Usijali wanasema tunapaswa kutengeneza njia zetu ili tuwe salama na wanamwomba Mungu awatue mizigo ya dhambi ili wawe huru. Kubali uelewe hata kiroho mbona duniani tunasikiliza nyimbo nyingine na lugha zao hatuzijui pia nadhani siyo ubaguzi bali message imetufikia asiyeelewa atuulize.
Kyala akusajege momu kyala atutule
Ninabarikiwa uimbaji huu, kbs hatuna jema lolote mbele yake lkn ni huruma yake tu.mbalikiwe sana ktk hili.
Hongera sana
Amina mbalikiwe🙏🙏
Hongera Sana mmeimba vizuri
Ndagha bha jhubha nabha mama kyala abhongelee amasikuu ngwifunilaa fijhooo umweee
Ndaga fijo
Barikiwa sana ❤❤❤
nabarikiwa sana nyimbo za kwetu❤
Alululululu. Twindekesye tukanasyo inunu kumaso gwako Kyala
Ndaga bha juba mweee
Aluswe Kyala gwamaka
Naloli ndagha bha tata na bha jubha
Mwimbile kanunu musajigwe
Wimbo huo ni maalumu Kwa wanyakyusa ??? Kwa ukabila na ubaguzi. Mmebarikiwa...
Tuache na ubaguzi wetu , hua nainjoi sana Kuimba kikwetu
@@starvista823 Kwa Kweli Mkuu, kuimba Kwa lugha zetu za asili, Siyo vibaya. Ila ubaya unakuja pale ambapo tafri ya wimbo haikuandikwa Kwa Kiswahili.
Amina musajigwege ba kukaja
Usijali wanasema tunapaswa kutengeneza njia zetu ili tuwe salama na wanamwomba Mungu awatue mizigo ya dhambi ili wawe huru. Kubali uelewe hata kiroho mbona duniani tunasikiliza nyimbo nyingine na lugha zao hatuzijui pia nadhani siyo ubaguzi bali message imetufikia asiyeelewa atuulize.
MmaMkubomba imbombo jaKyalaUntwa ajege aNanumwe mwesa