Hii nyimbo inanikumbusha mwaka 2011 nimejifungua kwa op nipo hoi kitandani nipo nusu mtu nusu mfu nilikuwa naisikiliza mala kwa mala aipiti siku nasikiliza ata mala 5 Mungu nimwema leo bado siku 5 niingie 2025 namshukuru sana Mungu
Nakumbuka wakati namalizia shule ya msingi mwaka 2008 huu wimbo hakika ulikuwa!!! Hadi leo hii ni mpya!!! Amen, Bwana Yesu Kristo asifiwe!! Nampenda Bwana Yesu!!!
🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤maneno mazuri yakumtukuza mungu na kumsifu wakati wakuhitaji msaada hongera barikiwa kwa Neema uliyonayo ktk kristo yesu ,pia huu wimbo unanikumbusha jambo fulani
It reminds me of my past!... I had unknown life, I had nothing to posses nothing to give but thanks to God now atleast I have smartphone I can watch this song over and over again😢 in my own
Ilinipa nguvu sana 2008..nikiwa nimekata tamaa sana....miaka mitano mbele nikakutana na Medrick Sanga live chuoni RUCO getting, nilifurah sana nikaomba kumshika mkono....baraka teele na upako, sintosahau......my best song ever...."ee Mungu wangu...mbona umeniacha.......Mungu wangu uko wapi.....
Kaka angu medercki sanga mungu akubaliki sana mtumishi uzidi kupata kibali kila mara natamani utohe nyimbo mpya lakini nakuona ukobize mikutano mingi sana lakini mwaka 2025 lazima tutohe nyimbo ya pamoja nimmi raivon mwakalanje mdogo wako ninaimani tutafanya ivyo kaka mungu atupe uzima tuuu
Mtumishi Sanga uko wap hatusikii tena huduma yake ,ukitugusa sana nakumbuja chuoni Moshi Muccobs, pia sumbawanga, zaidi nashukuru nilikuona live mbeya, barikiwa sana .pls km upo nchi toa wimbo mana nilisikia kuwa umeona mzungu yawezekana uko nje ya nchi
Nikama eachezaji Hawa elewe uzito wa haya maneno ya wimbo Hiyo mchezo hai ambatani na. Uhimu na uzito na itamu wa maneno Ullimuona wapi Mutu kurukaruka kwenye Sala?
Nasikia amani hata kama nina huzuni hii nyimbo inanibariki barikiwa sana❤❤
Hii nyimbo inanikumbusha mwaka 2011 nimejifungua kwa op nipo hoi kitandani nipo nusu mtu nusu mfu nilikuwa naisikiliza mala kwa mala aipiti siku nasikiliza ata mala 5 Mungu nimwema leo bado siku 5 niingie 2025 namshukuru sana Mungu
Nakumbuka wakati namalizia shule ya msingi mwaka 2008 huu wimbo hakika ulikuwa!!! Hadi leo hii ni mpya!!! Amen, Bwana Yesu Kristo asifiwe!! Nampenda Bwana Yesu!!!
KWELI YA KALE NI DHAABU:Sauti nzuri na tamu ya kumtukuza MUNGU. Sijui yuko wapi huyu mtumishi wa MUNGU? Kama bado yu hai ABARIKIWE SANA.
@ChristopherMuganda-c9s yuko hai, anakula vitu vinono.
Wakati huo wimbo ulikuwa umeshatoka kitambo. Huu wimbo ni wa kati ya 1999 au 2000
@neicoltd3496 hapana, si kweli, huu wimbo ulitoka mwaka 2007
Asante Sana ndugu nikiuskia wimbo uuu nakumbka mbari nilipotokea namateso ya dunia iiiii
Who is Listening Till 2024!!😊
🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤maneno mazuri yakumtukuza mungu na kumsifu wakati wakuhitaji msaada hongera barikiwa kwa Neema uliyonayo ktk kristo yesu ,pia huu wimbo unanikumbusha jambo fulani
It reminds me of my past!... I had unknown life, I had nothing to posses nothing to give but thanks to God now atleast I have smartphone I can watch this song over and over again😢 in my own
Ilinipa nguvu sana 2008..nikiwa nimekata tamaa sana....miaka mitano mbele nikakutana na Medrick Sanga live chuoni RUCO getting, nilifurah sana nikaomba kumshika mkono....baraka teele na upako, sintosahau......my best song ever...."ee Mungu wangu...mbona umeniacha.......Mungu wangu uko wapi.....
Yuko wap jaman medrick sanga, wimbo wa hisia Sana ❤❤❤❤
Mungu akubariki medrick kwa ujumbe huu unanifaliji kwa mateso ninay pitia n meng sana naiman ipo siku yataisha
Nyimbo yangu pendwa ❤❤❤❤
Wacha tuendelee kusikiliza ujumbe huu mzuri 2024
Kaka angu medercki sanga mungu akubaliki sana mtumishi uzidi kupata kibali kila mara natamani utohe nyimbo mpya lakini nakuona ukobize mikutano mingi sana lakini mwaka 2025 lazima tutohe nyimbo ya pamoja nimmi raivon mwakalanje mdogo wako ninaimani tutafanya ivyo kaka mungu atupe uzima tuuu
Merrick mungu akubariki ulitilia sana huu wimbo
Amen 🙏 mi na kuicha choka sana na ka Tama si June pa kinda tena wala Kimbilio ❤
Huu niliutafuta sana hatimaye nimeupata ahsanteni kwa kuu post Mwenyezi Mungu amubariki huyu baba na ampe maisha marefu
Hatimae huu wimbo leo nimeupata🙏🙏🙏🙏
Mama Simo Bushebele nimewaona hongereni kwa kazi karibuni Dodoma
Asante kwa shukulani maana nimeukumbuka sana bado nikiwa mdogo baba angu alikua anupenda sana❤❤❤❤❤
The song made my year,when I was completing my form four 2008
Mtumishi Sanga uko wap hatusikii tena huduma yake ,ukitugusa sana nakumbuja chuoni Moshi Muccobs, pia sumbawanga, zaidi nashukuru nilikuona live mbeya, barikiwa sana .pls km upo nchi toa wimbo mana nilisikia kuwa umeona mzungu yawezekana uko nje ya nchi
nimekumbuka nilikua nasikiza wimbo huu ulinijega sana wakati ukuta wa nyumba ulipo poromoka lakini nikatoka salama 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
nafunga nayo mwaka🙏🙏🙏🙏
Pole sana
Huu wimbo niwa imani sana
Kwel nimekumbuka mbl sana yan bas2
Daaah hiii nyimbo inanifanyagaa nitoe chozi
Huu wimbo amiimbia mm,balikiwa sana kaka
Amen barikiwa sana ulie weka huu wimbo UA-cam
Mungu wangu uko wapi mi mwanao ninakutafuta🙏🙏🙏❤️❤️
Nilibarikiwa na hii nyimbo mwaka 2007.it was the time I can't forget this song.
Amen 🙌🙌
Nagupenda sana mungu akongezeye nguvusana
Ila ubarikiwe sana jamani wimbo naupenda sana
Mungu akulinde mahana wimbo huu unanikumbusha mbali
Ubarikiwe sana mtumishi umenikumbusha mbali sana jamani Medrick Sanga Mungu awe nawe daima
Wimbo huu ni baraka kweli kwa Kila mtu
Barikiwa mtumishi kwa nyimboo nzurii❤❤❤
Asante sana unanikumbusha mbali
IN GOD I TRUST 2024🙏🙏🙏
Mungu akubalik San huu wimbo
Amina baba barikiwa sana
Ubarikiwe Sana wimbo huu unanitia nguvu naimani tele
Ubarikiwe sana
Naupenda sana huo wimbo ubalikiwe sana
Kila asubuhi kabla ya kazini na baada ya kazini, kabla ya kulala lazima nisikilize huu wimbo❤
Ameeen
Mungu ni muweza wa yote.Amen.
Mungu amubariki sana
Naupendasanawimbohuu.bwanaapewesifa
Ata mm nakumbuka Mbari sana
Mungu muweke mahali pema pepon Amina!!!!!!!!!
Kitambo sana dh nimekumbuka mbali sana
Nyimbo zenye uwepo wa MUNGU jamani mpaka nasikia kumlikia MUNGU kupitia huu wimbo
Ubarikiwe medrik sanga🎉
Maneno ya faraja sana Mungu uko wapi
I'm from burundi asate sana hiyi wimbo ndayikunda cane
Mr Sanga unakubalika vilivyo
Jamani huyu bwana hii albam alipga
Weka zote dada
Dunia ni Haramu kueli Dunia Ni Buchungu , Ni Machozi ya Kilasiku
Ubarikiwe baba
Nmekumbuka mbali sana
🙏🙏🙏
NAMI pia 2003 nipo la tano duu hakika asifiwe ean
Nimekumbuka mbali Sana.
Maneno matamu Sana
Mungu aku bariki
nawapenda sana nabarikiwa sana
Kila nikiwa na changamoto yoyte napenda sana kusikiliza huu wimbo
Ukwel kabisa dada ,unakuwa na matumaini barikiwa sana
Hu wimbo unanifanya nakumbuka penye mungu amenitoa
Asnte kwa kukuweka huu wimbo jmn kila siku nilikuwa nazurula utube
Niliitafuta Hadi nikawa nauliza my wife ilienda wapi!!😢😢
Nyimbo zenye hisia za mungu
Uko wap saiv Mr medrik
Ukweli ❤❤❤❤
Hii miaka buku haitochujaa
Forever old is gold 🤲🏻🤲🏻
Amin bba barikiw san
🔥🔥 audio tafadhalii 🙏🙏
Unanikumbusha wimbo mmoja toka Afrika Kusini ambao umedukua na kuigiza sauti yake.
Asante Kwa kurudi
Auchuji bado mpya
Abarikiwe sana❤❤
❤❤
Asante sana tuko pamoja
Me pia nimeutafut san
Napeda hii wimbo
Amen 🙏🙏🙏💯
Amina mutumishi
M nilitaft huu wimb mpk nililia lkn hatimae leo nimeupa sm😢😢😢
Kama mimi nimeshatafuta hatimae leo da siamini😢😢
Huu wimbo ni hatar aisee
Subscriber number 1000
Nakumbuka mwaka 2006 nikitokwa baba yangu mzazi
Mi mwenyewe nilikua nautafuta nakutana na sauti za ajabu ajabu
Amen
Amina
Ameeee
❤❤
😃😃😃😃💚💚💚
❤
Nikama eachezaji Hawa elewe uzito wa haya maneno ya wimbo
Hiyo mchezo hai ambatani na. Uhimu na uzito na itamu wa maneno
Ullimuona wapi Mutu kurukaruka kwenye Sala?
Asikilikitena
Ekowapi alikufa
2024
Ubarikiwe sana
Amen Amen
❤❤❤
Amen amen
❤❤