Usiulizeeeee unachoona mzee we Pigia 🔥MSTAAARI😂 SEMA nini RADO ifike mahali uache kuizungumzia hii bifu naona Usije hausahau milele, yani umekataa kabisa😂
Binafsi sidhani kama mwenywe anapenda kuzungumzia...Media tu ndo kila wakifanya interview nae lazma wamuulize ivo na kwa sababu anafanya interviews chache ndo maana anaonekana kama kila intrview anamuongelea, ila kinachoskitisha Fiddy anafanya interviews nyingi na ni nadra sana kuskia akiulizwa kuhusu rado. Ifike tym interviewers na wanahabari waache hyo tabia, asante.
Ivyo inyama vinavyo wote kwenye pua ninadawa ya Hasili yakupaka nakunywa ndani ya wiki TATU imekisha kabisa takusaidia bule.mdogo wangu aliugua pia akaandikiwa oparesheni ila aikufanyika nimzima adi sasa
KUMUHOJO RADO UNATAKIWA UJIANDAE MIEZI MITATU KAMA COURSE MAALUMU YA COMPUTER , VITANGAZAJI VINARUKARUKA TU MANENO MENGI HAKUNA ISSUE YA MAANA , AKILI KUBWA INAHOJIWA NA AKILI KUBWA . SASA TUNAANGALIA NA KUSIKIA VICHEKO TU. F☆CH
Kimbunga sharautt salut brooo
👊👊✌️.

Farid kasha sibitisha ukubwa wake kwenye game
Rado anahitisongi chache sana
Ange sahau nakukataa hzo mada
@@VenanceBaynit sure aisee
Huyu jamaa yuko Dar kila interview kumsema Fid Q ni nani alimshauri kuwa akifanya ivo atasikika!!?afanye game yake!!
Wakwanza huku nipewe maiwa yangu,,
Ivyo inyama vinavyo wote kwenye pua ninadawa ya Hasili yakupaka nakunywa ndani ya wiki TATU imekisha kabisa takusaidia bule.mdogo wangu aliugua pia akaandikiwa oparesheni ila aikufanyika nimzima adi sasa
Presenter acheni uchwara mnahoji hoji mavi ya kale ulizeni maswali yaliyomleta hapo
Fanya muziki wake man, ww ni mkali achana na fid q
Huwa akiulizwa ndio anajibu ulitaka akwepe swali au
Uwongo jombaa fid mkari kuliko wewe
Rado acha kuzungumzia kila siku beef Na fid mpaka tumeanza kuchoka bwana ebu tuonyeshe vitu vingine ulivyo navyo vinahusiana Na mziki
Ni 7bu wanamuuliza
🤣🤣 media hawana jipya kila siku swali Hilo hilo