakimbilia kwa waganga maana hamuna mungu wa kweli Wala hamumujui. mungu wenu ni shetani huyo munaita ALLAH amechanganisha fikila zenu akasiharibu kabisa Ili muwe munatukanana mungu wa kweli mwenye alituma yesu kristo nduniani Toka mbinguni kwa ajili ya kuokoa ulimwengu wote kutoka kwa Dhabi zao so nataka ujue Leo MUHAMMED na ALLAH ni shetani YESU ni MUNGU wa kweli

    • @feisalabbas6015
      @feisalabbas6015 3 роки тому

      @@carolinenjeriwanjau7601...caroline hao wamejionea wenyewe uongo...kwani baada ya kuabudu mwana sasa munaabudu vitambaa...hiyo yenu ndio njia ya shetani...hata yesu hakutumia vitambaa

    • @carolinenjeriwanjau7601
      @carolinenjeriwanjau7601 3 роки тому +1

      @@feisalabbas6015 hebu nikusaidie mwezangu. Hakuna jia mbili za kueda kwa mungu wa kweli jia ni Moja tu kumwamini yesu mutume wa mungu alitumwa na mungu wa kweli Ili akomboe ulimwengu wote kuanzia Muhammed na wenzake waisilamu nyinyi munafaa kuokolewa na yesu mupende musimende iyo iko hivo hatamukijalinbu kuinua Dini yenu iyo ni Bure tu NYINYI ni UFALME wa SHETANI na hata shetani mwenyewe anajua muchombo zake kwa hivo kama inataka uzima wa milele kuja kwa yesu DIYE JIA , UKWELI, NA UZIMA, MTU HAJI KWA MUNGU BILA KUPITIA KWA YESU

    • @feisalabbas6015
      @feisalabbas6015 3 роки тому

      @@carolinenjeriwanjau7601 caroline hii fire yote unaiskia katika roho nidalili unampenda mungu na ni dalili nzr na sote tunampenda mungu kitu nakuomba kaa chini ufikirie hii confusion yote ilioko ktk ukristo na uchafu na matusi yalioko ktk bibilia could this rly be frm God hata kama haujui uislam hatakama umewekwa propaganda nuingi bt jst analys christianity bt wt an open mind i swear u will come to see the truth...

  • @Moc.khalfan
    @Moc.khalfan 3 роки тому

    Allah amsamehe dada yetu kwa hili

  • @teshilifestyle4952
    @teshilifestyle4952 3 роки тому +2

    Mbona waislamu hutusi wakristo makafiri lakini wewe wasema kwamba wakristo Wana matusi?

    • @pamoles1303
      @pamoles1303 3 роки тому

      Waislamu hawakuwaita wakristo makafiri ni ALLAH mwenyewe ktk Quran

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 роки тому

      @@pamoles1303 , Yy mbona anawaita wapiga tunguli washirikina kwa hio anawatusi nayy.

  • @khamissalim7437
    @khamissalim7437 3 роки тому +1

    Alhamduliah

  • @armstrongsalim1328
    @armstrongsalim1328 2 роки тому

    Mtwapa si Mombasa ni kilifi

  • @gracemalemba5478
    @gracemalemba5478 2 роки тому

    kwani macho yote yako Kwa pastor Ezekiel hakuna lingine unawezafundisha?

  • @kevinamimo63
    @kevinamimo63 3 роки тому

    Waambiwe waislamu wasije kwenye ibada ya Kikristo, sisi tuko huku na mambo yetu nanyi mkae na yakwenu

  • @apostlejanegracegidraph2054
    @apostlejanegracegidraph2054 2 роки тому

    She was having a dream👍

  • @derickmalobah5913
    @derickmalobah5913 3 роки тому

    Wewe shekh mbona wataka kuleta vita,bro fata wahindi pia uwahoji kwa nini wanaabudu ngombe'