This is beautiful 😍 ❤. I can't stop crying. Watoto wazuri Mungu awabariki sana kwa kutosahau wema. And to the lady hongera sana. Wema unalipwa. Usimfanyie mwenzako ubaya. ❤
upendo wa kweli uliojaa hisia za furaha .....Mungu awabariki sidhan kama kuna mtu ataangalia na asitoe chozi. Mungu azidi kumbariki huyo mama na kizazi chake kwa upendo mkubwa aliowaonyesha hao watoto
Sijawai ona upendo kama huu❤, mpka nimelia dah. Wenye nyumba, pamoja na watoto mjifunze kuishi na wadada kwa upendo. Na wadada muache jeuri na kiburi. Siku zote zote wenye kiburi na jeuri kufanikiwa kwao ni kwa shida Sana. Wanyenyekevu huwa wanafika mbali. Dada hongera my dear kwa kunyenyekea. Sio Siri you deserved🎉❤
You are wonderful guys to remember the one who was babysitting you,may God asidi,kuaongoza, kabisa you are best worldwide to remember your house maid,mungu,awaonekanee,kabisa,and awasaidie kill munacho taka,ndua hii...mungu awabariki na Familia yenu...l IN USA 🇺🇸
Ooooo nimelia sana nakufikiri mbali sana ni kitu kimepita muda lakini kwanza kabisa wanangu vijana wangu kwa kukumbuka hiki kitendo Mungu awapiganie sana kwenye ndoa zenu mdumu kama nyie mlivyotunzwa hasa ni washing weza wenu wanapotaka kubadilika usimazibu mkumbushe tu hii siku ya Arusi yenu na umwMbie alijifunza nini ile siku mlipokuwa mkimzawadia mlezi wenu zawadi Mungu awatunze na amtunze mlezi wenu pia nami kupitia shuhuda hii ninaamini binti niliyenaye atakuwa.kama mlezi wenu aliyewakuza nami ninaamini itakuwa hivyo soma zaburi ya 23 yote na 2 4yote mbarikiwe sana ❤❤❤❤❤❤❤x7
Wow. This is what we call real love. Yeah Jesus Christ Love . May God keep you and have Abraham,s grace to stay two hundred years for God, s glory ❤ guys listening 🎧🙏🙏🙏
Daaah wadada zetu wa kazi ni watu wa kuwaheshim Sana hasa sisi tulio na shift kama hizo watoto zetu wanapitia magumu Ila ukiwa na dada mwene Iman, jamani tuwa thamini Sana kwani ni watu MUHIMU Sana Sana nsana hata Mimi machozi yamenitoka tena mbele ya binti yangu wa kazi,,,,,
Kuna wasichana wengi wanajitoa kwa kazi. Nzuri saana ila hapajapatikana mahali hadharani pa kuwashukuru. Wengine wanasomeshewa watoto wao na misaada. Mbalimbali.. Rai yangu ni kuwa. Mtu yeyote si msichana wa kazi tuuu unapoishi popote , ishi kwa upendo , uaminifu, chapa kazi , Hakika kuna siku Mungu wa Sirini atakuinua mpaka ushangae..Hongera sana Mikolina uliyejaa upendo wa asili bila kuigiza. MUNGU AKUTUNZE SAAANA.
Nilishafanya kazi za ndani miaka kumi na Tano, lakini yule mama hakuthamini nilipo toka watoto waliumia sana ila nolisamehe na nikamuachia Mungu Leo Mungu amenijalia pazuri zaidi ya pale Wacha Mungu aitwe Mungu
DADA ASANTE KWA MBEGU ULIYO IPANDA HAKIKA MATUNDA YANAONEKANA KWA MACHO NA NIMFANO KWA WAMAMA WENGINE WELEENI WATOTO KWAUPENDO ILI IWE LAISI KWAKO NA KWA WATOTO WAKO MUNGU, AKUBALIKI SANA DADA,PIA ASANTENI NYIE VIJANA WAWILI KWA IMANI NA KUMBUKUMBU MLIYO NAYO KWA UYO MAMA, MUNGU,WA MBINGUNI AWABARIKI KWAKIWANGO KIKUBWA AMINA.
HONGERA SANA DADA NI WACHACHE WENYE MOYO KM HUO WADADA TUJIFUNZE KUWA WEMA NI AKIBA. LEO UTAMFANYIA VIBAYA MTOTO HUKUMBUKI NA WEWE NI MZAZI WA LEO AU WA BAADAYE
Yeyote ulieguswa ukadondosha chozi kama vile ulikuwepo tujuane❤❤❤❤
Too Emotional, nimelia 😭kwa furaha, hongera sana dada Ikollina kwa upendo, wewe ni wa.dhamani sana kwa hawa vijana na kwa Mungu pia, ubarikiwe
Hongera sana una moyo mzuri Mungu akubariki kukumbuka mfanyakazi wa ndani tunavozalauliwa kazi za ndani ubarikiwe sana
This is beautiful 😍 ❤. I can't stop crying. Watoto wazuri Mungu awabariki sana kwa kutosahau wema. And to the lady hongera sana. Wema unalipwa. Usimfanyie mwenzako ubaya. ❤
upendo wa kweli uliojaa hisia za furaha .....Mungu awabariki sidhan kama kuna mtu ataangalia na asitoe chozi. Mungu azidi kumbariki huyo mama na kizazi chake kwa upendo mkubwa aliowaonyesha hao watoto
Hakika inahisia kali jamani
HONGERA Sana dada wa kazi kuishi vizuri na maboss wako na kulea watoto kwa upendo mungu hakubariki Dada
Asante kwa kuwalea hawa ndugu wawili. Tuning from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hongera sana Mungu akubariki kwa kumkumbuka dada wakaz si. Kitu rahisi kihivo
Daaaaah hongeleni Sana mwenyezi mungu azidi kuwatia nguvu man moyo wakipekeee 👏👏👏👏👏
Mwanaume jikaze.nimzima mwambie MUNGU Ahsante.
Dahhh😢😢😢😢!!nimeliaaa lakini machozi yenye furaha sana!!dada Mikolina Mungu akubariki sana kwa upendo
Mbarikiwe san makaka kwa kua na moyo wa ❤wa shukrani kwa huyo mama nimelia sana, ni wachache sana wanaoshukuru hata ukijitahidi kufanya vizur
Nimelia sana mana mie nimelea wa ndugu zangu na nimeambulia maneno makali ya kuvunja moyo wangu
Ni wachache wenye moyo km huu
Pia mm nimelia sana ikollina mungu akubariki kwakuwale watoto haoo vzuri mungu akupe herí na Baraka matamanio ya moyo wk akupe god bless mama❤❤❤
Mwenyezi Mungu nakusihi wabariki vijana hawa wametii ile amri aliyetuachia Yesu Kristo ... Pendaneni
This is the best gift may the heavens bless protect you thanks 🙏🏿
Safi Sana Mungu awabaliki sana kwa kumkumbuka dada yenu wa kazi
Wadada kama hawa kuwapata ni kazi sana dada mungu skubariki sana
Nimesikia raha mno mpaka nimelia kwa furahaa❤❤❤
Sijawai ona upendo kama huu❤, mpka nimelia dah.
Wenye nyumba, pamoja na watoto mjifunze kuishi na wadada kwa upendo. Na wadada muache jeuri na kiburi. Siku zote zote wenye kiburi na jeuri kufanikiwa kwao ni kwa shida Sana. Wanyenyekevu huwa wanafika mbali. Dada hongera my dear kwa kunyenyekea. Sio Siri you deserved🎉❤
Hakika mungu Ana lipa hapa hapa duniani alicho kitenda ndio Leo mungu kampa mwanga inshallah Allah akupe umri mrefu Sana dada Niko lina
This so wonderful mungu awabariki siwengi wanakumbuka madada wa kazi
Tenda wa uende zako.May God help these young men for their appreciation.God will surely reward you for the blessings this mother has given you today
You are wonderful guys to remember the one who was babysitting you,may God asidi,kuaongoza, kabisa you are best worldwide to remember your house maid,mungu,awaonekanee,kabisa,and awasaidie kill munacho taka,ndua hii...mungu awabariki na Familia yenu...l IN USA 🇺🇸
Mbarikiwe sana kwa sababu si wengi wanarindishia mfanyikazi wa ndani Asante wanamwona tu akiwa mtu duni hongera sana ndugu wetu wa Tanzania
Daaaaah! Yaaani,huyu dada napata Mume, Mwenyezi Mungu akubariki uingiapo na utokapo
Very beautiful. Couldn’t hold my tears back ♥️
Me too my tears come out.❤
Dada nikolina alikuwa na upendo wa wa kweli kwa watoto aliokuwa anawalea mungu akubariki sana dasa nikolina
Mungu awabariki sana kwakurudisha fadhili
Hongera sanaaaaa dada yangu mungu akutuze na vijana nyie wawili mbarikiwe Kwa kumthamini dada yetu
hongera sana dada kwaupendo wako kwa hao watoto mungu atakulipa
❤❤❤❤❤❤❤❤ Hakika Mungu helipa kwa kadri ya matendo yk ila Aidan na mdogo wk mna moyo wa shukran ❤
Ooooo nimelia sana nakufikiri mbali sana ni kitu kimepita muda lakini kwanza kabisa wanangu vijana wangu kwa kukumbuka hiki kitendo Mungu awapiganie sana kwenye ndoa zenu mdumu kama nyie mlivyotunzwa hasa ni washing weza wenu wanapotaka kubadilika usimazibu mkumbushe tu hii siku ya Arusi yenu na umwMbie alijifunza nini ile siku mlipokuwa mkimzawadia mlezi wenu zawadi Mungu awatunze na amtunze mlezi wenu pia nami kupitia shuhuda hii ninaamini binti niliyenaye atakuwa.kama mlezi wenu aliyewakuza nami ninaamini itakuwa hivyo soma zaburi ya 23 yote na 2 4yote mbarikiwe sana ❤❤❤❤❤❤❤x7
AMAZING STORRY
Walah nimeliya kwa fraha sana ❤❤❤
Mungu akubarik dada kwa moyo wako wa upendo
Chanda chema🎉🎉 huvushwa pete❤❤😂😂😂
Wow. This is what we call real love. Yeah Jesus Christ Love . May God keep you and have Abraham,s grace to stay two hundred years for God, s glory ❤ guys listening 🎧🙏🙏🙏
Mungu awabariki kwa upendo wenu,niwachache sana wanao kumbuka fadhila
Asante Mungu kwa ajili ya fundisho zuri nimechukua, hongereni Sana sana❤❤🎉🎉🎉
Hongera sana, wanakukumbuk pia katika Sala zao, Mungu akutunze sana
MashaAllah,Mungu awalinde kwa utu huu daima,soo emotional 😭😭
Wafanya kazi wa ndani wenye roho mbaya mnajopotezea. thamani. Huyu dada anathamani kubwa sana kwa hawa vijana wawili
Mungu ambariki sana uyu dada kwa malezi mungu akuzidishie sana sana
So nice, i respect this lady and the family.
Dada aqwilina hongera sana mungu akubariki sana
Safi sana huyo dada mungu ampe maisha marefu
Nimependa vijana wana shukrani mno na ukarimu pia
Mpaka wanalia
Its good to appreciate may God bless you
Daaah wadada zetu wa kazi ni watu wa kuwaheshim Sana hasa sisi tulio na shift kama hizo watoto zetu wanapitia magumu Ila ukiwa na dada mwene Iman, jamani tuwa thamini Sana kwani ni watu MUHIMU Sana Sana nsana hata Mimi machozi yamenitoka tena mbele ya binti yangu wa kazi,,,,,
Safi sana , familia.inaupendo, Mungu awatunze.
Kaka ana Upendoooo huyu Mungu akubariki nimrpenda
Mungu atawalipa zaid yalio mema kwaupendo juu yadada wakaz niwachache sana kukubuka mema nimependa sana mungu awabariki
Baraka nikumbuke nami❤❤❤
Mbarikiwe Sana kwa sababu sio wote watakao kumbuka wema na uzuri wa mfanyakazi wa ndani may GOD bless you all
Nawapenda jmn mmelelewa Kwa upendo wa Hali ya juu saan, mbarikiwe na mungu
Mama mlezi, Mungu Baba akubariki na kizazi chako
Ubarikiwe kwa kukumbuka fadhila
Mungu akubariki sanaa endelea namoyo huohuo niwachache wanao jali wafanyakazi wandani
Mungu akubariki sana niwachache wenye roho kama yako
Kelvin na Aidan Mungu awabariki kwa kutambua thamani ya huyo Dada yenu Mikolina
Safi. Sana jamani mungu akawape machozi yafuraha ktk ndoa yanu
This is lovely real
Wow God bless u mum
Mungu akubariki sana kwa moyo wako wa upendo
Kuna wasichana wengi wanajitoa kwa kazi. Nzuri saana ila hapajapatikana mahali hadharani pa kuwashukuru. Wengine wanasomeshewa watoto wao na misaada. Mbalimbali.. Rai yangu ni kuwa. Mtu yeyote si msichana wa kazi tuuu unapoishi popote , ishi kwa upendo , uaminifu, chapa kazi , Hakika kuna siku Mungu wa Sirini atakuinua mpaka ushangae..Hongera sana Mikolina uliyejaa upendo wa asili bila kuigiza. MUNGU AKUTUNZE SAAANA.
Great surprise and this is unique
Mmh hongera kaka Kwa kukumbuka aliekuosha
Hongera dada kwa upendo wako kwa haw vijana
Duuh Mungu ambariki huyo Dada maradufu kwa moyo huo mzuri.
She did take good care of them God bless you Dads
Mungu na awabariki thoughtful kids❤
Mbona wazazi kama hawafurai kumpongeza this great sister. Something doesn't look right.
Walifurahi tu,ila hawakutegemea kama watoto wao wanajua kushukuru kwa kiasi kikubwa saana
❤❤ bila shaka aliwalea Kwa upendo wa kweri
Daah chozi wachache wenye shukrani
Mungu awabalik😂😂😂💓💓💓
Mungu amtuze huyu dada😊😊
Mungu awabariki❤
Safi sana hakuna kitu kizuri Kama shukuran
Mungu akubariki sana
Just respect❤❤
Mungu andelee kuwabariki sana sana
What kanitoa machozi Mungu ambariki mwanadada huyo
Kaka NDOA yako owe ya baraka sana kwa kukumbuka dada aliyewalea
Nilishafanya kazi za ndani miaka kumi na Tano, lakini yule mama hakuthamini nilipo toka watoto waliumia sana ila nolisamehe na nikamuachia Mungu Leo Mungu amenijalia pazuri zaidi ya pale Wacha Mungu aitwe Mungu
Asante sana mdogo wangu uejua kunifurahisha
Aseee kulia ni nje nje too emotional 🙏
Hakika mungu awabariki
Wema hauzi nikwer❤
DADA ASANTE KWA MBEGU ULIYO IPANDA HAKIKA MATUNDA YANAONEKANA KWA MACHO NA NIMFANO KWA WAMAMA WENGINE WELEENI WATOTO KWAUPENDO ILI IWE LAISI KWAKO NA KWA WATOTO WAKO MUNGU, AKUBALIKI SANA DADA,PIA ASANTENI NYIE VIJANA WAWILI KWA IMANI NA KUMBUKUMBU MLIYO NAYO KWA UYO MAMA, MUNGU,WA MBINGUNI AWABARIKI KWAKIWANGO KIKUBWA AMINA.
sanaaa nimependaaa
Hayo ndiyo matunda ya kusoma seminari kujengewa moyo wa upendo na kuwa kioo chema ktk jamii. Hongera kwa kumuibua Nicolina.
Ni kweli ata nilikuwa na boyfriend alisoma shule za seminali alikuwa na upendo xana na imani ya kupitiliza na ustarabu wa hali ya juuu aixeee
Nimelia mno jamani kwa furaha,Mungu nipatie binti wa kunilelea wanangu kama mim nilivyolea wa wenzangu vizuri
Imani huzaa upendo wa kweli
Mmenifanya nimelia jmn ni binti yangu Eliza Mungu amtunze tu kwa kweli kasimama vyema katika kulea wanangu
HONGERA SANA DADA NI WACHACHE WENYE MOYO KM HUO WADADA TUJIFUNZE KUWA WEMA NI AKIBA. LEO UTAMFANYIA VIBAYA MTOTO HUKUMBUKI NA WEWE NI MZAZI WA LEO AU WA BAADAYE
Mungu awabariki kwa fadhila mliofanya
Uliwalea vizuri sana
Ni wachache sana wenye kuweza kukumbuka shukrani kama hizi vjn kwa hali hii MUNGU ata wavusha mbali
Beautiful