Mt. Kizito Makuburi - Maajabu ya Mungu (Live Performance TYM-11)
Вставка
- Опубліковано 14 лис 2023
- Karibu kutazama wimbo wa maajabu ya Mungu ulivyoimbwa siku ya tamasha ya Yesu ni Mwema TYM-11
Welcome to KMKMAKUBURI,
You can support evangelism through
⭐MPESA TILL NUMBER🇰🇪: 9948385
NAME: EVELYN JEPKEMEI
⭐MPESA LIPA NAMBA 🇹🇿: 5425652
Name: KWAYA YA MTAKATIFU KIZITO
⭐MPESA 🇹🇿: +255742000089
Name: KWAYA YA MTAKATIFU KIZITO
⭐Bank Name: Kenya Commercial Bank (KCB)
A/C No: 3390899162
Name: KWAYA MT. KIZITO - MAKUBURI
Branch: OYSTERBAY -Dar es Salaam, Tanzania
Swift code: KCBLTZTZ
You're warmly welcome
My all time choir even my downloads are full of kmk choir be blessed
Nawapenda sana nyie watu
Maajabu ya Mungu kaumba watu wa rangi mbalimbali *4
Wengine ni weusi, wengine ni weupe,
Wengine ni wekunde, wengine ni wekundu,
Wote ni wa Mungu, wote
Maajabu ya Mungu kaumba watu wa kimo mbalimbali *4
Wengine ni warefu wengine ni wafupi,
Wengine ni wanene, wengine ni wembamba
Wote ni wa Mungu, wote
Maajabu ya Mungu kaumba watu wa wito mbalimbali *4
Wengine ni wa ndoa, wengine ni watawa,
Wengine makuhani, wengine ni wa ndoa
Wote ni wa Mungu, wote
Maajabu ya Mungu kaumba watu wa kazi mbalimbali *4
Wengine makarani, wengine ni polisi
Wengine waalimu, wengine makarani
Wote ni wa Mungu, wote
Maajabu ya Mungu kaumba watu wa umri mbalimbali *4
Wengine ni watoto, wengine ni vijana,
Wengine ni wa kati, wengine ni wazee
Wote ni wa Mungu, wote
Maajabu ya Mungu kaumba watu wa sifa mbalimbali *4
Wengine ni hekima, wengine ni busara,
Wengine polepole, wengine ni haraka
Wote ni wa Mungu, wote
Amen great team... blessings
Daah!! Uimbaji ulioandaliwa kweli kweli. Maajabu ya Mungu kweli!!
Wow❤❤,,, KMK wakiimba aki feelings za heaven zinakuanga real
Kweli ni maajabu ya Mungu. Kila mmoja na sura na umbile lake tofauti kabisa!
Mungu awatunze muendelee kuinjilisha
Beautiful
Good bless you.
Wow kweli ni maajabu ya mungu,,, wonderful song ❤❤❤❤
Ujumbe unatafakarisha saaana hongera wana Maguburi
wow wow...gospel evangelization through music...angelic voices...God bless KMK
❤❤❤
♥️♥️ 5
Mungu mkubwa anatenda maajabu wimbo huu umufikie alipo mungu awabaliki sana
Wimbo mzuri....
awesome performance sending lots of love form +254
wow wow 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
You guys never disappoint, twawapenda sana ❤❤
Reminds me of Mt Sesilia Mirerani. Muziki umepigwa mkubwa.
Wimbo nzuri
Wimbo mzuri ❤
Isn't the organist Vinny mukasa? Nice performance 🔥
Wimbo mzuri ❤