KABLA YA KUUMBWA DUNIA ALLAH ALIKUA WAPI?// SHEIKH OTHMAN MAALIM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • Ni swali zito lakini hata Mtume wetu aliulizwa swali hili
    ambalo limejikita sana katika TAUHID

КОМЕНТАРІ • 539

  • @jeremiahmoemi9606
    @jeremiahmoemi9606 Рік тому +315

    Nilisilimu mimi na familia yangu yote kwa ajili ya haya mawaidha ya kupendeza hivy😊❤

    • @aishawangui-pr4ye
      @aishawangui-pr4ye Рік тому +40

      Neema kumbwa iyo Allahu Akbar..mimi peke ata watoto wangu bado ..yarabbi fungua roho ya watoto wangu waseme shade kabla mauti

    • @HASSANNGOME-ow3ob
      @HASSANNGOME-ow3ob Рік тому +19

      Mashaallah! Allah akupe ucha mungu wewe pamoja na familia yako

    • @adijarashidswedi6979
      @adijarashidswedi6979 Рік тому +10

      Manshallah 🤲

    • @abdullakhalfan31
      @abdullakhalfan31 Рік тому +6

      MASHAA ALLAH

    • @yaedlifemedia3203
      @yaedlifemedia3203 Рік тому +7

      ​@@aishawangui-pr4yehakika watakuwa kwa uwezo wa Allah

  • @Seifchui007
    @Seifchui007 7 місяців тому +24

    Sheikh Athuman maalim ni mtu WA maana kabisa Allah akupe umri mrefu

  • @jumannembaraka5528
    @jumannembaraka5528 7 місяців тому +18

    Mungu akujaalie umri mrefu uzidi kutupa elimu

  • @ElizabethMayemba
    @ElizabethMayemba 10 днів тому

    Allah akupe maisha marefu shekh wangu uweze kutufikia na sisi huku tulipo kusema ukweli mi nakupenda kwaajili ya Allah tabaarak taalah

  • @Felice_Dubet
    @Felice_Dubet 7 місяців тому +5

    Alhamdullilah suala la mungu watu wengi wanajiuliza. Sheekhe wewe umejibu vizuri masha Allah. Allah akupe baraka

  • @iddikimia4951
    @iddikimia4951 Рік тому +40

    Shekh Othman Allah akupe umri mrefu na afya njema❤

    • @fatmaomar2996
      @fatmaomar2996 10 місяців тому +1

      Amiiiiiiiiiiiin Amiiiiiiiiiiiin thumma AmiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiinN

    • @AssdfAssd-g3y
      @AssdfAssd-g3y 8 місяців тому +1

      Ameen ya rabi

    • @badruboy__
      @badruboy__ 7 місяців тому

      Amin 🤲

    • @nassorali1034
      @nassorali1034 7 місяців тому

      Amiiin walahi laadhim ishaallah amjaalie

    • @seiffakir8694
      @seiffakir8694 7 місяців тому

      Amin 🤲

  • @EstherKomba
    @EstherKomba 8 місяців тому +10

    Mungu akubariki naomba t uniombee mm ni mkristo lakini nimeprndezwasana na mafundisho naomba unidlim

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 7 місяців тому +1

      Mtafute sheikh kwa namba hizo zilizoandikwa hapo juu in shaa Allah utaufahamu zaidi Uislam na utasilimu

    • @dennisezakiel3380
      @dennisezakiel3380 6 місяців тому

      Hivi unajua hadidhi maana yake nini?

    • @AnuariSatari
      @AnuariSatari 5 місяців тому

      Mungu atakuongoza amin sisi some wangonjjwa hata ni waislàmu mungu atutibu

  • @cishahayoali1136
    @cishahayoali1136 Рік тому +16

    Mashaallah, sheikh wetu Allah akulipeni pepo ya firdaus aalaa, Ameen!
    tumeilimika kwa darsa hi!

  • @mrishosudi1896
    @mrishosudi1896 Рік тому +16

    Allah Allah Allah Mawaidha Matam sana Allah azidi kumpa Afya Shekh wetu lakini pia na wanao fatilia darsa hili kwa nia ya kheri😊

  • @NurdiniMchana
    @NurdiniMchana 5 днів тому

    Allhh akupe umri mrefu shekhe wetu
    17:26

  • @michaelmwangi3669
    @michaelmwangi3669 4 місяці тому +2

    Nilisilimu mimi pia juu ya haya mawaidha but napigwa nyumbani kwetu na familia

  • @HassanAli-w5n7r
    @HassanAli-w5n7r Місяць тому

    Allah akuzidishie umri wenye barka sheikh wetu

  • @HADIJALIVENGWA
    @HADIJALIVENGWA 4 дні тому

    Mungu atupe mwisho mwema

  • @AhAu2-oi5wn
    @AhAu2-oi5wn 5 місяців тому +1

    Barak llah....Allah akulipe kwa kutoa darsa

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 6 місяців тому +1

    Allah namuomba anikutanishe nawe live kabla ya kufa nimuombe Allah akupe ninachokipeda kutoka kwake akupe maana wewe ni wa kuombewa jema wala siyo baya inshaallah

  • @ChilumbaAthumani
    @ChilumbaAthumani 10 місяців тому +4

    Sheikh hongera sana kwa kazi nzuri, Mungu kakujaalia Mungu akuzidishie kheri

  • @jeremiahmoemi9606
    @jeremiahmoemi9606 Рік тому +15

    Uìslamu ndio Dini ya haki waaAllahu akbar

    • @mwassamwassa7264
      @mwassamwassa7264 Рік тому

      Na ndiyo maana majini yalisilimu kuwa waislam.

    • @ShaniSaleh
      @ShaniSaleh 11 місяців тому

      Naona kafiri unateseka sana😂😂😂

    • @leedsoldat4189
      @leedsoldat4189 7 місяців тому

      Sasa Nan kafir apo????​@@ShaniSaleh

    • @Tr.Abdussamiy
      @Tr.Abdussamiy 6 місяців тому

      ​@@mwassamwassa7264 Ndio, majini yanaona haki na binadamu aliyeahinda jini akili anashindwa kufutata haki

  • @herimwinge-et9ei
    @herimwinge-et9ei 2 місяці тому

    Jazaka Allahu kheir, Mwenyezi Mungu atupe mwisho ulio mwema.

  • @DaudaBilikesi
    @DaudaBilikesi 2 місяці тому

    Allah akusimike na akuimarishe katika imani na taqwa Bwa Jeremiah kwa kusikia , kupokea na kuamini HAKI.

  • @HalimaSaid-w2j
    @HalimaSaid-w2j Рік тому +4

    Shukran shekhe wetu Kwa kutuelimisha,Allah akuzidishie kila la kher na tuzidi uelimishana na kuongozana katika mambo ya Kher In Sha Allah 🤲

  • @RizqAmiss
    @RizqAmiss 2 дні тому

    Allah atupe umri mrefu hehe wetu uzidi kuteelumisha

  • @HadjatiMayidiya
    @HadjatiMayidiya 4 місяці тому

    Jazakallah Kheir sheikh

  • @abdallaismail2427
    @abdallaismail2427 Рік тому +1

    Niko na suali kwako Sheikh langu Allah akubarikie.... Umesema kua Allah kitu cha kwanza aliumba ni Kiti chake cha enzi, kiti hiki kiliwekwa juu ya maji, na kiumbe cha pili ni kalamu, Jee hiki kiumbe maji kiliumbwa kilikua namba ngapi ? Kwa maana umesema kua kiti cha enzi kiliwekwa juu ya maji jee haya maji yalikuwepo kabla ama ni vipi hapo sijafahamu naomba unifahamishe,, Napenda sana mawaidha yako Sheikh. Allah akujazi killa la kheri daima

    • @ramadhaniayoub8171
      @ramadhaniayoub8171 11 місяців тому

      Allah akisema kuwa na kina kuwa

    • @kipangatz19
      @kipangatz19 7 місяців тому

      Maji yalikuwa hali ya gesi

    • @zangzang1574
      @zangzang1574 6 місяців тому

      Hutopata jibu apo shehe wangu.kuna kiti kuna karamu.sasa hiki kiti kilikaaa wapi? Na maji yalitokea wap Na yeye aliumba kiti kwaajili gani? uliza kama utapata jibu. 😂😂😂

    • @zangzang1574
      @zangzang1574 6 місяців тому

      Story

    • @MahmoudKhamis-cv9pi
      @MahmoudKhamis-cv9pi Місяць тому

      Cha Kwanza kuumbwa ni maji shehe kasahau.

  • @shinayzashiraaz4588
    @shinayzashiraaz4588 4 місяці тому

    Jazakumullah kheirun

  • @SamiaKalus
    @SamiaKalus Рік тому +3

    Mwenyezi mungu azidi kukuongoza na kukuhifadhi kwa ajili ya mawaidha mazuri

  • @MasudIssa-u9i
    @MasudIssa-u9i 6 місяців тому

    Mashaalla othuman. Mungu akupe umri mrefu tuendele kujifunza darasa

  • @swalehalaidaroos6074
    @swalehalaidaroos6074 Рік тому +9

    TAKBIIIIR...ALLAHU'AKBAAR
    Jazakallah kher'inshallah yaa sheikhuna,

  • @Aisha-q3c
    @Aisha-q3c Місяць тому

    Mashallah tabaraka rahman

  • @MaalimomiyyOmiyy
    @MaalimomiyyOmiyy Рік тому +9

    Shukrn shehe kwa darsa ya mola wetu wa haki

  • @LinconLopez
    @LinconLopez 7 місяців тому

    Subhanallah laah ilah anta subhana khain kuntu mina dhwalimin

  • @AnisaA-v4v
    @AnisaA-v4v 5 місяців тому

    Allah akulipe na akutunze❤

  • @universitylink
    @universitylink 8 місяців тому

    Mashaallah kama unesilimu kwa mawaidha kama haya ya sheikh Othman Maalim Allah akulipe kheir na yeye katika hii dunia na Akhera maana ukimuongoza mtu mmoja ni bora kuliko ngamia Mia wekundu kwa sasa magari ya thamani yawe Mia ndio uone ubora wake.
    Pia Mashaallah Sheikh Othman Maalim ni mfasaha sana na anafundisha kwa njia iliyo nyepesi kabisa mnyonge mnyongeni haki yake mmpeni

  • @jannffer
    @jannffer 6 місяців тому

    Glory be to God for this revelation

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 Рік тому +3

    Alhamdulilah. nakumbuka nikiwa mdogo nilimuuliza ili swali mama yangu.Nakumbuka nilimsumbua sana kila akinielewesha ndipo nilizidi kumuuliza zaidi.Mwisho akaniambia nilale , nikiamka atanipa jibu sahihi.

  • @HamisaSimon
    @HamisaSimon 5 місяців тому

    mungu akuzidishiye kira raheri hakika mawaidha mazuri kwer

  • @mrsahmadhajraah1550
    @mrsahmadhajraah1550 9 місяців тому

    Mashalah shukran sn shekh wwtu ALLAH AKUJAALIE MWISHO MWEMA, SHEKHE ZANGU OTHMANI MAALIM NA OTHMANI MICHAEL MNAFANANA USOMAJI MPAKA UONGEAJI

  • @jasminmohamed6145
    @jasminmohamed6145 9 місяців тому +1

    SUBHANALLAH
    ALLAHUMA SWALLI ALA SAIDINA MOHAMMADIN WAALI SAIDINA MOHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM
    Barakallahu Feek

  • @BarakatChomba
    @BarakatChomba 9 місяців тому

    Alhamdulilah shekhe Tunaelimika sana mawaidha yako yote yanatutowa kwenye kiza .Allah akulinde namashaani wakibinadamu na mashaitwaan wa kinijini (Ameen) Allah akupe umri mrefu( Ameen)

  • @AbdallahYusufu-rc5xu
    @AbdallahYusufu-rc5xu 7 місяців тому

    ماشاالله برك الله تعلمين الشيخ أثمن معلم

  • @MohamedDahir-hj2oq
    @MohamedDahir-hj2oq 7 місяців тому

    Mansha Allah sheikh othman maalim mungu akuweke wacdi hii kwa mizani yako wakati ya aqira.

  • @fatmehfaraj5188
    @fatmehfaraj5188 Рік тому +3

    Shukran wa jazakallah kheir.Darsa nzuri yenye manufaa mashaallah

  • @silviaamos-pl5lk
    @silviaamos-pl5lk 7 місяців тому

    Shekhe mungu akupe umri mrefu nimependezewa Sana na mawaidha yako,

  • @HalimaSaid-w2j
    @HalimaSaid-w2j Рік тому +1

    Ma Sha Allah,kisa kizur nimejifunza mengi Alhamdulillahi

  • @rukiyakibera76
    @rukiyakibera76 Рік тому +3

    Sheikh tafadhali record Quran yote, ili tusikilize sisi na vizazi vijavo, tabaraka Allah

  • @khalidirashidi2196
    @khalidirashidi2196 10 місяців тому

    Mungu akulipe pepo shekhe wangu mi nitakuwa Askari wako wa peponi ishaallah

  • @ashooraashoora1180
    @ashooraashoora1180 Рік тому +3

    Swallalah Allayhi Wasalam
    Jazzakumllah Khery

  • @HamadHamad-b1p
    @HamadHamad-b1p 6 місяців тому

    Mashaallah Allah akulipe jaza njema

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 6 місяців тому

    Ni suala gumu kujibu lakini umejibu vizuri sana Mashaalah

  • @IdaarusDyn
    @IdaarusDyn 7 місяців тому

    Shukran shekh kwa maelezo mazur yenye faida kubwa

  • @BakariJuma-q6n
    @BakariJuma-q6n 7 місяців тому

    Mashaallh Mungu akipenda umri mrefu na afya njema amen

  • @Khalifaibrahim-oh7ti
    @Khalifaibrahim-oh7ti 7 місяців тому

    Allah akuhifandhi sheikh othuman maalim

  • @kimwanachangani3922
    @kimwanachangani3922 Рік тому +12

    SUBHANA LLAH WALAILAHA ILA LLAH ..AL MALIK QUDUUS

  • @AlhabibMujahiddjibril
    @AlhabibMujahiddjibril 6 місяців тому

    Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh,
    أسأل الله أن يجعل الشيخ من أهل الجنة وأن يطول في عمره بالخير والصحة والبركات
    اللهمّ إني أسألك أن تقابلني في جنات الأمس، اللهمّ الشيخ العثماني معلم، أحبه إليك، قد لا أستطيع الجلوس بجانبه لكثرة الناس، لكن ربي

  • @saadaali-o2j
    @saadaali-o2j Рік тому +2

    Ma Shaa Allah Tabarakallah Allah (S.W.T) akuhifadhi nakila Shari

  • @abdulimaliki
    @abdulimaliki 11 місяців тому +2

    Maasha. Allh. Ummat. Muhammd. S. W. S.

    • @TatuRashid-d6t
      @TatuRashid-d6t 10 місяців тому

      Shekh Allah akulipe kesho akhera,biidhinlah

  • @jymvumbi4804
    @jymvumbi4804 Рік тому +11

    Subhana-Llah kwa kweli na uhakika Mungu ni Mkubwa Mno, na Ma-Sha-Allah kwa Sheikh wetu Uthman kwa kutuzindua akili kwa wenye ambao tulikuwa hatujielewi.

  • @nassorali1034
    @nassorali1034 7 місяців тому

    Umur twawil ya shekh othmani maalim .....na Akher twayib inshaallah ...yaatikil.afya

  • @Mohammad-c3z5x
    @Mohammad-c3z5x Рік тому +3

    Masha Allah jazaakallhahu-lkhair.

  • @MakaraniCherehani
    @MakaraniCherehani Рік тому +10

    Innalillah wainnailaih rajiun Allah tulinde tusiwe iblisi mpinga ukweli, ukifa 2ukweli utauona na utajutia kila lililohaqi ukalipinga.

  • @allysaid6984
    @allysaid6984 9 місяців тому

    Sheikh nakupenda Kwa ajili ya Allah naomba anijalie niwe kama ww

  • @zamBakar-y3j
    @zamBakar-y3j Рік тому +1

    Allah akutunze shekhe Othman, nimejifunza

  • @AlhabibMujahiddjibril
    @AlhabibMujahiddjibril 6 місяців тому

    عسى أن أكون ممن يتقربون إليه في الجنة

  • @Majaliwa-s1k
    @Majaliwa-s1k 11 місяців тому

    Mashaalaah Allah akuhifadhi na akupe umri uzidi kutuelimisha

  • @hidayashabani5897
    @hidayashabani5897 7 місяців тому

    Mashallah,Shukran sana kwa mawaidha haya

  • @mussakantumba9914
    @mussakantumba9914 7 місяців тому +5

    Hata mimi swali hilo la mungu alikuwa wap lilinisumbua sana!!

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 2 місяці тому

      Sasa hivi yupo wapi unajiuliza vitu vya kijinga unakakujua ya nyuma yaliyopo uyajui mbinguni ni wapi?

  • @NeemaAlly-hu1rd
    @NeemaAlly-hu1rd 5 місяців тому

    At me nina mshukuru sana sheeh angu

  • @ashajumasaid7285
    @ashajumasaid7285 Рік тому +1

    Shukran Sana shekhe, kwa elimu..Barakallahu fiikum

  • @kibibijaphary6918
    @kibibijaphary6918 Рік тому

    Allah Akbar
    Allah Akulinde
    Mashaa Allah
    Nimepata Darsa zuri kabisaa

  • @narfatnurdin-ot1fi
    @narfatnurdin-ot1fi Рік тому

    Subhana llah Allah akupe umri mrefu na akupe mwisho mwema ya rabii

  • @husseinabdille1004
    @husseinabdille1004 4 місяці тому

    Mashallah ❤❤❤

  • @AhmadiAhmadiaziz
    @AhmadiAhmadiaziz 6 місяців тому

    Shekh allahu akuzdshiy elimu piya akupe na umri uliyo mrefu

  • @MohamedIbrahim-bn8rz
    @MohamedIbrahim-bn8rz 7 місяців тому

    Allahu Akbar masha Allah 🥰❤❤❤❤❤

  • @marietheresenyandwi8671
    @marietheresenyandwi8671 8 місяців тому

    ❤jaazakhallah kheir ❤

  • @lilatito2816
    @lilatito2816 7 місяців тому

    Allah akupe salama mwalimu bali ningependa kisa hiki kiendelee zaidi

  • @abdulimaliki
    @abdulimaliki 11 місяців тому +3

    ❤laailaaha illallhu.. muhamad. Rasulu llh

  • @zaitunimussa-e9w
    @zaitunimussa-e9w 11 місяців тому

    Allah akulinde kama alivyomlinda mtume wetu katika pango

  • @mariamahmed6859
    @mariamahmed6859 Рік тому +2

    Allahumma Amiin jazakallah kheyr shekhe wetu

  • @HAJIABDALA-g8e
    @HAJIABDALA-g8e 8 місяців тому

    Allah kullipe shekhe kwa ellimu unaito kwa jamio

  • @mwanarusiali4430
    @mwanarusiali4430 Рік тому +3

    Masha Allah.....Allahu Akbar❤

  • @rubbyruu7172
    @rubbyruu7172 11 місяців тому

    MashaAllah MUNGU awahifadhi nyote mulio silimu mume ufuata njia sahihi

  • @abdaladelo371
    @abdaladelo371 Рік тому +8

    Allahu akbaru lahhawla Wala quwata ila bilahi

  • @KizaAbdoulaye
    @KizaAbdoulaye 9 місяців тому

    Shukran kwa ukumbusho

  • @inkubamedia8111
    @inkubamedia8111 9 місяців тому

    allah akbar mungu ni mkubwa na nimjuzu الله أكبر منغو ني مكوبوا نا نيمجوزو

  • @ShamtemShamtem
    @ShamtemShamtem Рік тому +1

    Natamani niwemwnafunzi wa huyu sheikh anajua sana nimsomi hassa

  • @Athmanmasini
    @Athmanmasini Рік тому +1

    Mungu akuzidishie umri mrefu uzidi kutunaswia😊😊

  • @evordluanda5184
    @evordluanda5184 8 місяців тому +2

    Kumbe karamu nayo Mungu aliiumba. Nikajua imetengenezwa na Binadamu.

    • @DaawaTV-c8v
      @DaawaTV-c8v 6 місяців тому

      Allah(s.w) ameumba kila ktu kilichomo Mbinguni na ardhini! Allah ametupa elimu tu sisi wanaadamu ya kutengeneza vitu kwa uwezo wake yy! Alimfundish adam majina ya vitu vyotee vilivyomo duniani kwahyo tayar Allah aliumba kila ktu.

    • @yusufusafundi5058
      @yusufusafundi5058 Місяць тому

      🤲🤲

  • @BandaNchasi
    @BandaNchasi Рік тому +7

    Sheikh,Allah akupe umri mkubwa ,afya,uzima ,lakini pia fursa ya kutufundisha Elimu hii,na nyingine zote njema. Ni Mimi banda HALIFA nchasi wa PahiKondoa

    • @minabuelysee8
      @minabuelysee8 Рік тому

      Amin

    • @thuleythasule7036
      @thuleythasule7036 Рік тому

      Wanyumban kwetu sote tunapat elimu lakin kunawatu ufaham wao baad haujawafunguka inshaallah allah awafungulie

    • @thuleythasule7036
      @thuleythasule7036 Рік тому

      Wanyumban kwetu sote tunapat elimu lakin kunawatu ufaham wao baad haujawafunguka inshaallah allah awafungulie

    • @thuleythasule7036
      @thuleythasule7036 Рік тому

      Wanyumban kwetu sote tunapat elimu lakin kunawatu ufaham wao baad haujawafunguka inshaallah allah awafungulie

    • @thuleythasule7036
      @thuleythasule7036 Рік тому

      Wanyumban kwetu sote tunapat elimu lakin kunawatu ufaham wao baad haujawafunguka inshaallah allah awafungulie

  • @EagerDarts-ez1zy
    @EagerDarts-ez1zy 6 місяців тому

    Mungu akubarik

  • @ramaaman4020
    @ramaaman4020 7 днів тому

    Mashallah.

  • @JumaKomba-ws4xb
    @JumaKomba-ws4xb 9 місяців тому

    Asante shekh kwa kisa iki juma ugo komba nipo kinshasa kongo mgod kisamvu

  • @seifomary8034
    @seifomary8034 Рік тому

    Mashallah Allah akuifazi maalim

  • @SalmaSalim-ch5gt
    @SalmaSalim-ch5gt 7 місяців тому

    Subhanallah Allah atusameh makosa yetu

  • @Happy-be8hh
    @Happy-be8hh Рік тому +4

    Kiufupi
    كان الله قبل خلق الزمان والمكان، وهو الآن على ما عليه كان
    Allah alikuepo kabla ya kuumba nyakati na sehemu, na yeye sasa hivi yupo alipokuepo

  • @NasoroWilliam
    @NasoroWilliam 7 місяців тому

    Baaraka llaahu laka Othman

  • @jeremiahmoemi9606
    @jeremiahmoemi9606 Рік тому

    MashaaAllah jazakaAllahu khayran

  • @OmarMohd-z5b
    @OmarMohd-z5b Рік тому +3

    Subhanallah.Allah ametakasika. Darsa limejaa madini tupu.

  • @mshamuwadhamira8346
    @mshamuwadhamira8346 Рік тому +1

    Maana yake Kwa hadithi inaonesha MAJI yaliumnwa mwanzo kabla ya Arsh ndio maana Arsh ikawekwa juu ya MAJI. Ma Shaa Allah. Raha sana

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 8 місяців тому

      Kweli kabisa maji ndio ya mwanzo kwa maelezo hayo

    • @yasinabdulkadir1925
      @yasinabdulkadir1925 8 місяців тому

      Nadhani nimeelewa kama wewe.

    • @mussakantumba9914
      @mussakantumba9914 7 місяців тому

      Naam kiumbe cha kwanza kuumbwa na Allaah ni Maji=,(bahari saba) cha pili ni Arshi,=( ndio kiumbe kikubwa kuliko viumbe vyote ni kubwa sana hadi haielezeki) Ama kalamu ni kiumbe cha kwanza kwa maana ya kuwa ni cha kwanza kuumbwa kabla ya kuumbwa viumbe vyote baada ya Maji na Arshi. Maana maji na arshi ni viumbe alivyo jinasibisha navyo na ndio maana kuna; Maji, kisha Arshi ipo juu ya Bahari ya saba na Allaah yupo juu ya hiyo arshi lakini bila ya kuitegemea hiyo Arshi na huku akiwa ni mwingi wa kutenda alipendalo.

  • @BakariKibasi
    @BakariKibasi 8 місяців тому

    Sheikh Othman maalim allah akujaalie jannatufildaus

  • @fatumahamisi1604
    @fatumahamisi1604 7 місяців тому

    Allahu Akbar Allah kareem

  • @hatibumabote190
    @hatibumabote190 5 місяців тому

    Allah akbar