Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

MBOWE AKIWASHA, OCD WA HAI WA WAKATI WA MAGUFULI, AKUTANA NAYE AMKIMBIA, "MLIWASAIDIA HAWA KIJANI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 лип 2024
  • Fuatilia Mwanzo TV Plus
    SUBSCRIBE UA-cam Channel yetu
    Follow us on X, Facebook and Instagram

КОМЕНТАРІ • 46

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 Місяць тому +9

    Kila mara ni kumkashfu Mbowe, wewe ulitoa nini ! Big up Freeman, together we can.

  • @nabimanyafesto5014
    @nabimanyafesto5014 Місяць тому +6

    Mungu akutunze mpambanaji

  • @user-kj5jp2ii5n
    @user-kj5jp2ii5n Місяць тому +10

    Kwa maoni yangu huyu jamaa anastahili heshima kubwa kabisa nchi hii kuliko hata Nyerere!
    Hii kazi ni kubwa kuliko hata aliyo ifanya Nyerere kwa sababu wazungu walikuwa wastaarabu ukiwalinganisha na hawa watawala wa sasa anao pamba nao!

    • @husseinmkanga7794
      @husseinmkanga7794 Місяць тому

      Huwezi mfananisha kiongozi msaka tonge na Nyerere hiyo helicopter analipiwa na mama Samia. Hata msigwa alipiga kelele siku ya pili akajiunga na CCM. Huyu si ndio alimkaribisha mama Samia kwenye mkutano mkuu wa chadema. Sasa hivi anajenga magorofa hela anapata wapi anagaiwa keki maana ndio ilikuwa kilio chake. Magufuri ndio alikuwa kiongozi mwaminifu alikuwa hapendi wezi na Mbowe ni mmoja wapo. Kama anadhurumu ndugu zake mali za ulithi ataweza kulinda mali za taifa?

    • @EzekiaMtwale
      @EzekiaMtwale Місяць тому +1

      sahihi!

  • @deomponzi2459
    @deomponzi2459 Місяць тому +5

    Mbowe heshima yako mkuu wewe ni kamanda

  • @munuoisaack418
    @munuoisaack418 Місяць тому +2

    Nyi ikwai ndii😂😂😂😂😂😂

  • @user-cx1xz2is5d
    @user-cx1xz2is5d 19 днів тому

    Kamanda apeqe maua yake umenifuraxha vitanda 60 si mchezo ccm wametoa vingapi

  • @kadaskarim5081
    @kadaskarim5081 Місяць тому

    Wew una akili kabsa mpka umuongee maguful lala salam maguful baba

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 Місяць тому

    4R lazima zihubiriwe kwa nguvu. Watz hawajazifahamu

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 Місяць тому +1

    Kiswahili kinanisumbua sana hivi akiuliza "UONGO AU KWELI " jibu "KWELI" sasa hii "KWELI' maana yake nini. KWELI ni Uongo au SIo KWELI.

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 Місяць тому +2

    Duuh

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 Місяць тому

    Uungwana ni kuzuia kutukanana na kukwazana siasa za uungwana zitawale.

  • @user-cx1xz2is5d
    @user-cx1xz2is5d 29 днів тому

    Mbowe apeqe maua yake

  • @edenusmrosso9225
    @edenusmrosso9225 Місяць тому +1

    Mimi mchaga niliajiriwa wakati wa Magufuli

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 Місяць тому

    Huyu mzee Kwayu alinyanyasika .

  • @Naomianthonyreige
    @Naomianthonyreige Місяць тому

    Tanganyika ni wajinga, hamjagundua Bado Nia ya mama, mama ana Nia mbaya sana, mpaka tunyooke, tukishtuka tuvunje muungano.

  • @mashimbazephania3511
    @mashimbazephania3511 Місяць тому

    Hili jamaa liongo na linaukabila ile mbaya halifai anafikili Kilimanjaro itampeleka ikulu never.

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 Місяць тому

    Ulitowa siulikuwa ni mbunge Matusi hayo ndiyo Wananchi wanakuona mjinga kabisa .

  • @eliasmakoye3939
    @eliasmakoye3939 Місяць тому

    Siasa hizi za ukabila hazifai ndani ya nchi hii ulisikia wapi rais katangaza kuwa watu wa Moshi wasiajiliwe? Mboe acha ukabila

  • @geey7893
    @geey7893 Місяць тому +1

    Mpumbavu huyu Mzee kumanina, Nimeajiriwa na jamaa zangu wa3 wachaga Kwa pamoja kipind Cha Magu

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm Місяць тому

      Chuki itakuua mwenyewe.

    • @geey7893
      @geey7893 Місяць тому

      @@TM-zs3rm Kama vile yeye anavomchukia Marehemu.

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 Місяць тому +1

    SIASA ZA MAJI TAKATAKA

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 Місяць тому

    Muongo mkubwa fatani mkubwa huyo bora uendelee na biashara zako. Muongo mkubwa sana

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 Місяць тому

      Kafilwe ccm

    • @frankkimaro1354
      @frankkimaro1354 Місяць тому

      Mwoga mama yako

    • @joojombi2341
      @joojombi2341 Місяць тому

      @@frankkimaro1354 kumbe wee umezaliwa na punda huna mama. Maandazi wahed usokua na adabu hata mama yako wamtukana kenge wahed