WAZIRI SILAA AMTIMUA MZEE MASS ALIYEVAMIA NYUMBA SIO YAKE | AMKABIDHI MWENYE HAKI | MHE.NINA NJAA...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 117

  • @edlumala9428
    @edlumala9428 6 місяців тому +9

    Dua zetu kwa wingi kwa Mh Jerry! Simamia haki Mungu anatosha kuwa na nawe

  • @salumally663
    @salumally663 6 місяців тому +5

    Waziri hongera sana kuwatetea wanyonge kazii hii unayoifanya ni ngumu sana. Kwanza kukesha mpaka usiku kutatua matatizo ya watu inaonyesha una moyo special...

  • @irenebarakelimnene4895
    @irenebarakelimnene4895 6 місяців тому +6

    Mhe.Jerry mwenyezi Mungu Akubariki kwa kutenda haki

  • @RichardJavara
    @RichardJavara 6 місяців тому +5

    Mh waziri hongera sana kwa kazi nzuri ambayo kila mmoja kwa macho yake anaiona kwa kwali usichoke endelea kupamabna kazi hiyo ni ngumu sana.

  • @beatricembunda6168
    @beatricembunda6168 5 місяців тому +2

    Mungu akubariki Mh.Waziri kwa kutetea haki za wanyonge.

  • @uzimameditv8148
    @uzimameditv8148 6 місяців тому +3

    Ubarikiwe saana waziri huo sio uongozi wa kisiasa bali bali ndio namna ya kumtumikia Mungu kwanjia ya uongozi, njoo kasulu Kigoma tupone.

  • @Lorenelaura-xq9dc
    @Lorenelaura-xq9dc Місяць тому +1

    Hongera sana Jerry Silaa!!

  • @umsulaiman7468
    @umsulaiman7468 4 місяці тому

    Asante wazir. Silla hutaki dhuluma kabisa Allah akulinde azidi kukupandisha cheo tunakupenda mtenda haki

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 6 місяців тому +7

    Dk sillah mungu akulinde akupe afya njema na maisha Marefu dk silah for president

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 5 місяців тому +4

    MWENYEZI MUNGU MTUKUFU AKUBARIKI MH. WAZIRI SILAA.

  • @saidinaweka9425
    @saidinaweka9425 6 місяців тому +1

    Polesana wazili kipenza changu unaweza sana mungu akubaliki kiongozii mpenda hakiii

  • @OdasiBuchumi
    @OdasiBuchumi 6 місяців тому +10

    Matapeli wote wanakimbilia mahakamani kwa sababu ya kwenda kuhonga vipesa

  • @GodlistenMaimu-h3s
    @GodlistenMaimu-h3s 6 місяців тому +2

    Mkuu Mungu atakulipa Kwa kusaidia watu Kuna watu wanapata shida na wapo na haki ya kumiliki

  • @ThomasfrancisMvella
    @ThomasfrancisMvella 6 місяців тому +2

    Namfurahia mr waziri slaa ,,,,,pga kaz bro

  • @yusuphalinani5432
    @yusuphalinani5432 5 місяців тому

    Mungu akukumbuke mh waziri katika kazi zako

  • @MarySimoni
    @MarySimoni 6 місяців тому +6

    Mzee anaonekana mjanjamjanja huyu, ila hakuna kitu kibaya kama kuzulumi ardhi

  • @Kidotii
    @Kidotii 4 місяці тому

    Proud of you Mh. SILAA, Tunashukuru kwa kutuchongea barabara Pugu

  • @allyabdallah4357
    @allyabdallah4357 4 місяці тому

    Daaa kweli jery mungu atakulinda in shaa allah

  • @RamadhaniSuru
    @RamadhaniSuru 6 місяців тому +3

    Waziri silahaa niwakuigwa yuko vizuri apewe maua yake🎉🎉🎉🎉🎉

  • @yasinimalya4001
    @yasinimalya4001 6 місяців тому

    Hii inatia moyo sana, mungu akulinde mheshimiwa Slaa kwa kuisimamia haki, hakika wewe ni kiongozi wa mfano wa kuigwa. Safi kabisa mtetezi wa wanyonge

  • @ahmadseaman3487
    @ahmadseaman3487 6 місяців тому +1

    masha Allah
    thanks so much

  • @juliusnassari4468
    @juliusnassari4468 5 місяців тому

    Mh, Silaa nina hakika mwenyenzi mungu atakupigania!! mahakama zetu hazina huruma na wanyonge,watu kama mmasi wapo wengi nchi hii,wanatumia pesa kufanya unyang'anyi!!!

  • @Uhuru-s8c
    @Uhuru-s8c 5 місяців тому +1

    Pongezi kwa mh Slaa, kwakweli upele umepata mkunaji, mahakamani hakuna haki ni rushwa mtindo mmoja

  • @zwinaalhabsi664
    @zwinaalhabsi664 6 місяців тому +3

    Chaa kazi waziri

  • @MrKiwanjaupdates
    @MrKiwanjaupdates 5 місяців тому

    Wazili umetisha saana, wajanja wajanja sikuiz wanajifichia mahakamani huku muda ukixidi kwenda

  • @abibumussa8808
    @abibumussa8808 6 місяців тому +7

    Mahakamani Kama huna hela huwz pata haki kunawale wa le waliowazurumu wanch mwanzange kwa hat ya duga halafu wanajifanya waislam waislam gan nyie zurma jifunz en kwa taasisi ya answal hawajawah kumzurumu mtu hata tofari moja

  • @ErickMdemu-xe3cd
    @ErickMdemu-xe3cd 6 місяців тому +1

    God be with you honorable

  • @yassinitupa5819
    @yassinitupa5819 5 місяців тому

    Hongela slaa nimekufuatiria kwa muda sasa tamgia uteuliwe na mheshimiwa yani hii nafasi inakufaa

  • @DavinaDavid-cp5ke
    @DavinaDavid-cp5ke 5 місяців тому

    Mungu akubalii waziri wetu

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 6 місяців тому +2

    jamani tangazo tangazooooo kama unajua ww unakaa kwenye nyumba ya zuluma hama mwenyewe ile zama ya uonevu kwenye alizi imekwisha mimi wala simuonei huruma kwasababu yeye nimshenzi zaid hiii ndio daw yao siwana lingia mahakama kwa sababu wana pesa sasa izo pesa watafute viwanja wajenge wakae kwa utulivu shenz wazili apewe mauwa yake mana hii kazi inahitaji uso wambuzi ningumu kurogwa nnje nnje

  • @salumally663
    @salumally663 6 місяців тому +2

    Mm ntakuomba ukiwa ubaendelea na kazi ukipata mda Upate MAOMBI DUAa nzitoo sana ili wasije kukudhuru hawa halafu uendele na kazi..

  • @raurentkorosso2014
    @raurentkorosso2014 5 місяців тому +1

    Hii wizara umeimudu Mkuu mama akupe muda utatue shida hizi mkuu

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 6 місяців тому +3

    Lkn jmn silaha utumie utu kidpgo insi sawa ht kmnunaitaji mtu atokebso kiivi jmn mm cjapenda

  • @DerickNgowi-mf5pe
    @DerickNgowi-mf5pe 5 місяців тому +1

    Huyu mzee ana haki hawa wasaidiz wajanja wanakula hongo nje ya kazi kabla ya makutano wa

  • @FreeGod368
    @FreeGod368 5 місяців тому +1

    Nkiona hivi najua kama lukuvi alikua anacheza singeli kwenye serikali tu

  • @Uhuru-s8c
    @Uhuru-s8c 5 місяців тому

    Namfuatilia huyu waziri kuliko kiongozi yeyote wa nchi yetu, he is at high level hakika profile yake inang'aa mno

  • @mwanaidikhamis5430
    @mwanaidikhamis5430 5 місяців тому +1

    Nampenda sana huyu kiongozi

  • @zedyabdulrwabilingo9042
    @zedyabdulrwabilingo9042 6 місяців тому +1

    Safi sana mh Silaa.

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 5 місяців тому

    Matepeli wengi wanapenda mahakamani ili haki wapewe wao kwa sababu ya pesa zao zinapindisha haki Mungu atawchoma sana mkifa

  • @shabaniramadhani7632
    @shabaniramadhani7632 5 місяців тому

    Hongera waziri kwa kazi nzuri hao wazurumaji ndio dawa yao haki sawa taperi mkubwa huyo

  • @shukurually8769
    @shukurually8769 6 місяців тому +1

    Kati ya mawazili bora walioiweza kazi kwenye sekta ya uwazili wa ardhi slaa hongera sn unapambania haki kiukweli

  • @lukemelyemwenga2910
    @lukemelyemwenga2910 2 місяці тому

    Jeriiiiiii👍

  • @rashidomar2771
    @rashidomar2771 5 місяців тому +2

    Mh hapa kwa huyu mzee hukufanya haki ,,ungeli muombea kwa mwenyewe angalau siku 3 iwe ameondoka,,ungelikua umekamilisha uungwana hasa

  • @froma3732
    @froma3732 6 місяців тому +2

    Waziri upo Sawa 110%

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 6 місяців тому +2

    Mnataka kumtapeli mzee WA watui duu inchi hii

  • @ghulamhaji7856
    @ghulamhaji7856 6 місяців тому

    Hongera waziri

  • @Lorenelaura-xq9dc
    @Lorenelaura-xq9dc Місяць тому +1

    Huna akili wwe,hayajakukuta!

  • @MichaelmotikaLaiser-dl6wm
    @MichaelmotikaLaiser-dl6wm 6 місяців тому

    Mawaziri igeni mfano w a slaa nchi yetu ingekuwa free from graft or corruption

  • @jacquelinesangu1521
    @jacquelinesangu1521 6 місяців тому +2

    Mae mzee alitaka kudondoka do huruma

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab 5 місяців тому

    Watu wenye pesa zao Tanganyika wakiambiwa waondoka na police fasta tu wala hawana shida maana wanajua hawatofanywa chochote watahonga pesa na watatoka tu hahha Tanganyika bhana kwa maigizo wamepasi

  • @fauzishabani2622
    @fauzishabani2622 6 місяців тому +3

    Duniani kuna vitu vya Ajabu zaidi ya Ajabu

  • @nicksonmremi3412
    @nicksonmremi3412 6 місяців тому +1

    Jembe letu hili mam huyu jamaa usimtoe kabisaa hii wizara mpaka umalize Urais wako na unaemkabidhi madaraka umuelekeze asije akamtoa aendelee kumpa hiyo kazi

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 4 місяці тому

    ,matape wadhulumaji wanyanyasaji wanalimbilia mahakamani kununua haki Allah hahongeki

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 5 місяців тому

    Hawa jamaa mwezi wa Desemba lazima waende kwao kuhiji na wakaeleze kipi walichodhulumu kwa mwaka huo je wameua watu wangapi ili wapate pesa je wamefanya ujambazi wapi na umepata sh ngapi

  • @fredrickipembe8188
    @fredrickipembe8188 6 місяців тому +1

    Utapeli nikitu kibaya sana matokeo yake ndio kama haya sasa zuluma mbaya

  • @FelicianMasheyo
    @FelicianMasheyo 5 місяців тому

    Eleweni sio mnacoment bila kuelewa kijana anasema baba take aliifadhi hati benk mzee mmasi akafanya mipango benki hati ikatoka baadae mzee mmasi akaekti kua nyumba kauziwa na marrhem baba yao vijana wamaungutuma kesi mwezi wa name mwaka Jana wakashinda kwahiy mmas alitakiwa akabiz nyumba mwaka Jana akawa anawayumbisha ndyo

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni 6 місяців тому +1

    Msani huyo wanazulumu maskini

  • @IgerekeRamson
    @IgerekeRamson 6 місяців тому

    Malaika aliyemsimamia mama Samia na kumshauri amchague dk slaa kuwa wazir wa ardh hakika hakukosea

  • @denisnjaila2182
    @denisnjaila2182 5 місяців тому +1

    Ivi ardhi ina nini?

  • @fatumasaidimmependezamjeng8994
    @fatumasaidimmependezamjeng8994 6 місяців тому

    Big up

  • @rajaburajabu3963
    @rajaburajabu3963 5 місяців тому

    Hii inazihilisha kuwa mahakama zetu zimejaa rushwa Yan mahakama zinanuka rushwaaa...sasa silaa anawanyoosha

  • @yusuphsanga7194
    @yusuphsanga7194 6 місяців тому +2

    MM BADO SIJAELEWA VIZUR MZEE ANASEMA HII NYUMBA AMEJENGA YY SASA YY AMEZULUM NN

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 5 місяців тому

      Mimi ndo maana,mjini kitu kinaitwa ardhi,nyumba siwezi kununuwa wala kupewa nikapokea,siwezi hata iweje

  • @beatricembunda6168
    @beatricembunda6168 5 місяців тому

    Mh.ameshunguza na kupata majibu ndo Mana ameamua hivyo,hajakurupuka amepita kote kinakohusika.

  • @iddihamisi6320
    @iddihamisi6320 5 місяців тому

    Siku zote haki itachelewa ila utapata tu hawa wachaga huwa ni wajanja wajanja sana

  • @NancyMatuli-fb5jp
    @NancyMatuli-fb5jp 5 місяців тому +1

    Mbona inaonekana kabila hiii nimatapeli

  • @iddihamisi6320
    @iddihamisi6320 5 місяців тому

    Inatakiwa serikali iweke njia rahisi ili tuwe tunapima aridhi maana migogoro kama hii iwe rahisi

  • @Shafikimanga7
    @Shafikimanga7 6 місяців тому

    Anataka atendewe haki wakati yeye kavunja haki za wengine.

  • @RamadhaniSuru
    @RamadhaniSuru 6 місяців тому +2

    Dah!!! Chamtu ni chamtu

  • @edwinaugustine5388
    @edwinaugustine5388 6 місяців тому

    Weka ndani

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 5 місяців тому

    Ila watu wa ardhi jmn kwanini hati xuwe 2 /3

  • @hassaniabdi3991
    @hassaniabdi3991 6 місяців тому +1

    Matapeli wa tanga awooo

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 6 місяців тому +1

    Hatar sana

  • @MrKiwanjaupdates
    @MrKiwanjaupdates 5 місяців тому

    Huyu mzee anaonekana mjanja mjanja saaana

  • @PatriceElias-uw9uj
    @PatriceElias-uw9uj 4 місяці тому

    MUNGU AENDELEE KUKULINDA WAZIRI WETU

  • @MasoudSultan-ks6kc
    @MasoudSultan-ks6kc 6 місяців тому +1

    ALIPE KODI ULE MUDA ALIKAAA

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 6 місяців тому

    Huyu ameshirikiana na watu wa ardhi kuzulumu. Atapambana nao matapeli wenziwe

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 6 місяців тому

    Bye bye mzee Mmasi mwisho wa dhuluma ndio huo

  • @hulukasefu
    @hulukasefu 6 місяців тому +1

    babayako arikopa benk ndiomana hati yake ikawa benk nahuyo mzee wa watu ariuziwa kweri swari je?ari ipataje hio hati na benk warimpaje hio hati muriwauriza benk kuhusu hiohati naje? irifikaje benk tuache zuruma .zuruma nimbaya nduguzagu.

    • @nelsonnevlin2919
      @nelsonnevlin2919 6 місяців тому +1

      Kwanza hujui kuandika Fala ww ina maana Kilichoelezwa hapo huelewi pimbi ww

    • @josephndunguru6290
      @josephndunguru6290 5 місяців тому

      Yaniii huyuuu nae nyumbuu kwelii, huelew nn hapoo, dhuruma nanii hapoo,

  • @jamesbaisi-mt2bj
    @jamesbaisi-mt2bj 4 місяці тому

    ushauri tu hii nyumba isiuzwe kabisa.

  • @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct
    @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct 5 місяців тому

    Mchukue mpeleke nondo.😅😅

  • @YusuphMwangobola
    @YusuphMwangobola 4 місяці тому

    Baba yuko na pressure

  • @teddyhenry2579
    @teddyhenry2579 3 місяці тому

    19:12 19:13 19:14

  • @official_Nanga
    @official_Nanga 5 місяців тому

    Waukae humu humu tuuuuuu

  • @davidole8257
    @davidole8257 6 місяців тому +2

    Yeye alieshinda kesi mwenzi wa 9 alikuepo wapi mbaka sasa uwonevu tu angeruhusiwa ahame kesho yake sio ungwana

    • @sosteneskawishe8180
      @sosteneskawishe8180 6 місяців тому

      Huyo katili sio wa kuonewa huruma, usiombe yakukute mzee

    • @sambulugu9988
      @sambulugu9988 6 місяців тому

      Wewe mjinga ficha upumbavu wako!

    • @RaymondNjengo-bq1zc
      @RaymondNjengo-bq1zc 6 місяців тому

      Umesikia historia ya kupata hiyo nyumba toka 2005,kwa kutumia nyaraka za udanganyifu kuwa wasimamizi wa mirathi ya marehemu mmiliki ambae walichukua Hati NMB na kisha kujiuzia sasa huruma ya nini?

    • @stephanokanyika6321
      @stephanokanyika6321 6 місяців тому

      Angalia ungekuwa wewe umedhulumiwa ingekuweje kuwa na ubinadamu sasa waziri yuko sahii sana waziri piga kazi

  • @MusaJuma-jr7wb
    @MusaJuma-jr7wb 6 місяців тому +1

    Matapeli hao

  • @hanifhassan183
    @hanifhassan183 6 місяців тому

    Tunamuomba aje na huku Zanzibar dhulma ya Ardhi imekithiri

    • @princewambura9202
      @princewambura9202 5 місяців тому

      Zanzibar kuna waziri wa makazi pia...serekali haziwezi kuingiliana katika majukumu zanzibar ina serekali pia

  • @HildaMlay
    @HildaMlay 4 місяці тому

    Rais wangu baada ya Samia hili ni jembe

  • @adamsimba4886
    @adamsimba4886 5 місяців тому

    Mze wa kikibosho mchaga😅

  • @saidabdillahi8107
    @saidabdillahi8107 6 місяців тому

    Jambazi zee la kichaga

  • @Rahima-kv6mn
    @Rahima-kv6mn 4 місяці тому

    Mzee mzima tapeli muone pala lile kama jiwe la kusugulia miguu 😏😏

  • @henrysadam7406
    @henrysadam7406 6 місяців тому +1

    akuna aki kamaiyo nakwann iwe bek

  • @romanamassawe814
    @romanamassawe814 6 місяців тому +1

    Jerry silaha unaonea, kesi ipo mahakamani unaingilia, acha kutumia nguvu na madaraka vibaya , unaonea wanyonge, huyo mzee umemuonea

    • @AllyMaya-yj3xd
      @AllyMaya-yj3xd 6 місяців тому +1

      Yaan wewe ukishinda kesi ukaachiwa huru sio kwamba ukikatiwa rufaaa ndio unakamaatwa tena unarudishwa magereza haoana rufaa inasikilizwa simple logic ni mpaka rufaa imalizike kusikilizwa kama una hatia ndio unakamatwa.
      Au ukikutwa na hatia ukawa magereza ni tayari unahatia ukikata rufaa unaendelea kusikilizwa rufaa yako ukiwa magereza yaan mfungwa utakuja kuachiwa huru na kutolewa magereza siku utakayoshinda rufaa yako.
      NIKUKUMBUSHE JAMBO JERRY NI MWANASHERIA MBOBEZI TU HAKURUPUKI VERY SMART PERSON

    • @MohamedHassan-t9e
      @MohamedHassan-t9e 5 місяців тому

      Hanee kitu watu wengi hukosa haki zao kwa kisingizio cha Maha Kama nikiwemo na mm kesi miaka 15 haikwisha mpaka sigustilitena

  • @Ba63828
    @Ba63828 6 місяців тому +1

    Mbona utaratibu wa kukaza hukumu upo wazi waziri anaingiaje hapo?

    • @MerickyMangula-yi6ow
      @MerickyMangula-yi6ow 6 місяців тому +2

      Kukazia hukumu kwa mtu mwenye hela hutoweza anahonga

    • @MichaelmotikaLaiser-dl6wm
      @MichaelmotikaLaiser-dl6wm 6 місяців тому

      Why waste time with corrupt people get rid of them bastard

    • @Ba63828
      @Ba63828 6 місяців тому

      @MerickyMangula-yi6ow Unao ushahidi? Sheria hairuhusu waziri au mtu mwingine kuingilia jambo lililopo kortini ni vyombo vya kimahakama tu ndo hutumika. Anachofanya waziri ni ubabe.

    • @neemawayesu1771
      @neemawayesu1771 4 місяці тому +1

      Sheria inaruhusu ndio maana yuko hapo,nenda ofisini kwake utaonyeshwa

    • @Ba63828
      @Ba63828 4 місяці тому

      @neemawayesu1771 Neema are you a lawyer? Wapi alipotajwa waziri ktk Civil Procedure Code Cap 33 kuwa anayo mamlaka ya kuingilia utekelezaji wa hukumu/uamuzi uliotolewq na mahakama? Naomba utaje kifungu.