KIMENUKA; DR.SULE ACHUKIZWA WANAOMWITA MSHIRIKINA ATOA SOMO KUBWA KUHUSU VIUMBE VYA AJABU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 674

  • @user-ow2jv4vn8b
    @user-ow2jv4vn8b 2 місяці тому +27

    Huuni mwisho wa DK sure kulingania uisilam AU mnaonaje like tujuwanr

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 2 місяці тому +1

      Ww sio mungu kusema ni mwisho sule kutangaza dini sawa hakuna atalike ujinga kama huu unao usema chunga tumeletwa dunia kumuabudu Allah binadamu na majini na binadamu aweza mtumia jini kwa njia ya sawa soma bro

    • @suleim505
      @suleim505 2 місяці тому

      mawazo ya kijinga, ndiyo unafaidika nini

    • @OmanOma-xi3hm
      @OmanOma-xi3hm 2 місяці тому

      Hatutak dini na masheytwani mashekhe wapowengi wenye elim

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 2 місяці тому

      @@OmanOma-xi3hm wataka dini na nani quran Allah kasema tumewaumba majini na binadamu kumubudu Allah sasa kama hutaki dini na majini hatukuelewi mana majini wamubudu Allah kama ww vile unavo swali nao wanaswali na kuna majini wengine wakiristo waenda kanisani hujui ww

    • @raymrash
      @raymrash 2 місяці тому

      @@saba-gv3mj hakuna majini wakristo....hakuna Hilo jambo kwenye biblia ni huko huko kwenu

  • @successpathnetwork
    @successpathnetwork 3 місяці тому +10

    Bado hajapatikana mtu sahihi wa kumuhoji. Kuna follow-up questions nyingi sana humo katikati, mtangazaji unahama na kurukia sehemu nyepesi, lakini zilikuwa sehemu nzuri za kupata ukweli zaidi wa anachokitetea. Dah!!!🤔

    • @habibiddy8096
      @habibiddy8096 3 місяці тому +2

      Huyu janja janja nyingi hawezi kuruhusu watu sahihi kumhoji atakambilia tu kwa wasiojua wanaotafuta likes na viewers tu basi

    • @user-xz8mm5kt5m
      @user-xz8mm5kt5m 3 місяці тому +2

      Kama kuna wakati alimtaja jina huyo anayemhoji (12:12), kumbe anaitwa George, sasa unategemea mtu kama huyu anajua misingi ya shirki kulingana na uislamu?

    • @NMJAsaid
      @NMJAsaid 2 місяці тому

      Kwa sababu anaemuuliza hana ilimu ya kile sule anachokiongea, anahitaji aulizwe na msomi wa kiislamu. Huyu ni daktari wa wadudu

  • @tawfiqhamis
    @tawfiqhamis 3 місяці тому +11

    unatakiwa utubie kwani kujinasabisha na kuzungumzia dini ya kiisilaam hali ya kuwa unalingania katika kufru na shirki hii ni hatari na upotoshaji na haya ni matunda ya watu kuacha quruan na sunna kwa ufahamu wa wema walio tangulia mwisho wake mnawapoteza watu katka njia ya sawa allah akuongoze ewe sule

    • @shawwalmsati3405
      @shawwalmsati3405 2 місяці тому

      SOMA KWANZA KISHA UTOE HUKUMU. USIHUKUMU KWA KUKARIRISHWA

    • @tawfiqhamis
      @tawfiqhamis 2 місяці тому

      Wee mweyewe utakujua mjinga ujui tawhiyd kama sule ndo maana unatetea uchawi na hii ni ishara kuwa uko mbali na quruan na sunna na aqual za ulamaa qadiyman wa hadiytha الله المستعان

    • @robertgeofrey4118
      @robertgeofrey4118 2 місяці тому

      Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa Місяць тому

      ​@@tawfiqhamisKama hutaki ushirika na majini ondoka huko njoo kwa Yesu haraka achana na mafundisho potofu hayo

  • @muslihmohd3685
    @muslihmohd3685 3 дні тому

    Inna lillah wainna ilayhi raajiuun.
    Angalia nuru ilivyopotea kwenye uso wake,hio panki inaonyesha wazi kuwa imani imetoeka.
    Allah aluongoze akurudishe kwenye njia kama zamani

  • @shukurually8769
    @shukurually8769 2 місяці тому +3

    Kitu nilichogundua nikwamba watu hawataki mtu azungumzie uhalisia wa maisha ya binaadamu jamanai nje ya dini kunamaisha ndio kama hivo uchawi nje ya maisha sasa mnavombishia sule je uchawi hakuna? unakuwaje muislam alafu useme jini hakuna sule yupo sahihi na ukimbeza sule omba mungu yasikukute ila ukirogwa mwenyewe utaenda kwa mganga utake usitake uwo ndioukweli na kweli pesa za majini zipo mbona watu wanaishi kwenye zama izo na wanafanikiwa msitake kilakitu mlaum kwangu naona sule yupo sawa sababu hasemi kama dini ndio imeamrisha hivo

    • @RashidiKasimu-uk5kz
      @RashidiKasimu-uk5kz 13 днів тому

      Ndugu mpenda komaza imani ndio uamuwe, majini yako atukatae lakini kutumika nayo ndio vibaya. Kitakusaidiya kuzingatiya apo sio elimu ila imani ikawa kali kwa Allah!

  • @yusufyusuf-br5qk
    @yusufyusuf-br5qk 2 місяці тому +1

    Mtihan xana aisee Allah atunusuru atupe mwisho mwema yarabb

  • @user-xm5xg1tt6d
    @user-xm5xg1tt6d 3 місяці тому +16

    Jini humuoni unajuaje kama huyu ni mzuri na huyu ni mbaya acha kutudanganya we sio nabii suleiman

    • @shukurually8769
      @shukurually8769 2 місяці тому

      Ukisoma utaelewa iyo ni kazi watu wanasomea omba mungu yasikukute ila uchawi upo na mchawi anamtumia jini

    • @shawwalmsati3405
      @shawwalmsati3405 2 місяці тому

      Wasemaje kuhusu aya iliyomo ktk surat albaqarah
      هو الذي خلق لكم ما السموات وما في الأرض
      ALLAH NDIYE ALIYEKUUMBIENI VYOTE VILIVYOMO MBINGUNI NA ARDHINI.
      Maana yake ni kwamba vyote vimeumbwa kwa ajili ya kumnufaisha mwanadamu. Malaika huwaoni lakini wanakunufaisha, upepo huuoni lakini wakunufaisha.
      Sasa kwa nini jini asikunufaishe utapohitaji kumtumia?¿
      Muogopeni Mungu kuattack msvyovijua.
      Kwani sule haogopi Jahannam mpk ajiingize kwenye ushirikina??
      Anaogopa sana pengine zaidi yako, ila anaendelea kufanya hivyo kwa sababu sheria yamruhusu kutokan na utaratibu unaotakiwa.
      Nyinyi ndo mnaowahukumia waislam tena WANACHUONI WAKUBWA wanaabudu makaburi kisa tu eti wameenda kumuomba mungu ktk maeneo ya makaburi.

  • @hamzasuleiman9605
    @hamzasuleiman9605 2 місяці тому +3

    Ama kweli ni bora mlevi wa Pemba kuliko shekhe wa Tanganyika 👐

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 3 місяці тому +12

    Hivi waislam wenzangu hata kama hatujapata elmu ya kutosha vipi ikiwa katika maisha yetu kila mtu anatmia jini katika kutafuta kwake rizki? Namaanisha kila mmoja wetu awe na jini ambae anamtumia katika mambo yake hii dini itakuwaje ndugu zangu! Ni ushirikina ushrikina ushirikinaaaaaaaa

    • @charlesboniphace2249
      @charlesboniphace2249 3 місяці тому

      Pole sana ndugu angu Yesu anakupenda

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 3 місяці тому

      @@charlesboniphace2249 Na mi nampenda pia kwasababu ni Mtume wa Allah ambae alimtuma kwa watu

    • @ibnhamduun3173
      @ibnhamduun3173 3 місяці тому

      Kuna tafauti gani kati ya muabudu majini na wew unaemuabud mwanaume mwenzio​@@charlesboniphace2249

    • @kuchimillionaire6683
      @kuchimillionaire6683 3 місяці тому

      Nyinyi waislamu ni washirikina

    • @kuchimillionaire6683
      @kuchimillionaire6683 3 місяці тому

      Jini Super hili

  • @abdallahsiraji9919
    @abdallahsiraji9919 3 місяці тому +6

    Inna lillah wainnaa ilayh raajiuun..
    Dr.SULE UMEIPOROMOSHA HESHIMA YAKO KABISAAAA..
    HAKIKA UMETELEZA NA NAMUOMBA ALLAH AKUREJESHE KATIKA NJIA YA SAWA UEPUKE NA USHIRIKINA AMBAO UMEJITANGAZIA
    POLE SANA KAKA
    HUJACGELEWA TUBU KWA ALLAH
    TUNAKUSIHI NA KUKUNASIHI TUBIA DR.SULE
    NAKUSIHI NIJATHMINI UPYA
    HUJACHELEWA TAFUTA ILMU KAKA BADO UMRI NA AKILI VINAKURUHUSU
    SOMA TAUHIDI SANA KAKA
    NASUKITIKA SANA KWAKUA ULIKIA KIPENZI CHA WAISLAMU WENGI AKIWEMO MIMI
    ILA KWA HILI ULILOKUJA NALO NA USHIRIKINA WA WAZI KAKA
    ALLAH AKUO GOZE NA AKUOBESHE TENA NJIA SAHIHI
    AAAMIIN

    • @maulidi8479
      @maulidi8479 3 місяці тому

      Tatizo unafiki umewajaaa nyie waja. Kwani uchawi hakuna? Kwani majini hakuna?

    • @aminasaid6555
      @aminasaid6555 2 місяці тому

      ​@@maulidi8479mnafki no moja ni wewe

    • @mohamedkeref9589
      @mohamedkeref9589 2 місяці тому

      Kwenye hoja yake hiyo amekuaje mshirikina

    • @mohamedkeref9589
      @mohamedkeref9589 2 місяці тому

      Tuitafute Elim ndio tuhukum maana mnamkufurisha sule ila mkiuliza ukafiri wake uko wapi hamna majibu .......halyastawi lladhiiiya ya alamuuuna walladhiiina laaa yaalamuun.jibu ni hapana na ndio kinachooonekana hapa

    • @BakariSilimu-im2qv
      @BakariSilimu-im2qv 2 місяці тому

      Unajua kila mja anajiona yeye Yuko sahihi anasahau ukionyesha vidole viwili kwa mwenzio vitatu vinarudi kwako

  • @user-wf9tx7yj6b
    @user-wf9tx7yj6b 3 місяці тому +17

    Mzee sisi tunakupenda tunakuombea urejeye kwa Allah

    • @user-mr1sl6dd7g
      @user-mr1sl6dd7g 2 місяці тому

      Sule utammiliki vipi jini pasina ya kua mshirikina jibu swali????

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 2 місяці тому

      Jini waeza miliki na usiwe mshirikina hata bin taymia alikua akitoa majini wabaya msome sheikh wenu ibn taymiyah

  • @FadhilKassim-qj8tc
    @FadhilKassim-qj8tc 3 місяці тому +10

    Dr sule masala ya nyota pia niushirikina rasullullah amtufunza adhkar za asubuhi na jioni unakuwa strong mchana na jioni unaropokab2 huna Aya Wala Hadith

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 2 місяці тому

      Ahh na ukiwa baharini umepotea ukitumia nyota utakua umemshirikisha swali nijibu nijue kidogo

    • @robertgeofrey4118
      @robertgeofrey4118 2 місяці тому

      Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini

    • @WitimaliTunduru-ho1hd
      @WitimaliTunduru-ho1hd 2 місяці тому

      Fact

  • @zahranahmed4263
    @zahranahmed4263 3 місяці тому +11

    Tumuombee arejee kwa Allah anakoelekea pabaya

    • @shadrackgwamwanza4987
      @shadrackgwamwanza4987 3 місяці тому +1

      Ongera kwa kuona Muislamu mwenzio anavyopotea

    • @AbrahammamoMuda
      @AbrahammamoMuda 3 місяці тому +1

      makosa sii yake ni qurani enyewe

    • @user-tz8zu2gt6u
      @user-tz8zu2gt6u 3 місяці тому +1

      njooo kwa yesu

    • @BinAliy
      @BinAliy 3 місяці тому +2

      Kosa la Quran liko wapi????​@@AbrahammamoMuda

    • @ibnhamduun3173
      @ibnhamduun3173 3 місяці тому

      ​@@user-tz8zu2gt6u kuna tafauti gani kati ya anaemuabudu jini na anaemuabudu mwanadamu anaekula na kukidhi haja .
      Hatuwezi kumuamudu kiumbe mwenzetu sawa ni jini au yesu.
      Hamjielewi wakristo haifai kuabudu kiumbe jini au yesu

  • @yasiniKingazi
    @yasiniKingazi 3 місяці тому +4

    Acha kulopoka jini hajaumbwa Kwa ajili ya kumilikiwa na binadamu jini ameumbwa Kwa ajili yakufanya Ibadan

    • @drmahwa8166
      @drmahwa8166 2 місяці тому

      huyo jamaa anakaribia kuchizika

    • @drmahwa8166
      @drmahwa8166 2 місяці тому

      kachizika huyo

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 2 місяці тому +1

    Dr. Sulle yuko sahihi kabisa, mnaobisha endeleeni kubisha lakn ukweli ndiyo huo.

  • @NurudiniNdoka
    @NurudiniNdoka 2 місяці тому

    Asante kwa Elimu nyenyekevu Doctor

    • @abulfidaassalafiyyah
      @abulfidaassalafiyyah 2 місяці тому

      Huu ni upotevu kama ww ni mwislam kaulizie masheikh wengine au tafuta vitabu usome. Huu ni ushirikina wa wazi kabisa ndugu

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 місяці тому +8

    Kunyamaza Ni hekma Sule, Yani utaropoka kama mtu aliolishwa usembe, Unaweza enedelea na mambo yako lakini usijinasibishe na Uislam, Wallah utadhalilika Saaana , Tazama hadi Nuru ya Uislam inakutoka

    • @sadathboutique6253
      @sadathboutique6253 3 місяці тому +3

      Uyu jamaa nilikuwa namkubari sna ila jinsi anavyojiweka kwenye shirki ananiudhunisha kw kweli yaani anaumbuka siku hadi siku😢

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 3 місяці тому

      Majini alisema yote ni Mazuri mmmh

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 3 місяці тому

      ​@@sadathboutique6253Acha atwmbie jinsi mnavyoishi na majini

    • @phihirisembula
      @phihirisembula 3 місяці тому

      Allahu aalam😂

    • @hamisaali8103
      @hamisaali8103 3 місяці тому

      ​@@trophywilson7211Hapana hakusema hivyo

  • @kuchimillionaire6683
    @kuchimillionaire6683 3 місяці тому +1

    Thanks God Jam christian

    • @AnticsGG
      @AnticsGG 2 місяці тому

      whats christian can u prove christian exist stop lying to ur self

  • @tyronemofekeng7152
    @tyronemofekeng7152 3 місяці тому +5

    Tuombeni sana mwisho mwema. Huyu bwana sikuwahi kufikiri angefikia hapa

    • @user-vg6gp3bz1f
      @user-vg6gp3bz1f 2 місяці тому

      Aaaamina ya Rabby 🤲

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa Місяць тому

      Huo ndiyo mwisho wenu mwema maana ukimkataa Mungu naye anakukataa

  • @saidkadute6560
    @saidkadute6560 3 місяці тому +12

    Allah Hakim,Musimuhukumu mtu Allah ndio anajua zaidi kuhusu yote ...Allah Kareem

    • @ShukriGufu-ec3gk
      @ShukriGufu-ec3gk 3 місяці тому +1

      Usiwe mjinga hii akili umepewa

    • @mussakarata6650
      @mussakarata6650 3 місяці тому

      ​@@ShukriGufu-ec3gkbila shaka wew ndo umempa sasa ichukue

    • @habibiddy8096
      @habibiddy8096 3 місяці тому +1

      Tunamhukumu kwa kutumia kivuli cha dini kueleza uongo wake na fikra zake hizo!!

    • @TheOmiedohmusic
      @TheOmiedohmusic 3 місяці тому

      We unaakili sana jamaangu asilimia 90% ya watu weusi humbishia mtu husika anayejua kitu kilicho mkuta mtu juu ya kitu asichokijua kwa hoja ya machache anayoyafahamu yeye toka kwa watu anawaamini yeye

    • @TheOmiedohmusic
      @TheOmiedohmusic 3 місяці тому

      Ikiwa mungu amekili mwenyewe kuwa SIJAWAUMBA BINADAMU NA MAJINI ISIPOKUWA KUMUABUDU ALLAH....ASA ANAYEABUDU NI MBAYA MBELE ZAKE MUNGU....!?

  • @SalmaSalmarashid
    @SalmaSalmarashid 3 місяці тому +2

    Pole Sana sheh

  • @SheheKhamis
    @SheheKhamis 3 місяці тому +2

    Subuhanalla Allah hamtumijini ktk utumwawakee ana majeshi yake ktk kazi zake sawa Sule sio jini yakh angelikuwa ni mtume sawa ila siyo jini kwenda kuchukua mambo ya nayokuja kweye lahi mahfzi akakuletea ww siri hiyo hiyo siuhalali bali ni ushirikina tubia sule hayo simambo mazuri bali nimambo mabaya kabisa unamzalilisha Allah na mtume wake unamzalilisha umati wake unaizalilisha dini yake

    • @aboudangot
      @aboudangot 3 місяці тому +1

      Iyo elim ni ndef san kbs kama hujaelew vizur dokt sule anachokisem ni sahihi kbs majin wapo wazur na wabaya kama jins balivy kuw viumbe wa allah katika wanadam ata na katika majin ni ivo ivo ,someni vizur Ila hakun sehem inaruhus kuwatumikia ,n'a ushirikina ni kumshirikish Hao kuabudu kinyum na mwenyezimung ata n'a kweny wanadam unawez kufanya shirki tuache kwa majini

    • @aboudangot
      @aboudangot 3 місяці тому +1

      Manak unatak kusem kuw na Nabii suleiman alikuw anafany ushirikina?? Mbon nae alikuw akiwatuma majini ten yéyé hakuw umoja lilikuw nikundi kubwa kbs

    • @aminasaid6555
      @aminasaid6555 2 місяці тому

      ​@@aboudangotkwani nabii suleiman ni kiigizo chetu?

  • @barazasule9582
    @barazasule9582 2 місяці тому +1

    Venye likuwa na heshimu huyu Dr,yaani sasa simuelewi anako elekea.

  • @salehmohammedsalum2054
    @salehmohammedsalum2054 3 місяці тому +5

    Ushirikina upotevu

  • @user-fq1gg8rj9i
    @user-fq1gg8rj9i 2 місяці тому +2

    Ndio jini yyte anaeishi ndan ya mwili wa mwanadam uyo anamuasi Allah ,,,

  • @nasrymashauri3559
    @nasrymashauri3559 3 місяці тому +3

    Sio kweli huo,huyo ni mshirikina tu

  • @hamisimapoch884
    @hamisimapoch884 3 місяці тому +3

    Kweli sule ni mchawii nimeani

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 3 місяці тому +10

    Yaani unajichanganya sana mala nawatuma majini mala wengine wabaya mala huwa nawatumia majini kweli wewe mtumwa wa majini unayahubili majini kuliko. Mungu mungu wa mbinguni hutuma malaika kutusaidia hatumii majini

    • @mussakarata6650
      @mussakarata6650 3 місяці тому

      Mungu anaweza kutumia chochote akitakacho kwenda kwa mtu yoyote amtakaye na kwa mda wowote autakao sababu yey ndo kawaumba wote na hajiwekei mipaka kwenye kuwatumia ila tofaut ya malaika na binadamu ni kuwa malaika wao wapo na utiifu pekee juu ya mungu ila majini na binadamu tumepewa uhuru wa kujichagulia iwe tumuabudu mungu au tuasii.
      Mwishowe ktk Dunia binadam ndo kiongoz wa viumbe vya dunian so jiongez

  • @muuibrahim1805
    @muuibrahim1805 2 місяці тому +1

    Subhanallah inabidi sheikh sule aachane na hii elimu mwenyewe sasa anaongea lakini kiundani unaona anapata shida kusadiki anayoongea km ni kweli qur an imeruhusu, huwezi jua jini mmbaya na mzuri kwa sababu hawaonekani Hawa viumbe na ni waongo hatari

    • @robertgeofrey4118
      @robertgeofrey4118 2 місяці тому

      Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..,Japo wengi wanafanya taqqiya kumpinga

  • @user-zm8nq6xv8o
    @user-zm8nq6xv8o 3 місяці тому +3

    Acha kiburi kubali makosa

  • @aliali-ji9ym
    @aliali-ji9ym 2 місяці тому +2

    Hii ndio hasara yakua mnafiq kwenye dini. Hatima yake mungu humuacha mkono na huishia vibaya

  • @salimobeid1470
    @salimobeid1470 3 місяці тому +6

    Utaftaji wa rizk kharamu huwa na fedheha nyingi sana rudi kaka angu sule katika haki na bora ufe masikini lakin si kula viapo vya majini kukupa mali

    • @user-em3uf8wz6r
      @user-em3uf8wz6r 3 місяці тому +1

      Acheni mitazamo ya ovyo

    • @mussamtupa
      @mussamtupa 3 місяці тому

      Pete ya Nabii sulaymani ilikua na jina la 100 la Allah.

    • @ibnhamduun3173
      @ibnhamduun3173 3 місяці тому

      Acha abainishwe huyo mchawi Sule shekhe wako​@@user-em3uf8wz6r

    • @OmanOma-xi3hm
      @OmanOma-xi3hm 3 місяці тому

      Anajibabaisha muongo japo kanizifi ellim anisamehe buret

    • @BakariSilimu-im2qv
      @BakariSilimu-im2qv 2 місяці тому

      Kwenye Qu'ran si Kuna sura inazungumzia majini

  • @mnolamanyendi4956
    @mnolamanyendi4956 2 місяці тому +2

    Umejivunjia heshima kubwa

  • @SwalehMsangi-yh3qq
    @SwalehMsangi-yh3qq 2 місяці тому +1

    Huyu mwenzetu kapotea

  • @DavidMatata
    @DavidMatata 2 місяці тому

    Huyu dr Sule ni mtumishi wa majini,ni mtu hatari sana.

  • @mrfashion1687
    @mrfashion1687 3 місяці тому +5

    Wanaompinga huyu jamaa hawana elimu

    • @SuleimanRwanga-gc2lv
      @SuleimanRwanga-gc2lv 3 місяці тому

      😊😊

    • @user-em3uf8wz6r
      @user-em3uf8wz6r 3 місяці тому +2

      Ni kwel watu wengi hawana elimu

    • @AminaAhmed999
      @AminaAhmed999 3 місяці тому +1

      elimu ya uchawi

    • @khamisswalehe
      @khamisswalehe 3 місяці тому

      washirikna wote wanapendana

    • @khamisswalehe
      @khamisswalehe 3 місяці тому

      tunatka kuona ni wapi mtume alitumia majin kupata pesa au umari au abuu bakari wewe umekua nan mpka uwe juu ya mtume mbona Allah aliwashusha malaika kupigana na makafiri kwañn hyo mtume asiwatumie hao majin kupigan na makafiri nyie acheni uhun katka iman

  • @user-ns9rw8em7h
    @user-ns9rw8em7h 3 місяці тому +1

    Sule umechanganikiwa tubia kwa mola wako

  • @badimakka0016
    @badimakka0016 2 місяці тому

    Subhanaa Allah mwisho wa ubaya aibu.wataumbuka wingi

  • @adnaankhanbhai7057
    @adnaankhanbhai7057 2 місяці тому +1

    We mshirikina mkubwa mja laana we sura kaa tundu la matako

  • @sonofmary-ro2bt
    @sonofmary-ro2bt 3 місяці тому +2

    Sule Wacha kuzunguka ww ni mshirikina TUbu uko na nfsi

  • @IddiAbdi
    @IddiAbdi 3 місяці тому +3

    Sule anatumia suna ya m2me maana m2me anasema tumfuate yeye sasa sule anaitw mchawi kivipi waisilamu tuache hiyo kauli sio nzur

    • @habibiddy8096
      @habibiddy8096 3 місяці тому +1

      Hatumuiti mchawi bali tunamuita Ahli shirk..........kwa na mtu aliyepinda katika njia ya sawa kwa kuleta fikra zake potofu kuuhalalisha ushirikina wake

    • @habibiddy8096
      @habibiddy8096 3 місяці тому

      Hatumuiti mchawi bali tunamuita Ahli shirk..........kwa na mtu aliyepinda katika njia ya sawa kwa kuleta fikra zake potofu kuuhalalisha ushirikina wake

    • @aminasaid6555
      @aminasaid6555 2 місяці тому

      Wewe sio muislam na ndio maana hata kauli zako ni kufru tupu

    • @robertgeofrey4118
      @robertgeofrey4118 2 місяці тому

      ​@@aminasaid6555Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao Dr.Sulle wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini😅

  • @user-kr7ux2dw5l
    @user-kr7ux2dw5l 3 місяці тому +1

    Nilipokuwa sijasoma elimu ya dini nilimuona Shekhe mkubwa sana Afrika. Lakini nilipojifunza dini. Nikajua kwamba ktk watu waliokuwa hawaielewi dini ya uislamu mmoja wapo huyu sule. Ndugi zangu waislamu usiposoma dini yako kila mtu utamuona Shekhe lakini ukisoma ndipo utajua nani Shekhe na lipi shehena. Kwa roho safi.

    • @user-hm5lx8od3h
      @user-hm5lx8od3h 2 місяці тому

      We ndo shehena usio jua kitu na hujui kama majini pia ni viumbe kasome muaacje sule ana Elimu usiyo ijuwa wewe

  • @KarimuYusuph
    @KarimuYusuph 2 місяці тому

    Sule kasema kweli

  • @OmarAli-wr1ti
    @OmarAli-wr1ti 3 місяці тому +2

    sule nakwita ndugu yng Rudi kwa Allah uislam hauko ivo majini wazur hawawezi kushirikuana na binadamu Kubali umekosea omba maghufira Hakuna muislam yeyote atakaekuelewa na Uongo wako

  • @mwendajumbe6816
    @mwendajumbe6816 3 місяці тому +3

    Huyo sio sheh wala hana ilimu ya dini anachojua ni ushirikina na udanganyifu ila mungu atamuumbua

  • @BisunKhalfani-hk2jy
    @BisunKhalfani-hk2jy 2 місяці тому

    Elimu ya Namba hizo sharifu teacher Alisha zisema MDA uchawi UPO

  • @ManShube
    @ManShube 3 місяці тому +5

    Uwongo mtupu dhwalimu

  • @Goodboy-pf6xb
    @Goodboy-pf6xb 3 місяці тому +1

    Sule acha uwongo jini kan anakula makande

  • @roseatienoogutu7641
    @roseatienoogutu7641 2 місяці тому +1

    Allah atuongoze yarrabh. tumuombeni Allah sana

  • @user-xm5xg1tt6d
    @user-xm5xg1tt6d 3 місяці тому +9

    Uso wake umepoteza nuru

  • @SREmerald
    @SREmerald 15 днів тому

    Kitu kinatakiwa kueleweka ni nini utamfanyia jini ili akufanyie unayotaka. Kwa sababu jini anataka tumuasi Mungu hivyo atataka uasi ndiyo akufanyie unachotaka na huo ndiyo ushirikina Mungu anaotutahadhari. Mungu aliumba binadamu na majini ili wamwabudu yeye tu.

  • @user-rg1fz7wr7p
    @user-rg1fz7wr7p 3 місяці тому +2

    Nabii lukman anamwambia mtoto ktk quran... Ewe mwanangu usikaribie shirki hakika shirki ni dhulma niliyokua kubwa mno mbele ya Allah

    • @ibrasaid9256
      @ibrasaid9256 2 місяці тому

      Luqman si nabii lakini wanaeleza wanachuoni alikua mtu mwema lakini hakua nabii

    • @user-oo1fs7lp6d
      @user-oo1fs7lp6d 2 місяці тому

      Lukman hakuwa nabii na usiseme ivo ni makosa

  • @AbdallahOmar-bp8ij
    @AbdallahOmar-bp8ij 3 місяці тому +3

    Muna tumia uislamu kwa kutafuta pesaa.. Lakini muta kwenda mbele za alwa kujibu.. Ficheni makucha tu

    • @khanafrica22
      @khanafrica22 2 місяці тому

      Inaandikwa. ALLAH na sio alwa......na yeye ndiye mjuzi zaidi

    • @robertgeofrey4118
      @robertgeofrey4118 2 місяці тому

      Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 3 місяці тому +1

    SHIDA,ukishashirikiana na MAJINI,kisha ukaupata utajiri wa KISHIRIKINA,wanakuzidishia KIBRI,ili ufe na KUFRU zao!

  • @suleimanhemed9543
    @suleimanhemed9543 2 місяці тому +1

    Mzungu kaiba teknolojia kwa mungu duuuuuuuuuuh

  • @user-nx8me3dc1r
    @user-nx8me3dc1r 2 місяці тому

    Jamani someni tafsir ya hii aya ili mujue hukmu ya kutumia jini 👉👉👉ويوم يحشرهم جميعا يا معشر الجن قد استكثرتم من الإنس وقال أوليائهم من الإنس ربنا استمتع بضعنا ببعض وبلغنا أجلنا الذي أجلت لنا قال النار مثواكم خالدين فيها /سورة الأنعام 128

  • @alikurran150
    @alikurran150 3 місяці тому +1

    We kama unaweza kuwatumia basi oa funga ndoa na dada wa kakake jini unaemtumia
    Acha uongo hakuna mwenye uwezo wa kuishi na majini hiyo ilkuwa ya nabii Suleimani sio sule.Hauna uwezo huo.Uongo tu.

  • @salehekinui2975
    @salehekinui2975 3 місяці тому +1

    Hiyo siyo tafsiri ya kuwajus Majin wabaya na wazuri
    Tafsiri sahihi ni jini mzuri hausiki na mafungamano yoyote na wanadamu wao kwa wao watafungama kwa maisha yao
    Na wabaya yeyote atakayeenda kinyume na sura hiyo niliyoieleza kwa nyongeza Hawa sura kuwa ni kule kuingia kwa wanadamu na kushirikiana nao ktk mambo tofauti wacha uwongo tubu kwa Allah huo uliona wewe ni fundi tu wa kuongea mtume anasema ktk ufundi wa kuongea na kubainisha Kuna uchawi

  • @anwardamnan3616
    @anwardamnan3616 3 місяці тому +1

    Sule rudi kwa Allah kabla ya kifo .maisha ya dunia ni mafupi na kumbuka Allah ni mwepesi wa hisabu

  • @salehekinui2975
    @salehekinui2975 3 місяці тому +1

    Huyu jamaa ni mchawi Allah akuongoze

  • @myself4128
    @myself4128 3 місяці тому +1

    nakataa kwa Jina La Bwana,Siishinna Jini kamwe! Hayo maisha yenu waislamu!! Jini halizuiliki kwa Bismillahi ni Uongo mtupu sababu na jini nae anamuomba huyo huyo Allah na ni waislamu pia utawafukuzaje?bila Kristo Yesu hakuna uzima,Sisi wakristo Tunaishi na Malaika tuuu!!!!

  • @Chrisblaze-beats
    @Chrisblaze-beats 3 місяці тому +2

    Hakuna jini mzuri acha uchawi. Sisi tunajua malaika na sio majini

    • @shawwalmsati3405
      @shawwalmsati3405 2 місяці тому

      Kwa hiyo waipinga Quran iliyosema kunamajini wema na wabaya???
      Tubu kwa Mungu kwa kukataa kilichomo kwenye maneno yake ktk surat ALJINNI

  • @Maxpaul-oi8pw
    @Maxpaul-oi8pw 3 місяці тому +1

    Umedanganya na umedanganywa mimi ni mkristo najua naish bila majini mm najua malaika

  • @JamesJastin-bg1rx
    @JamesJastin-bg1rx 3 місяці тому +1

    Sulle unazingua

    • @robertgeofrey4118
      @robertgeofrey4118 2 місяці тому

      Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao Dr.Sulle wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini

  • @user-rg1fz7wr7p
    @user-rg1fz7wr7p 3 місяці тому +1

    Dr sule Allah anasamehe makosa yte ila kwa kuamini na kutubia ...... From holy quran "sikumuumba jini na binadamu isipokua kuniabudu mm" tusipingane na maandiko sahihi badilika shekh hizi mali tutaziacha apa apa.... Mali na watoto ktk dunia ni mapambo ya dunia amali zako njema ndio zitakazoenda kusimama yaamul hashir.... Hakuna kifo kinachotokana na uwezo wa jini izo ni biasbabi tu Allah ndio anapanga Sku ya mtu umauti kumfika na Allah kma hakuuandikia kufariki kwasababu ya uchawi bs utaish duniani mpk uyo anaekuroga aakaanza yy kutangulia.... Badilika shekh tusimshirikishe Allah

    • @robertgeofrey4118
      @robertgeofrey4118 2 місяці тому

      Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini

  • @hawa6052
    @hawa6052 3 місяці тому +1

    Hujanishawishi kabisa sule

  • @khalifamahondo191
    @khalifamahondo191 3 місяці тому +2

    wewe ni Mchawi unatudhalilisha waislamu

  • @SALEHHASSAN-d1u
    @SALEHHASSAN-d1u 27 днів тому

    Mm naona hii n shirk moja kwa moja

  • @mohammedshikanda7706
    @mohammedshikanda7706 2 місяці тому

    Huyu ni mchawi na
    Mshirikina,,,
    Hasa huku kwa pete..

  • @AbulBarakaat-d4x
    @AbulBarakaat-d4x Місяць тому

    Jibu maswali ya shekh abuu khawlah na ulete dalili kuwa huo si uchawi na sio ukafiri we shekh kichaa

  • @khamisswalehe
    @khamisswalehe 3 місяці тому +1

    we mshrikina 😊

  • @lilmojr7
    @lilmojr7 3 місяці тому +1

    Subhanallah dr sule umeacha kuhubiri ucha mungu sasa unaweka nguvu kwenye kuhubiri ushirikina na pete na majini? Allah akuongoze

  • @lightworkerplan1543
    @lightworkerplan1543 3 місяці тому +3

    Mimi nakusaport dokta sure tatizo watu hawana elimu "watu ni maadui kwa wasiyo yajua" imamu ally

    • @Chrisblaze-beats
      @Chrisblaze-beats 3 місяці тому +1

      Huo mmnaojua ni uchawi na sio elimu.

    • @lightworkerplan1543
      @lightworkerplan1543 3 місяці тому +2

      @@Chrisblaze-beats uchawi wenyew ni elimu sio kila mtu ni mchawi

    • @user-pd2fk6kt5i
      @user-pd2fk6kt5i 3 місяці тому +1

      Elimu gani anayo hiyo shirki yuko anatangaza kwa jaami kuaribu mazingiza ya watu na upande wa pili wakiskia mameno yake wanachafuwa dini ya Allaah

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 3 місяці тому

      ​@@lightworkerplan1543Je!! Kwnye Uislamu inakubalika kuitumia Elimu ya uchawi?

  • @JamaliAmour-jp9dd
    @JamaliAmour-jp9dd 2 місяці тому +1

    Sule

  • @habibiddy8096
    @habibiddy8096 3 місяці тому +2

    Wewe ni mshirikina na hata uchukie ushadumbukia katika dimbwi la ushirikina fanya utubie ungali bado hai.........usitafute janja janja Dini haikuacha kitu na elimu katika hii dini haiwezi kuzidi elimu aliyopewa Mtume MUHAMMAD ﷺ
    DINI HAITAKI JANJA JANJA.......KIVULI UNACHOTUMIA KUFICHA MAMBO YAKO KITAISHA

    • @mohamedkeref9589
      @mohamedkeref9589 2 місяці тому

      Kabla hujahukum soma kwanza usimkufurishe mtu kama hujasoma

    • @habibiddy8096
      @habibiddy8096 2 місяці тому

      @@mohamedkeref9589 Elimu ipi katika mafundisho ya Mtume MUHAMMAD ﷺ imefundisha ushirikiano wa binadamu na majini km wasaidizi? Nami sijamkufurisha Soma vizuri hiyo comment unionyeshe nilipomkufurisha

    • @robertgeofrey4118
      @robertgeofrey4118 2 місяці тому

      Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao Dr.Sulle wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini

  • @user-ih3zu6zt6m
    @user-ih3zu6zt6m 3 місяці тому +2

    Nimeamini kuwa ukisoma sana kuruan mwisho wake itakupelekea kuwa na elimu ya kujua sana unajmu mashehe wengi km marehemu shehe Yahya ndiye aliyekuwa bigwa wa elimu hiyo

    • @HamadMtangi-zr4fs
      @HamadMtangi-zr4fs 3 місяці тому +1

      Nawale freemoson si wanatumia majini ni waislam wale ? acha upumbavu wew

    • @ZUBERIHASANI
      @ZUBERIHASANI 2 місяці тому

      Tofatisha kati ya waliozama KATIKA elimu ya kumjua Allah na mtume wake na hukumu za dini ya uislamu na WACHAWI.DR SULE NI JAAHILI HAJUI DINI HATA QUR-ANI HAJUI KUSOMA

    • @robertgeofrey4118
      @robertgeofrey4118 2 місяці тому

      ​@@ZUBERIHASANIKwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao Dr.Sulle wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini

  • @abubakarshaban6118
    @abubakarshaban6118 2 місяці тому +1

    Point muhimu
    (1) Ni mshirikina tu huyu. Hana Dalili juu ya kujiruhusu kutumia majini, porojo tu
    (2) Hata hiyo elimu ya majini hana ya kutosha. Majini huhufadhiwa mpaka ktk chupa au kikombe....
    (3) eti ameshawahi kumuona jini live. Chukua hii "mtu yoyote akisema amemuona jini live, huyo ni muongo" (Sh Abdallah Humeid)

    • @shawwalmsati3405
      @shawwalmsati3405 2 місяці тому

      Huna elimu ya kumhukumu muislam mwenzako kuwa ni mshirikina.
      Mbona evidence anazitaja sana. Au mpk muongopewe kwa kiarabu ndo mtaamini ni evidence.
      SHEIKH IBNU TAYMIYYAH KARUHUSU PIA KUTUMIA JINI KATIKA MAMBO YA HALALI.
      WALIJUA HILI?? AU NDO NAWE BENDERA FATA UPEPO

    • @abubakarshaban6118
      @abubakarshaban6118 2 місяці тому

      @@shawwalmsati3405 Shaykhul Islam katumia haya tupe sasa marejeo... Au mdomo mtupu... Eti evidence, katoa wapi? Labda uongopewe wewe kiarabu... Atoe Dalili, lasivyo huyo ni mchawi tu mshirikina...

    • @robertgeofrey4118
      @robertgeofrey4118 2 місяці тому

      Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao Dr.Sulle wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini

  • @IbraahimSkochi
    @IbraahimSkochi 2 місяці тому +1

    Acha. Uchawi muogope allah ww

  • @shifaaplusherbalmedicine
    @shifaaplusherbalmedicine 3 місяці тому +1

    Usifanye ghinadi weye unajua wapi shetani mzuri vyovyote muogope Allah dicta sule uo Ni ushirikiana acha kutaka sofa kujiona unajuwa Jina tokea lini akampa MTU utajiri acha ushirikiana uo

  • @Laizer3
    @Laizer3 3 місяці тому +2

    Unafundisha upotofu

  • @allymsellem5353
    @allymsellem5353 2 місяці тому

    nabii suleiman akiwatumia majini

  • @jumahamadomar9124
    @jumahamadomar9124 2 місяці тому

    Freemason wamekuja kwa vitengo na style tofauti tofauti wengine wanakuja kama watu wa dini kumbe weeee

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny 3 місяці тому +1

    Ni mganga toka zamani alijificha kwenye kimvuli cha Dini, Wewe ndo unaelimu mdogo Sasa si mshirika wewe

  • @BON357
    @BON357 2 місяці тому +1

    Docita sure nimekuwerewa xana

  • @user-if9td5ec3i
    @user-if9td5ec3i 2 місяці тому

    Dr unasema kweli mtu akiambiwa ukweli hasiiikii paka aone twambiye mwenye kusikia asikiiye ailimiki

  • @polyglot053
    @polyglot053 2 місяці тому

    Esse sheik falou bonito

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku 3 місяці тому +2

    Sehemu za majini kuishi n kwenye mapango ,,,,baharini labda uwe waishi nao ww ila sio sisi ,,,,tena chakula Chao utakapo kula n usema Bismillahi kama nyama kwa uwezo wa Allah jini akija atakula ila atakacho kula ww huwezi ona acha bangi bana

    • @user-xn3gs9qc8u
      @user-xn3gs9qc8u 3 місяці тому +1

      HUYU ANATAFUTA WATU AWATAPELI NILIKUWA NAMKUBALI KAMA SHEIKH KUMBE YUPO KINYUME NA DINI YETU YA KIISLAAM

  • @Silimumssab-ql7of
    @Silimumssab-ql7of 2 місяці тому

    Shekh sule unaongea kweli kabisa

  • @user-kr7ux2dw5l
    @user-kr7ux2dw5l 3 місяці тому +2

    Kweli ukitaka kujua tabia ya mtu ngoja apate viela. Na kweli mbwa ukimjua kina hakupi shida. Du hahaha ha ha 😅😅😅😅

  • @user-fb1vw8eh9w
    @user-fb1vw8eh9w 3 місяці тому +1

    MUSHRIK MKUBWA WEWE!!!

  • @YarmanAljahhdiry
    @YarmanAljahhdiry 2 місяці тому

    Warabi doct shule umeyakanyaga hi yote kuwa uliteleza tu katika uwaminifu baada kuamini ila insha'allah allah akuhifadhi zaid

  • @chandechande9642
    @chandechande9642 3 місяці тому +3

    Dr sule huo ni ushirikina pia unauchafua uisilamu muogope Allah tabaaraka Allah

    • @robertgeofrey4118
      @robertgeofrey4118 2 місяці тому

      Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao Dr.Sulle wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini

  • @EvanceMputa
    @EvanceMputa 2 місяці тому

    Habari broo naitwa Evans nina kesi mahakamani nadai nyumba Yangu nilianzia baraza la kata akashinda nikaenda mahakama ya wilaya akashinda nimeenda mahakama kuu jaji akafuta ushindi wake na akanambia nifugue Kesi ya kudai nyumba mahakama ya wilaya kwani wakili wangu aliitaka high court kupitia upya mauzi ya mahakama ya wilaya n

  • @rukaka_jr4514
    @rukaka_jr4514 2 місяці тому +1

    Shekh hakuna jini jema likaish na mwanadam, HUO NI USHIRIKINA tunakukubali kwenye darasa zako ila hili la Pete umepotea Allah akuongoze kwenye haki, ACHA UBISHI

    • @alimohd5123
      @alimohd5123 2 місяці тому

      Wewe unazungumzia jini au shetani kama unazungumzia jini. Bas wapo majini wema. Kwasababu Allah kawaumba majini na watu ili wamuabudu. Kwaio watakaomuabudu Allah ni wema miongoni mwa majini na watu.

  • @swalehsaidmahu2052
    @swalehsaidmahu2052 2 місяці тому

    Sule ni mshirikina kwel kabisa nimeamin

  • @kagalihussein1959
    @kagalihussein1959 2 місяці тому

    Astagfirullah!Huyu bwana ni Mshirikina tu kiukweli sasa iliuijue hiyo Elimu lazima uisome na kila unazidi kusisoma hiyo Elimu ndipo unapozidi ku toka ktk Njia ya sawa!

    • @robertgeofrey4118
      @robertgeofrey4118 2 місяці тому

      Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini

  • @OmanOma-xi3hm
    @OmanOma-xi3hm 3 місяці тому +1

    Yy Dokta sule hawezi kukatibia jini kwa sa babu jini ni moto mkali kwa hadithi ya bwana mtume Muhammad slm hatutaki ushirikin wake

  • @MargaretKiema
    @MargaretKiema 2 місяці тому

    Asante daktari

  • @BrillyMontana
    @BrillyMontana Місяць тому

    Tatizo wote wanaocomment wote hawana elimu ya dini

  • @user-uq4dm5sd9i
    @user-uq4dm5sd9i 2 місяці тому

    MGANGA SULE ACHA UCHAWI, KWANIN MTUME ASITUMIE MAJINI KUPIGANA NA MAKAFIR KWENY VITA VY UHUDI MPK ANANG'OLEWA MENO,NA KUPASULIWA USO.

    • @robertgeofrey4118
      @robertgeofrey4118 2 місяці тому

      Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao Dr.Sulle wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini