Na nyinyi nanyi watu wamechoka na hekaya zenu kila kipindi mnachokirusha ni ziara tu kwenda mbele....hamtwambii reli kuingia bandarini imefikia wapi au mmesahau kuwa reli hailipwi na abiria bali mizigo hayo mabehewa ya mizigo sijui vipi kwa kweli mmeboa sana nyote jitathmini vizuri
Magufuli alikuwa akisema mwezi wa tano haupiti ng’o na ukipita ujue mwekezaji anachajiwa faini😅 kuanzia muda tajwa kwenyemakubaliano ya kumilisha kitu husika, na kukiwa na sababu nje ya uwezo
Yaani umeniwahi. Nashangaa tangu lini Kiingereza kimekuwa lugha ya kitaalam, aibu sana. Kwa mfano, mtu anashindwa kusema " maegesho" mpaka aseme " parking"!!!!. Najua Kiingereza ni lugha rasmi Tanzania, lakini hii sasa inavuka mpaka. Ukimwambia ajieleze hapo kwa Kiingereza hicho anachochanganya kwenye Kiswahili, atajikanyaga.
Punguzeni ushamba lugha ya kingereza siyo lugha ya kitaalamu ni lugha kama zilivyonyingine..... Mimi najua kuongea kingereza ila hafadhali kuongea kiswahili..... Hebu toeni akili zenu katika afya za kikoloni Rudi nyumbani kumeshanoga mpaka kwa MAJIRANi
wonderful project african giant
Na nyinyi nanyi watu wamechoka na hekaya zenu kila kipindi mnachokirusha ni ziara tu kwenda mbele....hamtwambii reli kuingia bandarini imefikia wapi au mmesahau kuwa reli hailipwi na abiria bali mizigo hayo mabehewa ya mizigo sijui vipi kwa kweli mmeboa sana nyote jitathmini vizuri
Maneno mengi kila siku ukaguzi anzeni safari basi mlisema mwezi wa nne mpaka leo
Magufuli alikuwa akisema mwezi wa tano haupiti ng’o na ukipita ujue mwekezaji anachajiwa faini😅 kuanzia muda tajwa kwenyemakubaliano ya kumilisha kitu husika, na kukiwa na sababu nje ya uwezo
"Kwakitaalam wanaita stairs" sema kwa kiingereza wanaita stairs nani asiyejua ngazi za kwenye majengo zinaitwa stairs kwa kiingereza😅😅
Yani trc hamna aibu hizi ziara Kila saa za Nini mbona hizo treni hazipo !!!!! Mli vo Jenga reli mli sahawu ku agiza treni!!!! Semeni ukweli 😅
Akili ya Africa bado kutukuza wazungu tu sema kama Africa sio kila kitu wazungu
Ziara za kisiasa kutengeneza "posho",ufanisi sifuri.
nashukuru kwa maelzo mazuri ya mkandalasi lakini sijafurahi na matumizi ya lugha yaani kingereza ndio lugha ya kitaalam
Yaani umeniwahi. Nashangaa tangu lini Kiingereza kimekuwa lugha ya kitaalam, aibu sana. Kwa mfano, mtu anashindwa kusema " maegesho" mpaka aseme " parking"!!!!. Najua Kiingereza ni lugha rasmi Tanzania, lakini hii sasa inavuka mpaka. Ukimwambia ajieleze hapo kwa Kiingereza hicho anachochanganya kwenye Kiswahili, atajikanyaga.
Lazima ushuke morogoro au hata kibaha unaweza shuka
Mnakera sana yaan hii kitu huu mwaka wa 3 Sasa ni miezi tu ndo inapgwa tarehe daaah 😢
Punguzeni ushamba lugha ya kingereza siyo lugha ya kitaalamu ni lugha kama zilivyonyingine..... Mimi najua kuongea kingereza ila hafadhali kuongea kiswahili..... Hebu toeni akili zenu katika afya za kikoloni Rudi nyumbani kumeshanoga mpaka kwa MAJIRANi
Hio mayo atapewa muwekezaji toka Yemen 😂😂
Tutapata vichwa mwishoni mwa mwezi wa saba na leo ni mwezi wa nane! How do you account for the delay? delays costs the nation!
😢
Hii treni imeshageuzwa ya wanasiasa tu(a.k.a wajaza matumbo) utaskia ziara Hadi ikielekea mwaka wa uchaguzi
Kabisa, na ndo itakua agenda yao,unaeeza kuta inafunguliwa 2025 kwenye kampeni
Unaweza kushuka kibaha kutoka dar
Stesheni ya tabora mtaweka muundo wa nyuki kama sio tumbaku.
😂😂😂😂😂😂
Utalii au ukaguzi? Utalii ni endelevu. Ukaguzi je?