Beatrice Mhone amshauri Martha Mwaipaja 'Rudi kwa mama yako'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 97

  • @elesianakabuje5832
    @elesianakabuje5832 13 годин тому +15

    Daah Maisha haya..mungu zidi kunitunzia mama yangu mpe Maisha marefu..

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 12 годин тому +10

    Asante dada umeongea vyema bila kuogopa lawama

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 2 години тому +1

    Martha,kubali uaibike,Rudi kwa mama,Mungu ni mwema sana♥️🙏

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 6 годин тому +4

    Nyie msaidieni yule joan mumtoe kwenye maisha yake mtakua mmemuokoa

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 13 годин тому +6

    Nakupenda sana da Betrice Muhone❤❤❤

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 13 годин тому +9

    Bible imesema waheshimu baba na mama upate maisha marefu na her dunian,Martha jitafakar sana ya Dunia yanapita,,,,lkn pia bible hyohyo imesema her wapatanishi ubarikiwe sana Beatrice Kwa kumkumbusha hyo pepo😢😢😢

    • @sylviaforest3001
      @sylviaforest3001 11 годин тому +1

      Na pia Bibilia inasema wazazi wasifanye watoto wao wakasirike na wao!!

    • @janethKamazima
      @janethKamazima 5 годин тому +1

      Sasa huyu mama kamfanyia nini matha wewe huoni hii hali au unasema tu

    • @herielstephenmsanga
      @herielstephenmsanga 2 години тому

      ​@@sylviaforest3001kitabu gani kimesema hivyo.?

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 4 години тому +2

    Martha atakuwa kaingia mikataba ya kuzimu yenye masharti ya kutosaidia wazazi wake. Ndiyo maana ameendelea kunyamaza, amechagua utajiri wa kipepo na kumkana mama yake. Mungu amnyooshe tu.

  • @Hanifa4-d4q
    @Hanifa4-d4q 13 годин тому +3

    Ubalikiwe sana ujumne mzuli

  • @Naomiwilliamu
    @Naomiwilliamu 20 хвилин тому

    MUNGU kama upo mbani ya huyu dada hakuna unacho shindwa aende kwa mama ake akamuombe msamaa 🙏

  • @baliSkk
    @baliSkk 11 годин тому +3

    My advice to martha ni heri kusimama na ukweli,ukiri,uaibike lakini huanguke kwa mikono ya yesu kuliko kujificha kumfurahisha shetani na baadaye atakutafuna na akumalize kabisa, juu shetani hana rafiki.

  • @RehemaMasunga-ml7kt
    @RehemaMasunga-ml7kt 12 годин тому +3

    Safi sana umemshauri vizuri arudi kwa mama yake

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 13 годин тому +10

    Martha anateseka na mashariti ya kuzimu haiwezekani akae kimya kiasi hiki kwani hajui maana ya toba tumechoka kila siku tunamfundisha yeye kuomba msamaha.Itoshe sasa tumuachie Mungu amwajibishe😢

  • @Mariam-tw7fx
    @Mariam-tw7fx 6 годин тому +1

    Martha mzazi ni mungu wa pili na machonzi ya mama ni laana Kuna watu wanatamani kuwa na mama lakini hawapo ludi kwa mama kabla hujachelewa

    • @MoneyMaker-z5p
      @MoneyMaker-z5p 2 години тому

      Mama Hana mamlaka ya kumlaani au kumbaliki MTU soma biblia hakuna sehem yoyote mwanamke alimbaliki au kumlaani mtu

    • @ellymaz2187
      @ellymaz2187 56 хвилин тому

      ​@@MoneyMaker-z5pHapo ni laana toka kwa mzazi siyo mwanamke. Na hata mama asipomlaani basi Mungu hatamkalia kimya, atamrudi tu.
      Hakuna sehemu biblia inasema umdharau mama kwa kuwa hawezi kulaani. Hapo utakuwa umechanganya mada hata kama mwanamke hawezi kulaani kweli.

  • @NtuliSuzan
    @NtuliSuzan 5 годин тому +2

    Ana cheza na mzazi kwa ajili ya kiruka njia joan

  • @baliSkk
    @baliSkk 11 годин тому +2

    Martha amenyamaza sababu ako katika njia panda na hajui aende gani.mungu anampenda na he has her room to confess and repent na kumpokea yesu lakini upande ule wa giza utapata marshariti na vitisho ni mingi pia.

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 13 годин тому +2

    Mhuuuu Kazi sana binadamu dada wawatu anaongea ushauri mzuri kabisa wanamtukana

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 7 годин тому

      Hata wenye masharti ya kiganga/giza wana smartphones na bando wanaweka kufuatilia kama Kuna wanaobomoa madhabahu yao.

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 13 годин тому +4

    Martha hawezi kufanya kitu Joan ndiye anamuongoza

  • @chikusangalala7759
    @chikusangalala7759 13 годин тому +5

    Kaongea ukweli mpaka nimeria nimemkumbuka mama yangu alie tangulia mbere za haki

  • @Geogina-a
    @Geogina-a 13 годин тому +4

    Betrice umesema ukweli, muombee Dada, nasi tunaamini kwa upendo tuko pamoja nawe.

  • @juressemabili5133
    @juressemabili5133 2 години тому

    Iyo kweli arudi kwa maman

  • @vincej9275
    @vincej9275 13 годин тому +2

    Kweli kabisa. Mama ni mama.

  • @zahararamadhanisalmu395
    @zahararamadhanisalmu395 7 годин тому +1

    Siku zote usijifanye unajuwa Sana kuongelea maisha ya wa2 nadhani na weww una shida zako abazo hazijulikani mungefanya Jambo LA maaana kwenda kuongea naenda face to face sio kujiosha online

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 6 годин тому +1

      Unadhani watu hawajui kama kundi lenu la masharti ya kiganga linabomolewa sasa kwa maneno yenye utukufu wa MUNGU? Watumishi halisi waendelee kukemea hadharani ushetani wenu kama alivyofanya Yesu hadharani

    • @zahararamadhanisalmu395
      @zahararamadhanisalmu395 6 годин тому

      @bcozhenry2698 moja wapo wewe ndio baba wana shetani 🖕🖕

    • @Esther-v9s8n
      @Esther-v9s8n 3 години тому

      Mambo yamekuja mtandaoni acha watu washauri kupitia mtandao nazani wanaomtakia meme Martha Kwa Sasa hawata mtetea bali wata mwambia ukweli wote wanao mtetea ndio wachawi WENYEWE atakapo haribikiwa ataharibikiwa peke yake

  • @estherminnahboaz6956
    @estherminnahboaz6956 13 годин тому +3

    Martha chukua ushauri wa huyu sio wa shusho...

  • @JoshuaLouis-ye7ky
    @JoshuaLouis-ye7ky 8 годин тому +2

    Hapo hakuna namna yeyote yakulikwepa hili kiroho na kimwili, tengeneza na mama yako

  • @farajamwaigombe7566
    @farajamwaigombe7566 13 годин тому +1

    Amina amina amina

  • @bitecastory2137
    @bitecastory2137 7 годин тому

    Sema wajina umenibariki kwa ushauri wako kwa Martha

  • @ChristinaOnditi-el3xo
    @ChristinaOnditi-el3xo 2 години тому

    Dunia Ina mambo mengi sana,hujakutana nayo ndio maana,kuhusu mimba na kuzaa ni miujiza ya Mungu hata wasiotaka watoto smtms wanazaa na kuwatupa na wengine kutoa mimba,ifie mahalammjue Kuna watu wanaishi na maumivu japo ni ma,a kweli lkn shida inakuja kwenye malezi ya upenseleo wa manyanyaso ya Hali ya juu ,hata mifano ya biblia ipo Kuna mama alimpendelea Mwanae na kutaka aridhi Mali angalia babe alijua mnyenyekevu ni yupi. Mama Angelia Kwa ukoo sio kwa Dunia,kwani Mather Hana ukoo wake.mather anaumia sana jamani

  • @REEENJONS
    @REEENJONS 13 годин тому +2

    Huyu anajielewa, kamshauri vizuri kama wa kuskia ataskia
    Tumewaoma wengi wakipata marafiki wa duniani ila kwenye shida marafiki wanawakimbia so apatane na Familia yake tu

  • @steriaphiri3478
    @steriaphiri3478 12 годин тому +2

    True a mother is a mother she carried you 9 month in her womb you are today because of mother so Martha don’t colt your words with sugar to back you go to your mother leave that snake girl

  • @mamy8220
    @mamy8220 13 годин тому +1

    Nihatari 😢😢 mama yake anawumia

  • @amidazubeda1320
    @amidazubeda1320 12 годин тому +2

    Jamani wasani wengine mngejitokeza mumwambie ukweli wapendwa hakuna kama mama na yule dada anejifanya mwanae Martha
    Mwaipaja ndie anakua mstari wa mbele kuibomoa hii familia Mungu anamuona hakuna kama mama hatakama angekusaliti kiasi gani kumsaidia nirazima acha kua Rafiki yake ila msaidie tu maana uwezo unao..

  • @Rylee_kerrueche
    @Rylee_kerrueche 3 години тому

    Mm nahisi kuna vtu vnaendelea pande zote mbili na hatuvijui ila anyways wakae waongee wayamalize,maisha yenyewe mafupi.

  • @azizahuruma7463
    @azizahuruma7463 11 годин тому

    ❤❤❤❤👏👏👏👏

  • @baliSkk
    @baliSkk 11 годин тому +1

    Mashariti ya ulimwengu wa Giza haimuruhusu kumpenda njamaa zake hata mtoto wake hairuhusu.

  • @zachariamishai7258
    @zachariamishai7258 12 годин тому

    Yaah!! Mama ni mama tu, na baba ni baba tu hatakama wawe walevi au wavuta bangi ila Mungu ndo alishasema tuwaheshimu tu wazazi 😑 Aseeee Martha Rudi kwa mama yako kaombe msamaha

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 13 годин тому +2

    Umeongea ukweli .....yule mama akifa ndio martha atajua amepoteza kitu cha thamani sanaa

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 5 годин тому

    Kama bado martha anaishi na joani sahauni kabisa kuhusu kurudi kwa mama ake kuna engo uyo martha kashikiliwa kimwili na kiroho hapo ni maombi tu ndio yatakayo mrudisha tena maomba ya haswa haswa sio yale ya gelesha...
    Sasa kama joani anasema martha akiondoka kwenye maisha yangu sio mm ntakae poteza ila yeye ndio atakae poteza, cheki neno ilo ukilitafakari utagundua kuna namna fulani fulani

  • @irenemapenzi7338
    @irenemapenzi7338 41 хвилина тому

    Ni heri aibu ya leo ili upate maisha ya milele kuliko,kuficha dhambi ukakosa kuiona mbingu

  • @audaxmlowa9953
    @audaxmlowa9953 4 години тому

    Tatizo Kuna watu hawataki kuamini kama huyu mwaipaja amekosea au anaweza kosea kisa tu ni muimbaji wa mziki wa injili inatakiwa muelewe kwamba katika mziki wa injili Kuna watu wanahudumu huko kwa sababu tu eidha wanajua kuandika wanajua kuimba ila hawajaokoka sio kila anaeimba nyimbo za injili ameokoka jaman Martha ni binadamu kama sisi hatujui ameokoka au lah na mziki wa injili umekuwa mziki wa biashara kwa anaetuliza kichwa na kukwepa skendo hutengeneza Pesa kupitia gospel muzik kwa kifupi huko ni sehemu eidha ya kujificha au ya kufanya kweli mnaompenda Martha mnatakiwa mkubali kuwa amekosea mpaka yamefika huku duniani UA-cam amini Kuna kitu

  • @imaakubari-g2p
    @imaakubari-g2p 13 годин тому +2

    Sikio rakufa alisiki dawaaa

  • @zainabuabdul7852
    @zainabuabdul7852 13 годин тому +1

    Kaongea ukweli kbs

  • @HalimaKassim-yz3we
    @HalimaKassim-yz3we 3 години тому

    Tumeaza kuaogopa watu mnajita waimbani sijui wa nani mhh kumbe mna mengi masikini

  • @brownshirima5924
    @brownshirima5924 Годину тому

    Kiukweli. Ni bora kuwa karbu na mungu na kukaaa mbali na kanisa maana hawa wapo karbu na kanisa lakin mbali na mungu apo haina maana hata chembe

  • @Kotelvo8273
    @Kotelvo8273 7 годин тому +1

    Acheni ivi nikipindi cha Christmas acheni kukumbusha majungu❤😢😢😢😢

  • @ShedrackFaustin
    @ShedrackFaustin 3 години тому

    Mpaka apo kashajifunza ila kiburi cha kuzimu

  • @hopechidera
    @hopechidera 10 годин тому

    Martha atakua ana shida flani,pia Munishi amesha mshahuri aende atengeneze na mama ake...

  • @vero57
    @vero57 13 годин тому +5

    Sasa kwanini usiogee nae wewe mweyewe huko???!! Mpaka muweke kwenye media why?????KAMA MUNATAKA KUSAIDIA MCHUKUENI HUKO HAKUNA HAJA YA MEDIA

    • @ndeyankaallen1380
      @ndeyankaallen1380 9 годин тому +1

      Huku unatafuta nini wewe?

    • @timothmwakakusyu4563
      @timothmwakakusyu4563 8 годин тому

      Mbona umekuja huku? Tukusaidie, hili swala limekuwa public figure, anaweza kupata matatizo Martha hata kujiua, baadaye muanze hata wasanii wenzake hawakumsaidia au hawakumshauri..... usione watu wajinga kuja huku. Hili swala limekaa kimya zaidi ya miaka minne kutokuwa public, maana yake kavumiliwa sana

    • @hubimogela9167
      @hubimogela9167 6 годин тому

      Biblia inataka kila jambo liwe peupe na lisiwe gizana

    • @lucasmhagama8166
      @lucasmhagama8166 5 годин тому

      Unatafuta nini huku sasa

    • @ShedrackFaustin
      @ShedrackFaustin 3 години тому

      Usilete ushambenga wako wa sinza tafuta wenzio wenye laana uungane nao

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 3 години тому

    Unafikiri kwenye hiyo mikataba wanatoka kizembe, muulizeni kanumba

  • @johnmessi6831
    @johnmessi6831 13 годин тому +4

    Dini ni ufala sana Aisee bora hata nilitokaga kwenye hivyo vifungo vya dini 😂😂😂😂😂

    • @timothmwakakusyu4563
      @timothmwakakusyu4563 8 годин тому

      Ulijiunga freemason

    • @johnmessi6831
      @johnmessi6831 2 години тому

      @@timothmwakakusyu4563 tafuta uelewa , nahisi hata freemasonry hauelewi ni kitu gani, Sasa nikushauri tu usiwe unapokea kila kitu unachokiona au kusikia kwa watu tumia akili yako tafuta maarifa na uelewa Kisha utakuwa huru

  • @flavourboyke
    @flavourboyke 12 годин тому

    Si ampigie tu simu

    • @timothmwakakusyu4563
      @timothmwakakusyu4563 8 годин тому

      Huenda wameongea naye sana huko na hasikii, wanaona bora public ichue nafas yake

  • @juliejulie8704
    @juliejulie8704 12 годин тому +1

    Wazazi kama mimi tu niwashauri unapokosea mtoto wako muombe msamaha mkumbatie sote ni binadam isiwe eti mzazi hakosei watu wanatembea na makovu rohoni vyilivyosababisha na walioitwa wazazi

    • @timothmwakakusyu4563
      @timothmwakakusyu4563 8 годин тому

      Ni uovu gani ambao mama yako akikutendea huwezi kumsamehe ingali uko hai? Huenda hilo unalosema lipo ila mama atabaki mama tu. Amsamehe mama yake, tunamkosea Mungu mengi sana lakini tunaomba toba anatusamehe, sasa nikuulize usipomsamehe mama yako unategemea Mungu atakusamehe dhambi zako?

  • @MoneyMaker-z5p
    @MoneyMaker-z5p 2 години тому

    martha omba MUNGU yy ndo anakujua siyo adi kwa wanadam km hawa wanaotaka ujisafishe kwao kila mtu ana dhambi yake public cyo kitu MUNGU KWANZA

  • @OdeAbedi-qo8mp
    @OdeAbedi-qo8mp 6 годин тому

    Hata martha mwenyewe ni mzazi pia ni mama alibeba mimba akazaa kwahyo anajua nini anafanya

  • @magrethjames5950
    @magrethjames5950 12 годин тому

    Anataka kurudi mjini kwa Kiki ya mwingine! Kwendraa uko 😢😅

  • @salamalupenza5082
    @salamalupenza5082 46 хвилин тому

    Hakuna mtu wa jirani akalimalize hili wakisaidiana na watumishi wa Mungu?

  • @paulmbonika2459
    @paulmbonika2459 13 годин тому +1

    Hivi kila Mlokole lazima awe anaongeaga kwa swagga hizi!? 🤔

  • @samwa9496
    @samwa9496 11 годин тому

    Mnatafuta kiki sasa tumechoka na mambo ya Martha mfuateni alipo mkaongee nae

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 3 години тому

    Unganeni waimbaji kama unavyotoa nasaha hizo,.mmshauri aachane na hicho kipepo Joan; "chambo, maana,maagano yao wanayajua wao

  • @personalitiesan9806
    @personalitiesan9806 4 години тому

    Sasa hv huyu mwaipaja Hana akili au SI arudi tu mama yake yy anasema tumuombee tumuombee nn sasa Rudi kwa mama mkayajenge tu....kumbafu kabisa

  • @jesusdeliveranceclinicinte347
    @jesusdeliveranceclinicinte347 4 години тому

    Hateseki yeye ni mateka , wametoa ufahamu wote. Wanatumia remote control kuendelea kutumia kichwa chake na kwasababu ana followers wengi hasa hao ndo kuzimu inawatafuta

  • @NjitiMohamedmzee
    @NjitiMohamedmzee 13 годин тому

    Na huyu anazingua Tu mbona yeye hamsaidii mama yake wote Malaya tuu wanazingua wanajificha kwenye mwavuli wa dini mmbwa hawa

  • @ChristinaOnditi-el3xo
    @ChristinaOnditi-el3xo 2 години тому

    Acha unafki,kumbuka Mather hajaongea kitu,hujui anaumiaje,SHETANI ni Beatrice mwaipaja

  • @Bayothomusic
    @Bayothomusic 13 годин тому

    ua-cam.com/video/F1108Z-wgdo/v-deo.htmlsi=l3Mf3slIdTUwiPID

  • @ramahkesh9360
    @ramahkesh9360 13 годин тому

    VITA VYA PANZI

  • @johnmessi6831
    @johnmessi6831 13 годин тому +1

    Anaongea kitumishi 😅na kwa sauti hiyo basi anajihisi malaika

    • @Henricovicent
      @Henricovicent 13 годин тому

      😂😂😂😂

    • @salimbahatisha3003
      @salimbahatisha3003 13 годин тому

      😅😂😂😂Dah

    • @timothmwakakusyu4563
      @timothmwakakusyu4563 8 годин тому

      Ana uchungu kwasababu kuna maisha flani aliwahi kukengeuka pia akarudi nyuma kiroho

    • @Henricovicent
      @Henricovicent 7 годин тому

      @@johnmessi6831 Malaika wapi, Huyo ni Mjinga Tu kama Walivyo Wajinga wengine.