MUELEKEO BEI YA NYANYA 2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • Bei ya nyanya inatazamiwa kuimarika zaidi kwa kipindi chote cha mwaka huu 2024 kutokana na changamoto nyingi za UZALISHAJI WA zao hili kwa mwaka huu.

КОМЕНТАРІ • 19

  • @neemamajana3078
    @neemamajana3078 8 днів тому +2

    Mungu aendelee kukutunza Kaka angu. Nimelima heka moja na nusu, nilipandikiza 06/08/024. Nategemea kuanzia 20/10/ kuanza kuvuna. Naomba unitie moyo Kaka.

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023  8 днів тому

      Hiyo pesa da neema kazana kuhudumia Linda sana kantangaze na chorachora pia weka bajeti nzuri ya mbolea utafurahia wa kumi na moja unaingia sokoni rasmi watakutafuta kama mwizi hapo ww utakua ni mwendo wa kupiga hela tuu

  • @doricesanga9783
    @doricesanga9783 4 місяці тому +1

    Okay

  • @deograsiasmwenda3042
    @deograsiasmwenda3042 4 місяці тому +1

    Sana kaka nakubali

  • @AlfaSaimon
    @AlfaSaimon 4 місяці тому

    Nakupata vzr ndugu yangu nikiwa dodoma

  • @alfredsalakana1210
    @alfredsalakana1210 4 місяці тому +1

    Hongera Umeeleza mambo mengi Vizuri ila presentation yako haina numbers. Story kama hii watu wanataka kusikia numbers ..Numbers don't lie ..ungeweka graph moja iwe na miezi na ingine Bei ungeelewaka kwa urahisi then ndio uje na sababu sasa ulizosema kwa nn unafikiri hizo numbers zitakua hivyo...hiyo ndio ingekua analysis nzuri..

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023  4 місяці тому

      Nashukuru kwa ushauri tutaboresha zaidi wakati ujao

  • @ZainabuWaziri-yu2zp
    @ZainabuWaziri-yu2zp 4 місяці тому

    Nam a Yako naihitaji bro tuwasiliane Nia mengi ya kuzungumza na wewe kuhusu kilimo hiki.

  • @hamadimziraymziray-ry4vi
    @hamadimziraymziray-ry4vi 4 місяці тому +1

    ❤❤❤asant kwa darasa kilimo ni ajira❤❤❤❤

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023  4 місяці тому

      Kilimo ni maisha tukutane shambani😂😂💪

  • @vedastonestory1886
    @vedastonestory1886 4 місяці тому +1

    Uzid kubalikiwa

  • @JohnMakelele-tz2ks
    @JohnMakelele-tz2ks 2 місяці тому

    Bei sas Iv imfkje shamba

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023  2 місяці тому

      Kwa dodoma box ni kati ya 10 mpaka 15k lakini wateja ni wachache sana