HAWA NDIO WAJUMBE SABA WALIOTEULIWA KUWA BARAZA LA WAJUMBE ZANZIBAR 1964

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • Aprili 27, 1964, waasisi wa Muungano walibadilishana Hati za
    Muungano na wajumbe saba wa Baraza la Mapinduzi waliapishwa kuwa
    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
    ambao ni Sheikh Abeid Amani Karume, Kassim Abdala Hanga,
    Abdulrahaman Mohamed Babu, Hassan Nassor Moyo, Sheikh Aboud
    Jumbe, Hasnu Makame na Sheikh Idris Abdul Wakil. Baada ya kuapishwa
    kuwa Wabunge wakateuliwa kuwa Mawaziri wa Serikali ya Muungano.
    Kabla ya Muungano, kulikuwa na Katiba ya Tanganyika ya mwaka 1962
    na upande wa Zanzibar kulikuwa na Amri za Katiba (Decrees). Katiba ya
    Tanganyika baada ya kufanyiwa marekebisho ili kukidhi mahitaji ya
    Muungano iliendelea kutumika kama Katiba ya Muungano ya mpito hadi
    mwaka 1977 ilipopitishwa Katiba ya Muungano kwa mujibu wa
    Makubaliano ya Muungano na Sheria za Muungano.

КОМЕНТАРІ • 2

  • @Prince-Ema
    @Prince-Ema 2 роки тому +1

    Interest 👌

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 6 днів тому

    Acha uongo ww Baraza la mapinduzi halijawahi kurizia muungano huo wa kikoloni.