WAZIRI SILAA AKATAA RUSHWA ya MIL 300 UJENZI KITUO cha MAFUTA MIKOCHENI ALIPOLIAMSHA DUDE TIBAIJUKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 359

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Рік тому +1

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

    • @majurakafumu9120
      @majurakafumu9120 Рік тому +1

      Huyo msomali anaona nchi imekuwa yake kwa sababu ya pesa zake anyovyo zigawa

  • @jameskivelege8630
    @jameskivelege8630 Рік тому +37

    Hii imenitoa machozi Mr Slaa, kumbe nchi hii kuna watu waadilifu jamani!
    God bless you

    • @ototek8037
      @ototek8037 Рік тому +2

      Mi siamini kama serikali inawatu kama hawa, huyu watampoteza mda sio mlefu. Maana ccm wenye nguvu na vyeo ni majambazi watupu

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz Рік тому

      Kama alipokea na ameficha

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 8 місяців тому

      Had mim naogopa ila kqmq kufa hamna hatae rukq​@@ototek8037

  • @josephjacob6054
    @josephjacob6054 9 місяців тому +2

    Waziri unafaa Sana na mungu akubariki wewe na familia yako kwa kuwatetea wanyonge

  • @fridaminja3983
    @fridaminja3983 Рік тому +6

    Una hofu ya Mungu. Ubarikiwe

  • @PAMA3542
    @PAMA3542 10 місяців тому +5

    Waziri silaa unafaa kuwa kiongozi mkubwa Tanzania simamia uzalendo wako mungu akulinde kaka

  • @hilarysimiyu808
    @hilarysimiyu808 Рік тому +27

    You are young and focused leader Mr Silaa. I am a Kenyan and I happened to have worked with your late father here in Kenya around 2013 on a oil exploration project in the north eastern part near the somali border. Your late father was an accomplished helicopter pilot and I really enjoyed working with him. The news that he died in a helicopter crash was very shocking to me. You are the kind of leader we need in this region. I should say that Tanzania is lucky to have you as a minister. I am sure you've made your late father proud in heaven. Keep up the good work and may the almighty bless and protect you.

  • @amaninoi1959
    @amaninoi1959 Рік тому +3

    Keep it up Jerry simamia haki Mwenyezi Mungu akubariki

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 10 місяців тому +1

    Asante Mheshimiwa Waziri Silaa leo nimeona Dokumente mikononi mwako ya Mwaka 1955 nyakati zile Machifu walikuwa wakigawa Viwancha Sehemu yetu iko kwenye Pori na tuliweza kulima na kuvuna Vyakula vya aina mbali mbali Baba alipokuwa hai kadanganywa na na kuuza hiyo Sehemu kwa nchia ya udanganyifu kiasi cha TZS 80 zamani zile mpaka leo Sehemu haitumiki aliyemdanganya Baba Mzazi hafahamiki ile Sehemu ni mahali pazuri kujenga Shule asante

  • @rajenderrobert8605
    @rajenderrobert8605 Рік тому +8

    Mungu akusaidie Brother. Hao watu wa Mafuta wana Nguvu ila Mwenyezi Mungu ana Nguvu zaidi

  • @johnmtumishi8554
    @johnmtumishi8554 Рік тому +4

    Hongera waziri kwa hekima hiyo na kwa kumweshimu Mungu .Mungu akulinde akutunze akubariki. Ndiyo maana Rais wetu Mpendwa alikuona na akakuteua .tunamshukuru Mungu kwa ajili ya maamuzi yako. Isaya 33:13-16 na Amosi 5:12 nimekuona hapo kutoka 23:8 kumbukumbu la torati 10:17 na16:19 . 1samwel 8:1-3 Ayubu 15:34 .Zaburi 15:4-5 mithali 17:23 mithali 29:4 asante waziri kwa kumuwakilisha Raisi wetu vizuri na kwa kutoa Elimu nzuri hata ya kitaalamu,na ipasavyo kuishi.Mungu bariki viongozi wetu Mungu ibariki Tanzania ktk Jina la Yesu Kristo Bwana amina.

  • @francomwalutende7864
    @francomwalutende7864 Рік тому +4

    Umeongea vizuri sana mh, waziri tunataka viongozi wawazi na wazalendo wa kweli, siyo wachumia tumbo

  • @kikalarashid9003
    @kikalarashid9003 Рік тому +8

    Jerry uwaziri mkuu unakufaa, utatusaidia sana aisee!

  • @TomasMvela
    @TomasMvela Рік тому +4

    Wewe Jerry slaa n hazina ya taifa...good work

  • @edwardmakonge6951
    @edwardmakonge6951 Рік тому +4

    kijana slaa uko vizuri mungu akulinde sana umegusa pabaya sana ,utavuka tuko pamoja na wewe.

  • @gibsonlwinga5950
    @gibsonlwinga5950 10 місяців тому +4

    Hongela sana Waziri wa ardh❤

  • @BinHamimuHerbal
    @BinHamimuHerbal 11 місяців тому +2

    Aokoae huokolewa pia Allah akujaalie kila hitajio la nafsi yako👍🙌🙌🙌

  • @johnsimba
    @johnsimba Рік тому +6

    Kati ya mawaziri nimekukubaliMr. Silaa uko vizuri

  • @moshinyashebo7981
    @moshinyashebo7981 10 місяців тому +1

    Mungu wa mbinguni akutunze hapa duniani kwa kusimamia haki za watu na atunze kizazi chako kizazi Cha wadhari mu kitokomee kabisa popote

  • @missangatv1368
    @missangatv1368 Рік тому +5

    Waziri nimekupenda, kazi nzuri mkuu!

  • @neemabright3635
    @neemabright3635 10 місяців тому

    Dah Soo wise brother. Keep it up hongera sana hii wizara inakufaa sana ... Tumezidi kumsingizia hata Mungu wakati tunasababisha wenyewe...

  • @thadeovitus3435
    @thadeovitus3435 Рік тому +11

    Excellent!!! We need such leaders!!! Be blessed Waziri Slaa!!!

  • @MerickyMangula-yi6ow
    @MerickyMangula-yi6ow Рік тому +3

    Upo vizuri sana kaka Hongera sana

  • @jumaally8567
    @jumaally8567 Рік тому

    Nakuona mbali Sana katika career yako ya Uongozi may brother Ur so humble.niliwahi kufika ofcn kwako wakati ukiwa meya haikuwa shida kukuona na haja yangu ilitekelezeka🙌🏼

  • @mgalami
    @mgalami Рік тому +2

    Very Good Mr.Minister.Keep it up always and may God Bless you abundantly!!!!

  • @RashidJKarubi
    @RashidJKarubi 10 місяців тому

    Alllah akuongoze ktk kuisimamia haki akuzidishie. Umri ili watanzania tuzidi kunufaika kupitia kazi nzuri na uzalendo namsimamo ulionao ktk kuisimamia haki napenda unachokifanya

  • @YasniJuma-li5fp
    @YasniJuma-li5fp 8 місяців тому

    Dahaaa kweli wizara imempata mwenyewe hongera sana kijana bambana

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 8 місяців тому

    Mungu akubariki sana. Kweli bado unakula urithi waziri wangu. Baba yako kuwa rubani kwenu mpo vizuri

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 Рік тому

    Jerry Slaa, Jerry slaa Jerry Slaa..nimekuita Mara tatu...wewe ni MAGUFULI +...big up sana

  • @MariamWiliam-z8k
    @MariamWiliam-z8k 9 місяців тому

    Mungu akupe maisha marefu jerry nagroup lako lawenye hekima kama ww unahofu yamungu baba

  • @SheillaJaffery
    @SheillaJaffery Рік тому

    Hongera sana waziri kiongozi mwenye hofu ya Mungu na kusimamia neno la Mungu hakika utafika mbali Mungu akufiche Damuni mwake adui asikuone

  • @kianda973
    @kianda973 Рік тому

    Waziri Slaa umenikuna sana....❤❤. Sijui wataharibu kukuloga? Ila tunakuombea Mungu hautalogeka...nyota yako iendelee mbele kwa mapenzi ya Mungu

  • @sebmalunde5945
    @sebmalunde5945 Рік тому +1

    HONGERA SANA MHE. SILAA

  • @Josephgoliama1
    @Josephgoliama1 Рік тому

    Touched by his words. Mungu akubariki mheshimiwa Waziri Slaa

  • @sakibumakoke9197
    @sakibumakoke9197 8 місяців тому

    Kutoka moyoni huyu waziri Mama Samia tunakupongeza Yuko vizuri na atafika mbali kwa uwezo wa Mungu.

  • @SamoraNgalya
    @SamoraNgalya 11 місяців тому

    Hii inch ina watu baadh yao yao wanaakl sana kwanza hongera sana kwa kusmamia sheria Mh MUNGU akupe maisha marefu sana na baraka za kuzidi il uendelee kusmamia hak wewe n silaa yetu wa Tanzania jna lako na matendo yako vmelandana

  • @nuruabdallah809
    @nuruabdallah809 Рік тому +5

    Tunakuombea mungu muheshimiwa waziri hata ukiwa mmoja pekeyako msaidie mama sisi watanzania tunakuunga mkono tupo nyuma yako.

    • @allymganga3223
      @allymganga3223 Рік тому

      Nchi yeti Ina Watu wanaostail haki na kuna wasiostaili haki kila siku majumba ya Watu yanavunjwa nawao wapo awaongei chochote blabla tuu nchi yetu aina utawala wa shelia ujanja ujanja tuu umezidi

  • @mzalendomzalendo2567
    @mzalendomzalendo2567 8 місяців тому

    Welldone waziri manake hivi vituo vya mafuta karibu vitajengwa mpaka kwenye miguu yetu sasa

  • @suzysam6002
    @suzysam6002 Рік тому +4

    MUNGU wa mbinguni akubariki sana , akuangazia Nuru ya uso wake na kukupa aman

  • @ndinzeissa4778
    @ndinzeissa4778 Рік тому +3

    Hongera hongera wazili kweli umesoma dini na tena wrwe ni mzalendo hii nchi inaitaji mawazili kama wewr na.wakuu wa mikowa kama wewe hongera sana ila kuna kiongozi mmoja nilmsikiliza alikuwa ana bwabwaja maneno wewe uko sahii hawa wssimamizi wanapo fanya ziara inje hawa jifunzi wazili hongera sana

  • @momylaviel
    @momylaviel 8 місяців тому

    Mungu akupe maisha marefuuu waziri

  • @fredybasleymrema4737
    @fredybasleymrema4737 Рік тому +1

    Safı sanaa. The way to go.

  • @matiredms917
    @matiredms917 10 місяців тому

    Nimefurahi sana mwangu! Munhu akubariki

  • @chellususnkungu4333
    @chellususnkungu4333 Рік тому +1

    Safi sana mh,waziri

  • @onesmomalifedha4709
    @onesmomalifedha4709 Рік тому

    Daa!! Hongera sana mh Slaa.Watanzania wanataka haya mambo kwa viongozi wao.Wote CCM tungekuwa hivi,tungekaa kwenye uongozi milele.Huo ndio uzalendo.

  • @petermgaya9693
    @petermgaya9693 Рік тому +1

    Excellent Slaa

  • @gideonlusana7288
    @gideonlusana7288 Рік тому

    Mungu akuwezeshe Mh Waziri

  • @sizamazongera5610
    @sizamazongera5610 8 місяців тому

    Uko vizuri silwa

  • @DanielYae-kw6dr
    @DanielYae-kw6dr Рік тому

    Nakupenda sanaaaaa wazirii wangu

  • @albertmaneno
    @albertmaneno Рік тому

    Super.... wise Mh. Jerry

  • @medsonulendo4221
    @medsonulendo4221 Рік тому

    Hongera sana Wazir kwa kua mnjoofu na mtetea wanyonge na pesa hatutaondoka nazo tutaondoka watupu utu una thaman kuliko kitu mungu aendelee kukusimamia na kukulinda

    • @professorwangwande1752
      @professorwangwande1752 Рік тому

      Watanzania wengi nivipofu hawawezi kuwa na wanyonge hivi kituo kikifungwa hamuoni kuwa niwalizisha wenye nazo kuwatia hasala wanyongee niwatu wangapi wanazulumiwa alidhi zao silaha ameshindwa kuwapa Hali zao

    • @professorwangwande1752
      @professorwangwande1752 Рік тому

      Ninani aliyewaloga mkawa gipofu vizuwi msione hasala anayo pata kwenye kituo hivi tokankijengwe tibaijukwa Yuko wapi jee hiyo alidhi Miyake oazumiwa Nani hapo mi roho mbaya tu rushwa ziko nyingi silaha Kala lushwa ya sifa kujipendekeza lushwa ya ubaguzi huyu ubunge alipataje ulipita Bila lushwa uwonevu unamtia mtu hasala kwakuwa umepewa shamans yauwazili munguwa mbinguni anakuona hiyo mtu unayefungia hajabmdhulumu mtu unamtia hasalabkwakulewa sifa wanyonge wanadhimiwa alizi zao na vigogo sikusikii ukiwasaidia sijafurahi hutoshi maondoa hiyo hatoshi

  • @dollyjohn6811
    @dollyjohn6811 Рік тому

    Safi sana muheshimiwa

  • @MakilinDausi-x2t
    @MakilinDausi-x2t Рік тому

    Safi sana mhe waziri

  • @EliaHiluka-ep3tp
    @EliaHiluka-ep3tp Рік тому +1

    Fanya Kazi Mhe.iliyokuleta hapo

  • @nurdinkassim
    @nurdinkassim Рік тому

    Hongera slaa tupia macho na nzuguni dodoma

  • @evodiuskalema2123
    @evodiuskalema2123 Рік тому

    Mungu akulinde waziri

  • @seifsaidseifsaid1210
    @seifsaidseifsaid1210 Рік тому +3

    Mbona dar kuna vituo vingi sana kwny makazi ya watu hasa kwa walalahoi lkn mnafuata kwa matajiri acheni siasa tendeni haki!

  • @rajabodhuman1300
    @rajabodhuman1300 Рік тому

    Unayo Nena na unayo ficha mungu ndo mjuzi zaidi tuko safarini pamoja yetu macho mungu atuongoze sote

  • @paskaziasholla7471
    @paskaziasholla7471 10 місяців тому

    Tena imeandikwa rushwa huondoka haki hongera sana muheshimiwa MUNGU akutunze sana

  • @Jasimin-t2m
    @Jasimin-t2m 10 місяців тому

    Jamani waziri mungu akubariki naomba uje Arusha uku tunaonewa wachimbaji wamawe Hulu tunanyanyashwa

  • @jeniffermageto8952
    @jeniffermageto8952 Рік тому

    Hapo sawa

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 Рік тому

    Hongera sana Kiongozi 👏

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 10 місяців тому +1

    We uko vizuri kuliko lukuvi .cjui ulikuwa wapi

  • @mathiassalamba7328
    @mathiassalamba7328 Рік тому

    Mungu akusaidie Baba uendelee na moyo huohuo rushwa ni dhambi kubwa

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 Рік тому +1

    Nimefurahi sana kaka kuingilia hili maana mwanzo nilipoqngqliq sikuelewa kabisa Mungu tuhurumie 😢

  • @faustinekf4952
    @faustinekf4952 11 місяців тому

    Huyu jamaa yupo smart sana,

  • @mshindotv
    @mshindotv Рік тому

    TAKUKURU IANZIE HAPO,........!!!!

  • @Ezekiel-rh2ni
    @Ezekiel-rh2ni Рік тому

    Jah bless u Mr waziri

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Рік тому

    Halooooo ya ccm chapa kazi baba Mungu akubariki maskini wanaonelewa sanaaaa waraabu hatuwataki jamani ndiyo wenye mabalaa hayo awamu ya nne kidogo ndiyo yanayotutesa

  • @abdulmshamu801
    @abdulmshamu801 Рік тому +13

    Kwanza ongera kwa kukataa rushwa,sasa vizuri walio taka kukupa rushwa wachukuliwa hatua,takukuru kazi hiyo hiko wazi watanzania tunasubili kuona sheria inafanya kazi yake

    • @hamadsheni8997
      @hamadsheni8997 Рік тому +2

      Nawewe unaamini?

    • @musa-v3f
      @musa-v3f Рік тому +3

      kutoa rushwa na kupokea rushwa ni kosa la jinai..atuambie alipewa rushwa na nani? na kwanini mhusika hajakamatwa? Jerry anajaribu kujitafutia umaarufu wa kijinga

    • @muhammadalibhaz1390
      @muhammadalibhaz1390 Рік тому +1

      anajinadi nakumbuka aliyepita pia alikuwa hivi hivi Leo

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 Рік тому

      Hujajijua tu wewe ndio......angeruhusu mngesema amechukuwa rushwa au mngesema serikali haifanyi kitu hivi nyinyi mkoje hamuwezi kusifia kizuri? Kizuri mnakifanya kionekane kibaya na kibaya mnakisambaza zaidi, mlimuita Magufuli diktekta si ndio sasa kitawalamba, maana huu upuuzi kipindi chake hakijawahi tu kutokea maana akijua tu hata kama hukuchukua rushwa kibarua huna maana atakwambia umeshindwa kufanya kazi yako na huendani na speed yangu, mtu amejieleza kwamba hanyinywi pombe havuti sigara na anamke mmoja na bado anakula pesa za urithi yaani zakwake hagusi bado tu mnamchukulia poa kuna watu mbali na hofu ya Mungu ila wamelelewa kimaadili na nidhamu watu wa aina hiyo wamenyooka sana na hawapindishwi hata iwe vipi mbali ya yote mwenyewe ni mwanasheria, yeye amesema na anajua alichokisema mtu anaekutangulizia pesa kwanza si rafiki pili anajaribu kununua utu wako tatu baada ya hapo kukudharau mazima na hicho ndio alichokiona na ndio maana amesema wazi, na sheria huwezi kumkamata mtu kama ushahidi haupo, ndio maana hata takukuru wanapokamata huwa wanatumia pesa ambazo wamerikodi namba za pesa kukamilisha ushahidi ama alalamikaji awe na pesa hizo kama ushahidi sasa pesa hakuchukua maana ushahidi hakuna, na hata aliesema anauwezo wa kukana maana hakuna maandishi.​@@musa-v3f

    • @mohamedmbalazi748
      @mohamedmbalazi748 Рік тому

      Hizi 300 angezichukua na hawa watu akawakamata. Na hazirudi

  • @ShabaniMalange
    @ShabaniMalange 8 місяців тому

    Ongera Allah akuweke zaid kwa manufaa ya watu. Chanika yongwe tunapata shida sana ya njia had pkpk zinashusha watu sehemu zngne zilivyoaribika yongwe tunatembea kwa miguu Allah akulete na huku

  • @urasaanold2851
    @urasaanold2851 Рік тому

    Mweshimiwa tembelea Barabara yetu ya tabata to mbezi ujionee mwenyewe karibu sana.

  • @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm
    @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm 9 місяців тому +1

    Huyu ndio waziri bora na kiongozi bora kuliko kiongozi mkubwa

  • @muganyiziluharara9668
    @muganyiziluharara9668 Рік тому

    Waziri nzuri sana

  • @shanishani6371
    @shanishani6371 Рік тому

    Ubarikiwe sana

  • @omarsirleem7105
    @omarsirleem7105 10 місяців тому

    Aisee Kenya 🇰🇪 tungepata waziri mmoja tu kama huyu,Kenya nzima ingenyooka 😢

  • @mudhihirIbrahim-hb7ry
    @mudhihirIbrahim-hb7ry 10 місяців тому

    Safi sana

  • @hassaniibrahim300
    @hassaniibrahim300 Рік тому

    Hongeera sanaaa Waziri

  • @alloycejames5285
    @alloycejames5285 Рік тому

    Hongera mama kwa kumwona huyu mwamba...

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania 7 місяців тому

    Kabisa nchi hii wenye haki wenye pesa .

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 Рік тому

    Wewe bwana mdogo. Unafaa kuwa waziri unayo sema sawa sana..

  • @HamisMberwa
    @HamisMberwa Рік тому

    Mh waziri njoo Magu Kijiji cha Ilungu uone😊

  • @omarimustapha796
    @omarimustapha796 Рік тому

    Umeme very important solution

  • @NeemaMlay-jb6zj
    @NeemaMlay-jb6zj 10 місяців тому

    Huyu ameshushwa na Mungu kabisa

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 Рік тому

    Waziri yupo vizuri rushwa ni adui wa haki

  • @gastonseme4524
    @gastonseme4524 Рік тому +1

    Ukipata viongozi kumi kama hawa Taifa litafika mbali Exllence

  • @emanuelkatambi6902
    @emanuelkatambi6902 Рік тому +4

    Hongera sana yaani naiona picha ya Magufuli usoni na moyoni mwako chapa kazi chapa kazi tumecheleweshwa sana!

  • @damasiasimba-lk5os
    @damasiasimba-lk5os Рік тому

    Waziri na kuelewa sana

  • @mandelasamson8401
    @mandelasamson8401 Рік тому +1

    Samia Suluhu Hassan .husomagi coment

  • @JlmwinukaOnlineTv
    @JlmwinukaOnlineTv 10 місяців тому +1

    Nikweli mheshimiwa upomakini

  • @mosesbarnaba7851
    @mosesbarnaba7851 Рік тому

    Good 👍

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 10 місяців тому

    ❤❤❤❤ tusaidie baba mimi nilinunua eneo miaka 10 iliyopota akaja jirani yangu akangoa nguzo zangu ktk mipaka na anapamiliki mpaka leo aliwahi kutakA KUNIKATA PANGA WATU WAKAMZUI akasema mm niwNamke sitamuwexa nisaidie jamNi ee Mungu wa haki 😢

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 10 місяців тому

    Lo Mungu akusimamie akinde
    Mama Samia mpe ulinzi huyu baba jamani Mungu akusimamie. Ardhi itanyooka tu.

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 10 місяців тому

    Umekomesha umekomesha hakuna mabadiliko ya matumizi ya Ardhi nchi nzima.

  • @AntonySalvatory
    @AntonySalvatory Рік тому

    Mungu akubariki sana mh waziri Doctor siraha kwa kazi yako njema yenye uhaminifu hakika wewe ni mwenye haki

  • @mgonjamgonja7084
    @mgonjamgonja7084 Рік тому

    Nice

  • @Tutankhamun-s3n
    @Tutankhamun-s3n 8 місяців тому

    Afande ana mng'ong'a waziri 😂😂😂😂

  • @yahyaali1181
    @yahyaali1181 9 місяців тому

    Siku moja uje uwe raisi wa nchi hii

  • @lawimichaelwerewere7619
    @lawimichaelwerewere7619 10 місяців тому

    Yani mpaka Raha kumsikiza Jerry lakini hofu yangu mafisadi tu Ila tuko nyuma yako tuakuombea MUNGU atakulinda na kukusimamia

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 Рік тому +1

    Mungu akutunze kaka Mungu akutunze ulinzi wa kristu yesu uwe ndani yko tunakuombea tunakupenda kaka

  • @lekishonmolele1859
    @lekishonmolele1859 10 місяців тому

    Naitaji Namba ya huyu mwamba hata mm nimesulumiwa shamba yangu isiopungua ekari theladhini 😭😭😭😱😱