Shambulio la makombora la Urusi siku ya Christmas nchini Ukraine 'si la kibinadamu,' asema Zelensky

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 77

  • @YayaTuweri
    @YayaTuweri 18 днів тому +10

    Vita mbaya sana wanoumia ni majesh na raia wao viongoz wakizidiw mbio wanakimbia pamoja na familia zao

  • @aliomarali8890
    @aliomarali8890 18 днів тому +20

    Zelensky kweli alikua comedian course akipiga yy anajisifu akipigwa analia

    • @DINASSOUR
      @DINASSOUR 18 днів тому +2

      Wasipomtoa madarakan uyu jamaa ...itakua shida sana ...unapigana vita ambyo unajua hushindi

    • @FerdinandCharles-ko7de
      @FerdinandCharles-ko7de 18 днів тому +4

      Uyo nikama FARAO vita aiwez ila kapewa loho ngumu yakutokukubar kushidwa

    • @MahadSatar
      @MahadSatar 18 днів тому +1

      ,😂

  • @StevenTaylorx
    @StevenTaylorx 18 днів тому +10

    Marry Christmas to Ukraine

  • @donaldmgunda4970
    @donaldmgunda4970 16 днів тому

    Mr putting stop this war😢😢😢

  • @matendoa.online803
    @matendoa.online803 18 днів тому +3

    Mr P. Promised to retaliate, here we are.
    Sasa wata ishiya wapi na vita …it’s so sade to hear this on Christmas Day. Mr Z. naye ajiangaliye vizuri. ana tiya raiya wake Kwenye shida sana, na hawana jope yaku win. Mungu awakumbuke wa innocents wa vita duniani.

  • @ahmadmahmoud6139
    @ahmadmahmoud6139 18 днів тому +5

    Nice 💪🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺👏👏👏

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 18 днів тому +3

    Noma sana

  • @nanyangahustler4305
    @nanyangahustler4305 18 днів тому +18

    Wanangu endeleeni tu kutwangana maana mmeshindwa kuitafuta amani.
    Mimi niko pamoja na nyinyi mpaka mbaki 6😮😮

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 18 днів тому +4

    Wa Ukrainians wana kaa tu kimya😢

  • @musamally-uh1ry
    @musamally-uh1ry 18 днів тому +3

    Bwana wa majesh awalinde na kuwatunza.

  • @MasterVoltron-i7o
    @MasterVoltron-i7o 18 днів тому +1

    😂😂😂😂bado hawajasema😂😂😂😂

  • @omaryabduli7328
    @omaryabduli7328 18 днів тому +2

    mlitaka wenyew

  • @bonifacekomba7060
    @bonifacekomba7060 18 днів тому +1

    Vita miaka minne

  • @ElizabethKipingili
    @ElizabethKipingili 15 днів тому

    tandika sana hao

  • @AllyNzisabira
    @AllyNzisabira 18 днів тому

    Nawataarifu siku kuu ya mwaka mpya ntashambulia tena mimi ndo nimekabidhiwa operations hizo mtanikoma

  • @Melissashiner
    @Melissashiner 18 днів тому +3

    Sad sad 😞

  • @mwankunjatyson
    @mwankunjatyson 18 днів тому +3

    Alaah kumbe kuna mashambulizi yakuondoa uhai yaliyo ya kibinadamu na yasiyo ya kibinadamu🤔

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 18 днів тому +1

    Hawa wote wana Roho ngumu Ukraine and Russia wote asili ni moja wagumu sana hawakati tamaa , Kuna mabondia hatari wagumu wanatoka Ukraine kama mnawajua ndo walivyo hii vita still itaenda mda mrefu

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 18 днів тому +3

    Hahahaaaa 😂eti silakibinadamu la kina paka au

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 18 днів тому

    Good work mr Putin 🌹❤
    🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🔥💪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @bladetvke
    @bladetvke 18 днів тому +2

    Si huyu ndio alisema silaha za HIMARS zitaongea zenyewe

  • @theobardmaganyilo1539
    @theobardmaganyilo1539 18 днів тому +2

    Ww binadam omba msamaha sasa

  • @DeusRobart
    @DeusRobart 18 днів тому

    Aliambiwa wasimamisha mapigano vipindi vya cku kuu akakataa mwenyewe ana lala Mika Nn ss tene

  • @issalyanali4119
    @issalyanali4119 18 днів тому +1

    Piga maumbwaa hao ,hakuna chochote hapo ,,,lazima hii dunia watu waishimiane

  • @goodluckmsoka3660
    @goodluckmsoka3660 18 днів тому +1

    Mwaka mpya Russia

  • @WilliamKivugo
    @WilliamKivugo 18 днів тому +1

    Piga kenge hao

  • @salehkhalfan7345
    @salehkhalfan7345 18 днів тому

    Washukur angalau ni Putin, hapo angekua Netanyahu hukohuko Raia walikojificha kwny vituo vya Metro....angepaangamiza

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 18 днів тому +2

    Kweli madawa siyo huyo Raisi wanavyo SEMA Ni mteja Sasa Naona itakuwa Kweli Hana huruma Na watu wake🙄🙄

    • @ShedrackShedrack-c2b
      @ShedrackShedrack-c2b 18 днів тому

      Hamasi na ezbolla wanauruma nawatu wao

    • @adiaygo8546
      @adiaygo8546 18 днів тому

      @ShedrackShedrack-c2b Kweli we hanithi kivuje 💯 hamasi Ni itikadi Hizbollah Ni kundi huyo mteja mwenzio Ni Raisi wa nchi anauwezo wa kusema wanajeshi wangu vita basi tofauti Na Hao ukifa peponi

  • @EGM-TZ
    @EGM-TZ 18 днів тому

    Duh Guys what's wrong 😢😢😢

  • @issalyanali4119
    @issalyanali4119 18 днів тому

    Ni mashambulizi ya kibinadamu sana ,,hata nuclear hakuna

  • @user-to6up4hg2w
    @user-to6up4hg2w 18 днів тому +2

    Nawooo 😂😂😂

  • @alphoncejohn6308
    @alphoncejohn6308 18 днів тому +2

    Piga kote mpk zerenziki atoke

  • @BenPeter-vp2cy
    @BenPeter-vp2cy 18 днів тому

    Comedy boy anazingua mdomo unapigana kuliko jeshi

  • @mdimistudio6041
    @mdimistudio6041 18 днів тому +1

    Bata kanya sasa tunaambiwa kahara😂

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 18 днів тому

    Hongera sana putin asante sana maliza kazi kabisa kabla ya kuanza mwaka 2025

  • @FxL_47
    @FxL_47 18 днів тому +1

    HAYA MAMBO YOTE NATO NDIO WALIYATAKA HAWA NI MASHETANI..... HAWAJALI MAISHA YA WATU WANAJALI MASLAHI YAO TU.... WALIJUA KWBISA WAKIILAZIMISHA UKRAINE KUJIUNGA NA NATO VITA ITAIBUKA

  • @lowasamollel9852
    @lowasamollel9852 18 днів тому +8

    Ukireini nao nikama makondoo, unashindana na mtu ambaye anaweza kushambulia nchi yako nzima kwa wakati mmoja

  • @jamalikatikiro6145
    @jamalikatikiro6145 18 днів тому

    Bado

  • @IshipalemyPasko
    @IshipalemyPasko 18 днів тому

    watu wapo kazini every day😅😂

  • @paulhema5713
    @paulhema5713 18 днів тому +2

    Waache tu vita

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 18 днів тому

    Je la sadam hussein siku ya eid Al adh'ar lilikuwa la kibinadam?!? UBAYA UBWELA KAKA😢

  • @victorvancharlz
    @victorvancharlz 18 днів тому +2

    Sasa zelensky hua anataka Nini me simuelewi kabisa. Yeye akipiga urusi anakuja na mikelele hasa. Ila akipigwa kidoogo mara ooh sio ubinadam. Mr Putin angekaua TU haka ka mbwa

  • @edyboyChamilion
    @edyboyChamilion 18 днів тому

    Piga hao mbwa

  • @bakarimpame3824
    @bakarimpame3824 18 днів тому +1

    Mbona zelensky milio mingi,, tulia dawa ikuingie

  • @emanuelidamiani2943
    @emanuelidamiani2943 18 днів тому

    Waukraine wanashindwa kumpindua huyo zelebobu. Wanaoumia ni raia wanaolazimishwa kuvaa gwanda na kwenda front. Ila wakichoka wataacha

  • @saidikomba3120
    @saidikomba3120 18 днів тому +2

    Mpaka akubali huyo mpumbavu anataka kushindana na Putin utamuweza wap

  • @suratibrahim6417
    @suratibrahim6417 18 днів тому

    🇷🇺🇷🇺✍️🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺💯🪖

  • @jamalsultan3144
    @jamalsultan3144 18 днів тому +1

    Dawa, yake

  • @JamesJastin-bg1rx
    @JamesJastin-bg1rx 18 днів тому

    Pumbavu

  • @salehkhalfan7345
    @salehkhalfan7345 18 днів тому

    Juzi tu Ukraine walishambulia majengo yasiyohusiana kabisa na maeneo ya Kijeshi ktk Miji ya Kazan, Leo kashambuliw yy analalamika
    More Destruction to come-Putin

  • @RDaN420
    @RDaN420 18 днів тому

    Zelensky mtu wa ajab San anahitaj ustarabu kutok urus wakat yey mwenye Mt asiejal hilo

  • @zahorhemed1045
    @zahorhemed1045 18 днів тому +2

    Tafuteni suluhu wayukren watu wanakufa na nchi yenu inazidi kuharibiwa

  • @MasterVoltron-i7o
    @MasterVoltron-i7o 18 днів тому

    😂😂😂😂bado hawajasema😂😂😂😂