ROMA AFICHUA MAZITO KUPIGWA CHINI NA DIAMOND PLATNUMZ, BABU TALE AMEHARIBU KILA KITU
Вставка
- Опубліковано 8 чер 2024
- Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB...
Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5 - Розваги
Roma ni mtu anajielewww sanaa angekuwa mwingine angetoa povuu
Babutale alichungulia mbali sana ukiwa ulichomoka na d 2utaelewa
Asante Roma kumbe nawe wamwita mond Big
Nmekubali Unavo mwita Mondi BIG 💥💯⭐
Hebu msi muharibie Roma wetu
We Nakukubali Ila Punguza Kumdiss Mzee Wetu..🙏🙏
Uyu jama kaongea maneno kuntu sanaaa
Daimond platinum ❤❤❤❤❤
Daimond platinum ❤❤❤❤❤❤❤
Kichwa kisicho na hakili ni mzingo kwa shingo mwambie tena youle ma 🎉😂🎉ma
Asant kwakumuwita daimando big safisana kaka
nilicho kipenda ni kuona Roma anamuita Diamond BIG
Wenye akili wanajua ukubwa wa Mondi tz
Viva Roma
Roma kajibu vizuri like
Roma rundi bongo bdo unajua sanaa
Big up
Mond ndo icon ya bongo huo ndo ukweli,,na pia nawapenda wasanii wote wa bongo coz nawasikiliza wote ila kwa mond mhhh,nenda kamwambie leo komasava🤣🤣🤣niko pale.
Tuondolee ushoga wako apa
Wasela hawanaga baya ..yaani kiroho safi
Ap maana yake nini
Sio AP n EP yan Extended Playlist
Kichwa chenye akili sana ?? Sema angekua abdalla 😅nakilio juuu
Ap maana yake nini
FOA ist vorbei🤷♀️🤷♀️🤷♀️
Roma umetosha
Pouwa roma
Roma umeongea safi iyo ndo kiume
Akili kubwa
Simuelewagi huyo mromani wenu shida anapigana na marehrm JPM .
siyo lazima umwelewe
hunaakili ndiyo maana humuelew
Shida kila mziki wako ni wewe na government tushachoka mwishowe ndo yaleyale tu.
Roma yule 😂😂😂
Ndo mtaacha shobo mtu hawataki nyie shobo nyiingi mwenzunu nay alihangaikasana akaona jau akapigakaz fresh tu wew Roma mond wakazigani? Wasanii pendeni wasanii wanaopenda ushirika wengine kukupost mpaka uimbenae ai uwe msaniiwake hivi hamuoni?
Ap maana yake nini
Sio AP, ni EP kirefu chake ni Extended Playlist