MANSOUR HIMID || AWACHACHURA TENA CCM AWEKA MAOVU YAO HADHARANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 37

  • @salumnassornassor9733
    @salumnassornassor9733 2 місяці тому +5

    Big up mansour Zanzibar kwanza tunataka nchi yetu tumechoka kudhulumiwa na tanganyika

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 2 місяці тому

    Jamaa siasa anaijua 100% halafu kakinai ❤

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 2 місяці тому

    Mansur ana madini hatar

  • @zanzibarboyzanzibar509
    @zanzibarboyzanzibar509 2 місяці тому

    Kwenye Mauaji tusisaau ya Ndugu zetu wa Pemba 2001 hili Amani Karume awe Raisi bora msiyazungumze au Myazungumze kwa pamoja tuweke Unafiki n Ubinafsi pembeni waliouliwa Pemba 2001 walikua ni wingi zaidi Allah awalaze Pahali pema Waisilamu wenzetu wote kwa Ujumla🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @DulaRashid-r5z
    @DulaRashid-r5z 2 місяці тому

  • @ahmedjaad4940
    @ahmedjaad4940 2 місяці тому

    mnachelewa sana kupost videos. pia hizi videos muweke details kama mkutano ulifanyika wapi na lini

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 місяці тому

    Njaa Tu hiyo ya kupenda pesa hakuna chengine

  • @DuuSaid
    @DuuSaid 2 місяці тому

    Hii sii nchii ya chama chochote ni nchi ya wazanzibar wazaliwa wa visiwa hivi wacheni wachague wenyewe wanachotaka .

  • @muhammednassor3569
    @muhammednassor3569 2 місяці тому

    Wambie hao hawajielewi

  • @SaidHassan-ot3un
    @SaidHassan-ot3un 2 місяці тому +1

    Alla tupe nusra hali imekua tete

  • @DuuSaid
    @DuuSaid 2 місяці тому

    Nyinyi mnaotoa matusi si kwenu hapa ndomana wele hamjaitwa njaa zenu ndo zimekuleteni

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 2 місяці тому

    Kurud nyuma haturud lakin tunahitaji safar yenye maaendeleo siku zikienda tunapoteza thaman ya maendeleo yetu

    • @harithwhite589
      @harithwhite589 2 місяці тому

      @@omarmohammed5157 yaani wewe ndo hamna kitu kabisa,wakati sasa tunakwenda kuifungua pemba kibiashara kwa bandari za kisasa na kiwanja cha ndege cha kimataifa ili mambo yawe mazuri wewe unasema tunarudi nyuma,ama kweli
      ACT ni kikundi cha kwatoa wananchi ufahamu

  • @jaffaralimakame1533
    @jaffaralimakame1533 2 місяці тому

    UNABASHA UARABUNI. UNATOA BUNO WEWE

  • @salyali7807
    @salyali7807 2 місяці тому

    😂😂😂

  • @harithwhite589
    @harithwhite589 2 місяці тому +1

    Narudia tena,wewe bwana hoja huna,nakuuliza swali Jee wewe ulipokuwa unapokea mshahara wakati upo ccm hukujua kama pesa izo zinatokana na kodi za wananchi na Jee ulizikataa,
    Unasema kila unachokinunua unalipa kodi Jee serikali yako haitakuwa na kukusanya kodi kwa wafanya biashara,hakutokuwa na leseni za biashara?
    Kila mnaposimama mnazungumzia mambo ya mauwaji,sijui watu wamepigwa risasi kuna vilema na wajane hii yote ni kutafuta huruma za watu na kutia wananchi roho za kisasi dhidi ya serikali yao.
    Kwa kumalizia,huyu bwana ameshuka jukwaani bila kusema chochote kuhusu sera na malengo ya hii nchi wapi wataipeleka,hii ndio kawaida yao wote hawa sio huyu aliyeshuka wala Jussa wala uyo mkuu wao ambae hata kuzungumza anajiburura.
    Bado sijaona wakupambana na ccm hii ya mwinyi,bado sana😢😢

    • @salehkhalfan7345
      @salehkhalfan7345 2 місяці тому +1

      Afadhal ya yy alijitambua na kujitoa huko baada ya kuona znz inamalizwa
      Au ukitaka aendlee km wengn kuimaliza kwakua anapokea Mshahara?

    • @SULEIMANSALUMSHARIF
      @SULEIMANSALUMSHARIF 2 місяці тому

      rafk yngu ww unjidngny sana ten sana

    • @SuleimanMussa-x5i
      @SuleimanMussa-x5i 2 місяці тому +1

      Harith white kweli shoga mwana ume nzima ana jinadi mi mweupe tena vibaya una tokea tanga Zanzibar ita jikomboa kutoka katika ukoloni wa Tanganyika

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 2 місяці тому

      ​@@salehkhalfan7345 zanzibar inamalizwa vipi tuanzie hapo ? Pili agenda yetu haswa ni nini coz mie mzanzibar kwa baba na Mama kweli kabisa kwenye nafsi zetu kutoa ule unafiki Nia yetu imoja au ndio hoja za kisiasa maana ukweli twaujua mpa Leo mpemba na muunguja Kuna namna wanavotazamana khofu yangu je mapenzi baina yetu ni ya hakika au kwakua adui yetu mmoja basi inatufanya hata zile chuki na dharau baina yetu tuone ka si shida ?

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 2 місяці тому

      @@SuleimanMussa-x5i haitusaidii kutukanana wala kukashfiana kikubwa nikueleweshana na kuwafanya wale walonjee kuingia kwenye mistari sahihi kupishana kwa mtizamo sidhambi ila jazba hasira na kashfa eti kwakua mtu hafikirii ka wewe kamwe haitosaidia