Maandamano yazuka nchini Syria baada ya mti wa Christmas kuchomwa moto

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 192

  • @MichaelKavavila
    @MichaelKavavila 20 годин тому +25

    Mungu atuepushie mbali..mtindo wa kuona kaimani Kako kana mungu kuliko kaimani ka mwenzake ni ujinga....hongera mwl nyérere kuliona hilo

    • @Clever-l8v
      @Clever-l8v 20 годин тому +2

      Alayhillaana

    • @evansogutu4167
      @evansogutu4167 18 годин тому

      Mungu with capital M

    • @NgasaMaduhu
      @NgasaMaduhu 15 годин тому

      Mungu ni wewe aina haja ya capital m​@@evansogutu4167

    • @SalumSaid-w8i
      @SalumSaid-w8i 8 годин тому

      Kiswahili chako kibovu sija kielewa

    • @swahibually8349
      @swahibually8349 4 години тому

      Laana ya MUNGU iwashukie Makafiri

  • @bbanyikwa
    @bbanyikwa 8 годин тому +4

    Huwa namshangaa sana mtu mwenye imani fulani kutaka kulazimisha watu wote kufata imani yake bila kujua kwamba kila mtu ana maisha yake na misimamo yake ya kimaisha
    Nawapongeza waandamanaji kwa hili ❤❤❤❤

    • @mauajonelo8675
      @mauajonelo8675 4 години тому

      Unamjua aliechoma anaimani gani 😂 ktk kuchonganisha yeyote anaweza fanya si lazima atoke upande wa pili wa imani

  • @hopechidera
    @hopechidera 11 годин тому +6

    Wanaanzaga uchokozi yakisha washinda wanaanza kulia freedom. Merry Christmas Syria🎄...

  • @davidandrew6332
    @davidandrew6332 19 годин тому +8

    Hao jamaaa watulie tuu Syria now ni kwa dini zoote🔥🔥

  • @ikrissaidrissa8613
    @ikrissaidrissa8613 15 годин тому +6

    Marry christmas Syria 🇸🇾 people

  • @vero57
    @vero57 16 годин тому +3

    Wameaza tena khaaa!!! Hawa watu lakini 😮😮😮

  • @MwanaHussein-s2n
    @MwanaHussein-s2n 19 годин тому +5

    Sirya kwa Sasa ipo wakati mgumu.. Kuna baadhi ya watu wa ajaribu kuchochea vurungu.. Zetu ni Dua tu mungu awasimamie kwa Kila hatua

  • @anyimikemwakyanjala7158
    @anyimikemwakyanjala7158 20 годин тому +10

    Hapo lazima watiliwe kirusi Cha udini Ili wavurugwe..na bado wasipokuwa makini

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 19 годин тому

      Sahihi kabisa yaani umeona mbali sana

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 16 годин тому

      Mayahudi siyo watu wazuri...

    • @khloevibe7569
      @khloevibe7569 16 годин тому

      ​@@rayisadesigns2646hata waarabu piah

    • @hopechidera
      @hopechidera 13 годин тому

      Na watu wazuri ndo wa wapi?​@@rayisadesigns2646

    • @martinmkoba361
      @martinmkoba361 8 годин тому

      ​@@rayisadesigns2646hapo ni waarabu wenyewe kwa wenyewe hua hawanaga akili

  • @atumwanjala2802
    @atumwanjala2802 3 години тому

    Beautiful thanks Syrian muslima for protecting minor christians

  • @FranckDaniel-cc5rg
    @FranckDaniel-cc5rg 16 годин тому +3

    Hapo wanataka kuwagombanisha zaid

  • @AyoubKhatib-p4k
    @AyoubKhatib-p4k 20 годин тому +3

    😂😂😂😂😂Mengi yataibuka

  • @naomikrause1762
    @naomikrause1762 16 годин тому +2

    🙏🙏🙏✝️✝️✝️

  • @ayoublupande3007
    @ayoublupande3007 20 годин тому +3

    Mbona mengi yanakuja mtajuta TU kupindua nchi halafu ukawa chini ya Mayahud na marekan huwezi pata amani ya kudum mtagombanishwa Kila kukicha

  • @bonnetwangu1310
    @bonnetwangu1310 5 годин тому +1

    Waisilamu niwajinga sana

    • @MohammedMohammed-y8c
      @MohammedMohammed-y8c 3 години тому

      Una hakika gani aliyefanya ni Muislamu? Kuna mangapi na wasiokuwa Waislamu ili kuwachonganisha watu? Km hujafanya utafiti na ukagundua ukweli basi ni bora unyamaze kwa sbb unaweza kuwazulia watu mambo ambayo hawakuyafanya.

    • @AliNassor-qt6fm
      @AliNassor-qt6fm 29 хвилин тому

      Mzee bb heshima itawale

  • @valentinesyekeye6846
    @valentinesyekeye6846 7 годин тому

    Kumeanza kuchangamka 😂😂

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 20 годин тому +4

    Ukiskia Arab ndio hao muelekeo wao hawajui wao wenyewe unaelekea wapi

  • @TheReporter-A47
    @TheReporter-A47 21 годину тому +3

    Yaletale kama Libya 😂😂😂😂

  • @Gerardirankunda2885
    @Gerardirankunda2885 21 годину тому

    Dunia inaisha❤❤🇹🇿🇹🇿🙏🤲

  • @MatridaAdam
    @MatridaAdam 9 годин тому +1

    Marry Christmas Syria _ Jesus our savior

  • @yunus-or3ny
    @yunus-or3ny 9 годин тому

    jee wapo tayari kulipia jizyaa

  • @josephinamkono5183
    @josephinamkono5183 20 годин тому +4

    Kila mtu anahaki yakuabudu

  • @byoseasolokoci7257
    @byoseasolokoci7257 19 годин тому

    Pole sana

  • @shabantelack5716
    @shabantelack5716 8 годин тому

    😂😂😂😂 Wenge ni wenge TU. Hii nchi ni shida

  • @mustafamsati9599
    @mustafamsati9599 20 годин тому +2

    Mungu awavushe salama

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 17 годин тому

    😂😂😂😂daaah saying ila waache tu

  • @IsaacKihesa
    @IsaacKihesa 4 години тому

    Hz nchi zilizozoea vita ni ngumu kuishi kwa aman

  • @Karimchembela
    @Karimchembela 19 годин тому

    Hahahahaha bado picha kamili halijanzaa hapo 😂😂😂😂😂

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 19 годин тому

      Dah ila nyie jamaa bana😅 shule muhimu Sana aisee

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 16 годин тому

      ​@@Oldskulgemini9991 hamna cha shule hapo yahudi yupo kazini anawavuruga ili awasarambatishe kupitia dini.

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v 3 години тому

    Uislam n din ya mapepo

    • @sharafikuliyocha
      @sharafikuliyocha 45 хвилин тому

      Ila Cha ajabu wanaokemea na kukemewa mapepo makanisani ni wakristo kwa wakristo.

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj 20 годин тому +3

    Km wao wageni bas waondoke mapema 😢

    • @FredMwamgogwa-td6ni
      @FredMwamgogwa-td6ni 13 годин тому

      Waondoke wakati wamezaliwa hapo hapo we unazani kila mwarabu ni mwislam

    • @MdNasr-jm8pj
      @MdNasr-jm8pj 10 годин тому

      @FredMwamgogwa-td6ni hamna sizani hivyo

    • @martinmkoba361
      @martinmkoba361 8 годин тому

      Ndugu kaa ukijua bado pale macca waarabu wakristo wakija kuibuka maana sasaivi wananyimwa uhuru wakuabudu wanaambiwa waabudu kimya kimya pasipo kushawishi wengine.sasa hao wakija kuibuka kwa nguvu ya kristo tutawavuluga haswa😂😂😂😂

    • @MdNasr-jm8pj
      @MdNasr-jm8pj 7 годин тому

      @martinmkoba361 Makkah ukristo

    • @MdNasr-jm8pj
      @MdNasr-jm8pj 7 годин тому

      @martinmkoba361 mna nguvu mmeitoa WP jigambe tuu

  • @JonasMathias-s6m
    @JonasMathias-s6m 4 години тому

    Ndiyo,maana israel anawapiga ninyi,nuwajinga sana bora mutawaliwe hamwezi kujiawal,But mungu wetu atajitetea mwenyewe kwa wote wamzihakio

  • @OtienoOwuor-d5r
    @OtienoOwuor-d5r 4 години тому

    Kuna watu wanafikiri Syria ni nchi ya kislamu ni vile hawajui kama syria sio waarabu

  • @giftyjohn3852
    @giftyjohn3852 8 годин тому

    Kumeanza kuchangamka Seria

  • @jafaribori5428
    @jafaribori5428 10 годин тому +1

    Wayahudi wanajuwa mchezo wanaoufanya, haingiii akilini kabisa wa Syria kugombea jiti la m kristmas wakati kunamambk ya msingi ya kuhusu mstakabali wa maisha yao hata ingekuwa Syria ina wakristo watupu , kwa wakati huu walionao siwakati wa virugu za kijinga Taifa lipo kwenye mtikisiko ila watu waerevu washatia kirusi kuwavuruga ili wafanye yao

    • @martinmkoba361
      @martinmkoba361 7 годин тому

      Nyie ndio mnaoanzisha vulugu kwanini huitaki imani ya mwenzio

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 20 годин тому +5

    Ukristo unawakera watu Fulani

    • @issarajabu5696
      @issarajabu5696 19 годин тому +1

      Hata uislamu pia

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 16 годин тому

      Anayefanya hivyo ni yahudi, mbona kabla ya vita waliishi pamoja bila ya kubaguana. Wanawapigisha shoti watifuane wenyewe kwa wenye ili wazidi kuwasarambatisha.

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 16 годин тому

      @rayisadesigns2646 Acha uongo

  • @LyujeMnangola-u4z
    @LyujeMnangola-u4z 4 години тому

    Duh! Polen sn hapo ni kam introduction bad main body alaf mutamalizia conclusion. Mumeyatak sas nyinyi na asad nan alie sehem salam. Muktafta uhuru eeeee. Pambaneni na hali zenu

  • @nothing_0929
    @nothing_0929 17 годин тому

    Bongo kwa ku comment utumbo na kujifanya wajuaji😅😅😅
    hawajui ukristo ni nini,uislam ni nini wala lolote...
    kutukana ovyo tu
    MUSLIMS ❤🎉

  • @IsaacKihesa
    @IsaacKihesa 4 години тому

    Magaid hawaogopi kujilipua hawa

  • @boscoafikile4737
    @boscoafikile4737 33 хвилини тому

    wana yao tu hilo limti haliusiani na ukristo.

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k 18 годин тому

    Jamen

  • @Anthonyzombie-d2s
    @Anthonyzombie-d2s 18 годин тому +5

    Waislm bhn mnaabudu majin bado mnalazimish wat wote waabud majn

    • @AYUBUCHAKELA
      @AYUBUCHAKELA 16 годин тому

      Kama ww unavomuabudu mwenzio alietoka mapajana mwa mamayake kama ww

    • @mutaji5454
      @mutaji5454 14 годин тому

      Nyie si mlisema Assad dictator kaondoka sasa mtulie demokrasia isambazwe

    • @MdNasr-jm8pj
      @MdNasr-jm8pj 10 годин тому

      @@Anthonyzombie-d2s taadabu Waislam hawabudu majin na nyie mnaosema Mungu ana Mtoto IPO siku mtajuta km hamkurud nyuma

    • @jamesjahasa3348
      @jamesjahasa3348 9 годин тому +1

      Acha lugha mbaya maneno kama haya sio mazuri

    • @martinmkoba361
      @martinmkoba361 8 годин тому

      ​@@AYUBUCHAKELAbro ukishaona waarabu wanapigania ukristo shtuka mapema😂😂😂

  • @joellongidare8280
    @joellongidare8280 8 годин тому

    Mungu walindo wakirito

  • @MichaelKavavila
    @MichaelKavavila 20 годин тому +2

    Nchi za kiarabu ni shida

    • @salehkhamis-ob8ln
      @salehkhamis-ob8ln 19 годин тому

      Na hata nchi za wakriso shida Sweden wamechoma kitabu cha Qur'ani na yakafanyika maandamano. Au umejizima data

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 16 годин тому

      @@salehkhamis-ob8lnQuran ni kitabu gani 😂

  • @rayisadesigns2646
    @rayisadesigns2646 16 годин тому

    ACHENI TU SINDANO IWAINGIE, MLIYATAKA WENYEWE. MLIKUWA MNAABUDU KWENYE MISIKITI NA MAKANISA KWA AMANI NA UHURU TELE BILA BUGDHA WALA UBAGUZI WA KIDINI KAMA UMMA MMOJA CHINI YA TAIFA MOJA, LAKINI HAMKURIDHIKA MKAMUONA ASAD HAFAI MKAMSALITI. LEO HII MLIOWAUNGA MKONO WANAWACHOMEA MITI ISIYOKUWA NA HATIA HADI MAKABURI WANAYAPIGA KIBERITI NA KESHO WANAKUJA KUWACHOMA NA NYINYI... SHUWANI!!

    • @khloevibe7569
      @khloevibe7569 16 годин тому

      katika comment zote hii nmeielewa na imenipa mwanga bila kuegemea dini yyt

  • @TeophilBuilding
    @TeophilBuilding 20 годин тому +1

    Bado San mtagombanishw muno hay yalishasemw na kutabiriw mpak na gadaff kipindi icho anahangaik kujitetea mwenyew na mataif ya magharibi alisem anaumizw yey ila nchi inayofuat ni sriya na itagawanywa vipande 5 ikitok sriya inafata misri itagawanywa vipande 4

  • @luckyluchano1
    @luckyluchano1 8 годин тому

    Germany pia muhumini wa kiislam kagonga watu katika soko la wakristo. Inasikitisha sana

    • @djsma255
      @djsma255 6 годин тому

      Nenda kafanye research vizuri hakuwa nuislamu, alikuwa ni zionist na alikuwa anawachukua waislamu...kasome vizuri

    • @MauriceNyello
      @MauriceNyello 3 години тому

      ​@@djsma255 yan uchukie waislamu ukawagonge wakristo wakisheherekea maandalizi ya xmass,hata kichaa hatakuelewa

  • @SalumSaid-w8i
    @SalumSaid-w8i 7 годин тому

    Watajuta wameacha haki na kufata batill wame wakaribisha makafiri ktk nchiyao sasa magumu zaidi yapo mbeleyao wataondolewa nchini kwao

    • @avivtelcomms
      @avivtelcomms 6 годин тому

      kaishi syria...hatutak chuki za kidini

  • @MAJIDALI-ij6oy
    @MAJIDALI-ij6oy 20 годин тому

    Yaani apo bado

  • @hawrajehan2398
    @hawrajehan2398 9 годин тому

    Kw nchi ya Syria dini itawavuruga tena na itakua bora ya Asad kuliko haya

  • @AllySibila
    @AllySibila 16 годин тому

    Huko mda wowote wanakinukisha

  • @yakobomkristo872
    @yakobomkristo872 15 годин тому

    Mwe!

  • @WaziriHassan-u2d
    @WaziriHassan-u2d 8 годин тому

    Wakirsto hamna haki kwenye dunia mnaeza fanyiwa lolote na waislam na ivyo ndio Mungu anataka

    • @martinmkoba361
      @martinmkoba361 8 годин тому

      Mungu anataka au mpinga kristo ndio anataka.kaka shtuka mapema inawezekana vipi waarabu kuanza kuupigania ukristo?? Hapo ndio ujue biblia haidanganyi kila goti litapigwa

    • @avivtelcomms
      @avivtelcomms 6 годин тому

      kama uislam ni dini ya haki, sitaki hio haki

  • @FxL_47
    @FxL_47 20 годин тому

    LIBYA SOON 🔜

  • @rosehusein
    @rosehusein 18 годин тому

    Kila mt2 ana haki ya kuabudu

  • @AusSalim-l8n
    @AusSalim-l8n 10 годин тому

    Choma mti warudi katika dini ya haki

    • @marymayeye7947
      @marymayeye7947 8 годин тому

      Dini yahaki diyo Mtume alilala na Biti wa Mika 6 inatia uruma😢

    • @martinmkoba361
      @martinmkoba361 8 годин тому

      Inauma sana waarabu kuutambua ukweli nakuilinda imani ya kikristo

  • @africanmandetraveler2847
    @africanmandetraveler2847 19 годин тому

    Hapo itakua kama Libya 🇱🇾 syria kuipata amani tena ni ndoto.

  • @EdsonyMashaka
    @EdsonyMashaka 20 годин тому

    Kumeanza kuchangamka

  • @Rawdha-y8t
    @Rawdha-y8t 8 годин тому

    wale wanaosema waarabu wote ni waisilamu mkowapi ? 😂😂😂 ndo mjue kuwa uarabu si uisilamu bali uisilamu ni dini.

  • @EpcDistributor09
    @EpcDistributor09 10 годин тому

    😂

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 19 годин тому

    Kizazi cha nyoka kimeshaingia Syria na kimeshaanza vurugu za kidini sasa

  • @yunus-or3ny
    @yunus-or3ny 8 годин тому

    Nani kawaruhusu kuweka mti

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh 18 годин тому

    Hiyo ilishakua koroni letu wamerekani wetulia tuweke viongozi wetu watakubali hao itikadikali

  • @Karimchembela
    @Karimchembela 19 годин тому

    Wanaosema uislam dini ya waarabu 😂😂😂😂😂😂😂😂 mtaona mengi sana

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 19 годин тому

      Ndio maana wanapigwa Kwa sababu ni wajinga ninyi

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 18 годин тому

      Tena hasa waafrika wezetu wanachukia uislamu kwasababu ya uwarabu hawajui kwamba waarabu ndio hao mayahud wako dunia ya mwisho

  • @IsmailNsengiyumvaa
    @IsmailNsengiyumvaa 20 годин тому +1

    Vo

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 20 годин тому +1

    Uaneni uaneni mpungue mmekuwa Gozi gozi

  • @MichaelKavavila
    @MichaelKavavila 20 годин тому

    Hawa watu kanchi kenyewe Bado hakajatulia....watauwana

    • @anyimikemwakyanjala7158
      @anyimikemwakyanjala7158 20 годин тому +1

      Hapo Kuna mtego wamewekewa😅😅

    • @martinmkoba361
      @martinmkoba361 8 годин тому

      Apo waislamu waache umbumbumbu kama watu wameamua kua wakristo wao inawauma nini

    • @anyimikemwakyanjala7158
      @anyimikemwakyanjala7158 8 годин тому

      @martinmkoba361 Tumia akili Yako vizuri kijana.... Syria ipo ktk kipindi Cha mpito baada ya mapinduzi Kwa hiyo mtu yeyote anaweza kuingiza uadui Ili kuleta machafuko Zaid..hapa haihusiani na dinj Tena..ni wagawanye uwatawale

  • @DeusRobart
    @DeusRobart 15 годин тому

    Demokrasia ikivuka mipaka kumbe ni shida et

  • @nelsonmrutu371
    @nelsonmrutu371 9 годин тому

    HTS muishi milele mmejua kubalance👏

  • @MaurusMpinga
    @MaurusMpinga 21 годину тому +1

    Mwambie smaa kila jambo linamwisho wake vita ni akili sio miamko

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 20 годин тому +1

      Smaa ndio ameleta vita mpaka aambiwe, wee mbona hatukuelewi

    • @happynesbaemuhappynes8813
      @happynesbaemuhappynes8813 19 годин тому +1

      DJ SMAA KAINGIAJE KWENYE MAANDAMANO?

    • @MaurusMpinga
      @MaurusMpinga 19 годин тому

      @happynesbaemuhappynes8813 mgeni umu

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 19 годин тому

      @@happynesbaemuhappynes8813 yani jamaa ana chuki na Sma,Sma anajua kazi yake vizuri asimfundishe kazi Sma,nayeye hapendi kusikia ukweli,ukweli hua wauma

    • @husseinmassawa7186
      @husseinmassawa7186 18 годин тому +1

      Uyu ni mtanzania lakini anaonesha chuki ya waziwazi kwa dj sma, duh wabongo bana😅

  • @JustusNteghay
    @JustusNteghay 19 годин тому

    Kuna watu hawataki kwenda jannah, kwa nini mnawalazimisha?Wanataka Mbingu,aliko Yesu.

  • @africanQueeny-u7o
    @africanQueeny-u7o 20 годин тому

    Safi sana mamlaka awa marabu yanataka kutuchezea

    • @wadantz123
      @wadantz123 20 годин тому +2

      😂😂😂😂ila we mjinga kweli Leo ndo nmeamini ww n pimbi we c unawatukana waarabu kwa mafundisho yenu yakijinga kwamba waarabu waislam sasa hao waloshika misalaba wazungu au

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 18 годин тому

      ​@@wadantz123😂😂😂😂hwajui hao wapo wap tu

    • @wadantz123
      @wadantz123 18 годин тому

      @@RitbayRitbay wanamezeshwa matango poli nyama Hawa ndmn wanawalazimisha wayahud kuwa wakristo 😂😂😂

  • @ShafyMtupil
    @ShafyMtupil 15 годин тому

    Muongo wewee,wamesndamana hawataki majeshi ya Israel

  • @comics3437
    @comics3437 20 годин тому +1

    Hao hawana akili, sasa mti wa mkrismas unashika gani?

    • @africanQueeny-u7o
      @africanQueeny-u7o 20 годин тому

      Ww ndio lijinga kwan mtu akichoma Bible au Quran uwa inashida gan

    • @lulanjamd3886
      @lulanjamd3886 20 годин тому

      Chizi wewe​@@africanQueeny-u7o

    • @comics3437
      @comics3437 18 годин тому

      @africanQueeny-u7o kwani wakivichoma mi naenda motoni?

    • @comics3437
      @comics3437 18 годин тому

      @africanQueeny-u7o anayeamua kumdhihaki Mungu ataadhibiwa yeye mwenyewe

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 20 годин тому

    Bado hawaja ,anza kugeukana huko hakupaswi kuweko na tamaduni za kikiristo

    • @Majambo_Duniani_Tv
      @Majambo_Duniani_Tv 20 годин тому

      Unashida gani Ukristo. Dini yenu imejengwa kwa misingi ya chuki sana khaa

    • @anny19988
      @anny19988 19 годин тому

      Ukristo upo Syria tangu kitambo

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 18 годин тому

      @anny19988 ok

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 18 годин тому

      @Majambo_Duniani_Tv nyie mnawapenda waarabu? Gaza vp

    • @jonasmrema8550
      @jonasmrema8550 18 годин тому

      Kwamba hao wakristo huko Syria sio waarabu?​@@AFRICA_D669

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln 19 годин тому

    Kumbe mti unafaida gan. mbona makafiri wanachoma kitabu cha Qur'an na wala hawachukuliwi hatua na serikali zao mfano kule Sweden

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 19 годин тому

      Acha ujinga wewe, nenda huko Sweden ukadai hiyo

    • @JustusNteghay
      @JustusNteghay 19 годин тому

      Quran au biblia vikichomwa,mwenye kitabu atetee. Mi siwezi kujiumiza sababu ya kitabu.Tunatoa vingine.

  • @Zxodes
    @Zxodes 19 годин тому

    Samahanini lakini.Siku wakristo wakiisha wakabaki waislamu bado watabaguana wenyewe kwa wenyewe kwenye madhehebu
    utaskia Shia waialamu,mara sufi,sijui Alawite.Hata humo humo wasuni wemyewe kuna watakaoamini wenzao hawajaelewa dini

  • @IsmailNsengiyumvaa
    @IsmailNsengiyumvaa 20 годин тому

    Mbona hawo no feki hatujuwi hatakama no was isrim mayahudi

    • @anny19988
      @anny19988 19 годин тому

      Syria kuna wakristo tangu enzi na enzi.

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 18 годин тому

      Watu wnaajua waarabu ni waislam tu😂😂😂

    • @raymrash
      @raymrash 16 годин тому

      Wayahudi wamekukosa nn wewe

    • @martinmkoba361
      @martinmkoba361 7 годин тому +1

      Kwakutafuta visingizio hamjambo😂😂

  • @Bahati47
    @Bahati47 20 годин тому

    Lakini Mimi Nina swali Moja kwa ndugu zetu upande wa pili huu mti na yule father xmas vina uhusiano gani na yesu kristo?

    • @RoseMayige-gn9qb
      @RoseMayige-gn9qb 20 годин тому +1

      Havina uhusiano ila hao hawajielewi kwani wanapambana bure kumbe ni upagani tu!

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 19 годин тому +1

      Kwani wewe Kwa mfano harusini keki ,,ndafu huwa vinauhusiano Gani na ndoa ? Mbona akili huna?

    • @HamiduIssaMadai
      @HamiduIssaMadai 19 годин тому

      Umeulizwa mti na yule mzee mwenye ndevu nyeupe wewe unakimbilia harusini jibu swali😂

    • @DanielyChristopher
      @DanielyChristopher 19 годин тому

      Ndoa na uban vinausiana nn mbona miuban kibao

    • @HamiduIssaMadai
      @HamiduIssaMadai 18 годин тому

      Hakuna ulazima wa ubani
      Na ubani unatumika katika kuvutia mazari ya mtu au watu eidha kujifukiza ili unikie ni kama perfume tu hata mama wa waumini mke wa mtume swalallahu alaih wassalaama alitumia kama manukato kwa hiyo jitahidi kutembelea harusi nyingi basi utakuta na baadhi hautakuta sasa tunarudi kwako sasa yule mzee ilikuwaje mpaka ikifika siku ya kuzaliwa mungu wenu munamvesha ndevu nyeupe au ndio mkunga mwenyewe na uke mti unao waka waka ilikuwaje

  • @SalumObed
    @SalumObed 20 годин тому

    Nimeamini c kila.mwarabu ni muislamu wakristo ni wengi.mnooo
    Ila fikra za watu wengi huamini israel ndo ni wakristo wakati haina wakristo wengi

    • @HamiduIssaMadai
      @HamiduIssaMadai 19 годин тому

      Wengi wapi
      Labda kule wanako ingiliana wanaume kwa wanaume na ushoga ndio wakristo wako wengi 😂

    • @martinmkoba361
      @martinmkoba361 7 годин тому

      ​@@HamiduIssaMadaindugu wakristo ni wengi kuliko unavyozani.nyie mkimlubuni mmoja uku wanakuja kumi.sasaivi nchi zote za kiarabu waarabu wakristo washaanza kujitokeza na waarabu wengi sana wanabatizwa na kundeleza imani ya kikristo kwenye nchi zao.tofauti na waislamu wao kazi yao kwenda kwenye nchi za watu kuleta uongo kumponda Yesu hili wasilimishe watu.kama imani ni yakweli wacha watu wenyewe waamue

    • @avivtelcomms
      @avivtelcomms 6 годин тому +1

      @@HamiduIssaMadai jamaa dini imekushika had akili za kuzaliwa tu zimepotea

    • @HamiduIssaMadai
      @HamiduIssaMadai 2 години тому

      Sio imenishika nimeishika na ndio maana nakuwelewesha ili upate kufahamu maana ubongo wako umelose

  • @JustusNteghay
    @JustusNteghay 19 годин тому +1

    Mti wa Christmas hauna faida yoyote kama jiwe jeusi la maka na tasbihi.Vyote ni ushirikina tu.

    • @YussufJuma-z5u
      @YussufJuma-z5u 18 годин тому

      Jiwe jeusi unakujua ww mpumbavu

    • @JustusNteghay
      @JustusNteghay 18 годин тому

      Nakujua,mnakwenda kufuta dhambi

    • @JustusNteghay
      @JustusNteghay 18 годин тому +1

      Rozari,maji,tasbihi,jiwe jeusi medali ,msalaba,sanamu ni ushirikina tu.

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 16 годин тому

      @@YussufJuma-z5uJiwe jeusi si amezikwa Allah 😂

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 16 годин тому +1

      @@JustusNteghaykuongeza au kufuta,maana pale wanaenda kuongeza uchawi

  • @Bahati47
    @Bahati47 20 годин тому

    Kuna wale wanao sema uarabu ndio uislam haya mumeona huko waarabu wa kristo walivyo wengi

    • @kelvinchoaji5918
      @kelvinchoaji5918 19 годин тому +1

      Hawajielewi na kutofuatilia Mambo, waarabu ni race tu Kama ukisema waafrica haimaanishi uarabu ni uislamu hapana, Ila wasiojua ndiyo wanachanganya hivi vitu.

    • @HamiduIssaMadai
      @HamiduIssaMadai 19 годин тому

      Nenda Israel kawaambie Mayahudi watakumbia yesu ni mtoto wa nje ya ndoa hao ni wazungu wenzio😮

    • @JosephBalebanga
      @JosephBalebanga 18 годин тому

      Wamesha jazwa propaganda nyingi hadi sasa hawajitambui ni duniani hawapo wala peponi ndio maana nilisema Ukafiri ni mzigo mkubwa sana Allah awaongoze kwenye haki.

    • @avivtelcomms
      @avivtelcomms 6 годин тому +1

      @@HamiduIssaMadai yes ni kweli wanasema ivo....ila imeshaandikwa na kila goti litapigwa

    • @HamiduIssaMadai
      @HamiduIssaMadai 2 години тому

      Ndugu yangu sikia nikuambie kitu kama mwanadamu mwenzangu ninajua unaufahamu mkubwa wa kuchambua mambo siku wewe mwenyewe kaa ujiulize kweli Masih Issa Bin Mariam ni Mungu
      _Na ujiulize inakuwaje mungu akateswa msalabani na watu aliowaumba yeye.
      _Na ujiulize sasa kama alishuka duniani baada ya madhambi kukisili kule kwenye Arsh yake alimuachia nani ili dunia iongozwe
      Alafu unipe jibu zuri fikiria hivyo ndugu yangu

  • @ManzabaySalim
    @ManzabaySalim 17 годин тому

    Hakina haki syria nchi ya kislam kitaeleweka tu mwaka huuu hakuna mtu wa LBQT

  • @west5897
    @west5897 19 годин тому

    Wanaanza kutrend sasa walitamani watajwe sasa wacha nawao waongelewe ila watajuta sasa mziki unaanza kidogo kidgo

  • @shabantelack5716
    @shabantelack5716 8 годин тому

    😂😂😂😂 Wenge ni wenge TU. Hii nchi ni shida