KILIMO CHA NYANYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 36

  • @hassanomar6392
    @hassanomar6392 6 років тому +8

    Najiandaa insha Allah kwa kilimo hichi nnaimani kitanitoa kwa uwezo wa mungu

  • @msafirinkimbili5004
    @msafirinkimbili5004 3 роки тому +1

    Naomba kitabu cha mwongozo wa kilimo cha Nyanya Bora

  • @irakozemaissarah4325
    @irakozemaissarah4325 5 років тому +1

    chanel yenu inanifanya nizidi kupenda zaidi kazi ya kililomo.soon nitaanza kwa nguvu za mungu.mungu awabariki kwa kuzidi kutuhamasisha vijana

  • @dorothyannan8184
    @dorothyannan8184 5 років тому +2

    Hongera mpenzi

  • @jeremiahkatwale6547
    @jeremiahkatwale6547 3 роки тому

    napenda sana kilimo njooni mnitembelee

  • @msafirinkimbili5004
    @msafirinkimbili5004 3 роки тому

    Nashauli pia watalaam wa hot culture tunaomba wanipatie namna ya kujiunga na group lao hasa TAHA

  • @jofreypilla5041
    @jofreypilla5041 3 роки тому

    Jaman napenda niwakumbushe kuwa nyanya nizuri ila usiombe ukutane na umbo

  • @jeremiahsengasu6595
    @jeremiahsengasu6595 6 років тому +5

    huyu dada anaogopa Camera

  • @TEACHER.CLEOPHAS
    @TEACHER.CLEOPHAS 3 роки тому

    Kilimo ndio Mali kwa kweli.

  • @msafirinkimbili5004
    @msafirinkimbili5004 3 роки тому

    Nimependa darasa

  • @tsslevents708
    @tsslevents708 5 років тому +3

    kama huyo mtaalam anakuja kila wiki mara moja, mbona anamkosoa mkulima kwa matatizo ambayo yanaonekana ni ya muda mrefu kwa mfano kupunguza matawi?

  • @aishaomar4318
    @aishaomar4318 6 років тому +1

    Jamani na mm nataka kulima nilime nini na naanzaje kwamfano

  • @irakozemaissarah4325
    @irakozemaissarah4325 5 років тому +2

    green house ghali jamani sisi wenye mitaji midogo tunafanyaje?

  • @jwremiageladi2010
    @jwremiageladi2010 3 роки тому

    Madawayanyanya

  • @richardndunguru9994
    @richardndunguru9994 7 років тому

    mnapatika arusha tuu ndio mpo ama mpo kila sehemu nyie taha

  • @andersonmathias157
    @andersonmathias157 3 роки тому

    Nipo mwanza ila sijapata mtaalam wakunielekeza

    • @mwiruhabibu2060
      @mwiruhabibu2060 3 роки тому

      0783281962 karibu sham agro co ltd kwa maelezo

  • @hamisdihenga2057
    @hamisdihenga2057 5 років тому +1

    Tanga mnapatikana?

  • @larickmtui2852
    @larickmtui2852 6 років тому

    Taha me mkulima ila masoko ndio yananiuwa

  • @19785881
    @19785881 7 років тому +2

    kitabu cha kilimo cha nyanya tuna kipata kwa ngapi?

  • @adammsigwa5971
    @adammsigwa5971 4 роки тому

    Green house bei gani jamani

  • @aduedu9380
    @aduedu9380 4 роки тому

    h

    • @morisigahungu3778
      @morisigahungu3778 3 роки тому

      Hamjambo mimi naitwa morisi niko marekani nahitaji mafunzo yakirimo chanyanya nitayapataje? Naomba namba za whatsapp tuongee