SHEIKH KADOGOO AUWASHA MOTO, AICHAKAZA SERIKALI YA CCM, "WANAZIDIWA HADI NA BAKHRESA,"WAKATAEN HAWA"
Вставка
- Опубліковано 9 лип 2024
- #TANZANIA: SHEIKH KADOGOO NI BALAA, "MSHAHARA WA POLISI UNASIKITISHA"
Sheikh Kadoo, Mwanachama wa Chadema afunguka mazito, "Polisi mishara yao utawaonea huruma, wanapata hasira ndio maana wanatupiga virungu, maisha yao ni magumu", Serikali ya CCM wanazidiwa hadi na Bakhresa"
Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE UA-cam Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram
Hee shehe mm mpenzi wa ccm lakiñi hotuba yako imeniingia vizuri nimekukubali❤❤❤❤❤❤
Allah uhakbal...... God is great.....umemleta huyu sheikh azungumze maneno ya maama sana. Umeongea maneno mazuri na hata Mungu anakuona. Ubarikiwe sana.
Msema kweli mpenzi wa Mungu, uko vizuri Sheikh.
Shee bora no,1 Tanzania
Tutoe ujinga
Sheikh wangu ubarikiwe sana
Huyo Sheikh Yuko VIZUR Sana Mungu Amlinde na Anafaa Kuwa Kiongoz Mkubwa Hakika Apewe Maua Yake Na HAKIKA HUYU Ni Kiongozi wa Dini Kwelikweli Hataki UNAFIKI,FITINA, UONGO HAKIKA Yuko Vizuri na Apewe Jimbo HUYU Kiongozi wa Dini
Sheikh kadogo big brain educate tanzania people to the maximum vary clear l don't know lf ccm have capacity of answering chadema let ccm use police force they can't answering chadema only police force lteligince
SHEKHE UKO VIZURI MWENYEZIMUNGU AKULINDE AKUPE AFYA NJEMA BAKI CHADEMA NAOMBA UPEWE JIMBO UGOMBEE UBUNGE TUKUONE BUNGENI KAWASHE MOTO
Swafi shehe
Shelve kama Shelve👏🏼👏🏼
UMEONGEA UKWELI SANA
Njaa njaa!
Shekhe uko vizuri sana wengine sijui wako wapi !!!wanogopa utafikiri hawatakufa!!!!!!
Sheikh Kadogoo wewe ni kamanda wa makanda big up bro
Shekhe umesema kweli
Shekh uko umewapa ukweli ccm safari hi mmefundishwa
Nakubali she wanyoshe
Ukweli umesema wakukusikia sasa hapo kazi ipo
Yunahtaji mashekh wanaojitambua km huyu msema kwel co wanafk kaz yao kusifia ujinga, pongez kwako shekh mungu akubariki kwa Nia yako njema
Napenda Kala uko vzr sana
Siasa kama izi huwA nazikubali
Kadogoo unajua sanaaa
Jamaa siasa zake zipo vizuri hachishi kumsikiliza asipobadika kwenye uongeaji wake anaweza kujipatia wafuasi wengi sana. Anatumia lugha ya kistaarabu sana.
🎉
Sheikh nakukubali sana viongozi wa dini mkipaza sauti hivi tutaikomboa inchi yetu mikononi mwa mafisadi ya CCM ambayo hawataki hata katiba mpya inchi yetu
Unatosha
Yaani Hawa ccm wanaojipambanua kuwaniwema huku Marais wasitafu wameijeruhi inchi Kwa kuuza rasilimali zetu na wanaendelea kuchukua mishahala huu ni ubwege huu uzalendo Bora tuuache kabisaa
NDUGU TUNAOMBA GOMBEA UBUNGE KWELI UNATOSHA
Ccm hawjibu hoja za chadema zinawahukumu kwasababu ni ngumu.
UPO VIZURI KAMANDA
Mataahira Duuh
Mwiiteni kadogo msimwte sheghe Hana elimu ya kuitwa sheghe
Chawa wa mama. Kwahiyo mama ana chawa ndani ya nguo😂?! #&@+😢😮 Chawa ndani ya nguo za mama au chawa ndani ya mama?!? @ Chawa wanaishi kwenye nguo za mama au chawa wapo mwilini mwa mama?! # CCM tafuteni slogan nyingine. Hii inachefua sana
Shekh uko vizuri, pata barka zote za mtume!