MashaAllah Allah akuifadhi sheikh wng naona comments za watu wajinga wasiokua na elmu katika masala y elfu y kisheria angalia Allah anasemaje & mtume altufundisha nn bila kurahau kua MTUME wetu ndie mwalimu wetu hivo 2we macho kwaufata yale aliyojaliwa la Allah kutufundisha ingelkua n xwa kutumia tasbihi ingeanza kwamtu mbora w sisi wote
Kusoma haujui picha pia hauoni innah lillahi wainnah illahii rajiun huu n msiba wadhairi uliopitiliza yan unamtusi mtu anaekulingania ww na njia y sunah
Oooh okey nishaelewa, ulivyo Anza maongezi yako, tatizo ni kwa aliye kukaririsha Kaka. Kwa kusema kuvuta huwenda ukachukulia alikuwa avuta hutu tu groli Ahahaha, sio hivyo Kaka sahihi ni alikuwa "Akisoma adhikar nyingi Sana" au akileta adhikar nyingi Sana.
Itafaa, lakini Kama ni baada ya swala hamna, kwani tayari Mtume kashafundisha namna ya kuleta adhikar baada ya swala, lkn ikiwa baada ya kutoka kikao Cha swala soma hata Kama ni Kila dakika hamna neno
@@zanlec7357 shehe ww muislam kwa akili zako unaambiwa nyiradi mwisho mia, unakubali? Kwa adillah zote hizo zilizokuwepo swahaba wakifanya Zaid ya miaa kama abuu khuraira Bila ya kuwa na katazo lolote kuwa watu hawatakiwi kufanya adhkar Zaid ya mia....
Asalam aleikum sheikh naomba uzungumzie masheikh wenye tabia mbaya ya kukusanya michango kwa visingieo vya urongo, mfano (wangonjwa, mayatima, wajane, miskiti au madrasa) watafanya mchango kwa kisingizio cha mgonjwa Kisha kilichopatikana 90% wala wao mgonjwa apewa 10%.
Mashekhe embu kuweni makini sana kwenye kuchambua na nnavyo kuja kuleta hoja njooni na Hadith za kutosha sijaona cha maana ulicho ongelea hapo zaidi ya kusema digital tasbihi kila mmoja akiwa nayo mskitini inawaletea kelele kama mtu anapiga nyundo. Ina mana hi technology yote ilio kuja kurahisisha vitu basi ni biddaa vipaza sauti, hizo mp3 unavyo visema zote hazifai msilete mihemko na mawazo yenu kwenye dini
Mnajua kwamba wake zetu wanazalishwa na wanaume wakienda kuzaa? Vp kama nguvu zetu waislam tutazielekeza ktk kutatua changamoto za waislam kuliko kuanza kujadili khitilafu zisizoisha ?
Sasa unafkiri tatizo hili litaindolewa kwa masheikh kuongea tuu? Si ni mpaka pale ambapo wanawake wenyewe watakaa na kusoma wakapata elimu ya kuwatibu wanawake wenzao. Kaa na ufkirie tena kijana
Azina ubaya wowote ule kwa sababu lengo ni hesabu na tasbihi unatumia vidore...hata utumie pingili za vidore lengo ni hesabu tu..labda ukiitumia nia ya kuwaiga manasala..tasbihi inalahisisha sana..ndio maana M'mungu alisisitiza watu wasome..kwa mfano enzi za mitume walitumia wanyama kusafili leo hii yako trein za umeme we useme mm lazima nipande wanyama (huu ni ujinga)
Vipi hakuna wanavyuoni waliokubalisha jambo hili?Mbona huwataji?Vipaza sauti kwenye adhana havikuwepo sasa hivi je?Vyombo vya teknolojia kutumika kusaidia ufanisi katika utekelezaji wa dini mbona vingine mnavikubali na vingine mnasema ni bidaa?Vipaza sauti,mp3,simu,pete za kuhesabia,hio tasbihi,n.k mbona vinatolewa fatwa tofauti?Inakuwaje na vyote Bwana Mtume hakutumia?
Vilivyokuwa havipo wakati wa Mtume ni vingi sana, Kama kutokuwepo ndio BIDAA basi hata sisi tuliopo leo ni BIDAA, TV, Simu nk. Kupata elimu kupitia vyombo ambavyo havikiwepo wakati wa Mtume Muhammad SAW ni BIDAA?
Wasikilize Masheikh wakisalafy nin mana ya Bidaaa utaelewa vizur inshaallah. Kisha elewa kwamba hizo ni Fatwa za wanchuoni wakubwa sio manen ya Sheikh. Allah akuongoze ww pamoja na sisi aaamin
Kasome katika fatwa ya Sheikhul Islaam Ibn Taymia amotoa dalali ya kitumia Tasbiih maswahaba wametumia na Rasuul S.a.w. hakupinga amelikubali walemea kwa Rasuul hakutumia je maswahaba wakitumia mbele yake akikbali haijakua sunnah?
Kiusomi mtu akiambiwa kuna dalili hiutisha ili aangalie ni ni hadithi za kutungwa ilmu haiekewi mipaka kwa kwa kuwa sh. Fulani ashasema kwa hivyo sheikhul Islam na Imaam nawawiy na Abuu haanifa wamezitunga hadithi
Yani huyu Kasoma yemen miez 6 Tena yy anajifanya elimu yote kaizunguka yy Kumbe hamna kitu kichwani Swali÷ Kwaji ule mtasbih ni ibada Mbona mpumbavu sana ww
Allah akusaheme Sana kwa7 hukijui ukisemacho umewaita Wanazuoni n wapumbavu Maan Sheikh anazisoma Fatwa za wanchuoni wakubwa sio manen yake. Allah akuongz ww pamj na sisi aaamin
Allah akusamehe Sana Kam Sheikh hana Elimu wewe kwanz Pima manen yak vizur San. Rudi nenda KASOME. Allah akuongoze katik njia ilionyooka ww pamoja na sisi aaamin
Kwahio sheikh unatwambia kutumia Tasbih ni haramu, na ni bidaa ,je sheikh zile mmbwe au mawe yanayotumiwa misktini kwa ajili ya kuhalilia maiti,toa ufanunuzi , sheikh misktini zimejaa hizo sasa nikusema masheikh wetu hawajui hili , Mimi ushauri wangu nyinyi wanazuoni mukae pamoja muelewane ,kuhusiana Na hizi hitlafu ambazo zinajitokeza kwa waislam kuhusu suala zima la ibada,
Kumtaja Allah ni ibada hivyo ukiweka namna maalumu au wakati maalumu inabidi ulete Dalili, lkn kumsabih Allah ni mda wowote na idadi yeyote, isipokuwa kwa zile ambazo Rasuul alaih swalaatu wa salaam amezitolea idadi au nyakati maalumu haifai kupunguza au kuzidisha Chochote au kuletea namna ambayo hakufundisha Mtume.
Duuu ila huyu Sheikh ni mtu wa ajabu sana. Tasbih iwe ya shanga au digital lengo lake ni kumfanya anayeleta tasbih kupata idadi yake kwa uhakika. Allah anakulipa kwa nia yako. Na hapa nia ni kupata usahihi wa hesabu. Vipi wewe Sheikh huwezi kufanya reasoning!!!. Unasema mambo haya hakuyafanya mtume, kwani Mtume hakufanya tasbih??
Yani ukimsikiliza huyu jamaa ndo utajua mawahabi ufahamu wao ni mdogo sana. Kama kuchukua kwenye dini nyengine haifai mbona mnanasibisha saumu ya ashura kwa nabii musa wakati nabii musaa alikuwa mtume wa mayahudi. Alafu huyo shehe wenu rabii alisoma historia gani ikamuonyesha tasbihi ilianza kwa mabudha. Ukiona watu wanafanya kitu si dalili kuwa wao ndiyo walioanza.yani mawahabi wamechanganyikiwa kweli kweli hawajui hata maana ya bidaa ni nini.Hatakama mtume slikuwa anatumia vidole lkn wapi alisema ukitumia njia nyengine kufanya tasbihi ni vibaya?
@@abdulrahmansalim1990 Hatusemi waisla wamechukua direct kwa Nabii mussa.Hadith sahihi unayosema inaonyesha mtume alichukua kwa mayahudi.Sasa kama mtume alichukua kwa mayahudi masnake hiyo ni sunna.sasa tukifata sunna ya mtume kumashida gani.pili pia inaonekana mawahabi wanajichanganya.wanasema speaker ya kuadhinia si bidaa maana nikifaa tu na sikatika dini.Jee tasbihi sikufaa?
Jazakallahu kheri
MashaAllah Allah akuifadhi sheikh wng naona comments za watu wajinga wasiokua na elmu katika masala y elfu y kisheria angalia Allah anasemaje & mtume altufundisha nn bila kurahau kua MTUME wetu ndie mwalimu wetu hivo 2we macho kwaufata yale aliyojaliwa la Allah kutufundisha ingelkua n xwa kutumia tasbihi ingeanza kwamtu mbora w sisi wote
Allah akulipe kheri na akupe umri mrefu wa kheri tuzidi kupata faida
Amiin
Aaamin
Pia tunatukuza mungu kupitia mswala pia tunatumia tasbihi kuesabia nakutaja jana lamungu na siokuabudu tasbihi
Jazaakallah khairah
Mashallah tuna fayidika san mashallah Allah Akujazekheli
Amiin
O
Kusoma haujui picha pia hauoni innah lillahi wainnah illahii rajiun huu n msiba wadhairi uliopitiliza yan unamtusi mtu anaekulingania ww na njia y sunah
Abuu hurayra Radhi za allah zimshukie juu yake alikuwa anavuta tasbihi tena nying sanaaa .
Kwa kutumia Nini?, Hapo ndo mada, kwani nani kasema tasbihi hazifai?
Oooh okey nishaelewa, ulivyo Anza maongezi yako, tatizo ni kwa aliye kukaririsha Kaka.
Kwa kusema kuvuta huwenda ukachukulia alikuwa avuta hutu tu groli Ahahaha, sio hivyo Kaka sahihi ni alikuwa "Akisoma adhikar nyingi Sana" au akileta adhikar nyingi Sana.
Kwaiyo
Maashaallah maashaallah
Mie nitataitumia,,,,kwa sababu inanirahishia kumsabih Mola wangu kwa wingi,,,,siwezi kuicha,,,, Broo
Samhn shekhe sasa hiyo adhkar ikizidi mara 100 inafaa au haifai
Itafaa, lakini Kama ni baada ya swala hamna, kwani tayari Mtume kashafundisha namna ya kuleta adhikar baada ya swala, lkn ikiwa baada ya kutoka kikao Cha swala soma hata Kama ni Kila dakika hamna neno
Wavivu hao pia mtume alipanda ngamia na nyinyi pandeni ngamia musipande matatu.
Atuondolee upuuuzi huyu shekhenaaaa anaaakili kweliii
Allah akusamehe Sana na akujaalie matumiz mema ya ulimi wako
@@zanlec7357 Ameeen
@@zanlec7357 shehe ww muislam kwa akili zako unaambiwa nyiradi mwisho mia, unakubali? Kwa adillah zote hizo zilizokuwepo swahaba wakifanya Zaid ya miaa kama abuu khuraira
Bila ya kuwa na katazo lolote kuwa watu hawatakiwi kufanya adhkar Zaid ya mia....
Subhana llah allah anisamehe ndugu yang kama hutaki kusikiliza acha lkn acha kucomment matusi
Matusi ya nini ndug yang ,,kama kateleza mnasihi kielimu sio matusi ujue siku ya kiama utajibu hay mbele ya allah
Asalam aleikum sheikh naomba uzungumzie masheikh wenye tabia mbaya ya kukusanya michango kwa visingieo vya urongo, mfano (wangonjwa, mayatima, wajane, miskiti au madrasa) watafanya mchango kwa kisingizio cha mgonjwa Kisha kilichopatikana 90% wala wao mgonjwa apewa 10%.
Leonard hadithi hujaiyona wasema ya kutungwa vizuri tuende kiusomi ndio Ilmu
Je ukizidisha kuna makosa naomba mnisaidie plz
Mambo ya wasanii hamgusii nyiradi mia moja hivi utaua nafsi kweli nafsi zilizojaa maovu kwa kuleta nyiradi 100 ndo utafika kwa munguu kwelii
Mashekhe embu kuweni makini sana kwenye kuchambua na nnavyo kuja kuleta hoja njooni na Hadith za kutosha sijaona cha maana ulicho ongelea hapo zaidi ya kusema digital tasbihi kila mmoja akiwa nayo mskitini inawaletea kelele kama mtu anapiga nyundo. Ina mana hi technology yote ilio kuja kurahisisha vitu basi ni biddaa vipaza sauti, hizo mp3 unavyo visema zote hazifai msilete mihemko na mawazo yenu kwenye dini
Mnajua kwamba wake zetu wanazalishwa na wanaume wakienda kuzaa? Vp kama nguvu zetu waislam tutazielekeza ktk kutatua changamoto za waislam kuliko kuanza kujadili khitilafu zisizoisha ?
MashaAllah HOJA KUBWA SANAH
Sasa unafkiri tatizo hili litaindolewa kwa masheikh kuongea tuu?
Si ni mpaka pale ambapo wanawake wenyewe watakaa na kusoma wakapata elimu ya kuwatibu wanawake wenzao.
Kaa na ufkirie tena kijana
kasome mashule ya kidunia
Tatizo uislam wetu sio wa mikakati tunajadili hitilafu tu
@@amourshaame5704 fact
Shekhe tafuta elmu zaidi. Kweli kutabih ni vizuro kuhesabu kea vidole, lakini sayyeda Aysha alikuwa anasabiih kutumia kokwa zatende.
Azina ubaya wowote ule kwa sababu lengo ni hesabu na tasbihi unatumia vidore...hata utumie pingili za vidore lengo ni hesabu tu..labda ukiitumia nia ya kuwaiga manasala..tasbihi inalahisisha sana..ndio maana M'mungu alisisitiza watu wasome..kwa mfano enzi za mitume walitumia wanyama kusafili leo hii yako trein za umeme we useme mm lazima nipande wanyama (huu ni ujinga)
But vidole havijabadilika kulingana na zama zote vidole viko vile vile
Vipi hakuna wanavyuoni waliokubalisha jambo hili?Mbona huwataji?Vipaza sauti kwenye adhana havikuwepo sasa hivi je?Vyombo vya teknolojia kutumika kusaidia ufanisi katika utekelezaji wa dini mbona vingine mnavikubali na vingine mnasema ni bidaa?Vipaza sauti,mp3,simu,pete za kuhesabia,hio tasbihi,n.k mbona vinatolewa fatwa tofauti?Inakuwaje na vyote Bwana Mtume hakutumia?
Vilivyokuwa havipo wakati wa Mtume ni vingi sana, Kama kutokuwepo ndio BIDAA basi hata sisi tuliopo leo ni BIDAA, TV, Simu nk. Kupata elimu kupitia vyombo ambavyo havikiwepo wakati wa Mtume Muhammad SAW ni BIDAA?
Nenda Ukasome
Wasikilize Masheikh wakisalafy nin mana ya Bidaaa utaelewa vizur inshaallah. Kisha elewa kwamba hizo ni Fatwa za wanchuoni wakubwa sio manen ya Sheikh. Allah akuongoze ww pamoja na sisi aaamin
Hizi UA-cam si za makafiri ? Mbona unatuelisha kupitia humu ? Kitu chochote cha kielimu ni cha Allah
Mie naskiaa sauti ya kike tu bas
Ila kama huyu ndo mwalim asomesha wanafunzi
Na wanamsikiliza
Wamekula hasara wanafunzi wote
Naona hamna kitu
Allah akusamehe San n akuongz ktik njia ilionyooka. N akuonyeshe hki kbla y MAUTI yko aaamin
Hivi ikiwa watembea nayo tu hio tasbihi bila ya kumtaja Allah. je yakua nnini? mbidaa, wapatamadhambi au vipi?
Kasome katika fatwa ya Sheikhul Islaam Ibn Taymia amotoa dalali ya kitumia Tasbiih maswahaba wametumia na Rasuul S.a.w. hakupinga amelikubali walemea kwa Rasuul hakutumia je maswahaba wakitumia mbele yake akikbali haijakua sunnah?
ibun taymiyah sio dalili , bidaa ni bidaa tu na haramu hata kama mwanachuoni atasema inafaa
Ibn Taymia ametoa Dalili si maneno yake amtoa hadithi ya Hafswa na Abu hureira na Imaam Nawawy katika kitabu chake Al Adhkaar
acheni kuleta talbis hapa mahizbi ninyi ile ni shanga tasbihi ni tamko subhaana llah Ama kuita hio tasbiih ni jina lenu makhurafi
alafu ninyi hadithi hata la kutungwa ni hadithi
Kiusomi mtu akiambiwa kuna dalili hiutisha ili aangalie ni ni hadithi za kutungwa ilmu haiekewi mipaka kwa kwa kuwa sh. Fulani ashasema kwa hivyo sheikhul Islam na Imaam nawawiy na Abuu haanifa wamezitunga hadithi
Yani huyu
Kasoma yemen miez 6
Tena yy anajifanya elimu yote kaizunguka yy
Kumbe hamna kitu kichwani
Swali÷
Kwaji ule mtasbih ni ibada
Mbona mpumbavu sana ww
Allah akusaheme Sana kwa7 hukijui ukisemacho umewaita Wanazuoni n wapumbavu Maan Sheikh anazisoma Fatwa za wanchuoni wakubwa sio manen yake.
Allah akuongz ww pamj na sisi aaamin
Upumbavu mtupu najuta hata kupoteza mb zangu mbona vipa saut mnatumia hamviharamishi mambo kibao ujinga tuu amna elimu wala nini ni upotovu
Allah akusamehe Sana Kam Sheikh hana Elimu wewe kwanz Pima manen yak vizur San. Rudi nenda KASOME.
Allah akuongoze katik njia ilionyooka ww pamoja na sisi aaamin
Eh kumbe huyu nijahil namna hii.
Kma ulivokuwa ww
Kwahio sheikh unatwambia kutumia Tasbih ni haramu, na ni bidaa ,je sheikh zile mmbwe au mawe yanayotumiwa misktini kwa ajili ya kuhalilia maiti,toa ufanunuzi , sheikh misktini zimejaa hizo sasa nikusema masheikh wetu hawajui hili , Mimi ushauri wangu nyinyi wanazuoni mukae pamoja muelewane ,kuhusiana Na hizi hitlafu ambazo zinajitokeza kwa waislam kuhusu suala zima la ibada,
adhkari husema kwa njia yoyo al muradi kumtaja awahu kwa wingi hapana kosa lolote kutumia tasbihi
Mursal:Tatizo husomi ndo maana kila kitu kinakuwa kigeni kwako.
hio sio ikhtilaaf ball ni bidaa
@@adabwadoy2626 hio ni shanga sio tasbiih
Kumtaja Allah ni ibada hivyo ukiweka namna maalumu au wakati maalumu inabidi ulete Dalili, lkn kumsabih Allah ni mda wowote na idadi yeyote, isipokuwa kwa zile ambazo Rasuul alaih swalaatu wa salaam amezitolea idadi au nyakati maalumu haifai kupunguza au kuzidisha Chochote au kuletea namna ambayo hakufundisha Mtume.
Wewe unamfuata mtume kweli au unapiga kelele tu salafi.
Masomo ambayo munatupa hayana mashiko mana kutumia tasbihii hakuna zambii isipokua mafundisho yenu muko kila kitu bidaa
hio sio tasbiih ni shanga umeambiwa mtume ametumia mkono wake
anayefanya bidaa yoyote anapata dhambi
sio kila kitu ni bidaa. Bidaa zinajulikana kama hili la huo mnyororo unaoitwa tasbihi
@@leonardmbonea4117 naam
Km tasbih ni haram ht mp3 itkua ni haram
Duuu ila huyu Sheikh ni mtu wa ajabu sana. Tasbih iwe ya shanga au digital lengo lake ni kumfanya anayeleta tasbih kupata idadi yake kwa uhakika. Allah anakulipa kwa nia yako. Na hapa nia ni kupata usahihi wa hesabu. Vipi wewe Sheikh huwezi kufanya reasoning!!!.
Unasema mambo haya hakuyafanya mtume, kwani Mtume hakufanya tasbih??
Tatizo sio Mtume Muhammad Swalallahu alayhi wasallam kua amefanya laaaa Bali alifanyaje? Na amefundishaje kuhus Tasbihi?
Yani ukimsikiliza huyu jamaa ndo utajua mawahabi ufahamu wao ni mdogo sana. Kama kuchukua kwenye dini nyengine haifai mbona mnanasibisha saumu ya ashura kwa nabii musa wakati nabii musaa alikuwa mtume wa mayahudi. Alafu huyo shehe wenu rabii alisoma historia gani ikamuonyesha tasbihi ilianza kwa mabudha. Ukiona watu wanafanya kitu si dalili kuwa wao ndiyo walioanza.yani mawahabi wamechanganyikiwa kweli kweli hawajui hata maana ya bidaa ni nini.Hatakama mtume slikuwa anatumia vidole lkn wapi alisema ukitumia njia nyengine kufanya tasbihi ni vibaya?
Saum ya ashura Iko katika Hadith sahihi ya mtume sallaLLahu aleihi wa Salam na si ATI waislam walitoa direct kwa nabii musa
@@abdulrahmansalim1990 Hatusemi waisla wamechukua direct kwa Nabii mussa.Hadith sahihi unayosema inaonyesha mtume alichukua kwa mayahudi.Sasa kama mtume alichukua kwa mayahudi masnake hiyo ni sunna.sasa tukifata sunna ya mtume kumashida gani.pili pia inaonekana mawahabi wanajichanganya.wanasema speaker ya kuadhinia si bidaa maana nikifaa tu na sikatika dini.Jee tasbihi sikufaa?
Km tasbih ni haram ht mp3 itkua ni haram
haramu kisheria sio kwa kutumia akili