Najifunza mengi sana kupitia masomo yako....uko vizur brother natamani siku upange uje katika semina hapa Tanga .....Siku zote naomba uje Tanga na ninaamini Utakuja....
Asante Sana kaka Joel. Kwa kweli Nashukuru:- kuwa Mtu wa kuwa na Shukurani hasa Asubuhi, nisilalamike, 'having international use', & having daily goals and some great goals to achieve 🙏🙏🙏
Kweli kuna siku niliamka asubuh nikajikumbusha mambo ya kuumiza nikalia saana na nilipofika ofcn akaja mteja akaniibia simu asubuh hiyo hiyo nikaishuhidia ajali mbaya ila leo kaka Joe asante
Kaka mungu akubariki sana ,.....nakumbuka nimeanza kukufuatilia miaka nne iliyopita ,.....nimefanikiwa kupanga malengo na kuweza kutimiza ndoto Yangu ya kumiliki gari ,....jambo lililoshindikana hapo jumaa ,....asante sana
This is my favorite channel that I will be passing through every morning unless there is something! Stay blessed brother *Habari Mbaya *Kulalamika *Malengo ya Siku (80/20 Rule)
Aisee Mungu atusaidie wengi wetu tunekuwa na changamoto ya kuongozwa na mitandao ,barikiwa zaidi kaka @Joel Nanauka
Am the first once you'r the only One nakufatilia kila asubuh bcz najifunza v2 Ving god blessing
Kaka joeli kiukweli tangu nifuatilie masomo Yako nimebadili mfumo wa maisha yangu
Natumai ujumbe utakukuta u mzima wa afya njema, naomba kujua inside ninavyoweza kupata kitabu chako. Ahsante sana.
nakufatilia toka somalia , Mogadishu
Kwa asilimia kubwa mda mwingi kwenye mitandao ya kijamii afu sina lengo lolote la kufanya ivo Asante sana
Mungu akubari kaka umenito mbali na vipindi vyako.
Hapo kwenye mitandao ya kijamii ndo shida. Naingia tu ili mradi nipo na bado. Yaani 🙆
Thanks joel be blessed umenena vema hususan matumizi ya mitandao ni changamoto kwa maisha haya
Asante Sana,tangu nmeanza kukufuatilia Kuna mabadiliko mengi yametokea kwangu
Ila hapo kwenye malengo ya siku ndo mtihani kwangu
Asantee sana kaka unanibariki sana na mafundisho yako Mungu aendelee kukupa Maisha marefu
BARIKIWA Sana kaka...Hua unagusaga mioyo ya wengi sana
Wow nashukuru sna kwa mafunzo..barikiwa ,kutoka kenya 🎉
Asante kaka nimejifunza muda ndiyo kitu chathamani sana
Ahsante kaka Joel nanauka unanifanya niwe mpya always .... ubarikiwe sana kaka🙏🙏
Najifunza mengi sana kupitia masomo yako....uko vizur brother natamani siku upange uje katika semina hapa Tanga .....Siku zote naomba uje Tanga na ninaamini Utakuja....
Yaani Joel swala la mitandao ya kijamii nataka nianze kujirekebusha kuanzia leo
nimeipenda iko makini hiyo
Asante kwa bidii yakutujuza ao yakutujulisha maisha
Asante mm nlkuwa mtu wa kuangalia matukio nmejfunza
Asante sana kaka Joel somo zuri Sana
😂😂😂Mbona mawingu meusi sana 😂😂🤣🙌🙌🙌💐
Asante kwa ushaur ila kwa mfumo tulionao hatujui lipi ni lip
Hii ni kwel Mwl Joel me Siku yangu ya Leo ilikua ngumu tangu asubui na kwakwel nimeona imeenda vibaya kabisa...Mungu mwema kesho nayo siku 🙏🏻
Ahsante sana kaka,nakufuatilia pote hadi kwenye elimika huko 🙏🙏🙏🙏
Nakuelewa Sasa Kaka Joel . Barikiwa na uzidi kutupatia chakula Cha ubongo.
Makini sana mkuu nakuelewa vzr sana
Asante Joe,nimejifunza Tena kitu,
Aiseee hapo kweny mitandao hapo....ni kweli kabisa
Asante Sana kaka Joel. Kwa kweli Nashukuru:- kuwa Mtu wa kuwa na Shukurani hasa Asubuhi, nisilalamike, 'having international use', & having daily goals and some great goals to achieve 🙏🙏🙏
Kaka Mungu akubariki sana!
Thanks joel...please make podcasts for us please 🙏 😊
Nimekuelewa Mwalimu Mungu akuzidishie
Neno lako linaishi kichwani Mwangu
Barikiwa sana.🙏🙏
Nashukuru sana nmejifunza kitu
Amina mtumishi kupitia wewe nimebadilika sana nimekuwa mtu positive sana kwa mafundisho Yako.
Tuambiye tupone, barikiwe mtumishi wa Mungu 🙏
Shukuran sana
Thanks Joel Nanauka. Genius by Discovery
Asante sana nimejifunza jambo
Hongera sana
Good subject brother tatizo.Dirty mind zimetutawala sana vijana wasasa hata tushikapo simu tunayoangalia na kusikiliza nimachafu kwaasimilia kubwa
Sto choka kujifuza meng mazuri Toka kwako
Thanks your very inteligency God blace you!! Come Zanzibar to meet you!!
May GOD bless You Always Mr.Joel
Brazaa joel wewe ndo mwalimu wangu siwezag kuamka au kulala bila kukusikiliza na vitabu vyako ninavisoma sana
Kweli kuna siku niliamka asubuh nikajikumbusha mambo ya kuumiza nikalia saana na nilipofika ofcn akaja mteja akaniibia simu asubuh hiyo hiyo nikaishuhidia ajali mbaya ila leo kaka Joe asante
Kazi nzuri kak
You're such an amazing psychologist sir........i totally comprehend every teaching of you
Am here today na am blessed with your best advice
Kwakweli nashukuru kujuwa hili,nitajirekebisha kushika sm asubui.
Kutooanza bila malengo .....Huwa inanirudisha nyuma saana
Namba 3
Thabks a lot Joel,GOD grace b with u,i learn something hear,big up
barikiwa sana
Sante
Nimekuelewa brother Joel be blessed
Ahsante sana coach, Somo zuri sana💪
Mungu akubariki sana kaka yangu joel
One small POSITIVE THOUGHT in the morning can change your whole day. Asante sana kaka Joel na hongera kwa kazi nzuri. GOD Bless you
Ahsante sana brother 🙏
Nakuelewa Sana Bro Mara zote napenda kuanza siku yangu Kwa kusikiliza ama kusoma Kwa motivation speaker , Mungu akulinde zaid Bro
Kaka mungu akubariki sana ,.....nakumbuka nimeanza kukufuatilia miaka nne iliyopita ,.....nimefanikiwa kupanga malengo na kuweza kutimiza ndoto Yangu ya kumiliki gari ,....jambo lililoshindikana hapo jumaa ,....asante sana
Ubarikiwe sana kaka
Vitu ambavyo unavyosema ni vya kwel sana
Excellent
This is my favorite channel that I will be passing through every morning unless there is something! Stay blessed brother
*Habari Mbaya
*Kulalamika
*Malengo ya Siku (80/20 Rule)
Asante sana kiongoz mungu akupe mahalifa zaid
4/epuka social media kutumia kwa mda mrefu asubuhi
Kweli kabisa kaka Ahsante sana🙏
Somo zuri sana asey 🙏
Gud advice my role model ,I appreciate you much bro , I wish one day to see you bro
Be blessed
Asante Kaka 🎉🎉✍️🇨🇩
Asante sana kaka mkubwa"intentionally" nmenote hii ❤ ❤ Mungu akawe nawe
Thanks Mr Joel,your motivations makes many changes in my life style.God bless you forever!!!
Imekaa vizuri brother
Asante sana. Nimejifunza
True you've inspired me
Nashukuru sana kaka noeli. Mimi jambo lakupanga ratiba yangu yaasubuh huwa linanishinda kwakweli
Be blessed more Joel🙏
Be bless Brother Joel mengi najifunza
Asante somo zuri Mie point namba moja inanisumbua sana
Ahsante sana broo
Shukrani sana kaka
BARIKIWA sana mkuu motivation zako zipo vizuri sana na zinatujenga sanaaaaaa
Asante uko sahih sana😅
nakuelewa Sana bro 🙏🙏
Aise bro Mungu akubariki
Big up@ Nanauka
You are the best ever seen
Following from from Facebook
Karibu sana na endelea kuwaalika wengine
Asanteh sana kaka Joel Mungu akubarik kwa mafunzo yako tu
Very true my Broo
AMEN ❤❤
Kaka upo vizuri...
🙏🙏🙏 May God bless you....
Asante coach wangu.mungu akubariki sana.pia tunaomba uwendelee kutuletea video hapa utube Kama zaman unatusaidia sana
Asanteeeee kaka
Thankyu so much motivation zako zipo vizuri barikiwa sana🙏
asante
Thank you I will try to wake up with a positive mind🥰🥰💓💓
More blessed,;hakika nabalikiwa na mafunzo yako mungu awepamoja nawe🤝🤝🤝🙏🙏🙏💥💥💥