Wow!!!!!!!!!!!!! Hallelujah 🙌🙏❣️😇 Thank you JESUS CHRIST OF NAZARETH U R AWESOME AND NOTHING CAN BE COMPARED TO U LORD FOR U R MARVELOUS...............gonga like plz......... protect the world from this evil pandemic /disaster coz we want peace and joy and that comes from JESUS........ Hallelujah??????????????
" kwa bei ya mauti yake , nimekuwa mtoto wake ......" Nakombolewa na damu ya yesu .......aaaaah , kombolewa......" . Bwana yesu asifiwe sana . Nimebarikiwa kwa wimbo mzuri
1 John 5:8 And there are three that bear witness in earth, the spirit, and the water, and the blood: and these three agree in one. Damu ya Kristo inayonena utakaso. AMEN
Nimekomboleea na damu yake yesuu ❤❤❤❤❤ 🙏🙏💖
Who listen in this time of Covid 19 ?
God be with us
Nimekombolewa kwa damu ya Yesu Kristo Bwana wetu ❤
Tumwimbie Bwana
My name is FRANK Nimekombolewa na DAMU YA YESU KWA BEI YA MAUTI YAKE sasa nimekuwa mwana wake kweli nawewe nakuombea ukombolewe na damu ya YESU🙏
Hakika tumekombolewa na Damu ya YESU
Hakika
Waoo
Hakika naguswa san
P
I like this song 👌
Dah napenda sanaa hisi nyimbo 😍mungu awabariki sanaaa
Yesuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu bila Wewe Ningeshakufa 🙏🙏Asante kwa kunikomboa kwa damu yako
Amen
Bwana akutunze
Sauti bhana Daaa mnajuaaaaa
I realized that there's special power and courage in worshipping 😭Glory to GOD🙏🏾
Nyimbo hii inanitia moyo sana "nimekombolewa na yesu"
Amen. Nimebarikiwa na nimekombelewa😚
Bila wewe YESU sijui ningekuwa wapi? Ahsante kwa kutoa uhai wako kwa ajili yangu mimi sasa damu yako yanikomboa🙏🙏🙏🙏🙏 Amina.
Nyimbo nzuri Sana mbarikiwe
Nakombolewa na damu ya yesu
Nimekombolewa na damu ya yesu🙏🙏🙏🙏
Hata ningeimba siku zima bado sichoki huwa nahisi ngvu za mungu
Aki this song is very nice to me inafanya roho yangu inasikia poa Amina
hakuna mwingine Amen
Wow!!!!!!!!!!!!! Hallelujah 🙌🙏❣️😇 Thank you JESUS CHRIST OF NAZARETH U R AWESOME AND NOTHING CAN BE COMPARED TO U LORD FOR U R MARVELOUS...............gonga like plz......... protect the world from this evil pandemic /disaster coz we want peace and joy and that comes from JESUS........ Hallelujah??????????????
Amen
Wimbo umeimba vizuri sana, ubarikiwe mtu wa Mungu
Nimekombolewa kwa damu yayesu amina
Hakika yesu anaokoa ni mukombozi wa kila kitu katika maisha yetu
Naomba yesu nikombee kwa hili
Hakika na Bwana atusaidie kwa jina la Yesu Kristo
Nimekombolewa na Yesu Kwa Damu yake
Ameeen🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Thammy Francis Amen
Nimekombolewa kwa damu ya yesuu
❤❤❤ Nimekombolewa na Yesu
Name namshukulu mungu nimekombolewa na dam ya yesu
Nimekombolewa na Damu ya Yesu kuanzia tumboni mwa mama angu mpaka milele
Amen
Barikiwa
🙏
Nihifadhi mikonon Yesu mikonobi mwako siku zote za maisha yangu
"Nimekuwa mwana wake kweli"
Hakika
nimekua mtto wakeeee.
Hakika mim mwana wake kwel
Huu wimbo hunibariki Sana kila niiusikiapo hata kuuimba pia mbarikiwe waimbaji
Amen. Bwana ni mwema
Ahsante Yesu Kwa kunikomboa ni Kwa Neema yako sikustahili
Hakika kwa yesu Kuna amani
Nimekukombolewa kwa damu ya yesuuu mm mwana wake
Mung abarikiwe San Kwa ukombozi
wake kwetu sisi
Ili alipo niwepo.....Amen
Amen nimekombolewa..!!
Amen🙏🙏
Waooo thx my brother umenifanya nifarijike🙏🙏🙏🙏🙏
Nimekombolewa Na damu ya YESU mm ni mwana mwana wake kweli, Amen God bless you Dinu
Ameeen
Blessed Nice Asante yesu
Kwel kabisa twakombolewa na damu ya yesu
Hallelujah Hallelujah I'M FREE💃💃💃🤝
Amen
Ameen nimekombolewa kwa mara nyingine na damu ya Yesu
2021 nimebarikiwa kwenye Kila eneo la maisha yangu hakika kwa yesu yote yanawezekana
Amen
Ameeeeeeni ubarikiwe
Nimekombolewa kwa damu yaa yesu ni mwana wake kweli barikiwa nafarijika nkisikiliza huuu wimbo 🙏🙏🙏🙏
Wimbo mzuri brother
Bwana ni mwema
Kila leo nausikiliza barikiwa mtu wa MUNGU
MUNGU akubaliki kaka yangu unaimba vizuri
Nimekombolewa na YESU
Ameni!! kweli nimekombolewa na damu ya yesu
Hakika
Nmekuwa mwanawake kwel iko sawa bro ubarikiwe amen
Hii tenzi niipenda sana sana
Who else is blessed, listening to this song.
Thanks you Jehovah for this far...... indeed you saved me......
Nyimbo nzuri sana, zinagusa mno Asante Yesu Kwa ukombozi 🙏🙏❤️
" kwa bei ya mauti yake , nimekuwa mtoto wake ......" Nakombolewa na damu ya yesu .......aaaaah , kombolewa......" . Bwana yesu asifiwe sana . Nimebarikiwa kwa wimbo mzuri
Amen
amen
Swahili hymns are so spiritual. My favorite. Thanks
Thank you, thank you thank you.
Kweli tumekombolewa god bless you
Hakika kwa mungu yote yanawezekana nimekombolewa na damu ya yesu niko salama kabisa👏👏
1 John 5:8
And there are three that bear witness in earth, the spirit, and the water, and the blood: and these three agree in one.
Damu ya Kristo inayonena utakaso.
AMEN
NIMEKOMBOLEWA NA YESU
Ameen saut nzur sana
Damu ya yesu itukomboe
Asante Yesu kwa kuniokoa na mauti
Bila ww sijui ningekua wap🥲
Nyimbo nzuri kakq
Amina 🙏🏾 nimekombolewa na damu Yesu! The love of Christ shines and reigns in my life.
Mwimbaji mungu akubaliki
Amen! Hakika tumekombolewa na damu yake Yesu...Hatudaiwi
Hakika
Wow,kombolewa
Hakika tumekombolewa na damu ya Yesu
Asante nice song
Nawaza maisha yangu bila Yesu yangekuwaje
Hi ndugu dinuzeno.nyimbo zako za tenzi za rohoni zinanibariki sana. Mungu akubariki sana.shadrack.machakos.kenya
Asante sana mtu wa Mungu. Share kwa wengine tafadhali.
kukombolewa nafurahi kuliko lugha kutamka,asante YESU kwa ukombozi
Aminaaa barikiwa 😭😭❤❤❤🙏🙏
Nimekombolewa kwa damu ya yesu
Amen
Asante Yesu Kwa kunikomboa Kwa damu yako
Ameen Nikombolewa na damu ya yesuuu🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Nyimbo inatubaliki ubalikiwe
Hizo ndo nyimbo za injiri . tuachane na nyimbo kama utamu wa Yesu, nibebe
Asante
Damu ya Yesu inanguvu za uponyaji!Nimekombolewa!! 🙏
Keep it up bro unanifariji sana goog blessed 👍👍🙏💥💥
Amen
Nabarikiwa saaanaaah
Mimi mwana wake kweli
Hakika nimekombolewa na damu ya yesu Niko huru Ahsante yesu
Nimekombolewa na damu ya Yesu, Amen
Tenzi za rohoni namba 25 nimekombolewa
Nakombolewa na damu YESU
Amen twahawe agakiza kubwamaraso yasu
Nimejikuta nalia sana huu wimbo nikiusikiliza
Hakika yesu ni njia ya uzima nafarijika sana na wimbo huu hakika damu yake yesu imetukomboa barikiwa mtumishi wa mungu
Kombolewa na damu yake yesu
Hakika
Nimekombolewa na damu ya yesu kristo amen.
Nakombelewa na damu ya yesu,amen
Yesu Asante kwa kuniokoa toka dhambin
am nothing without the blood of Jesus
Nakombolewa na damu ya yesu
Mimi mwana wake kweliii 🙏🙏🙏
Amina...nimekuwa mtoto wake🙏
Hakika
wimbo unabariki sana
Kwa kweli nimekombolewa na yesu Amen Amen🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Nimekombolewa na yesu aliyenirehemia .wimbo unanifariji sana
Nakupenda Yesu naona fahari kuwa na ww