Masha Allah nimependa nzr mitajaribi pia maomba recipe ya Red Velvet cake na ccake za biashara Cupcake assntee yunalupendaa saana mw wetu barikiwa sana
😢Wewe Dada Sina chakukulipa jamani nmehangaika kutengemeza Cake Kila receip nnayotumia sijawahi kupata matokeo nnayoyataka, Video yako hii nimeiangalia Leo Leo nkajaribu hii receip mpka Nmelia nlishakata tamaa nmepata cake imechambuka n nzurii jamanii uwiiiiiii❤🎉🎉
Recipes zako Ni nzuri MashaAllah. Lakini wengine hawana measuring cups and spoons inakua vigumu kupractice ni vizuri kama ungekua unaelekeza Kwa kutumia grams na kilograms pia
Hi dear, watu wengi hawana mizani ndio maana natoa recipe kwa measuring cups and spoons na pia zinapatikana kwenye duka za vyombo na bei yake pia ni rahisi
Ila huyu dada kanitoa mbali sana Allah akutunze kwa ajili yetu mwaya ❤❤❤❤❤
Masha Allah receipe zako nzuri sana
Naomba recipes please mashaall
Nimeipenda
Your recipes are the best Masha Allah. Nimejaribu recipe zako za keki nyingi na zinatokea nzuri
Mashaallah recipe zako nzuri sana
Inaoneka nzuri sana
Mashaallah Allah akubarik nzuri sana
Asante unaelekeza vzr sana
Uko vizr my
MaashaAllah
Receipt ❤..mungu akuweke
Masha Allah tamu sana ❤❤❤❤❤mungu akulinde dada 🎉🎉🎉🎉
Mash allah tabarak rahman ❤❤❤
MashaAllah inafura vzr😊
Nitaijarbu hii mashallah
Mashallah mashallah
MashaAllah 👌
Mashallah Y Eid kwa chai ya maziwa Thanx hbbty kwa mapishi yotte mazuri barakallahu Fyek❤❤❤
mashaa allah
Mashaa Allah! Tabaarak Rahaman ❤❤❤❤❤
❤️❤️❤️
Maa shaa Allah ❤
Masha Allah nimependa nzr mitajaribi pia maomba recipe ya Red Velvet cake na ccake za biashara Cupcake assntee yunalupendaa saana mw wetu barikiwa sana
Shukran mpenzi nitajaribu leo ❤
Nzuri nimetamani kujifunzaa inaonyesha rahis
Yummy😋😋😋
Mashaallah km sina kikombe icho napima vp
Nimepend sn had nimejua kupik keki
Asante sana nimeipika keki hii jana jioni ikatokea vizuri sana na tamu sana , shukran sana.
Mm kila nikipik inaharibika nifanyej
Mimi hutumia kikombe changu Cha chai .na vijiko vya kawaida..Cha chai ama Cha chakula..na huwa 👌
😢Wewe Dada Sina chakukulipa jamani nmehangaika kutengemeza Cake Kila receip nnayotumia sijawahi kupata matokeo nnayoyataka, Video yako hii nimeiangalia Leo Leo nkajaribu hii receip mpka Nmelia nlishakata tamaa nmepata cake imechambuka n nzurii jamanii uwiiiiiii❤🎉🎉
Recipes zako Ni nzuri MashaAllah. Lakini wengine hawana measuring cups and spoons inakua vigumu kupractice ni vizuri kama ungekua unaelekeza Kwa kutumia grams na kilograms pia
Hi dear, watu wengi hawana mizani ndio maana natoa recipe kwa measuring cups and spoons na pia zinapatikana kwenye duka za vyombo na bei yake pia ni rahisi
Ni kwel vikombe ni rahis
Sawa vikombe nilaisi ila vikombe vinavyotumiaka vina ujazo gani (ML ngap) wengi majumbani tuna ml 500
@@Mapishirahisikikombe kinatakiwa kiwe na ujazo wa ml ngap? Maana wengi tuna ml 500
Sawa MAMBO YA vikombe hspana kila mupishi ana muzani ksmuzan
Aa Shukran ❤️ nilikua naomba kujua jinsi ya kutengeza sheets za lazagna
Request ya kupamba keki na icing sugar plz😊
Assalam alaikum habbty...MaShaaAllah Allah aibariki kaz yamikon yako naomba utuletee recipe ya buttercream
Waaleikum Salam
In sha Allah dear ♥
Mashallah Tabarakallah shukran habbty naomba kuuliza iyo kikombe ni grammar 250 au 200
Yummy
MashAllah baking tin umenunua wapi
Helo dear,, Asante kwa recipe nzuri,, naomba vifaa vya kwenye gm1000 vipimo please kama hutojali
I love❤❤❤❤❤❤❤love
Nauliza dada hii recipe kama hauna siyagi waeza tumia prestige
Yes dear waeza
Thanks will do it tonight
You can send me your feedback in Instagram
@@Mapishirahisi i did n I ave a question which is the best unga 4 use self rising ama all purpose?it was nice by the way
Naomba nambq zako mm nahitaj kujifunz akabisa
@mapishi rahisi naomba kujua umenunua wapi baking tin yako
Naomba juuliza je juu hukuwasha moto umepika na moto wa juu tu
Naomba recipe ya keki ya biashara
Mashaalah asante. Tatizo nini keki kurudi chini? Kutoka kwenye overn? 2:57
Umetoa keki kabla haijaiva ama unafungua fungua oven keki ikiwa bado keki haijaiva
@@Mapishirahisi Shukrani ngoja nitajaribu tena nionee
❤❤❤
👍👍👍👌❤
Naomba receip in to grams please
Vipimo tuambie ni gram ngapi sio vikombe plz
Assalamualaikum dada..naomba utengeneze choc tart cake...
In sha Allah
❤
Cake kurudi chini kutoka kw oven ya sababishwa n nn plz
Kufungua mlango w oven kabla ya kuiva
Thank you
Thanks for watching ❤️❤️
Asante sn ila tupe vipimo kwa grams kipenzi
Tunaomba mbadala wamaziwa
Yaan Kama Sina maziwa naweza kuweka Nini
❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kwann siku hizi cake zinafanya ukungu au maziwa ukitia mana sku hzi cake hazikai nje zonaharibika mara moja jaman nn tatzo hebu nisaidieni
Keki ukiweka kimiminika Kama maziwa,maji,juice lazima unawahi kuharibika
Unga unakuwa kias gani ivyo vikombe ni vya robo au
Cake ya tende plz🙏
Ok dear
Ni unga upi ya ngano unafaa kwa kutengeneza keki
As.. nauliza hio baking tins nipate duka ngani pls.. coz mi zangu ni nzito cake yachukuwa time kwa oven .pls
Nenda kwa machinga wa vifaa vya keki unapata
Huyo machinga apatikana wapi
Jaman wengi wetu tunatumia mizan tungeomba utupe vipimo kwa gram ili tuelewe.
Me nilikuuliza kile kidude chakufungiaa sambusa za nyamaaa
Nilinunua online but inapatikana kwa duka za vyombo pia
@@Mapishirahisi kinaitwaje samahn nivumilie mm msumbufu sana
Nimenda sana ila sijaelewa vipimo ni keki ya robo au nusu kilo
Naomba nielekeze jinsi ya kutumia oven unavyo washa na kila kitu me cjui na nataka kununua oven
Tunaomba recipe nzuri ya RDVELVET
👍
Jaman sisi tulio kuwa hatuna vikombe vya kupimia tunao pima dukan kwa kilo inakuaje
Utuandikie vipimo vyake by ma dhuu 4:12
Naomba matobosha
N
Samahani naomba km inawezekana ukisema siagi kikombe kimoja nijue ni robo au nusu na unga ni robo au nusu
Mi katakana no yako
Mutufahamishe kama ni kilo au nusu mutufahamishe icho kikombe ni nusu au kilo
Hapo umeeka mafuta...so kwenye hii recipe yametumika wapi
Alipoweka sukari ndo akaweka na mafuta
Okey sawa thanks
Mbn hujibu comments
😊
Mutufahamishe kama ni kilo au nusu mutufahamishe icho kikombe ni nusu au kilo