Wimbo huu unanikumbusha Maisha niliyowahi kupitia huko nyuma kwakweli ninakushukuru Mungu kupitia wimbo huu nilipata farijiko kubwa mno ambalo lilinifanya nivumilie japo Bado napitia changamoto za hapa napale Lakin nakushukuru Mungu wangu kuwa na Mimi katika safar ya Maisha yangu pamoja na ndugu zangu....nasema asante Mungu wangu🙏🙏🙏🙏
Mungu ninakishukuru, japo umeahidi kuwa nasi katika nyakati zote, kuna namna tunakosa nguvu ya kusonga mbele, tusaidie na endelea kututetea maisha yetu yasidhulumiwe. Bwana Yesu tunakushukuru.
Leo 13/11/2024 namshukuru Mungu kwa ninayopitia ila Wema wa Mungu upo palepale,.Mungu anisaidie nisione tatizo nimuone Bwana..pia Namtukuza Mungu kwa ajili ya mtumishi wake Ambwene...
Leo ni tarehe 22/11/2024 ukiwa ni usiku mtulivu nimeamua kuisikiliza hii Nyimbo hii 😢😢😢😢, Mnamo tarehe 09/11/2024 Mke wangu alinitoroka na kwenda kwa mwanaume mwingine, aisee baada ya kumkamata na Police mke wangu alinikana mbele ya Rafiki Zangu mbele ya Askari Jamani acheni Mungu aitwe Mungu 😢😢😢🙏🙏
Namkubali sana ambwene mwasongwe naomba like kwa anayesikiliza mwaka huu 2024
Leo ni tarehe 11/10/2024 Namshukuru Mungu kwa aliponitoa mpaka Leo nilipofikia hapa hakika ni muujiza haikuwa rahisi
Leo trh 05 Agosti 2024 , namshukuru Mungu kwa hapa nilipo🙏🏾
Leo ni 17/11/2024 namshukuru sana mungu kwa aliponitoa mpaka leo nilipofikia hapa hakika ni muujiza haikuwa rahisi
Leo 18/11/2024,.nausikiliza huu wimbo ni mengi umenipigania, naomba Mungu uwakumbuke na wenzetu wa kariakoo ukawapiganie ukawatoe salama😢😢
Wimbo huu unanikumbusha Maisha niliyowahi kupitia huko nyuma kwakweli ninakushukuru Mungu kupitia wimbo huu nilipata farijiko kubwa mno ambalo lilinifanya nivumilie japo Bado napitia changamoto za hapa napale Lakin nakushukuru Mungu wangu kuwa na Mimi katika safar ya Maisha yangu pamoja na ndugu zangu....nasema asante Mungu wangu🙏🙏🙏🙏
Mungu ninakishukuru, japo umeahidi kuwa nasi katika nyakati zote, kuna namna tunakosa nguvu ya kusonga mbele, tusaidie na endelea kututetea maisha yetu yasidhulumiwe. Bwana Yesu tunakushukuru.
Nyimbo zako zanibariki sana pia zinanifariji pindi napitia changamoto Mungu zaidi kujutia nguvu ambwene
Jamani tunafunga mwezi na am ambwene kuelekea 2025
Ila wimbo huu Nina upenda sana sichoki kusikiliza ♥️♥️🙏
Tumetoka mbali sana Mungu ndo ajuae safari ya Kila mwanadam Mungu tu🙏🤲
Mungu azid kukutumia Kama chombo chake kwani nyimbo zako zinaujumbe mzur sana
Leo trh 2/10/2024 namshkuru Mungu kwa kila jambo🙏🤲
Amina
Leo 13/11/2024 namshukuru Mungu kwa ninayopitia ila Wema wa Mungu upo palepale,.Mungu anisaidie nisione tatizo nimuone Bwana..pia Namtukuza Mungu kwa ajili ya mtumishi wake Ambwene...
Barikiwa mtumishi
😢😢😢😢😢 dah huu wimbo
Ee Mungu kaa nasi🙏🙏🙏🙏🙏
Usiniache Mungu
Huu wimbo umekuja wakat sahihi
September 2021 wote tulio ckia wimbo huu tuweke like za kutosha
Nmekuona Mungu katka Familia yangu 2024...na unaenda kuwa nasi 2025 ..hallelujah 🙌
From tiktok....an overnight first year welcoming kesha..
Same , I'm from a certain girls tiktok akionyesha kwao😢
Beautiful song❤❤❤
Mungu akubariki brother Ambwene uwa una bariki moyo wangu Sana
Mungu akutunze mtumishi wimbo uliojaa neno la Tumaini la Mungu
Nabarikiwa na nyimbo Zak kila wakati zinanitia nguvu sana mungu azidi kukupa upeo mkubwa
Hongera mtumishiiii was bwana
JESUS I THANK YOU ❣️🫂🙏
Mungu akubaliki mno mungu yupo anaonekana 🙏💞
Hakika tulikotoka ni mbari barikiwa sana mtumishi
Leo ni tarehe 22/11/2024 ukiwa ni usiku mtulivu nimeamua kuisikiliza hii Nyimbo hii 😢😢😢😢,
Mnamo tarehe 09/11/2024 Mke wangu alinitoroka na kwenda kwa mwanaume mwingine, aisee baada ya kumkamata na Police mke wangu alinikana mbele ya Rafiki Zangu mbele ya Askari Jamani acheni Mungu aitwe Mungu 😢😢😢🙏🙏
Bwana Yesu akubariki na kukuwezesha Mtumishi. Nyimbo zako zatujenga
Mungu nimwema sikuzote asante baba kunikubari Mimi
Ni kweli asingekuwa BWANA nisingefika hapa🙏🏼
Naupenda sana huu wimbo toka nakua kua hd ss pia unanliza Ila nashkuru mungu najua atanipgania
Nyimbo zako nazipenda sana Zina ujumbe mzur sana,huu wimbo nausikilizaga kutwa nzima,Mungu azidi kukubaliki na kukupa maisha marefu
Thank you God 20/11/2024🙏
Bonge la ujumbe,nakukubali sana Ambwene
Tatizo Ni sisi wenyewe
Mungu akubariki sana 2024
James sumpa nimeweka na jinaa kabisaaa
Hizi ndo nyimbo za kiroho 🙏🏽
Ulisimama kutetea maisha yetu yasidhulumiwe hakika kaka ubarikiwe Kwa ujumbe mzito kwenye mstari huo Leo tarehe 13/12/2024
Kweli tumemwona Bwana, Mung ni Mungu. Bwana akubariki sana
Aikuwa rahisi ni mkono wa Bwana barikiwa sana mtumishi
Suruisho pekee ni mungu mtegemee mungu maisha yak yote❤
It always reminds me of moshi kuko nyumba since my early age Haina watu ni graves kwa compound
Kaa NAMI Bwana,,safari bado ndefu sana.huduma yako yanibariki sana till now days l listen this song.hongera kwako ambwene 🤝🤝
Mungu akutie nguvu kwa njimbo nzur kama hii🙏
Barikiwa ndugu, japo kwa Mara ya Kwanza nasikiliza toka kwako. Nimebarikiwa, Asante
Unanibariki huu wimbo
Ubarikiwe mtumishi ujumbe mzuri
Nabarikiwa sana
Mungu akubariki Mtumishi wake na azidi kukuinua
Mungu akutunze sana
ubalikiwe abwene na mungu akutie nguvu
Nimebarikiea
Ni kweli kaka mungu akubariki kwa ujumbe uu unanitia nguvu
Be blessed
During this period of corona this song strengthen my soul
Mungu akubariki kaka
Nabarikiwa sana . Amen
Barkiwa mtumishi
Nyimbo yenye nguvu
Be blessed brother🙌🙌
Uplifting song,God bless you bro, it's my prayer that God will include you in heavenly choir.
Ubarikiwe sana Kwa nyimbo nzuri
Natamani sana na mimi ningekuwa muimbaji iv❤❤
Mungu akubariki Kaka nyimbo zako zinanitia nguvu sana
Leo trh 2/12/2024 nashukuru Mungu umenipgania
Barikiw san
Hakika Mungu utabaki kuwa Mungu kwangu
Barikiwa mtumishi..
Nakupenda Sana mtumishi wamungu
Wenye tiktok imetuleta hapa like 😊
Encouraging song 😢😢😢😢😢😢
Ubarikiwe san🙏🙏
Mungu akubariki saana
Barikiwa kwa ujumbe mzuri
This song develops me spiritually
5
This song heats hard and painful
Today 1st November 2024 nko hapa
Barikiwa sana
I love this song wow
Gud song
Mungu Akubariki
Mung azid kukutia nguvu mtumishi
Thanks Lord
Watumishi we ni hawa waimbaj kabla yakugika kanisan waha wanatuponya
ubalikiwe abwene namungu akutie nguvu
Nice song
Aminaa❤
Tumetoka mbali
❤ song
11/12/2024 THANKS GOD❤🎉
Hakika hakuna kama mungu
Uwakika
Ameeen
❤❤
❤❤❤❤❤❤
25.11.2024
Asante
Amina
Love nace
Barikiwa nyimbo inanibariki
Niceee sana ambwene
nabarikiwa sana na nyimbo zako Ambwene.
Amina
Ni kweli asingekuwa BWANA nisingefika hapa🙏🏼
Nabarikiwa.☺️
Nice song
Asante