MKRISTO AZUA ADHANA MPYA DUNIANI WAKIWA NA PASTOR WAO MATATA! 😂

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 80

  • @wakawakakhamis9558
    @wakawakakhamis9558 Рік тому

    Amin shekh ramadhan na mashekh wengine allah awabarik na awalipe pepo kwa kujitolea kwa ajili yake amin

  • @mangeraalbert7982
    @mangeraalbert7982 Рік тому +1

    Unatfta andiko, nani mimi😂😂😂😂😂😂

  • @sakow747
    @sakow747 Рік тому +1

    Mashaalah try never give up

  • @maryamjuma1980
    @maryamjuma1980 Рік тому +5

    Allah awahifadhi mashekhe wetu awalipe kheri juu ya kazi yenu hii na atukutanishe nae kipenzi chetu mtume Muhammad( s. a. w)

  • @adenmohamed5935
    @adenmohamed5935 Рік тому +8

    Ma sha Allah May the Almighty Allah bless you and your your family Jannahtul Firdous

  • @hamisiomaryi1699
    @hamisiomaryi1699 Рік тому

    Allha hawatie nguvu nakheli mashee wetu kwa kazi kubwa mnayo fanya

  • @aminamahamud9333
    @aminamahamud9333 Рік тому

    MashaAllah
    Da'wa kweli hii

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 Рік тому +2

    Mashallah shukran sheikh ramadhan kwa kazi mzuri ya dawaah Allah awahifadhi nyote na team yako hadi mkono kwa mkono mpka peponi

  • @KKK-v6j
    @KKK-v6j 5 місяців тому

    Mashallah 🎉🎉🎉

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 Рік тому +1

    Mashallah Allah

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 Рік тому +1

    Waluhya wanatisha! 😂

  • @ruu6592
    @ruu6592 Рік тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 iyo adhan noma

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 8 днів тому

    Allah akuhifadhi sheikh wg

  • @zainaal-nabhani9034
    @zainaal-nabhani9034 Рік тому +2

    Mashallah kazi nzuri mungu akuzidishiye afaya wwe najop lako sheh ramazan uzidi kuledeza uwislam kueneya nakutakiya ramazan mubarak

  • @hassadube225
    @hassadube225 Рік тому +5

    Masha ALLAH sheikh wetu Ramadan Allah akujalie kheri hapa dunia na kesho aqra insha ALLAH

  • @mukandamaakbar599
    @mukandamaakbar599 Рік тому +1

    Masha'Allah Allah awabariki kua kazi zenu

  • @classicboyrahib903
    @classicboyrahib903 Рік тому +3

    Watching from Tanzania

  • @mohamednuh5087
    @mohamednuh5087 Рік тому +7

    Congratulations 👏 brother watching Kutoka Mozambique continue your efforts

  • @mzalendomzalendo2567
    @mzalendomzalendo2567 Рік тому

    MashaAllah ramadhani mwenyezimungu akuzidishie elmu watching you from UK

  • @yabdul1782
    @yabdul1782 Рік тому +1

    Hiyo ndio shida kubwa kusikokuelewa maandiko. Mungu kaumba kwa sura yake maana yake ni mungu aliumba kwa sura alivuomfikiria kiumbe yake anaviomtaka. Kama vile seremala katengeza kitu kwa sura yake.

  • @abdallahsaid1968
    @abdallahsaid1968 Рік тому +2

    Allah atuhifadhi shekh ramadhan

  • @tahlil2015
    @tahlil2015 Рік тому +2

    Mansha Allah Ramadani.
    Ramadan kreem🎉!!
    Christian Youth are Confused and Pastor can't even Help.

  • @mwanamtotosaid702
    @mwanamtotosaid702 Рік тому +3

    Masha Allah 🥰

  • @husha6372
    @husha6372 Рік тому +1

    Assalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu tena huyo dada Esther AMEvaa hisabu kama muislamu

  • @husha6372
    @husha6372 Рік тому +1

    Assalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu Mbona Sheikh Mohammed Yusuf hatuna muona Kwa muda mrefu Sana

  • @fridahmulongo2697
    @fridahmulongo2697 Рік тому +1

    Mashallah ustadh wetu na imam Allah awalipe kheri

  • @paulinerathgeber1045
    @paulinerathgeber1045 Рік тому

    Hakuna afikaye kwake bwana pasipo Yesu

  • @tantinebettynduwimana380
    @tantinebettynduwimana380 Рік тому +3

    kipindi kizuri sana sound iko poa, mada iko poa Allah akubariki sheikh Ramadhan

  • @Catherine-mh8sw
    @Catherine-mh8sw Рік тому

    Hawa vijana wastaarabu kweli. Mwenyezi Mungu awajaalie kila la kheri duniani mpaka akhera

  • @fredymziwanda1283
    @fredymziwanda1283 Рік тому

    Hakuna binadamu ambae ange simama mbele ya sina gogi heti amhubilie yesu. Amfundishe maandiko yesu

  • @Arishafa547
    @Arishafa547 Рік тому +1

    Mash Allah tabarakallah

  • @fredymziwanda1283
    @fredymziwanda1283 Рік тому +1

    Yesu aliingia kwenye masinagogi kwa ajili ya kuwa hubiria wayahudi na sio kuswalishwa

    • @saidijafari2812
      @saidijafari2812 Рік тому

      Hao wayahudi walikuwa dini gani?

    • @saidijafari2812
      @saidijafari2812 Рік тому

      Wapi kwenye biblia yesu anaswalisha kanisani

    • @salumuhamza
      @salumuhamza Рік тому

      Kwani hayo maneno kua alienda msikitini kuhubiri umeyatia kitabu gani?

  • @stoispapi2380
    @stoispapi2380 Рік тому +1

    Ramadhan Kareem O Believers

  • @Adm9464
    @Adm9464 Рік тому +4

    Pastor can’t help.

  • @salmanassor8732
    @salmanassor8732 Рік тому +1

    Mashallah

  • @fredymziwanda1283
    @fredymziwanda1283 Рік тому +1

    Kanisa kiswahili ni kusanyiko la watu wawili na kuendelea. Yesu alichagua wanafunzi 12 na hilo ni Kanisa na yesu ndio kichwa cha Kanisa hadi leo

  • @boslayogero8329
    @boslayogero8329 Рік тому +2

    Am a Cristian but I like the procedure of Ramadan the way he ask questions in a polite way

    • @chiefmkalikibz1503
      @chiefmkalikibz1503 Рік тому +1

      Welcome to AL-ISLAM

    • @eddasang9393
      @eddasang9393 Рік тому

      Hiyo ni gear tu. Watch Christian Prince or Ex ahmad debates

    • @CandidoLuisBernabe
      @CandidoLuisBernabe Рік тому

      Inabidi kuwaoneya uruma hawa wakristo wagumu kuyelewa kama watu walanivu isto é muito complicado para eles mais força chee ramazani salvar a vida eterna desses perdidos e muito obrigado bom trabalho.

  • @loner_wolf
    @loner_wolf Рік тому

    Mchungaji anajitahidi kupingana na biblia lkn maandishi ktk biblia hayabadiriki. Lkn sheikh nawewe unashindwa kumuelewa mchungaji anapokwambia ni NJAA tu. 😂😂😂😂

  • @fredymziwanda1283
    @fredymziwanda1283 Рік тому

    Kuna dini ya kiyahudi, na dini ya kikiristo na dini ya kislamu

    • @salumuhamza
      @salumuhamza Рік тому

      Dini ya kikilistu na yakiyaudi umezisoma wapi?

  • @Moc.khalfan
    @Moc.khalfan Рік тому +2

    Iam first vower

  • @paulinerathgeber1045
    @paulinerathgeber1045 Рік тому

    Believe in Jesus and we will discuss whatever you want

  • @Adm9464
    @Adm9464 Рік тому +2

    It’s always John 3:16 which never mentions Jesus by name. Rather the verse God sent his only child when there’s a dozen children of God in your Bible.

  • @wakawakakhamis9558
    @wakawakakhamis9558 Рік тому

    Mimi ni baharia popote na nnchi yyt nnayo fika nawangalia nationality tanzania

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 Рік тому

    Mwisho makanisa yataitwa scania naona majina ni mengi kila mtu anakanisa lake bora mkono uende kinywani

  • @davidmghanga8502
    @davidmghanga8502 Рік тому

    Ndugu zangu wakristo musidanganywe waislam wanawadanganya hadharani mbele ya MUNGU hawamuogopi MUNGU Hawa YESU aliingia sinagogi la wayahudi waislam hawakuwa enzi ile ndo maana baada ya kuwafundisha lika 4:16--29 walianza kumshambulia ,ramadhani ulisema eti ndo ninyi waislam mulikuwa ndani tukitembea na akili yako basi ninyi si watu wa amani maana vs 29 mulimpeleka kwa mlima mumuue ila akatoka mikononi mwenu,mnadanganya watu eti YESU ni Islam poleni sana ,Imani yetu ni hii 1kor 8:6mungu wetu ni mumoja tuu yuko na BWANA YESU,kuhusu uungu wa YESU yoh 1:1filp 2:6 tito 2:13 alafu ninyi waislam mnachunguza maandiko mkidanganya watu eti mnampenda YESU ndo muwapate wakristo ila mko kinyume nae yoh 5;29 msipookoka mtajuta cku yaja YESU atabaki kuwa mkuu zaidi wote na ndie alama ya kiama njoni kwa YESU mupone

    • @salumuhamza
      @salumuhamza Рік тому

      Kwanza wewe ni dini gani?

    • @salumuhamza
      @salumuhamza Рік тому

      Maana hakuna dini inayoitwa ukristo

  • @mangeraalbert7982
    @mangeraalbert7982 Рік тому +1

    Huyu mzee akiri ndio hamna

  • @brenda1083
    @brenda1083 Рік тому

    Afathali nisilimu

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 Рік тому +1

    Kila nabi umekuja na kitabu chake je biblia kitabu alicho kuja nacho nani wakati yesu kaja na injili

  • @fredymziwanda1283
    @fredymziwanda1283 Рік тому

    Hakuna uusilamu wa kiyahudi

    • @salumuhamza
      @salumuhamza Рік тому

      Mwenyezimungu humuongoa amtakae wewe ukibaki huko basi hakuna kulazimishana katika dini

  • @kinawaka6858
    @kinawaka6858 Рік тому +1

    Allah ni ninani? Allah ni ninani?

  • @Adm9464
    @Adm9464 Рік тому +3

    Very sad even their pastors are confused, I don’t understand what they preach to this people. Pastor alisema hajui kama ukristo ni dini.

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 Рік тому

      Haipo kokote ukristo ni dini ukitaka kujua hilo jiulize biblia kitabu cha nabi gani wakati yesu kapewa injili je biblia kapewa nani

  • @adanabdi5249
    @adanabdi5249 Рік тому +1

    Poa

  • @boslayogero8329
    @boslayogero8329 Рік тому +13

    Am a Cristian but I like the procedure of Ramadan the way he ask questions in a polite way

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 Рік тому +4

      U will become Muslim ishallah

    • @chiefmkalikibz1503
      @chiefmkalikibz1503 Рік тому +1

      Thats what our DEEN (religion) t us @an-nahl 16/125

    • @mozaalmanji4466
      @mozaalmanji4466 Рік тому

      ​@@alzawahirabdallah2299 ap

    • @mangeraalbert7982
      @mangeraalbert7982 Рік тому

      Ogero we need people who are open minded, Bible iko clear haifiji jambo, kuu hyu pastor anaongea vitu zake.

    • @MohamedAhmed-ns5mi
      @MohamedAhmed-ns5mi Рік тому

      Bro tunakupenda kama ww unavo penda matendo yandugu yetu Ramadan u will become muslim inshallaha

  • @halimahbwelele694
    @halimahbwelele694 Рік тому

    MashaAllah