Mungu atakujimbu, God always replys most times not the way we expect, check well maybe your prayers have been answered only that the answer is where you're not expecting so you're not checking. Joseph had dreams and were answered by him being sent to Egypt as a slave
God will remove poverty, remember hagar cried to God and the bible says God opened Hagar's eyes and she saw a well of water. ask God to open your eyes and see the well. God bless you and your family
God your the one who no my sins and your the one who cleans my sin and I'm a life because of you without you I'm nothing don't for get me while the time comes to entered in the new king dom 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Naomba usinipite mwokozi,wapendwa mniombee sana nilipoteza mume wangu last yr,nikaachwa na twins wa miezi mbili,wako mwaka mmoja na miezi,landlord amebeba funguo za nyumba nafukuzwa kwa hao sijui niende wapi sina kazi,familia ilinifukuza niko na watoi watatu mniombee nahisi kujiua tu😭😭😭😭😭😭😭
Amina, mimi binafsi nashukuru sana kwa huu utenzi za rohoni, nimeufurahia sana na umenigusa sana,Mungu akubariki sana na aendelee kukuinua katika kipaji hiki cha kutangaza makuu yake kwa watu kwa njia ya nyimbo.Amina
Ee bwana naomba usinipite mwaka 2024 Kwa upendo wako juu yangu hata wengine ambao ukuwajibu mwka 2023. Mwaka huu uwajibu maombi yao Amin🙏
❤
Mungu atakujimbu, God always replys most times not the way we expect, check well maybe your prayers have been answered only that the answer is where you're not expecting so you're not checking. Joseph had dreams and were answered by him being sent to Egypt as a slave
Usinipitee mwokozi mwaka huu 2024
Angel amesema nikusalimie
Ee yesu usimipite katika katika shughuli ninazo zifanya hata katika masomo yangu hapa chuo kikuu , amina 🙏🙏
Kweli baba ninaomba unisikie naomba usinipite 😢😢😢
Kama bdo ukizkiza hii nyimbo wabarkiwa kma mm kwenye huu mwaka Eka like bila kupita amen tarehe 31/3/2024❤️❤️❤️❤️ asante mungu
Amen❤
❤❤❤
❤
Amen
😂❤
Maombi yangu huu mwaka wa 2023 Bwana naomba, usinipite Bali unikubuke ,Amen
Oooh yesu sikia kilo cha moyo wangu nko chini ya miguu zako😭😭😭🤲💔🙇♀️🙇♀️
you will have a testimony soon. Amen
Yesu usiniache, nisamehe makosa yangu usinipte baba
Usinipite mwokozi, unapozuru wengine na mm unikumbuke maana sina tumaini zaid yako yesu 😢😢
Gonga like kama we ni mkristoo
Amen
May God be with May family
Napenda sana huu wimbo baba wa mbinguni tubariki sisi wanawako katika pilika zetu amen
Eee mungu usinipe mokozi wangu na familiya yangu naiombea ndungu jamaa na marafiki wangu wote ❤🎉❤❤❤
Yesu yesu ... unisikie .unapozuru wengine usinipite ..Ameeeeeen
Usinipite mokozi nikumbuke na Mimi 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
Usinipite mwokozi unisikie unapo wazuru wengine usinipite baba nakuomba don't left o God please🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤱🤱AMEN
Hii wimbo inanitia nguvu hapa uwarabuni 😢wacha Mungu abaki kua Mungu siku zote💯🩷🙏🙏🙏
Remove the poverty that is following my family in Jesus name I trust and believe Amen
God will remove poverty, remember hagar cried to God and the bible says God opened Hagar's eyes and she saw a well of water. ask God to open your eyes and see the well. God bless you and your family
Usinipite Bwana unapodhuru wengine usinipite yesu mwaka 2024
bwana naomba usinipite huu mwaka nataka kuona baraka zako..
Hata Mimi usinipite mwokozi,Unapozuru wengine,naomba usinipite mwokozi 🙏🙏🙏
Eeh bwana unapogusa wengine naomba uniguse na mim katika jina la yesu amina
Usinipite mwokozi unapozuru wengine pia mm unikumbuke mungu
Hata Mimi usinipite mungu asbuhi ya Leo,, sikia maombi yangu baba,
My pray this year mungu usinipete 2024
Amina mungu amenisaidia mwaka huu naomba aendelee kuwasaidia na wengine kama alivyonisaidia mimi pia nahitaji msaada wake zaidi
Usinipite mokozi nikumbuke na mimi na familia yangu Amen
Usinipite ata mimi mwokozi unapozuru wengine nitendee miujiza katika jina kuu la Yesu Christo.
Eee MUNGU wangu wa mbinguni usinipite nifungulie milango ya ridhiki huu mwaka 2024ukawe mwaka wa baraka kwangu🙏🙏🙏🙏
Usipite mungu ninapo ishiwa NGUVU nijaze NGUVU safari ni ndefu nilio nayo bila ww nitashindaa
Baba naomba usinipite unisikie kilio changu baba nijibu Sara zangu baba wa mbinguni
Usinipe Yesu Wangu nisamehe niguze unitakaze Kwa damu yako Ili nipone,kumbuka TU rehema zako juu yangu na jamii yangu unihurumie TU Yesu
Usinibte mwokozi wangu yes ❤🎉🎉❤
God your the one who no my sins and your the one who cleans my sin and I'm a life because of you without you I'm nothing don't for get me while the time comes to entered in the new king dom 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Pia NAMI yesu naomba unikumbuke katika maisha yangu kwa maana changamoto z magonjwa zimenilemea na mm peke siwezi
Hata mimi,usinipite Mwokozi wangu tunapoanza mwendo kwa huu mwaka wa elfu mbili na ishirini na tatu,wacha niione ukuu wako na Nguvu zako Bwana.
Amina🙏
Àa
P
Amen🙏
Amen 🙏
@@marymidialo9739😅😅
Usipite bwana kabla ya mwaka huu kupita unifanyie muujiza kwa jina la yesu amen
Eeeeeeeeh lord just be have a time for hearing me o God 😭😭😭
Usinipit bwan unapozuru wengne niponye na magonjwa yanayoundam mwili wangu amen
Mama
God has bless other God please bless ,you desire of heart pliz hear my cry
Usinipite mwokozi wangu sinawakutegemea ila wewetu nakuabudu
🙏🕯️⛪❤
Na majaribu katika ndoa yangu yesu usinipite,unapodhulu wengine na mm usinipite bwana 🙏🙏
Naomba usijaribu kunipita God plz I have a hard time plz 🙏🙏🙏😭😭😭😭 just say one ward to me if u see this massage plz
Thanks lord this song I was in a prayer and it came in my mind when I finished my prayers and i come to realise God 🙏 has answered my prayers.
Usinipite bwana.unapo zuru wengine usinipite eeee mungu wangu nimwambea nn mm nimekuachea wewe unajua ninayopitia❤❤😘😘😭😭
Yesu unapozuru wengine usinipite bwana🎉🎉❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Amen 🙏🙏...unisikie pia usinipite yesu maana wewe ndio msaanda wangu
naomba ustupite na wanao mwaka huu 2024 ameen,,,🙏
🎉🎉🎉🎉 Mokozi wangu uzinipite unapo zulu wengi usinipite kabisa mungu nakupenda mi laurenti kutoka manyara kwaraaah
ni vizuri tu
Ee Mwenyez Mungu usinipite Mwaka huu uniepushe maovu natak kuon Baraka zako 😢
Eee yesu namba usinipite katika haya mangumu nilipnayo siwezi kubeba haya nilipnayo baba naomba unipe msaada usinipite yesu wangu
Huu waka wa2024 mungu usinipite na family yangu amen, amen 👏
Naomba usinipite mwokozi,wapendwa mniombee sana nilipoteza mume wangu last yr,nikaachwa na twins wa miezi mbili,wako mwaka mmoja na miezi,landlord amebeba funguo za nyumba nafukuzwa kwa hao sijui niende wapi sina kazi,familia ilinifukuza niko na watoi watatu mniombee nahisi kujiua tu😭😭😭😭😭😭😭
Pole sana😞
Mungu wa mbinguni akutendee update pa kuishi
Tuwasiliane kuona namna ya kusaidiana
Pole San 😢😢
Amen unapozuru wengine naomba usinipete yesu wangu
Amina, mimi binafsi nashukuru sana kwa huu utenzi za rohoni, nimeufurahia sana na umenigusa sana,Mungu akubariki sana na aendelee kukuinua katika kipaji hiki cha kutangaza makuu yake kwa watu kwa njia ya nyimbo.Amina
Amina
It's really touching song
Usinipite mwokozi unisikie unapozuru mwengine huu mwezi wa Tano usipite mwokozi wangu😢 l will come back with a testimony 😢🙏
🛃🚭
😭😭😭😭😭. Mokoz wewe ndo unaweza kila kitu wape nyimbo tamu hakika inaingia moyon sana. 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Ee yesu usinipite jioni ya Leo nione mkono wako niguse baba❤
Yesu niongoze katika wokovu bwana n hii safari ya maisha
Usinipite mwokozi,,nitetee Kwa kila jambo Yesu wangu
Usinipite yessu,, yessu naomba unisikie unaapozuru wngne usinipite❤❤❤❤
Hata na mimi naomba usinipite unapo gusa wengine na mimi niguse mwokozi wangu
Bila yesu sisi ni Bure jina lake litukuzwe
Unapozur wengine ucipite yes Wang .asant Kwa song 🙏🙏🙏🙏🙏
🙌🙌🙌🙌Yesu unaposuru wengine naomba usinipite🧎🏾♀️🧎🏾♀️🧎🏽♀️magoti napiga kwako nisamehee🙏🙏🙏
Mungu usinipite tarehe Sita huu mwezi ..wakati ya greencard 🎉❤
Be blessed
Yesu naomba unisikie unapozuru wengine mwaka huu wa 20224. Usinipite
Mungu unapo zuru wengine usipite usipite wazazi wangu uwasikiye na watoto wangu usiwapite
Hata mimi usinipite unapo zuru wengine usinipite❤
Powerfully this song usinipite yesu wangu unisikie niombapo bwana yesu
Eee mungu wangu usinipite😢😢😢😢
Usinipite mokozi unapo nzulu wengene namimi usinipite❤❤❤❤❤❤
Unapozur wengin usinipite uniepushe na Magonjwa Amen 😢🙏🙏
Wimbo huu unatufundisha tusioneane wivu kwa wengine,unapoona mwingine amebarikiwa mwambie Yesu usinipite unapozuru wengine.
Usinipite Yesu wangu this is the time I need you oh mighty father 😭😭😭😭😭😭😭
Usinipite Yesu🤲🤲🤲🤲🙏
Yesu naomba usinipite katika majaribu nayokumbana nayo unijibu Baba.
Hata mimi Yesu usinipite leo.l really need you God
Ee mungu simama nani kipindi hiki kigumu Sana kwangu naomba unitie nguvu bwana
Eeh mungu wangu naumia ndani kwa ndani usipite bwana 😭😭
Asanteee Sana yesu usinipite kwa Kila Jambo bwanaa
Yesu usinipite mwokozi hii wimbo inanipa ujasiri sana
Mungu alinde watu wot wenye magonjwa na wazim amin pamaja mimi lupilya tumukalibishe mungu usiku washida asante
Yesu yesu unisikie unapozuru wengine usinipite
Yesu wangu endelea kututia nguvu na kutuponya baba....hatuna mungine wa kulilia
tupoenda kumaliza mwezi pia usitupite tushike mkono hadi tufike mwezi mwingine..
Ee bwana naomba usinipite mwaka huu wa 2024 Kwa upendo juu yangu 🙏🙏
Bwana Hatakupita, imagine the years you have na hakukupita miaka hiyo yote, 2024 hatakupita, maybe what you're expecting is within you.
Yesu usinipite katika mafungo yangu haya ya siku nane,uwe pamoja nami ❤
Hakika Mungu wangu usinipite,, unapozuru wengine naomba unikumbuke🙏🙏
Kikombe hiki ni kizito mno siwezi pekeangu😢😢🙏🙏,,
Like also our fb page SAMUND MEDIA and you won't miss any of our uploads.
Ameen 🙏🙏
Unapozuru wengine,usinipite 😊 Mungu Wangu
Mungu naomba usinipite mwaka ishirini natatu magumu yote nifanyie kuwa mepesi
Ee bwana usinipite mwaka huu 2024 nikafanikiwe kwa jinàa la yesu,
Mungu wetu usipokuwa nazi atutawezi katika is safari ❤🎉❤❤❤❤❤❤❤❤
God remember me as i fight all the challenges that may come across my life i pray for the defeat of all evils in my family in Jesus name amen
Nikisikiliza wimbo huu.najikuta mwenye furaha sana
A very powerful prayer. It is so touching listening to this. May the Lord not pass us by in His goodness .❤
usinipite mwokozi mwaka huu wewe tu ndio tegemeo langu naomba unitimizie haja ya moyo wangu na usiniache kamwe niaibike
Eeh mungu unipariki nami hii mwaka wa 2024 let my dream come true🙏🙏🙏
Mungu hakubariki nahiyo, nyimbo huu umenigusà moyo wangu amen 🙏 bro, thanks again.❤
Usinipite Yesu wangu Leo ikawe zamu yangu Amina🙏🙏
Yesu naomba usikie kilio changu kwa huu mwaka