MINJA KILIMO
MINJA KILIMO
  • 174
  • 157 007
KILIMO CHA MAHINDI YA KIANGAZI
Mahindi ni zao la gharama ndogo lakini lenye mafanikio makubwa na kuweza kumuinua mkulima hasa kilimo cha kiangazi kwaajili ya mahindi mabichi.
Переглядів: 509

Відео

SIRI YA KUTOBOA KWENYE KILIMO CHA NYANYA
Переглядів 1,1 тис.3 місяці тому
SIRI YA KUTOBOA KWENYE KILIMO CHA NYANYA
MBOLEA ZA MUHIMU WAKATI WA HATUA YA MATUNDA KUIVA {RIPPENING STAGE}
Переглядів 7523 місяці тому
MBOLEA ZA MUHIMU WAKATI WA HATUA YA MATUNDA KUIVA {RIPPENING STAGE}
MBOLEA MUHIMU YA TATU KWA NYANYA
Переглядів 2,4 тис.3 місяці тому
MBOLEA MUHIMU YA TATU KWA NYANYA
MBOLEA MUHIMU YA PILI KWA NYANYA
Переглядів 1,1 тис.3 місяці тому
MBOLEA MUHIMU YA PILI KWA NYANYA
MBOLEA YA KWANZA KWA NYANYA
Переглядів 2,2 тис.3 місяці тому
MBOLEA YA KWANZA KWA NYANYA
JE! NAWEZA KUZALISHA NYANYA KWA KUTUMIA SAMADI PEKE YAKE?
Переглядів 9963 місяці тому
JE! NAWEZA KUZALISHA NYANYA KWA KUTUMIA SAMADI PEKE YAKE?
CHANGAMOTO YA MAGONJWA NA WADUDU KUJIRUDIARUDIA
Переглядів 2314 місяці тому
CHANGAMOTO YA MAGONJWA NA WADUDU KUJIRUDIARUDIA
DONDOO MUHIMU ZA KILIMO CHA NYANYA KWA MKULIMA BWANA MSINGIDA STEELCOM KIBAIGWA.
Переглядів 2,2 тис.4 місяці тому
DONDOO MUHIMU ZA KILIMO CHA NYANYA KWA MKULIMA BWANA MSINGIDA STEELCOM KIBAIGWA.
MVUA ZA EL-NINO FURSA KWA WENGINE 2024.
Переглядів 1044 місяці тому
MVUA ZA EL-NINO FURSA KWA WENGINE 2024.
MUELEKEO BEI YA NYANYA 2024
Переглядів 7044 місяці тому
MUELEKEO BEI YA NYANYA 2024
MAMBO YA KUZINGATIA KWA MKULIMA MCHANGA
Переглядів 8284 місяці тому
MAMBO YA KUZINGATIA KWA MKULIMA MCHANGA
JINSI YA KUSOMA NAMBA ZA KWENYE MIFUKO YA MBOLEA NA MAANA ZAKE.
Переглядів 1 тис.4 місяці тому
JINSI YA KUSOMA NAMBA ZA KWENYE MIFUKO YA MBOLEA NA MAANA ZAKE.
MATUMIZI SAHIHI YA VIUATILIFU KWENYE ZAO LA NYANYA
Переглядів 1,5 тис.4 місяці тому
MATUMIZI SAHIHI YA VIUATILIFU KWENYE ZAO LA NYANYA
MADHARA YA MABADILIKO YA TABIA NCHI KWENYE KILIMO CHA NYANYA 2024.
Переглядів 854 місяці тому
MADHARA YA MABADILIKO YA TABIA NCHI KWENYE KILIMO CHA NYANYA 2024.
CHANGAMOTO KUU ZA KUZALISHA NYANYA WAKATI WA MASIKA
Переглядів 4245 місяців тому
CHANGAMOTO KUU ZA KUZALISHA NYANYA WAKATI WA MASIKA
MAKOSA 6 YA KUEPUKA KATIKA KILIMO CHA NYANYA.
Переглядів 2 тис.5 місяців тому
MAKOSA 6 YA KUEPUKA KATIKA KILIMO CHA NYANYA.
JE! NI MIEZI IPI YA KUPANDA NYANYA ILI UKUTANE NA PESA?
Переглядів 4,9 тис.5 місяців тому
JE! NI MIEZI IPI YA KUPANDA NYANYA ILI UKUTANE NA PESA?
KILIMO CHA ZABIBU
Переглядів 815 місяців тому
KILIMO CHA ZABIBU
MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA KILIMO CHA NYANYA
Переглядів 3045 місяців тому
MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA KILIMO CHA NYANYA
MAMBO YA KUZINGATIA ILI KUFANYA MIRADI YA KILIMO YENYE MAFANIKIO
Переглядів 2435 місяців тому
MAMBO YA KUZINGATIA ILI KUFANYA MIRADI YA KILIMO YENYE MAFANIKIO
SHARE UPENDO PAMOJA NASI
Переглядів 775 місяців тому
SHARE UPENDO PAMOJA NASI
MBEBA MAONO
Переглядів 685 місяців тому
MBEBA MAONO
DAWA YA MNYAUKO KWA NYANYA
Переглядів 4,5 тис.6 місяців тому
DAWA YA MNYAUKO KWA NYANYA
MINJA KILIMO ATEMBELEWA NA MDAU BENS AGRO STAR
Переглядів 2866 місяців тому
MINJA KILIMO ATEMBELEWA NA MDAU BENS AGRO STAR
KUTU YA MATUNDA NA JINSI YA KUITHIBITI
Переглядів 6246 місяців тому
KUTU YA MATUNDA NA JINSI YA KUITHIBITI
UMUHIMU WA KUFUNGIA NYANYA
Переглядів 3116 місяців тому
UMUHIMU WA KUFUNGIA NYANYA
KWANINI NYANYA YANGU INAPUPUTISHA MAUA?
Переглядів 3,6 тис.6 місяців тому
KWANINI NYANYA YANGU INAPUPUTISHA MAUA?
JE! DAWA GANI ZINAFAA KWA KILIMO CHA NYANYA WAKATI WA MASIKA?
Переглядів 3,5 тис.7 місяців тому
JE! DAWA GANI ZINAFAA KWA KILIMO CHA NYANYA WAKATI WA MASIKA?
JE NITUMIE MBOLEA GANI KUZALISHA MAUA NA MATUNDA MENGI KWA NYANYA?
Переглядів 6 тис.7 місяців тому
JE NITUMIE MBOLEA GANI KUZALISHA MAUA NA MATUNDA MENGI KWA NYANYA?

КОМЕНТАРІ

  • @faustangonyani5100
    @faustangonyani5100 46 хвилин тому

    Naitrojen ndo mbolea gan iyo jaman

  • @faustangonyani5100
    @faustangonyani5100 Годину тому

    Jaman izo mbolea mbona kwangu ni ngen azina majina mengine

  • @neemamajana3078
    @neemamajana3078 День тому

    Mungu aendelee kukutunza Kaka angu. Nimelima heka moja na nusu, nilipandikiza 06/08/024. Nategemea kuanzia 20/10/ kuanza kuvuna. Naomba unitie moyo Kaka.

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023 18 годин тому

      Hiyo pesa da neema kazana kuhudumia Linda sana kantangaze na chorachora pia weka bajeti nzuri ya mbolea utafurahia wa kumi na moja unaingia sokoni rasmi watakutafuta kama mwizi hapo ww utakua ni mwendo wa kupiga hela tuu

  • @neemamajana3078
    @neemamajana3078 День тому

    Ubarikiwe sana Kaka

  • @neemamajana3078
    @neemamajana3078 День тому

    Ohooooo Mungu ni mwema sana, nina nyanya ya kuvuna kuanzia mwezi wa 11. Nimelima heka moja na nusu.

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023 18 годин тому

      Hiyo utakutana na pesa mpaka ushangae cha msingi zingatia huduma mbolea kwa weledi kabisa na kama Bado hujasoma kitabu changu cha MATUMIZI SAHIHI YA MBOLEA KWA MMEA unachelewa na unajikosesha pesa maana Siri ya nyanya kuzaa imefichwa kwenye MATUMIZI SAHIHI YA MBOLEA. Ukiwa tayari karibu lipia 7000 kwenye lipa namba ya tigo 22211100 Minja kilimo Kisha utumiwe kitabu kilichojaa maarifa kwa Whatsapp

  • @neemamajana3078
    @neemamajana3078 День тому

    Kaka karibu na kwetu Kigoma mtusaidie wakulima.

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023 18 годин тому

      Popote tunamfikia mkulima kumshauri na kumsaudia changamoto ZAKE na NJIA Bora ya kufanya kilimo cha nyanya afanikiwe kwahiyo ukituhitaji tunakuja

  • @neemamajana3078
    @neemamajana3078 День тому

    Hata hata kwa hapa kwetu Kigoma hali ya nyanya huwa mbaya sana kuanzia mwezi wa 7 mpaka wa 10.

  • @user-zd5pc5nc9c
    @user-zd5pc5nc9c День тому

    Manapatikana wap

  • @Lightmgaya
    @Lightmgaya День тому

    Vizuri Aina nzuri ya hoh ni ipi kakaangu

  • @charlesjaph
    @charlesjaph 2 дні тому

    no za simu plse

  • @charlesjaph
    @charlesjaph 2 дні тому

    naomba no za cm yako nijiulize zaidi

  • @ServanceSwai
    @ServanceSwai 3 дні тому

    Kazi nzuri kaka naweza nikapata namba yako

  • @DeodatusSungura
    @DeodatusSungura 4 дні тому

    Nashukuru kupata elimu ya viwatilifu umetoa elimu nzuri sana.

  • @MichaelMnyangu
    @MichaelMnyangu 4 дні тому

    Congratulations

  • @kalungaraphael6006
    @kalungaraphael6006 4 дні тому

    Najifunza kitu

  • @MaridadiRashidilikwesoLikweso
    @MaridadiRashidilikwesoLikweso 6 днів тому

    Mbona maelezo mengi kuliko jibu🎉

  • @mwinyiomar4962
    @mwinyiomar4962 7 днів тому

    ZANZIBAR

  • @mwinyiomar4962
    @mwinyiomar4962 7 днів тому

    Asante nashkuru kwa elimu nahitaji kitabu nitakipataje mm nipo Zanibari

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023 7 днів тому

      Karibu kitabu unatumiwa kwa Whatsapp baada ya kuchangia 7000 kwenye lipa namba ya tigo 22211100 minja kilimo

  • @ItongwaMulondaIsombya
    @ItongwaMulondaIsombya 7 днів тому

    Asante Mwalimu ubarikiwe

  • @mwinyiomar4962
    @mwinyiomar4962 8 днів тому

    A/alaikum nahitaji kitabu nipate mafunzo ya Nyanya

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023 8 днів тому

      @@mwinyiomar4962 hatuna kitabu cha nyanya tua cha MATUMIZI SAHIHI YA MBOLEA KWA MMEA ukihitaji kuongeza maarifa katika eneo muhimu la mbolea karibu kwa kufanya muamala wa 7000 kwenye lipa namba 22211100 Minja kilimo Kisha tutumie muamala Whatsapp 0784013400 Kisha unatumiwa kitabu kwa Whatsapp

  • @nathanmakoweli7534
    @nathanmakoweli7534 9 днів тому

    Asante kwa elimu hii

  • @nathanmakoweli7534
    @nathanmakoweli7534 9 днів тому

    Habali ya kazi je naomba msahada wa kupata namba za simu jinsi wa kuwapata ili nipate kitabu Cha kilimo sahihi Cha nyanya

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023 9 днів тому

      Karibu unaweza kupata maarifa zaidi KUPITIA kitabu chetu cha MATUMIZI SAHIHI YA MBOLEA KWA MMEA ambacho kitakupa muongozo dhahiri jinsi ya kutunza mazao Yako. Ili kupata kitabu hicho changia 7000 kwenye lipa namba 22211100 minja kilimo Kisha tutumie sms ya muamala Whatsapp 0784013400 Kisha unatumiwa kitabu kwa NJIA ya Whatsapp

  • @thereziaaugustine7006
    @thereziaaugustine7006 9 днів тому

    Nimekuelewa asante sana

  • @mwinyiomar4962
    @mwinyiomar4962 9 днів тому

    A/alaikum Nimeipenda video ya darasa nahitaji mafundisho na mm

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023 9 днів тому

      Karibu bwana mwinyi unaweza pata mafunzo yetu zaidi KUPITIA channel yetu lakini zaidi unaweza jipatia kitabu cha MATUMIZI SAHIHI YA MBOLEA KWA MMEA kitakacho kuongoza zaidi. Ili kupata kitabu hicho changia 7000 kwenye lipa namba ya tigo 22211100 minja kilimo Kisha tutumie sms ya muamala Whatsapp kwa namba 0784013400

  • @AmoniUledi
    @AmoniUledi 10 днів тому

    Nimefuatilia watalaamu wengi,Ila wewe uko vizuri sio siri

  • @LordrichMnandi-e6w
    @LordrichMnandi-e6w 10 днів тому

    Vzur

  • @user-bi2ez8hm7y
    @user-bi2ez8hm7y 10 днів тому

    Hello nahitaji kitabu

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023 10 днів тому

      Karibu light fanya malipo ya 7000 kwenye lipa namba ya tigo 22211100 minja kilimo Kisha ututumie sms ya muamala Whatsapp 0784013400 Kisha utatumiwa kitabu kwa NJIA ya Whatsapp au email

  • @LuqmanAndrew-nu9rx
    @LuqmanAndrew-nu9rx 12 днів тому

    Shukrani sana

  • @user-mm7bt2gv4k
    @user-mm7bt2gv4k 12 днів тому

    Maelezo mwafaka kabisa.

  • @Celly-r9m
    @Celly-r9m 13 днів тому

    Thank you brother I have know a d understand what I do no

  • @ShaniVenance-o7i
    @ShaniVenance-o7i 15 днів тому

    Ubarikiwe sana Kwa elimu nzuli uliyo tupatia

  • @mohamedihakimu-st9tw
    @mohamedihakimu-st9tw 15 днів тому

    asanteeee

  • @siliviasimon7970
    @siliviasimon7970 16 днів тому

    Barikiwa sana

  • @user-tl2rc9fm7x
    @user-tl2rc9fm7x 16 днів тому

    ❤❤

  • @user-bo6rc9qt6n
    @user-bo6rc9qt6n 17 днів тому

    Unaelezea vizuri sana naelewa shukran

  • @user-bo6rc9qt6n
    @user-bo6rc9qt6n 17 днів тому

    Unaelezea vizuri sana naelewa shukran

  • @peacepaul2191
    @peacepaul2191 17 днів тому

    mbolea gani unatumia

  • @nicodemuslwamuzigu5897
    @nicodemuslwamuzigu5897 18 днів тому

    Nzuri sana ,kitabu chenye hatua zote nakipataje?

  • @elishapaul6882
    @elishapaul6882 22 дні тому

    Sawa

  • @PaskaliKatoto
    @PaskaliKatoto 22 дні тому

    Mbolea unaweka bada ya siku ngapi

  • @amonsanga1866
    @amonsanga1866 22 дні тому

    Wakulima tuliowengi hatuna elimu hiyo kabisa tunahitaji wataalam wa aina Kama yako

  • @amonsanga1866
    @amonsanga1866 22 дні тому

    Kaka wewe ni zaidi ya mwalimu Asante sana

  • @Nuru-m1c
    @Nuru-m1c 23 дні тому

    Nataka ushauri ninachangamoto ya mnyauko

  • @BethaBukuku
    @BethaBukuku 25 днів тому

    Upo vizur Sana tunakupataje huku songwe

  • @SilvaStaford
    @SilvaStaford 25 днів тому

    Haa! Unaweka kwenye mumea mbolea Npk tangu upandwe mpak utoe matunda

  • @Thabitilubunani
    @Thabitilubunani 25 днів тому

    Linki za gurup mwalimu wangu

  • @richardmichael2142
    @richardmichael2142 26 днів тому

    Ni hatari saivi tabora lita 10 ni 5000

  • @JumanneZaburi
    @JumanneZaburi 27 днів тому

    Ok, vzr sana, unaweka hizo mbolea kila baada ya muda gani sasa?

  • @mohamedihakimu-st9tw
    @mohamedihakimu-st9tw 27 днів тому

    asante mwalimu wangu

  • @mohamedihakimu-st9tw
    @mohamedihakimu-st9tw 27 днів тому

    asante mwalimu wangu