Mashallah sheikh ramadhan kwa kazi mzuri ya dawaah Allah awaongoze wote waliosilimu katika njia ilionyoka ya manabi I uisilamu mungu awafanyie wepesi inshallah
Allahu Akbar walahi raha ilioje kuona watu wakiingia kwa dini ya kweli mungu awaongoze wote na InshaAllah mungu awalipe na awape maisha marefu sheikb Ramadan na team yako
Subhana allah watu wa hapo naona km wote ni walatimu na hishima na watulivu mungu awabarikie hapo ipatikane da,awa kwa wingi mungu ajaalie waislam wajitokeze kwa wingi kusaidia
Mashallaha .kazi njema kaka..Allah akujengee jumba la dhahabu peponi inshaallah..kazi unayofanya si ndogo....watu wengi wanakosa elimu ndio maana wanashindwa kujua uislamu ila Allah alisema hataacha dini yake ipotee ndio maana amekutuma kwa wasio na elimu uwaelimishe....."eeee Mola wangu muone mja wako huyu kazi aifanyayo na umlipe ujira ulio MNONO" amin amin amin
Takbeer! Allahu Akbar.! Subhannallah this indeed its from the signs of Allah.s.w.t. this people should just believe in Allah.s.w.t. May Allah s.w.t guide them all and rewards you sheikh for the efforts.
This is kind of force,nguvu ya uvutano,force ya kusukuma iko chini kuliko ya kupanda ndoamaana inatokea hivo,ingelikuwa kwenye bahari tungesema density ni ndogo
Wewe Uliyesilimishwa Umeshakuwa Mpinga Kristo, Kitakachofuata Utakuwa Muovu Kuliko Huyo Aliyekusilimisha 👉 Mathayo 23:15 Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnazunguka katika bahari na nchi kavu ili kumfanya mtu mmoja kuwa mwongofu; na akiisha kufanyika, mnamfanya kuwa mwana wa jehanum mara mbili zaidi kuliko ninyi wenyewe.
Pongezi Mwalimu. Mimi huko ndio kwetu. Hao ni ndugu zetu Wakamba. Mimi natoka Tala na nimekuwa Mwalimu wa Uislamu Mitaboni na Kakuyuni. Natazama nikiwa Riyadh.
Wewe imepotea bila kujua! Uisilamu ni uongo. Nakuombea ifunguke macho urudie yesu Kristo. Sidhani unajua unalolifanya kwa wakati huu. Utajionea mwenyewe baada ya muda mfupi.
it's better kuswali matendo kutimiliza kutihii ibada tusihukumu maana kipimo hichohicho ndicho utapimiwa nimefanya sana utafiti baadhi ya dini wanajikamilishia Pepo tena wanawaita wenzao makafili siyo vizuri Mungu anatupenda sote dini haikufanyi kuingia mbinguni
Ustadhi Ramadhani Mungu akulinde unatoa elimu yausilamu watu 2 jue tikuwa tajuwi Mana yausilamu
Ustadhi ramadhan unafanya kazi kubwa sana Allah akuhifadhi 🤲❤️🇹🇿l
Ramadhani kazi zuri sana ALLAH akujalie mwisho mwema mm natokea ukambani namshukuru ALLAH kwa kuwa muislam ❤❤Allahmdulillah
Mashallah sheikh ramadhan kwa kazi mzuri ya dawaah Allah awaongoze wote waliosilimu katika njia ilionyoka ya manabi I uisilamu mungu awafanyie wepesi inshallah
Allah akufanyie wepesi maisha yko n wenzako kueneza dini ya Allah nawapenda kw ajili ya Allah
Allahu Akbar walahi raha ilioje kuona watu wakiingia kwa dini ya kweli mungu awaongoze wote na InshaAllah mungu awalipe na awape maisha marefu sheikb Ramadan na team yako
Mm ndugu yako kwa islam machozi yamenitoka kwa furaha ALLAHU AKBAR
@@nailaomar4810 😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮
Masha allah kazi nzuri Sana unayoifanya
Allah akuzidishie
Kila La kheri
Baraka allah fik
Kaka Joshua uko sawa sana Allah akufanyie wepesi kujua dini na kuifanyia kazi Allah Akbar .
Mji mzuri masha Allah, na tamani ningekuwa na nyinyi huko. Allah bless you all Allahumma Ameen yaarabil Aalamiin
Subhana allah watu wa hapo naona km wote ni walatimu na hishima na watulivu mungu awabarikie hapo ipatikane da,awa kwa wingi mungu ajaalie waislam wajitokeze kwa wingi kusaidia
Mashalla alhabdulilai barakalla fih ustaz ramadan
Takbiriii Takbiriii Allah Akbar ! Shekhe Ramadhani na wenzio Allah atawalipa kheri kwa kazi mnayo ifanya hapa Duniani na kesho mbele ya haki Ameen .
ALLAHU AKBAR
Allah akbar
ALLAHU AKBAR ALHAMDULILAH
Allahu Akbar
Allah akupe umri mrefu ili ufundishe uislamu kila sehwmu
mashallah sheikh wetu kwa kazi nzuri
Ma sha Allah Tabaraka llah Mungu mueza kila jambo
MashaAllah Allah awahifadhi na awalipe kheri duniani na akhera
لا إله إلا الله وحده لا شريك له له الملك وله الحمد وهو على كل شيء قدير ☝🏾
Wa manzo naomba like jamani 😂
Mashallah
Mashaallah tabarakarahman mungu akupe umri na afya uendele na daawa uwaongoze waliopotea waijue dini yahaki yakiislamu
Mashallaha .kazi njema kaka..Allah akujengee jumba la dhahabu peponi inshaallah..kazi unayofanya si ndogo....watu wengi wanakosa elimu ndio maana wanashindwa kujua uislamu ila Allah alisema hataacha dini yake ipotee ndio maana amekutuma kwa wasio na elimu uwaelimishe....."eeee Mola wangu muone mja wako huyu kazi aifanyayo na umlipe ujira ulio MNONO" amin amin amin
Ameen thuma ameen
Amiin Thumah Amiin 🤲
Allahuma ameen🤲🏻🤲🏻🤲🏻
Amiiin yaraby
Amiin
Mashalwah kazi nzuri mungu akubariki akupe maisha marefu yenye mafanikio ya duniani na akhera na mungu atupe mwisho mwema kwa sote ishaalwah
Allahuma ameen🤲🏻
Amiin
MashaAllah shelkh Ramadhani Mungu hakulipe pepo ya fildas lnshaallah
huyu brother anahitaji suport sana ndugu zanguni
Masha ALLAH jazakallahu khair..shukran sheikh Ramadhan ALLAH barik inshaAllah..
Subhanallah natamani nifike huko
Asalam alaykum waramatulah wabarakatuh shukurani 🙏 ♥️ mungu awalipe mema mashaallah kwakazi nzuri sana ♥️
Takbeer alaahu akbar👍
Asalam Alakum ! Masha Allah Masha Allah Allahu Akibar ! Katibuni sana katika usilamu
Kazi nzuri sheikh
Masha allah ALLAH ,akutangulie Kwa Kila hatuwa.
سبحان الله والحمدالله ولاإله إلا الله والله اكبر
Subhanallah
Utakasifu ni wake ALLAH
Subhanallah
MashaALLAH vizuri sana
ALLAH awazidishiyeni
Masha Allah
This incredible water flow up words not down word
MashaAllah Allah azidi kuwalinda masheikh wetu
Masha Allah tabaraka Rahman, Subhana Allah
Manshallah
Will find Allah forgiving and merciful
Allah Uakhbar.. Subbhanallah... Mashallah Tabarakallah Shekh Ramadan...
Mwenye Enzi Mungu awa hifadhi yaarab na awape nguvu, subra muzid kuitangaza dini ya Allah
YOHANA 14_6
Takbir shekh nikuombe kitu kimoja ukisha waslimisha wafahamishe dini nini inataka unadhifu kujipaka mikojo haitakiwi wafahamishe vizuri shekh wetu waelewe vizuri
Allahu Akbar 🙏
سبحان الله وبحمده عدد خلقه ورضا نفسه وزنة عرشه ومداد كلماته
How perfect Allah is and I praise Him by the number of His creation and His pleasure, and by the weight of His throne, and the ink of His words.
Baarakallahu fiik yaa shekh Ramadhan
Subhanallah Allahu
Takbiiir Allah akbar manshallah
Matambiko na mila potofu ni mambo yanayotutoa kwenye mstari wa kumwabudu Mungu wa kweli(Yehova)
Maashallah Allah
Takbeer! Allahu Akbar.! Subhannallah this indeed its from the signs of Allah.s.w.t. this people should just believe in Allah.s.w.t.
May Allah s.w.t guide them all and rewards you sheikh for the efforts.
Allah akbar
Mashaallaah jazakumullah kheir amiin ya rabillaamiin
😊😂wa mwanzo Leo maajabu ngoja nijipongeze kwanza 😂😂😊
Naima
Ulisema wataka mume wa kukujali me nakutaka japo sijakuona
SUbhanallah
Mashaallah Mashaallah Allah wakbar
Mashaallah karibu kwenye dini isiyokuwa na shaka ndani yake🙏🙏
Allahu Akbar
Nafatilia sanaa..niko tz
Mwenyasi Mungu na Allah ni tofauti kabisa.
Mwenysi Mungu diye baba yake Yesu na Allah hana mtoto
Baba ake yesu alimuoa mariamu Yaan mke namume wakamzaa yesu 😮 soma din ndo ulete hoja yenye mashiko
Subhana Allah !
SubhanaAllah!
ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR walilah hamd
Ni vizuri kuheshimu dini ya mwengine
MashaAllah MashaAllah Allahu Akbar
Mansha Allah
In sha Allah nitaenda kujionea
Maa shaa Allah
Takbir Allah Akbar
This is kind of force,nguvu ya uvutano,force ya kusukuma iko chini kuliko ya kupanda ndoamaana inatokea hivo,ingelikuwa kwenye bahari tungesema density ni ndogo
MashaAllah. Wa Islamu, supportini hii channel ya Dawah, na Ustad Ramadhan!
Jazak Allahu kheiran
Masha Allah tabarakallah
Maasha tabarkallah
Alla akujalie wepesi kwa kila hali
Subhanaallah
Allahu akbar
Maashaallah jazaka lakheli ostadhi
Masha Allah, Allahu Akbar
Mashaallah mashaallah
Maajabu ya mungu
SubhanaAlla
Masha Allah 💞
Allah akbar
Kwenye msosi muute na na mm 😂😂😂 Shai
Allahu Akbar mashallah
Ramadhan kamau soma yakobo moja mlango wa ishirini na mbili
Wewe Uliyesilimishwa Umeshakuwa Mpinga Kristo, Kitakachofuata Utakuwa Muovu Kuliko Huyo Aliyekusilimisha 👉 Mathayo 23:15 Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnazunguka katika bahari na nchi kavu ili kumfanya mtu mmoja kuwa mwongofu; na akiisha kufanyika, mnamfanya kuwa mwana wa jehanum mara mbili zaidi kuliko ninyi wenyewe.
Mashaallah
Pongezi Mwalimu. Mimi huko ndio kwetu. Hao ni ndugu zetu Wakamba. Mimi natoka Tala na nimekuwa Mwalimu wa Uislamu Mitaboni na Kakuyuni. Natazama nikiwa Riyadh.
Hongera zako
Huko ndo kwetu pia nambie uko Riyadh wapi
Mnadanganya sana kama huyo wa blue anajitahidi kweli naona kama wanaigiza move tupewe tu jina
Mashaalah
✊✊☝☝❤❤❤
MashaAllah
Wewe imepotea bila kujua! Uisilamu ni uongo. Nakuombea ifunguke macho urudie yesu Kristo. Sidhani unajua unalolifanya kwa wakati huu. Utajionea mwenyewe baada ya muda mfupi.
Leta maandiko
Mashaallah Allah ndokila kitu
Jamani Wana geographya tusaidieni Pana nn hapa
Auto au mm t simu yangu
Baarkallahu fiik ya shekh Ramadhan
it's better kuswali matendo kutimiliza kutihii ibada tusihukumu maana kipimo hichohicho ndicho utapimiwa nimefanya sana utafiti baadhi ya dini wanajikamilishia Pepo tena wanawaita wenzao makafili siyo vizuri Mungu anatupenda sote dini haikufanyi kuingia mbinguni
Imepita hapo
Equator
😲😲😲😲😲
Kusoma kurahani sio easy,it takes tyme
Samahan shegh wangu naweza pata hii video