MTOTO WA BACHU ACHEZEA KIBANO | AITWA BWEGE WA ELIMU | TWAKUOMBA UNYAMAZE NA LUGHA YAKO MSETO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 334

  • @mustafaismail5622
    @mustafaismail5622 Рік тому +6

    Mashaallwa wallwahi nikiwaona mashehe kama hawa nasuuzika roho yangu Wallwahi

  • @duanatibaasilimujarabu4041
    @duanatibaasilimujarabu4041 Рік тому +3

    Massha Allah.. Allah akulipe Shekh duniani na kesho Akhera

  • @hassanjuma6144
    @hassanjuma6144 4 місяці тому

    Wallah mzee huyu allah Amuhifadh ❤❤❤❤ katoa virutubisho vilivyomo utam mwing

  • @UstaziMwenjuma
    @UstaziMwenjuma Рік тому +1

    : Maashaa Allah Mungu akupe umri mrefu mzee wetu

  • @abdumohamed1460
    @abdumohamed1460 7 місяців тому

    innaalil laahi wainnaa ilaihi raajiuun
    huu ni uroho wa pilau na mapesa riya ndizo zilizotawala ktk nyoyo za hawa watu allah awaongoze

  • @dauddaud-xm2wc
    @dauddaud-xm2wc Рік тому +4

    Subhaanallah Allah awaongoze ninyi pamoja ss ktk kufata amri zake na kukaa mbali na makatazo yake

  • @ياسمينياسمين-غ2ص

    MashaAllah Raha sana ukijuwa Dini

  • @aliomar8153
    @aliomar8153 Рік тому +3

    Mashallahhhhh takbirrrrr.....Allahu akbar

  • @qussayribnommar511
    @qussayribnommar511 5 місяців тому +1

    Ahlul-Bid'3ah Wamekutana Wakiambiwa Ukweli Wanasema Wanasemwa Allaah Awaongoze Allahumma Aamiin Thumma Aamiin

  • @yahayasalum2943
    @yahayasalum2943 Рік тому

    Maulidi ni jambo lenye kuziswa
    Maswahab Allah awaridhie ni wajuzi zaid wa kuijua dini ya Allah.
    Na ndiyo watu wenye pupa zaid wa mambo ya kheti
    Na ndy watu walimpenda zaid mtume
    Na ndiyo walioshikamana zaid na sunna za mtume
    Na pamoja na yote hayo hawakusherehekea mazaxi ya mtume
    Yangelikuwa yana kheri wangetutangulia juu yake

  • @bwagizoselemani8434
    @bwagizoselemani8434 Рік тому +6

    Watu mnacheka tu lakini ipo siku tutakuja kulia

    • @SaidAli-r2d
      @SaidAli-r2d Рік тому

      Kilio kwa wanaokanusha na kuwahukumu waislamu wenzao wakati wao hawajui hukumu zao zitakua vip

    • @mudhihirissa274
      @mudhihirissa274 9 місяців тому

      Wewe ndio utakuja kulia haswa😊

  • @AbuuUzair
    @AbuuUzair Рік тому +4

    Sheikh anasema hatomuacha hivi hivi sijui wantaka wampige kimmbola inshallahkwakuwa muhammad bachu anaizunhumza haki basi inshalah allah atamlinda na husda zao wala hazitomdhuru inshallah.

    • @ibrahimabdallah1643
      @ibrahimabdallah1643 Рік тому

      Atapigwa tu Kama anamchafu wanae muamin wao Basi atapigwa na atapigwa tu sababu yeye ni Adui wao

    • @mohadsalum9764
      @mohadsalum9764 Рік тому

      Waisilamu munagawiwa makundi munajazwa chuki juu ya muislamu mwenzenu mnacheeka t watu wa maulidi baadhi Yao wanakuwa na mambo ya kijadi mayahudi wametuweza

    • @Fumokale
      @Fumokale Рік тому

      Hapigwi mtu..ndio nyinyi ambao hamuelewagi maana...hawatamuachia akija na urongo na kukosa adabu kwa mashaikh...zingatieni maana

    • @gozbethedwinlupogo1018
      @gozbethedwinlupogo1018 11 місяців тому

      Kimbola ndio nn

  • @RàmààhRóóñéy
    @RàmààhRóóñéy Рік тому +1

    Mimi mzee nilikua naona uislamu kama dini iliyojaa mshikamano lakini daah!!! Hamna kuchekeshana na kufurahishana tu.hamna mafunzo

  • @yahayasalum2943
    @yahayasalum2943 Рік тому

    Maulidi ni jambo lenye kuziswa
    Maswahab Allah awaridhie ni wajuzi zaid wa kuijua dini ya Allah.
    Na ndiyo watu wenye pupa zaid wa mambo ya kheti
    Na ndy watu walimpenda zaid mtume
    Na ndiyo walioshikamana zaid na sunna za mtume
    Na pamoja na yote hayo hawakusherehekea mazaxi ya mtume
    Yangelikuwa yana kheri wangetutangulia juu yake😊

    • @yuenbiao1777
      @yuenbiao1777 9 днів тому

      Na elimu ya hadithi na usul fiqh wangeitunga lakini hawakufanya,na swala ya Ijumaa hawakusoma khutuba kwa kiswahili hayo nyie mmepata wapi

    • @yuenbiao1777
      @yuenbiao1777 9 днів тому

      Nikujuze kitu alichokisifia Mtume s.a.w kwa mtu wa tariqa?

  • @ashamngindo8023
    @ashamngindo8023 Рік тому +1

    Mashallah shekh wetu

  • @mussamgonola3983
    @mussamgonola3983 Рік тому +1

    Wallah namkumbuka ustadh Ilunga ,,Makafiri wanafurahi sana kuona twagombana kama hivi namuomba Allah atuepushe na hizi mambo !

  • @abubakaromar6101
    @abubakaromar6101 Рік тому +3

    Nawaambia mawahabi 100% mutashanga ngojeni niqash ifanyike kenya Bachu ashaudidimiza uwahabi

  • @saidmussa9587
    @saidmussa9587 Рік тому

    Walah waislam sio mtandaon tusomen Mtume Muhammad s A w elm bila hekima ni SAWA na mti usio toa matunda Masalf hawana adabu hawana hekima uislm ushakua madongo bachu analopoka tuu Kawa kama yule mpuuz wa mkulanga aliejiita mtume kajaa mitandaon ndio huyu mtoto wa bachu

  • @salimuawadhi8043
    @salimuawadhi8043 Рік тому +13

    Anyamaze ili ubwabwa uendelee hoja hamjibu mwarukaruka tu

    • @Muhammad-g1n8d
      @Muhammad-g1n8d Рік тому

      😂😂 huyu mzee ashapiswa maskini.Mungu amsaidie

    • @hafidhseif1686
      @hafidhseif1686 Рік тому

      Alikaa na wanachuoni sio majambazi Km nyinyi

    • @ukongaaljazeerat1009
      @ukongaaljazeerat1009 Рік тому

      Mawahabi majaahil nyny hamna llte

    • @jamilahjamilah4157
      @jamilahjamilah4157 Рік тому

      Mm nataka kuuliza kwani mtu akimswalia mtu ni haram mbona mawahabi mnakuwa wabishi sana ndio maana utakuta mtu hana uwezo anawake watatu wawili nenda kawatizeme maisha yao na sababu nikutafsiri Quraani vibaya sasa wanatesa wanawake

    • @Muhammad-g1n8d
      @Muhammad-g1n8d Рік тому

      @@jamilahjamilah4157 Hata sisi tulikua kwa vinara vya maulid.lakini tulipoona kua maulidi yalizushwa tu na hayana msingi wowote katika dini tuliwacha ushindani na hawaa tukayawacha ili tuende salama kwa Allah sababu kila mmoja ataenda kwa Allah peke yake

  • @rushu1232
    @rushu1232 Рік тому +8

    Wa Allahi mimi nashkuru sana bachu sasa watu watajua maana sahihi tafsir ya barzanji na itasomwa sana sana mwaka huu ndio tushaaza hivyo mwezi wafuraha.

    • @mohd39789
      @mohd39789 Рік тому +1

      Nyinyi wapumbavu wa kisufi someni sana kwa ari zote lakini ukweli umebainika kwa wenye akili, ila nyinyi masufi endeleeni na upumbavu na ujinga wenu

    • @rushu1232
      @rushu1232 Рік тому

      @@mohd39789 sawa sawa boss

    • @allymahaba3425
      @allymahaba3425 Рік тому

      @@mohd39789 Naomba kukuuliza, kwanini mtoto wa Bachu mkojo ulipombana hakuomba kwenda msalani, akaamua kujikojolea kwenye kiti?

    • @muhammad_alhinai
      @muhammad_alhinai Рік тому

      @@mohd39789unamwita mtu “mpumbavu” kwasababu anakaa chini na kumswalia mtume? 😅 ivi unamjua mtume wewe? Unadhani ni mshkaji wako wa barazani? Kwamba akisifiwa unaona wivu? Hivi hio akili yako ndogo inaelewa maana ya “kiumbe bora kabisa kuliko wote ulimwenguni” ??
      Mungu akuongozeni nyinyi mawahabi wenye kuharamisha haramisha mambo kwa kutumia akili zenu finyu zisizokua na elimu.. mna shida kweli nyinyi wahabi, katafteni elimu bhana 😂😂

    • @brothermoud2637
      @brothermoud2637 Рік тому

      ​@@mohd39789wee khanisi sana kumbe .. kulikuwa Kuna haja Gani ya kwako ww kuita wenzio wapumbavu ... Fedhuli we

  • @MbwanaMakamba
    @MbwanaMakamba 7 місяців тому

    Shkh Kuna watu wanamaradh katk nyoyo zao kwanz hawataki kusikia mtume akusifiwa halafu pia wanapend kula Wali ila hujitoa kanakwamba hawaupendi kumbe waroho wakubwa

  • @hamadmasoud3919
    @hamadmasoud3919 Рік тому +2

    Sheikh Mungu akujaze kheri kwa jitihada yako lakini Mas-ala ya kisheria hujibiwa kwa hoja zinazojengwa kutokana na Quran na Sunna... Nimekuskiliza vyema lakn kwa uchache wa uelewa wangu, bado hujajenga hoja ya kujibu hoja za Sheikh Bachu.

    • @muhammad_alhinai
      @muhammad_alhinai Рік тому +1

      Hebu tuache bhana 😂😂 we huyo bachu wako kaweza kujibu maswali alipokwenda mombasa juzi? Kabaki anazunguka ovyo tu, angesema tu kama “sijui” apate kufundishwa. Anajikuta anajua kila kitu wakati hana elimu kabisa, kaenda kujiaibisha.

    • @rashidmohd115
      @rashidmohd115 Рік тому +1

      Bachu hana nahau kichwani ndio mana anatafsiri mambo kwa dhahiri na cio nahau ya lugha ya kiarabu inavotaka, ukikosa nahau ktk dini huwezi kutafsiri hata ciku moja kwa ufasaha.

  • @suleymansalim5732
    @suleymansalim5732 Рік тому +8

    MNAMTUKANA BACHU KISHA MJE MSEME KATUKANA YEYE😂HOJA ZAKE HAMJIBU MNAMWAMBIA ANYAMAZE BADALA YA KUWEKA NIQASHI MMEKIMBIA NASAIDI WENU

    • @hamisimuhammad3656
      @hamisimuhammad3656 Рік тому +1

      Hawa jamaa masufi hawana hoja ndy maana wanaishia kutukana tu

    • @allymahaba3425
      @allymahaba3425 Рік тому

      Mtoto wa Bachu hamna kitu kichwani. Si umeona ameomba samahani na kusema "Kitabu cha Barzanji kina Aya na hadith". Kwa hiyo amekosea kukitupa.

    • @allymahaba3425
      @allymahaba3425 Рік тому

      Mawahhabi bosi wenu Muhammad Abdil-Wahhabi. MASUFI ndio watu gani? Hebu fafanua tuone kama unawajua.

    • @isihakamgeta5433
      @isihakamgeta5433 Рік тому +1

      @@allymahaba3425 MASUFI NI عباد القبور

    • @allymahaba3425
      @allymahaba3425 Рік тому +1

      Kwani unaposema MASUFI, je unawajua? Hebu toa tafsiri ya neno hilo. Uwahhabi inajulikana ni wafuasi wa Muhammad Abdil-Wahhab aliyezaliwa NEJD, na aliyeitwa "pembe ya shetani" na Mtume (SAW) mwenyewe. Sasa sema Masufi ni nani tukuone kama unajua.

  • @iddimohamed254
    @iddimohamed254 Рік тому +2

    Nikaash ilikua tanga ukuenda wataka uje Kenya...ok njoo twakungoja.

  • @aslamswalah7852
    @aslamswalah7852 7 місяців тому

    Bro nyoka kama anasafari zake hifai kumduru Wala kumshtua,alaf mwamba shekh Mohammad Bachu Allah kampa hekma na amesoma na kajaaliwa na elimi,alaf utamwitaje bwege?shekhe ngoja akufunze sasa

  • @MohammadJumah-qk2xc
    @MohammadJumah-qk2xc Рік тому

    Fantadhwiru ssaaa

  • @HamisiNyamboka
    @HamisiNyamboka Рік тому

    Mzee ana elimu saafi shee bachu soma ili uwe mtasri mzur wakirabu unatakiwa uzaami kwenye nahau shwarfu balaagha mantwigi navingevo

  • @abdihussein1478
    @abdihussein1478 Рік тому

    Namna bora zaidi ya kujitolea kwa ajili ya utumishi wa Mwenyezi Mungu sio kujionyesha.

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 Рік тому +1

    mijisufi bhana

  • @coollboy2011
    @coollboy2011 Рік тому

    Ndugu zangu sote kalma yetu ni moja tumuombe Mungu atuepushie miemko ya nafsi zetu na tuwe wapole tusitafute ushindi kwa kutukanana tutakua hatumtendei haki Mtume wetu Muhamadi SAW. Tuzifungue nafsi zetu kwa haki kabisa tusiwe ni wenye kucheka tuu na kufrahia tusivyo vijua Tumuombe Mwenyezi Mungu atupe elimu yake mwisho tuamue kila jambo kwa Quraan na suna,wale ambao hawana elimu ya mungu ndio rahisi kutukana wenzao na hizi ghitilafu sio vita Bachu haya tuyafanyeni kwa kumuogopa mungu kadhalika mashekhe wengine tumuogopeni Allah
    Wale ambao hatuna elimu juu ya jambo hili tuwaache wenye elimu watufundishe mwisho tuuaendee mambo yetu ya dini kwa elimu sio miemko ndugu zangunii!!

  • @saydouside9468
    @saydouside9468 Рік тому +2

    wingi wenu nisawa na mapovu ndani ya habari.. 19..hazijajibiwa..mbona mnarukaruka..elimu yenu ya kule usiku hapa mchana ..bado mnazo tu..mkumbuke kuwa mlipewa dhamana ya kuongoza ukiona ulikuwa unakosea..ni kumuomba Allah akupe hekima na busara kuyatubia bachu hajawaambia motoke kwenye nyazifa zenu..jirekebisheni ..hayo mambo hata tusio juwa tumeyaona kutokana na bachu kutuzindua..lqra kwaajili ya mola wetu..kujifunza hakuishi mpaka tunakufa..kwahiyo masheeeee..tuangalie alioyasema bachu yamo ama hayamo...lakini Yayo mnaoyakwepa hayasaidi kubatilisha ukweli..bachuuu piga haooo

    • @ibrahimabdallah1643
      @ibrahimabdallah1643 Рік тому

      Yani ww ndio boyaaaaa kabisa Kama bachu ndie kakupa elim Basi ww NI bwege bachu ndie shekh wako utaendelea kuvaa kanzu fupi hivyo hivyo fala ww

    • @kahiyemohammed8556
      @kahiyemohammed8556 Рік тому

      ​@@ibrahimabdallah1643kanzi fupi ndio sunnah ya mtume, kanzi yenu kama nguo ya wanawake ina telìza chini kumpafu soma dini , wacha uwongo , ugushi

  • @mubariekabrahams2650
    @mubariekabrahams2650 Рік тому

    Mbona hujaenda kwenye mnakasha

  • @hassanabdalla9688
    @hassanabdalla9688 Рік тому +2

    Bachu Hana elimu Hana adabu Hana heshima.

    • @albahsans
      @albahsans Рік тому

      Sawa je analo litetea pia halina mashiko kwahio wewe huwezi kuifata haki kwa hoja ya mazaifu yamtu mohd sio masum lkn pia ujuwe anapokosa yeye adamu wengine wanakuwa washaikosea dini adabu mm namuomba allah atuongoze sote wewe hujui watu wabidah wanafyo kera Kwa kutetea mambo Kwa akili zao

    • @MikidadMwabawa
      @MikidadMwabawa Рік тому

      ​@@albahsansHana adabu kwel baada ya kuwalinganiya watu kaz ya kuwatukana wana wazuoni

    • @salimharrasy7047
      @salimharrasy7047 Рік тому

      Hikma ni kitu kizuri hata kama unamkosowa mtu.

    • @KassimSaary-q5r
      @KassimSaary-q5r 11 днів тому

      Jitambue WW hapana it's ullamaa hivo kanunue omo clean Ur talk, hicho kizee kinawaimbisha choir tu

  • @YAHAYAMOHAMEDI-sq3dr
    @YAHAYAMOHAMEDI-sq3dr Рік тому +2

    Mashallah

  • @musamohamed5830
    @musamohamed5830 Рік тому

    Ingekuwa wakati wa Umar r.a Wallahi hungepewa mic uongee mbele za watu,ndevu muhim na inawashinda.jaribuni kumnyonga huyo kijana mtajua hamjui

  • @SalimAbdullah-tv2qc
    @SalimAbdullah-tv2qc Рік тому

    Ukweli bwana wazeee wa zamani baadhi yao ilikuwa wanayatumia haya mauled kwa ushirikina si kwamba wanaimani ya dini wanalisha majini yao Asa ichi kitu kama kweli zama za mtume ilikuwa hayapo basi hayafai ila kama yalikuwepo na Mtume kakubali yanafaaa.

  • @aminahassani-jh5rp
    @aminahassani-jh5rp 7 місяців тому

    Wavaa mijipete mikubwa

  • @omarmfaki4797
    @omarmfaki4797 Рік тому +4

    😢Inna lillahy wa inna ilayhy raajiun,. Nini cha kuchekesha, nawaonea huruma mimi Hawa. Kuna Ile Aya katika Qur'an inasema 'alladhina ttakadhuu dynahum huzuwan walai' ba ', wale wanao ifanyia mzaha dini. Kwamba Jaafar Barzanji Kitabu chake ni zaidi ya Qur'an hakiwezi kutafsiriwa au! Watu wanao fanya madhambi huku wanacheka, wataingia motoni huku wanalia.... Subhaanallah!

    • @brothermoud2637
      @brothermoud2637 Рік тому +3

      Punguza mihemko nenda kasome dini uko huna ulijualo

    • @khaliphaabubakar9466
      @khaliphaabubakar9466 Рік тому +1

      Nani kakwambia watu wataingia motoni kwa kumsalia mtume?Mawahabi nyinyi kawa wale “mashahidi wa Jehova” ambao ndio wanaamini watakwenda (mbinguni) peponi peke yao.
      Wacheni miheko someni dini

    • @MsJabalkiss
      @MsJabalkiss Рік тому

      Jielewe bac quran sio mashairi mashairi yanataka washairi mshiri anaweza kuzungumzia tausi akamaanisha mwanamke lkn quran sio mashairi Allah anasema hii quran sio mashairi

    • @Fumokale
      @Fumokale Рік тому

      Hakuna alofanya mzaha ni ww ndio hufahamu wala dini haijamkaza mtu asifurahi na qurani..mahala pa raha tunona raha mala pa sikitiko tunasikitaka..wewe ndio huelewi

    • @YaasirsAhmad
      @YaasirsAhmad Рік тому

      Unatakiwa kuwa makini ukichangiya mada

  • @barzaqtradingcompany8541
    @barzaqtradingcompany8541 Рік тому +3

    Wallahi masufi hawana usingizi wala kukaa na raha, baada ku kashifwa wanayojiita mashehe uwongo na ushirikina wanao eneza kuwa jamaa wamefungwa nacho na maskio wasisikie tawhidi nini ?

    • @ibrahimabdallah1643
      @ibrahimabdallah1643 Рік тому

      Yani wew ndio fala kabisa bwege zaidi ya huyo bachu

    • @barzaqtradingcompany8541
      @barzaqtradingcompany8541 Рік тому

      @@ibrahimabdallah1643 Bro sikutana ninibu kama uko una uji yadini kweli.
      قال الله تعالي وما ينطق عن الهوي ان هو الا وحي يوحي
      Je, kuzaliwa ni ufunuo au maoni? ikiwa ni ufunuo nipe dalili wewe من كتاب وسنة

  • @athumaniyshehoza2252
    @athumaniyshehoza2252 Рік тому

    Umieni tu mauridi tutasoma mpaka kiayama na asiye msifu na kusherehekea mauridi sio miongoni mwa wafuasi wa mtume Muhammad Alih salaam Kila mtu asimamie anacho kiamini hakuna sababu ya kutukanana

  • @KilupBububukilup
    @KilupBububukilup Рік тому +1

    Mashaallah ❤❤❤

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl Рік тому +7

    Masufi acheni pumba jibuni hoja za sheikh Muhammad bachu

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga Рік тому

      Vita kati ya MAWAHABI na SUFI

    • @abdikadirshariif5311
      @abdikadirshariif5311 Рік тому

      We ni jahil mkubwa. Yani mtu amem kufurisha mtume hauoni baado unam,iita. Shehe.

  • @mtupoatv2789
    @mtupoatv2789 Рік тому +2

    KAMA HUELEWI USIANDIKE KITU, MAANA WATU WANAANDIKA HATA KUANDIKA HAWAJUI YAAN ELIMU YAKE TUIPIME KATIKA KUANDIKA TUU,, WE HUELEWI TULIA

  • @bashiryusuf9670
    @bashiryusuf9670 Рік тому +4

    Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatu mm niliona itakua Kala llahu Kala rasull jaffar Nani kwani hakosei ww sunnah hata mmoja huja kamilisha kisha wasema vijikanzu vifupi na matusi bwege ??? Waaelimishe watu Kwa elmu sio porojo kadiria .usufi
    Fwateni quran na sunna tuu

    • @kitiamwibonephace9452
      @kitiamwibonephace9452 Рік тому

      Kuwa subra kaka inshaallah tukifufuliwa tutakujibu kama hii bidaa au nn

  • @MbwanaMakamba
    @MbwanaMakamba 7 місяців тому

    Ikiwa Kuna watu walicheza mbele yamtume wamshangaa huyu shkh ww mbona jahili Kasome akhui

  • @sharifnassor4417
    @sharifnassor4417 Рік тому +1

    Kama kama nini nikupiga vigelegele na kukata mauno dini ingali tufikia sisi ?

  • @aminahassani-jh5rp
    @aminahassani-jh5rp 7 місяців тому

    Shekhe bacho ni kijana mdogo anawakosesha usingizi mashehe malemba yao wanajificha kwenye vivuli vya dini kumbe washirikina wafunga majini

  • @mubariekabrahams2650
    @mubariekabrahams2650 Рік тому

    Sio pazia hilo ni Dira hasa 😂

  • @ibnayub2374
    @ibnayub2374 Рік тому

    Huyu mzee Anaitwa Sheikh Abdallah kama sijakosea na kama nimepatia ni sheikh wa wilaya ya muheza mkoa wa Tanga, kama nimepatia KUA ni yeye ni mtu wa twariqa ya qadiria shadhilia kubwa kama ndie huyu ni mganga wa kienyeji, Ana miujiza mingi ya kichwawi aliyo onyesha kwa watu wa wilaya hiyo
    Lakn sio ajabu kwa mtu mwenye akili masheikh wengi wa maulidi ni waganga.

  • @FarhatSeif-p3t
    @FarhatSeif-p3t Рік тому

    Bachu ni mkaidi na jeuri na kibri hata kwa wake zake. Wala hana tabia ya kuuliza au kutoa salaam kwa watu labda anaemjua tu. Hata wake zake anawafanyia kiburi. Bachu hana elimu wala hajui kiarabu. Kwa vile nyie mnae mfuata ni mambumbumbu basi mnao kama anajuuuwa kumbe 0

  • @RamadhanijumaShemzingwa
    @RamadhanijumaShemzingwa Рік тому +1

    Huyo ndio mwanafunzi wa shekhe Nurdin bin hosen ashadhulia

  • @omaryjuma6888
    @omaryjuma6888 Рік тому

    Bachu anapinga maulidi yeye ana elimu Gani au uhuru wa kuongea mkubwa ndio maana anakashifu maulidi
    Kumsifia mtume Allah anamuona Wacha siku ya kufunikwa ubao atakoma

  • @FarhatSeif-p3t
    @FarhatSeif-p3t Рік тому

    Bachu anapenda kuwaita Waislaam wasio muunga mkono . Eti ni makafiri

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 Рік тому +2

    Kuwa na elimu sio lazima ujifaharishe na ukiamua kukosoa waliopipita na wewe ukawa wamwazo….utakua unachekesha watu na ( kiukweli Muhamad bachu hawezi kuwa na elimu ya kumchalenji jafar barazanji,,,,nikumkosea heshima tu

    • @mohd39789
      @mohd39789 Рік тому +1

      Inaonyesha wewe mpumbavu wa kisufi humsikilizi shekh Muhammad Bachu vizur au upumbavu wa kisufi umekujaa. Shekh Muhammad Bachu amewanukuu wanavyuoni wakubwa katika kumkosoa huyo Jafar na kitabu chake cha barzanj.
      Na huyo barzanj ni nani hata asikosolewe? Acheni upumbavu nyinyi masufi punda wa mashia

    • @brothermoud2637
      @brothermoud2637 Рік тому

      ​@@mohd39789 wee fedhuli kabsa ushapotea tyri khabithi mmoja .. maneno ya kashfa na matusi ndo yenu km uyo bachu kenge mmoja we

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 Рік тому

    Nyiee muliwaweza hao mashekh zetu wakubwa akina Qasimu. Barakhyani. Na wenginao pale mumegonga mwamba ..huyo ndiyo bachu ..na hao hamkuwaweza basi tu walishindwa kuwachalenge

  • @nassoroboss1472
    @nassoroboss1472 Рік тому

    Sheikh usitakase mtu ukajipiga kifua kwa ushabiki tu wakat Allah ashasema katika suratul an najmi yeye ndiye anamjua zaid aliyetakasika na yoyote katika waja wake yuwakosea ,,,kumbukeni kuwa na elimu sio kuingia peponi waislamu bali tutaingia peponi kwa rehema zake.

  • @MrkhalifaSeif
    @MrkhalifaSeif Рік тому

    Mi naona jumapili tarehe 24 itakua mwisho wa malumbano

  • @alliyharith3457
    @alliyharith3457 Рік тому

    Shida ni kwamba sheikh hashambulii hoja. Bali anamshambulia mtoa hoja.

  • @nassoroboss1472
    @nassoroboss1472 Рік тому

    Iwe itakavyokuwa lakin dini ya Allah aina ushabiki na chochote kile ambacho rasulallah akukifanya wala maswahaba zake kwa mujibu wa quran na hadith aina haja kukitilia mkazo bali kuachana nacho tuu alimradi chanasibishwa na dini wakat mtume s.a.w akusubutu kukifanya....kwa mfano katika iko kitabu cha barzanji chasema kuwa mimba ya mtume ilipoingia tu wanyama waliongea na miti ikafurai ayo maneno bwana jafar ametoa wapi????

  • @khamishaji-fw1km
    @khamishaji-fw1km Рік тому

    Maulid jatutaki maulid hatuki maulid hatutak no ushirikina uoooooooooooooooooooo

  • @hussenimdee8735
    @hussenimdee8735 Рік тому

    Bachu atumie ofa aliyopewa akasome kenya asidharau kama kweli anataka kuwa mtu wa minaqasha ni mtupu ,sana au aje tanga kama anaogopa kenya kwakuwa alijikojolea hadharani

    • @KassimSaary-q5r
      @KassimSaary-q5r 11 днів тому

      Wacha urongo bachu alitufunga zipu mdomo yetu Sisi wa Kenya WW wasema kujifurahisha

  • @abdallahmsham-eb7jz
    @abdallahmsham-eb7jz Рік тому +4

    hahahaha mbona bachu hayupo mimi nipo na bachu jeshi la mtu mmoja hamuwezi

  • @sulfatsulhiya8882
    @sulfatsulhiya8882 Рік тому

    Bachu hajui kitu

  • @SamMus-qn1pu
    @SamMus-qn1pu Рік тому +4

    Muna zuga watu wasio elewa upuuz wenu munao fanya na wao wamo wana zid kukubali kifanywa kua wajiga mcheni allah nyinyi acheni kupotosha ummah

    • @ibrahimabdallah1643
      @ibrahimabdallah1643 Рік тому

      Ww ndio ushapotezwa vaa kanzu fupi hivyo hivyo na elim yako ya kibwege kafir ww

  • @jarsjam8894
    @jarsjam8894 Рік тому +5

    Shekhe gani huyo anaecheza cheza na nyie mnacheka

  • @HamisiMussa-v1d
    @HamisiMussa-v1d Рік тому

    Huy mzee hamna kitu chochote apo

  • @husseinmustafa114
    @husseinmustafa114 Рік тому +1

    Mabwege ni nyinyi mulozea matwari na kula ndio dini muijuwae

    • @athumaninchula2299
      @athumaninchula2299 Рік тому

      Wahabi wenyewe hata hawafiki mahala popote in sawa na chakula kilichojaa sahani na kapilipili kalicho pemben ndo wahabi hao. Ko hao ni sawa na kapilipili tu kwanza kanakera unaweza ukala au ukaacha.

  • @selemanijafari9225
    @selemanijafari9225 Рік тому +2

    Huyu n mjnga nawajinga wenzake masikini

    • @AbuuSiiriin
      @AbuuSiiriin Рік тому

      Hawana jambo masufi propaganda wengi wasanii wa I'll mbajii

    • @AbuuSiiriin
      @AbuuSiiriin Рік тому

      Wamekutana wajinga woote lenyewe lahitaji kufundishwa

    • @AbuuSiiriin
      @AbuuSiiriin Рік тому

      Chiiiiziii mumelionaa!!??

  • @MsJabalkiss
    @MsJabalkiss Рік тому

    Comment ziwe fupi fupi😅😅😅

  • @rjqaasam4587
    @rjqaasam4587 Рік тому +1

    Allah amhifadhi Shekhe wetu huyu

    • @allymahaba3425
      @allymahaba3425 Рік тому

      Shekhe wenu atasimama peke yake na wewe peke yako Siku ya Kiama. Soma ndugu ujue ukweli sio kumsifia mtu tu. Usidhani kila asemacho ni sahihi. Huyo ni mharibifu ukimfuatilia. Au ndio Uwahhabi umekukolea nini?

    • @ibrahimabdallah1643
      @ibrahimabdallah1643 Рік тому

      Ww utasimama na mama yako una elim ya kumkosoa huyo shekh jinga ww kabisa sasa unataka asimsifie ww Kama hujamuelew yeye kamsif sabab kamuelewa kafir ww

    • @ibrahimabdallah1643
      @ibrahimabdallah1643 Рік тому

      Umesoma wapi kwa shekh gan au kwa bachu bwege wa elim

    • @allymahaba3425
      @allymahaba3425 Рік тому +1

      Lete hoja sio matusi na hasira zako. Hii ni dini sio boxing. Utaulizwa Siku ya Kiama, jihadhari.

    • @allymahaba3425
      @allymahaba3425 Рік тому

      @@ibrahimabdallah1643 Hasira hasara. Mawahhabi mna hasira na matusi hata ktk simu. Haya. Shekhe wenu mtoto wa Bachu kakimbia munaqasha baada ya kujikojolea. Kwani wewe hujaona hiyo clip alivyojikojolea?

  • @MahmoudAli-rs5mi
    @MahmoudAli-rs5mi Рік тому +1

    Uyu shekh kumbe amekuja na mkoba wa kukusanyia pesa

  • @mohamedmasanga9134
    @mohamedmasanga9134 Рік тому

    Wengi wanao comment hawajui chochote ktk dini, wamo ktk ushabiki TU ndio maana utaona wanawatukana masheikh wanaoitwa wa KISUFI nawahusia waislamu wasome sana, pia waislamu tambueni MAADUI WA DINI HII TUKUFU kila siku wanafaulu kuupiga VITA UISLAMU, kwa mbinu tofauti tofauti sasa hivi waislamu wanatumika kuubomoa UISLAMU pengine wanajua au hawajui na hii ndio mbinu yao kwa sasa

  • @KubwaKuliko-dk4bm
    @KubwaKuliko-dk4bm Рік тому +4

    Sasa huyu shk vizuri angegusa japo nukta 1 ya zile 19 lakini kajizungusha alipo taka mwenyewe navicheko vingii gusa zile19 tuone

    • @FarhatSeif-p3t
      @FarhatSeif-p3t Рік тому

      Bachu mie namjua kuliko jina langu. Ni ukaidi hata kwa wake zake

  • @shaaden-
    @shaaden- Рік тому +1

    Nyi mchokonoweni akija kuwajibu mtasema hana adabu😅

    • @muhammadsheyba282
      @muhammadsheyba282 Рік тому

      Kibachu kimebachuliwa 15:43 na 3rd Eleven. Aibu Aibu Aibu mpaka katoka jasho la makalio

    • @shaaden-
      @shaaden- Рік тому

      @@muhammadsheyba282 hicho hicho kina wakosha amani nyie masufi watu wa bidaa

  • @hassanabdalla9688
    @hassanabdalla9688 Рік тому

    Bora ajitokeze tumjue.na wengineee piya tutawajuwa.mafedhuli.

  • @ndevumbili7117
    @ndevumbili7117 Рік тому

    Washirina

  • @barzaqtradingcompany8541
    @barzaqtradingcompany8541 Рік тому

    Hupata kuwamasufi ku tetea zile hoja zilio dunga moyo zao, huta mojabo makubwa wamasufi ku sema hamna ushirikina na uwongo ndani za abyati za bazranji hawa subutu ku tetea hizo hoja.
    Tunawasubiri ueajna wa makadara mombasa

  • @saidmussa9587
    @saidmussa9587 Рік тому +1

    Masalaf hamna adabu hata kwa wazaz wenu manalaana ya wazee na ya Mungu Kwa kugawa matabaka uislam lejea kwenye kisa chaMussa wakat akienda kuongea Na Mungu aliwaacha watuwake na nduguye Haarun hukunyuma waliabudu Mungu mwingine ila Harun hakukalipia kwakuogopa wasitawanyika Aliulinda umoja kwanza ukisambalatisha watu kuwakusanya SI lahis kama unanyoona Sasa Waislam tunavyogawanyika kuliko hata waklisito eti huyu chiz baada kuweza muhadhala kuwaslimisha makafiri unawekeamuhadhara waislam kichwa kidogo ni udhia kwenye jamii Mishan mwaka unawexa ukaishi hujasilimisha kafir hata mmoja kazi kuchochea chukinkwenye uislam wewe unalaana mpaka ya babako unamkosoa malehem

    • @twalibfaqih9385
      @twalibfaqih9385 Рік тому

      Mungu akuuwe ww mpuuzi nani kagawa matabaka nenda kasome japo swala yako tuu

    • @brothermoud2637
      @brothermoud2637 Рік тому

      ​@@twalibfaqih9385huuu ni upungufu wa akili .. mungu ataanza kukuuwa ww uliesoma sana kiasi kufikia kumpa mwenzio Dua hii nzito itakuanza ww fedhuli

  • @jumambogo5671
    @jumambogo5671 Рік тому

    Lau kama me ningekuwa fufi nibola nigelikaa bila ya dini

  • @IddiNkupe-no8lh
    @IddiNkupe-no8lh Рік тому +2

    Kumbe munampango wa kumuua au nimeelew vibaya

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 Рік тому +3

      Nami nimefaham hivyo 😢😢😢

    • @mohd39789
      @mohd39789 Рік тому

      Masufi ni punda wa mashia na wanafanana na mabwana zao mashia kama kuwauwa watu haki na kuzusha kila kukicha mnazusha na ni washirikina sana. Kwahiyo mimi sishangai kutaka kumuuwa shekh Muhammad Bachu, hata shekh Saleh Abdallah Farsi walitaka kumuuwa

  • @nizigiyimanamasoud5923
    @nizigiyimanamasoud5923 Рік тому +6

    Watu wa bidaa mnapenda kuchekesha sana

    • @ibrahimabdallah1643
      @ibrahimabdallah1643 Рік тому

      Elim huna unafuata mkumbo Kama unaelim umesoma wapi ww bwege fala

  • @karimmveyange280
    @karimmveyange280 Рік тому

    Matokeo yake ukiwatafuta Wauza UNGA wooote wapange mstari,utawakuta wote no sisi Tujiitao WAISLAM. Patna Road wooote kufanya pale mica moja,chambua MAJINA Yao. Ni aibu,angalieni mlipo jikwaa

  • @subetizaid6515
    @subetizaid6515 Рік тому +1

    Au vp jamani nisaidieni naona km huyu Mzee kashajihisha ubaya au apigwe nn she bachu

  • @YahyaOTHMAN-t4p
    @YahyaOTHMAN-t4p Рік тому

    Kunamasuala 30 huko

  • @SuedSemlangwa
    @SuedSemlangwa Рік тому +3

    Bachu hajakosea ila elimu yake ndogo sana tena sana,
    Ajifunze zaidi bado mchanga kwa wenye elimu, asiwe mkosoaji hali ya kuwa hajui anachokikosoa.

  • @twalibfaqih9385
    @twalibfaqih9385 Рік тому +1

    We mzee unaonekana unapiga tungi maana hata kuitwa shekh ni kufuru wacheni kupotosha umma nyingi ubwabwa unamwisho wake. Ndo maana mashekh ubwabwa wakifa wanakuwa wanawapa shida wakoshaji

  • @IddiNkupe-no8lh
    @IddiNkupe-no8lh Рік тому +1

    Shekh mtoto wa bacho ameshamaliza tatizo hamutak kujibu na wala hamutokuja kuweza kujibu Abadan mpaka kiama kitasimama ,hivi in kweli masanamu yalianguka?wanyama waliongea lugha fasaha ya kiarabu nan alikuwa na elimu ya kufasiri lugha za wanyama?musituchanganye jaman kwakuficha haki

    • @abdallasultani4426
      @abdallasultani4426 Рік тому

      Kwani haiwezakani kwa Allah kuanguka masanam hujaona magorofa yakishuka wenyewe

    • @IddiNkupe-no8lh
      @IddiNkupe-no8lh Рік тому

      @@abdallasultani4426 duu!! Haya tuleteeni dalili kutoka katik vitabu vya hadith sahihi kuwa masanamu yalianguk napia kama yalianguk kwa kumpa heshima mtume s.a.w kwann yasingetoka kabisa nje mpaka alivyorudi mtume s.a.w kuyavunja vunja na kuyatoa?na jee yalivyoanguka yalirejea tena kusimama au kuna waliwoyasimamisha? Na kama yalisimama yenyew basi yalimpa heshima mtume s.a.w kwakumcheza shere (kibri) maana yalimtii na yakakengeuka!sawa huo uongo barzanji ameutunga ameutoa wap ?kama nikweli leten hadith sahihi tujue ukweli wa mambo

    • @saidmfaume1282
      @saidmfaume1282 Рік тому

      Kama unaona Mohamed Bachu ndiye mwenye ukweli fuata usilazimishe watu wengine ambao hawamuelewi wamfuate tu kwani lazima kufuatwa yeye ninani?

    • @IddiNkupe-no8lh
      @IddiNkupe-no8lh Рік тому

      @@saidmfaume1282 shekh hii ni dini ya Allah inakulazimu ufuate hakki hata kama Huyo mwenye kuionyesha hakki ni adui yako na kuichukia baatwl hata kama huyo mwenye kuionyesh hyo batwil kuwa ndyo hakki ukifaham kuwa nikweli ni baatwl bas epukana nayo ila usimchukie yule mtu

    • @IddiNkupe-no8lh
      @IddiNkupe-no8lh Рік тому

      @@saidmfaume1282 ona mfano ambawo haya maneno ya barzanji yasivyoweza kuingia katik nfumo wa akili wa mwanaadam yoyote mwenye akili timamu eti masanamu yalianguka?sasa ikiwa yaliweza kumtambua mtume s.a.w na yakampa heshima kwakuanguka kwann yasingeweza kutoka nje kabisa ya alkaaba tukufu?na jee ikiwa nikweli yalianguk kwann yasimame tena maana mtume s.a.w alivyorud tena makka aliyavunja vunja sasa kama yaliweza kumtambua rasuulullah na yakampa heshima ya utii kwann yaliamka tena ?au yalikuw yanamcheza shere mtume s.a.w ?yanaonyesha yanakiburi haya basi stori zote hizo ili zituingie akilin twahitaj hadith sahih hyo tu ndo inatosha

  • @cherehanitzwauzaji
    @cherehanitzwauzaji Рік тому +4

    صبحان الله Yaani Masufi Mnataka Kumuua Mtu kwa Kusema Ukweli? Jibuni hoja kwanza Acheni kucheka nakuluka luka nakupandisha midadi kama mmejawa na elimu mjibuni sheikh Muhammad bachu Acheni vichekesho masufi😂

    • @mohd39789
      @mohd39789 Рік тому +1

      Tatizo la masufi ni punda wa mashia, itakadi zao zinafanana na mabwana zao mashia kama kuwauwa watu haki na kuzusha kila kukicha. Hatushangai hata shekh Saleh Abdallah Farsi walitaka kumuuwa

    • @allymahaba3425
      @allymahaba3425 Рік тому

      Mtoto wa Bachu amepandisha mikono juu na ameshaomba samahani, tumjibu nini?

  • @karimmveyange280
    @karimmveyange280 Рік тому

    Yale ya maana Alito amrishwa na mums hamuyafanyi,Ila Yakipuuzi ndio munayatenda na kupongezana.. Hivi myaikimbiaje hukuuu ya Jehanamu Enyi WAISLAM?

  • @yakubabdul303
    @yakubabdul303 Рік тому

    Mijitu ya biidah

  • @Bearded_Abdul
    @Bearded_Abdul Рік тому

    Huyu Sheikh anaitwaje?

  • @AbasHamad-v7y
    @AbasHamad-v7y 6 місяців тому

    Leteni hoja za kuutetea uo uhuni wenu wa maulidi sio kuchekeshana

  • @husseinsimbano1466
    @husseinsimbano1466 Рік тому

    Dini sio chama kushabikia ki bubusa, waislamu tusome

  • @nizigiyimanamasoud5923
    @nizigiyimanamasoud5923 Рік тому +4

    فليضحكوا قليلا وليبكوا كثيرا جزاء بما كانوا يكسبو (سورة التوبة ٧٢)

  • @osmaniidrisa6290
    @osmaniidrisa6290 Рік тому

    Washirikina

  • @khamishaji-fw1km
    @khamishaji-fw1km Рік тому

    Kwan mzee ulikuwa wap

  • @SamMus-qn1pu
    @SamMus-qn1pu Рік тому +1

    Nynyi muna jisuta tu na mushaambiwa ukwel achen shirki zenu izo

  • @OmarMohamed-zf8dp
    @OmarMohamed-zf8dp Рік тому

    Uwislamu hakuna kudhara uliana kwenye elimu hitilafu zimeanza toka walipo fariki maswahaba wa mtume baada kuja maimamu

  • @abuufawzan4289
    @abuufawzan4289 Рік тому +2

    Haya nimasuala yanahitajia elimu nyinyi mnaletaje vitisho kuna nini sasa

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 Рік тому

      Ww jaribu kupambana kilimu na twarika twarika kila fani ya ilimu wamesoma

    • @abuufawzan4289
      @abuufawzan4289 Рік тому

      @@fikafikan8484 Lengo sio kupambana, Lengo nikuisibu haqqi

  • @saudaumar3354
    @saudaumar3354 Рік тому +1

    We mzee mtee Allah usitusi wata watu wapata elimu namaneno yako ya maanisha mwataka kumuuwa weee muislamu gani mzee huna dini.huna tikiti kaa usiombee aibu