Sioshwi dhambi zangu, Bila damu yake Yesu. Hapendezewi Mungu, Bila damu yake Yesu. Hakuna kabisa Dawa ya makosa Ya kututakasa,Ila damu yake Yesu. La kunisafi sina Ila damu yake Yesu. Wala udhuru tena, Ila damu yake Yesu. Hakuna kabisa Dawa ya makosa Ya kututakasa,Ila damu yake Yesu. Sipati pataniswa, Bila damu yake Yesu. Hukumu yanitisha, Bila damu yake Yesu. Hakuna kabisa Dawa ya makosa Ya kututakasa,Ila damu yake Yesu. Sipati tumaini, Bila damu yake Yesu. Wema wala amani, Bila damu yake Yesu. Hakuna kabisa Dawa ya makosa Ya kututakasa,Ila damu yake Yesu. Yashinda ulimwengu, Hiyo damu yake Yesu. Na kutufikisha juu, Hiyo damu yake Yesu. Hakuna kabisa Dawa ya makosa Ya kututakasa,Ila damu yake Yesu.
Sioshwi dhambi zangu, Bila damu yake Yesu.
Hapendezewi Mungu, Bila damu yake Yesu.
Hakuna kabisa Dawa ya makosa
Ya kututakasa,Ila damu yake Yesu.
La kunisafi sina Ila damu yake Yesu.
Wala udhuru tena, Ila damu yake Yesu.
Hakuna kabisa Dawa ya makosa
Ya kututakasa,Ila damu yake Yesu.
Sipati pataniswa, Bila damu yake Yesu.
Hukumu yanitisha, Bila damu yake Yesu.
Hakuna kabisa Dawa ya makosa
Ya kututakasa,Ila damu yake Yesu.
Sipati tumaini, Bila damu yake Yesu.
Wema wala amani, Bila damu yake Yesu.
Hakuna kabisa Dawa ya makosa
Ya kututakasa,Ila damu yake Yesu.
Yashinda ulimwengu, Hiyo damu yake Yesu.
Na kutufikisha juu, Hiyo damu yake Yesu.
Hakuna kabisa Dawa ya makosa
Ya kututakasa,Ila damu yake Yesu.
Good
Mmebariki roho yangu asubuhi ya leo
The blood of Jesus washes everything
Wow
Ameen Kweli hakuna dawa ya makosa
Jesus our only hope
Go girl💜💜💜 TRM loves you so much 🌴🌴🔱
The blood of Jesus saves
Wow awesome... More blessings
The blood of Jesus
Thank you for this one be blessed
Hallelujah
love this song