PASTOR ALIYEKUWA GAIDI AKUBALI YESU ALIINGIA MSIKITINI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024
  • Please subscribe to our channel for more videos

КОМЕНТАРІ • 325

  • @fridahmulongo2697
    @fridahmulongo2697 2 роки тому +13

    Ma shaa Allah sheikh Ramadhan ila kweli wenzetu ni Washindani sana wanasoma bibilia but at the same time wanabadilisha ,kweli Allah alisema wana macho but hawaoni wana masikio na hawatasikia ,wenzetu watake msaada wa mwenyezi Mungu ili waweze kufaumu maandiko .

  • @naimaabuualii578
    @naimaabuualii578 2 роки тому +7

    Wana wa straight path hongereni sna Kwa jitihada zenu

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 2 роки тому +8

    Masha ALLAH Tabarakallah sheikh Ramadhan. Jazakallahu khair.

  • @nooroman2535
    @nooroman2535 2 роки тому +7

    MashaAllah shelkh Ramadhani na mashelhk yote Mungu hawape maisha marefu na afya njema mzidi kumtangaza Allah lnshaallah

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 2 роки тому +5

    Masha Allah sheikh Ramadan Allah akulinde na wabaya akupe afya njema ili uzidi kuwaita watu kwenye dini ya haki

  • @guenterernst5481
    @guenterernst5481 2 роки тому +5

    Wote hawana majibu hata mapastor pia , i sheikh Allah awabariki ameen

  • @hamdishide3137
    @hamdishide3137 2 роки тому +7

    Mansha Allah, immediately after I got notification

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 2 роки тому +20

    Lakini huyu Sheikh Ramadhani ni Mwalimu kweli kweli kwa sababu anasomesha somo hili la kuelewa mafundisho ya Allah ( Mwenyezi Mungu) kwa kutumia Biblia na Qur'an, somo ambalo watu wengi wamepotoshwa, hata wenye PhD... Kazi ya Daawa inaleta faida nyingi katika Jamii. Kila mmoja ana sehemu yake ya kuweza kufaidika, ikiwa ana imaan. Anayetoa Sadaqah ya mali yake anapata, faida yenye kuendelea bila kikomo akiwa hai na hata akiwa kaburini. Na mwenye kutoa ilimu yake kwa kufundisha Haki anapata faida isiyokoma kwa kuwa elimu ile inamfaidi mwanadamu aliyefundishwa na yule anayefundisha. Kwa hivyo, kazi hii tukiifanya watu wote wanaoelewa mafundisho ya Qur'an na Sunnah, Watu wengi wataelewa in sha Alkah na kheri itaenea. Allah atujaalie kuwekeza mali yetu katika A/c hii ya Sadaqatu Jaariyah na Katika kufundisha ilmu ya kumjua Allah ile iliyofundishwa na Mitume wote wa Allah. Tuacheni uzembe kama ule wa vijana Waislamu kukaa wanatafuna Miraa nk.

  • @mishijuma5558
    @mishijuma5558 2 роки тому +5

    Masha allah sheik wetu ALLAH akuhifadhi

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 Рік тому +1

    Ma asha ALLAH kwa kazi nzuri , ALLAH akulipe kheir kwa kila hatua unayoipiga , na MUNGU akubariki na ajalie wepesi kwa kila palipo na uzito na akulipe jannatu fridausi amiin

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 Рік тому

    Wanahitaji dawaah kwa mara nyingi mpka hidaya ya ( Allah s.w.t) iwashukie na kuisilimu wote, shukran sheikh ramadhan kazi yako iko Sawa yakufikisha ujumbe Allah akufanyie wepesi kwa kila jambo lako na Akhera uwe nambari moja peponi inshallah

  • @naimaabuualii578
    @naimaabuualii578 2 роки тому +3

    Hongera sana zeivi unatambulisha watu wasabuscribu Ramadan kuria mungu akulinde na mahasid wabaya na tumeanza kuwa ona humu humu kwenye hii chanali. Ila mungu akuhifadhi nao Amin

  • @mrimh7798
    @mrimh7798 2 роки тому +4

    MashaAllah nawapata vizur nikiwa 🇴🇲hongeren Sana 🤝

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 2 роки тому +7

    Tusijifanye atuelewi, ukweli uko wazi, الله anamuongoza amtakae, الله awafanyie weepesi na awaongoze. Na atupe mwisho mwema.

  • @amidoalide3461
    @amidoalide3461 2 роки тому +5

    Asalam alaukom Direita mente de Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿 gosto do seu canal todos os dias fico atento dos seus vídeos novos 🤲🤲

  • @saidhassanahmed4
    @saidhassanahmed4 Рік тому +1

    Da mashallah shekhe akuongoze mm nimependa sana kipindi chako inshaalah Allah akulipe firdaus

  • @khadijahhemed8910
    @khadijahhemed8910 Рік тому

    Mashaallah Shekhe Ramadhani mola atakufunguwa peponi unajuwa vyakuwasomesha wasiomjuwa mola wetu kwa kiyakini kabisa mola akuzidishie akupe uzima wa afya na untitled mrefu I idi kuwaelimisha wa pats kuzidi waislamu lipate kukuwa za idi dola la kiislamukiislamu tuingie peponi

  • @allyussene
    @allyussene 2 роки тому +3

    Masha Allah
    Kazi mzuri sana

  • @naimaabuualii578
    @naimaabuualii578 2 роки тому +2

    🎉🎉🎉🎉😂 pongezi kwangu na leo

  • @ramazecha8862
    @ramazecha8862 2 роки тому +4

    Mashallah

  • @shurlaally1686
    @shurlaally1686 2 роки тому +3

    Abubakari Asomugha sana apate kuwatoa kwenye giza

  • @professerayyub4825
    @professerayyub4825 2 роки тому +1

    Kijana hapo kando he's enjoying the truth MashaAllah Mungu awaongoze Yaa rabbi

  • @gazaomar677
    @gazaomar677 Рік тому +1

    ASalam aleykum warahmatullahi wabarakatuh Sheikh Ramazan ninge pendeleya katika kufundisha Dawa uwe unatumiya vitabo peke kwamana wa kristo wanapenda kugeuza maneno

  • @nuriatihdjasumin1548
    @nuriatihdjasumin1548 2 роки тому +3

    Mashaallah tabarakalah 😍😍😍😍

  • @zawiyahamisi4340
    @zawiyahamisi4340 Рік тому

    Mshaalah allah akulipe kheri nyingi hapa duniani nakesho akhera amina

  • @najaasalim8942
    @najaasalim8942 2 роки тому +1

    Mashaallah mungu atazidi kuwasaidia kila namna kihali na mali muzidi kua mbele kumpekesha Allah kwa kilmatu tauhid اشهد ان لا اله الا الله واشهد ان محمد رسول اللّه ☝️

  • @rashidwalwanda1991
    @rashidwalwanda1991 2 роки тому +3

    Allahu Akbar

    • @mariamkamau7301
      @mariamkamau7301 2 роки тому +1

      Allah akuhifadhi uzidi kuelimisha watu wajue uislamu
      Naomba wakati mwingine utembee wangige / kabete ili nao uwaelimishe wajue maana ya uislamu ishaa Allah

    • @issajumamwinyi6191
      @issajumamwinyi6191 2 роки тому

      ua-cam.com/video/S9aZa4MBYNQ/v-deo.html

  • @sosajamal8770
    @sosajamal8770 Рік тому +1

    Good job asalam alaykum Rahmadan Mashallah

  • @HajiSinaihaji-us5sr
    @HajiSinaihaji-us5sr Рік тому +1

    Takbiir. Allahuakbar

  • @muminaroba9122
    @muminaroba9122 2 роки тому +5

    MashaAllah

  • @marvelousofzanzibar9556
    @marvelousofzanzibar9556 Рік тому

    Watching this from green and spice island Zanzibar wanazidi kuelewa

  • @aishaally6602
    @aishaally6602 2 роки тому

    ALLAHUMA BARIK ALLAH AKUZIDISHIE UJASIRI HUO HUKU NI KUTHUBUTU

  • @mohamedhozi8110
    @mohamedhozi8110 2 роки тому +1

    Maashaallah baarakallah

  • @imranbanda3963
    @imranbanda3963 Рік тому

    Very educative

  • @omaryissagumbi5242
    @omaryissagumbi5242 Рік тому +2

    Kwanini wakiristo wanapotosha hao laana yao watajuta kwaaallah wallah naapa

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt 3 місяці тому

    YesuNimwanaWaMunguNaNiMungu.InnalilahWainaIlahyhRajionKhaaa

  • @SaidMgeni
    @SaidMgeni 11 місяців тому

    MashaAllah TabarakahAllah

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 2 роки тому +2

    Hamjatueleza hapo mlipo ni sehemu gani ya Ukambani.

  • @maryammdoe5801
    @maryammdoe5801 Рік тому

    All in all barakallahu fiiqum

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 Рік тому

    Mashalla Allah ❤

  • @naimaabuualii578
    @naimaabuualii578 2 роки тому +3

    Wamwanzo na Leo 😂👋👋

  • @AliIbrahim-lv5cq
    @AliIbrahim-lv5cq 2 роки тому

    mashaAllah ndugu zetu wakamba watulivu sanaa

  • @mhjgkgjfjzuzu9545
    @mhjgkgjfjzuzu9545 2 роки тому

    Asalam waleikm waramatullah wabarakatuh MashaaAllah shekh Ramadhani Allah akupe afya njema InshaaAllah..siku nyingi sijamuona shekh yusufu

  • @mariamshamim7196
    @mariamshamim7196 2 роки тому

    Maashallah

  • @maherzain615
    @maherzain615 2 роки тому

    Dah huyu pastor hodari na ako makini sana kugeuza maana ya maandiko.

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 2 роки тому

    Mashallah mashallah

  • @aburaasmedia3682
    @aburaasmedia3682 2 роки тому

    Masha ALLAH

  • @kimsi682
    @kimsi682 Рік тому

    Tafadhali wacha kueneza upotofu. Wewe ulikuwa unaenda mbele na Yesu. Ukaangalia nyuma kwa uislamu. Mke wa Loto alipoangali nyuma alikufa. Waana wa waesraeli walipoangalia nyuma ama kando walikufa. Wewe hauendi mbinguni bila Yesu. Haujui Mohamad ako wapi saa hii! Hauingii mbinguni na unazoea watu kuingia mbinguni.

  • @abuuzuberi8886
    @abuuzuberi8886 Рік тому

    Aslam alykum kaka Mimi nilikuwa nakushaur tafuta mtu ambaye anaweza kukuwekea donate kwenye account yako ya UA-cam ili mtu akitaka ana donate sisi wengine tungependa kuweka chochote pia kama sadaka yetu Asante

  • @suleimanali4970
    @suleimanali4970 2 роки тому +2

    Asalam aleikum..sheikh video haina sauti

  • @bahatikenia39
    @bahatikenia39 2 роки тому

    Mashaalah

  • @omaryissagumbi5242
    @omaryissagumbi5242 Рік тому +1

    Kumbe yesu nimwisilaam,,?

  • @HaliaKheri
    @HaliaKheri 5 місяців тому

    🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤❤❤🌹🌹🌹🥀

  • @amidoalide3461
    @amidoalide3461 2 роки тому

    Como posso te conhecer meu irmão ramadan??

  • @fauzenkassim8424
    @fauzenkassim8424 2 роки тому

    😂🤣 mashaallah

  • @maryammdoe5801
    @maryammdoe5801 Рік тому

    Wallahi imenibidi ty ni 🤣🤣🤣

  • @yussufmasoud801
    @yussufmasoud801 Рік тому

    Please, translate in English.

  • @khamistv6138
    @khamistv6138 2 роки тому

    Mutulilu

  • @issajumamwinyi6191
    @issajumamwinyi6191 2 роки тому

    RAMADHAN BIN KURIA .....KAMA UNATAKA KUENEZA UISLAMU EAST
    AFRICA...USITUMIE UJANJA NA UONGO......HII NDIO NJIA SAHIHI
    >>>>> @

  • @ndetim7043
    @ndetim7043 2 роки тому

    Quran 4: 143, Wavering between them, [belonging] neither to these [i.e., the believers] nor to those [i.e., the disbelievers]. And whoever Allāh sends astray - never will you find for him a way.
    - Those people Allah has send them astray , does Allah says that they will never find their way to the right path, you being smarter than Allah, lol

  • @faridsaid9180
    @faridsaid9180 2 роки тому +2

    haina video. Ni audio tu

  • @kingsdaughter2040
    @kingsdaughter2040 2 роки тому

    Kafir ni mtu.asiamini mungu lakin waislamu wa Enzi izi wanawaita wakristu kafiri waislamu wa Enzi zile wacha ni Waite mababu zetu wa kiislamu walikuwa na upendo sana

  • @jacksonkilonzo1439
    @jacksonkilonzo1439 2 роки тому

    ua-cam.com/video/DQmdzlMl1xM/v-deo.html UWONGO MTUPU ANGALIENI HII VIDEO

  • @leiladagane
    @leiladagane Рік тому

    Ati Christianity....mjuaji eeh

  • @issajumamwinyi6191
    @issajumamwinyi6191 2 роки тому

    RAMADHAN BIN KURIA .....KAMA UNATAKA KUENEZA UISLAMU EAST
    AFRICA...USITUMIE UJANJA NA UONGO......HII NDIO NJIA SAHIHI
    >>>>> ua-cam.com/video/4PjuBpiFIqU/v-deo.html

  • @Fm-MornStar2014
    @Fm-MornStar2014 2 роки тому

    If I get an ignorant Muslim I take him/her in the same root.
    It entertains me when he convinces them through the Bible which they think they know. It's just a matter of finding someone ignorant.
    But it makes me feel pity for this Christians who don't know how to correctly interpret the Bible with exegesis.

    • @ndetim7043
      @ndetim7043 2 роки тому

      S 34:14,
      Then, when We decreed (Solomon's) death, nothing showed them his death except a little worm of the earth, which kept (slowly) gnawing away at his staff: so when he fell down, the Jinns saw plainly that if they had known the unseen, they would not have tarried in the humiliating Penalty (of their Task).
      How do you know who to interpret the Quran correctly and yet you can not comprehend how one can die holding a stick, let alone a king and no one knows of his death until the worms ate his staff then he fell down, oh Allah is all knowing

    • @kennleviwayne1087
      @kennleviwayne1087 Рік тому

      But he has tried to answer more questions... remember he's one of us....

    • @leiladagane
      @leiladagane Рік тому +1

      U will never ever get Muslim ignorant bcoz we begin to learn qoran at a young age....so u can't fool us in the name of nitapoteza

  • @kingsdaughter2040
    @kingsdaughter2040 2 роки тому

    Synagogue ni mahali ya jews sio waislamu na yesu alikuwa jew sio muislamu

    • @maherzain615
      @maherzain615 2 роки тому

      Kwahio hakuwa mkristo?

    • @kingsdaughter2040
      @kingsdaughter2040 2 роки тому

      @@maherzain615 jew ni kabila sio dini na kama alikuwa muislamu nani kampa shahada

    • @maherzain615
      @maherzain615 2 роки тому

      @@kingsdaughter2040 hakuna mskiti wakabila.mskiti ni ya waislamu hana ukiwa China huwa niwa waislamu. Alompa shahada ni mungu alomtuma

    • @kingsdaughter2040
      @kingsdaughter2040 2 роки тому

      @@maherzain615 mungu hana dini kazi ya wanadamu kuleta division kwa watoto wake

    • @maherzain615
      @maherzain615 2 роки тому

      @@kingsdaughter2040 utaona ukitiwa kwa sanduku kma mungu hana dini

  • @jestymoresimon7576
    @jestymoresimon7576 2 роки тому +1

    Watu wote wawe makini...
    Biblia inasema siku hizo roho wa uongo atainuka , kote shetani ameingia .
    Lakini tambua mbinguni hatuingii juu ya dini na wala hakuna dini mbinguni, ni falsafa ya mwanadamu.
    Utahubiri dini hadi kuzimu maana mwisho wake ni humu duniani.
    Biblia na quran haziendani hata ki historia , Yesu alikuja kabla ya Muhammad na nyi mnasema ati biblia ilibadilishwa
    Tambua waongo hawataingia paradiso na msipomkiri Yesu ndio njia na uzima basi imani yenu ni bure .
    Aliye na ubishi anitafute

    • @muksinsaidi4892
      @muksinsaidi4892 2 роки тому +1

      Kunywa divai lkn usilewe kaka, wakristo awana dini, acha kujikomba komba apa,

    • @lindatasha3960
      @lindatasha3960 2 роки тому

      @@muksinsaidi4892 hatuna dini aje ,,usiukumu usije ukaukumiwa Sasa juu wewe unajuwa sana juu ya wakristo ebu tuambie tuskie ,,na kwa habari yako sisi tunalinda Imani Wala sio dini kwa sababu mbinguni akuna dini sisi wote ni Wana wa Mungu na ikifika siku ya hukumu akuna eti juu ulikuwa muislam Sasa unaweza kusamehewa ukaingia mbinguni ,,ni mtu uangalie matendo yako na juwa kwamba Yesu alikuwa wa kwanza ndio Muhammad akaja nyuma Sasa musiwe wepesi wa kuhukumu watu wengine kwa kujiona kwamba mko wakamilifu sana ,,,,Mimi na Yesu hadi mwisho na Kila goti litabikwa na ulimi ukirii kuwa yeye ndie Bwana hallelujah 🙏

    • @muksinsaidi4892
      @muksinsaidi4892 2 роки тому

      Labda uNithibitishie basi kwa aandiko ndan ya biblia kwa kuna dini dunian iliwai au ipo inaitwa ukristo, na usilete blabla, toa andiko

    • @muksinsaidi4892
      @muksinsaidi4892 2 роки тому

      Ata yesu aujui ukristo wala biblia, labda muguambie uyo roho mtakatifu ni jini gani ambae anawatuma kuzusha ayo munayoyaamini

    • @jestymoresimon7576
      @jestymoresimon7576 2 роки тому

      @@muksinsaidi4892 dini ni mikusanyiko ya watu walio ungana Ki imani
      Wayahudi, wagiriki na wengine.... lakini fahamu dini haipeleki mtu uzimani maana ni mapokeo na mafunzo ya wanadamu
      Kinachopeleka mtu uzimani ni kuamini injili ya yesu kristo na imani iliyo safi
      Sasa dini itajwe kwa biblia isitajwe bado haipeleki mtu mbinguni

  • @issajumamwinyi6191
    @issajumamwinyi6191 2 роки тому +1

    RAMADHAN BIN KURIA UKIPATA WAKRISTO MAUMA UTAWADANGANYA SANA...KWANZA HIYO YUDA 1:4 UNAWACHA AISOME NUSU ALAFU UNAMKATA.....UJANJA WA WALIMU WOTE WAISLAMU
    YUDA 1:4 Maana watu wasiomcha Mungu wamepata kujiingiza kwa siri miongoni mwetu, watu ambao, kwa faida ya maisha yao mabaya, wanaupotosha ujumbe wa neema ya Mungu wetu NA KUMKANA YESU KRISTO ALIYE PEKEE YAKE KIONGOZI NA BWANA WETU. Lakini, Maandiko Matakatifu yalikwisha bashiri tangu zamani hukumu inayowangojea watu hao.
    SI WAISLAMU NDO HUMKANA YESU SIO BWANA? KAFIRI NI WEWE ....Maandiko Matakatifu yalikwisha bashiri tangu zamani hukumu inayowangojea watu hao.

    • @newbwejuu4302
      @newbwejuu4302 2 роки тому

      Yesu kwenye biblia yenu anasema hakutumwa ila kwa wa Israel 🇮🇱 , ww na point zako tuambie yesu alikua mkristo, alikua mungu, au na ww ni wa Israel 🇮🇱 unaemfata

    • @issajumamwinyi6191
      @issajumamwinyi6191 2 роки тому

      @@newbwejuu4302
      NI MFUNZO YA KIISLAMU YESU ALITUMWA KWA ISRAELI.
      YOHANA 3;16 IKO WAZI ALITUMWA ULIMWENGUNI.
      UKRISTO SIO DINI KAMA UISLAMU...NI TABIA....KWA HIVYO SWALI LAKO NI KAMA KUULIZA KAMA YESU KRISTO ALIKUWA NA UKRISTO!!
      YESU HAKUWA MUNGU BALI MWANA WA MUNGU ...AU WW NI WA UARABUNI UNAYE MFWATA MUHAMMAD MWAARABU??

    • @muksinsaidi4892
      @muksinsaidi4892 2 роки тому

      Wewe ni kafiri tuu

    • @issajumamwinyi6191
      @issajumamwinyi6191 2 роки тому

      @@muksinsaidi4892
      Kafiri ni anayemkana Yesu sio Bwana!!
      Yuda 1:4

    • @maherzain615
      @maherzain615 2 роки тому

      @@issajumamwinyi6191 bwana harusi ama

  • @issajumamwinyi6191
    @issajumamwinyi6191 2 роки тому +2

    RAMADHAN BIN KURIA - KWA TAARIFA YAKO ISA NI COPY CAT WA MUHAMMAD....ISA SIO YESU KRISTO ALIYE HAI....TOFAUTI NI KAMA USIKU NA MCHANA....
    ENDELEA KUWADANGANYA WAKRISTO WASIO JUA NENO LA MUNGU...
    CHUMA CHAKO KIMO MOTONI SIKU YA KIAMA!!

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  2 роки тому +5

      Wewe nenda ufundishe unachokijua

    • @mrimh7798
      @mrimh7798 2 роки тому +1

      Issa juma mwinyi _ acha husda zako kama hujui jambo ni vizur kujifunza 🤫

    • @issajumamwinyi6191
      @issajumamwinyi6191 2 роки тому +1

      @@mrimh7798
      NI JUFUNZE UONGO???

    • @issajumamwinyi6191
      @issajumamwinyi6191 2 роки тому +1

      @@StraightPathDawah
      HAPO SAWA KAKA.....LAKINI FUNZA UKWELI...SIO KUBADILISHA AMA KU-EDIT BIBLE VERSES KUDANFANYA WASIO LIJUA NENO.........USIWE WAKALA WA SHAITANI.
      SHUKRAN!!

    • @abdur-rahmanmuhammad6900
      @abdur-rahmanmuhammad6900 2 роки тому

      @@issajumamwinyi6191
      Ni wapi ame edit Bible verses?

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 2 роки тому +4

    MashaAllah

  • @mifunga3414
    @mifunga3414 2 роки тому

    Mashallah

  • @mwanamtotosaid702
    @mwanamtotosaid702 2 роки тому

    Masha Allah

  • @issajumamwinyi6191
    @issajumamwinyi6191 2 роки тому

    RAMADHAN BIN KURIA .....KAMA UNATA KUENEZA UISLAMU EAST AFRICA...USITUMIE UJANJA NA UONGO......HII NDIO NJIA SAHIHI >>>>> ua-cam.com/video/4PjuBpiFIqU/v-deo.html

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 2 роки тому +1

    MashaAllah

  • @ramadhankisingile6539
    @ramadhankisingile6539 2 роки тому

    MashaAllah