RC Makonda: Mtendaji Umesomea Nini? Nakupandisha Cheo Utakuwa Msaidizi Wangu Kuanzia Leo Nj..
Вставка
- Опубліковано 27 тра 2024
- RC Makonda: Mtendaji Umesomea Nini? Nakupandisha Cheo Utakuwa Msaidizi Wangu Kuanzia Leo Nj..
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#rcmakondaarumeru
#ARUSHAYASIMAMA #MKASAWAKUSIKITISHA #RCMAKONDA #rcmakondamonduli #rcmakondamonduli #MAKONDALIVE #makonda #makondaleo #makondakaratu #karatu - Розваги
Ni Nani kama Makonda? Haki mbele ya haki Mungu akulinde Makonda wetu kwa kusaidia voiceless people.
Sana this man ni zaidi ya msaada
Hakuna 💪💪💪
Kabisa kabisa! Mtendaji hongera sana sana. Huyu ndiye Makonda!
Hata kama watu wote watasema Makonda anafanya vibaya bado mimi nitaendelea kumpongeza
Kabisaa Mimi namuombea huyu baba anatumiwa na MUNGU kabisa
Hatamm namuunga mkono!
Kazi anaifanya Mungu awe nae
Makonda ana utu kweli ni kiongozi wa mfano
Hata mie
Mtenda haki hulipwa kwa haki kweli mtendaji ni mchapa kazi hongera sana RC kwa mpandisha cheo mtendaji anafiti apo ulipomuweka.
Kweli Kila mtu ana Ridhiki yake Anatembea nayo 😅
@@jackmabirangacharles9398upo sahihi bro
Big up Makonda - USA
Anafiti sanaaa
Safi sana mtu mzuri niyule aliefanya makosa jana Leo akagundua kosa Lake na akawa bora zaidi yajana
John Nkini classmate wangu, hongera sana kwa kupandishwa cheo
Huyu kaka kaniliza.kama unaona bendera hapo nipp canada kwa. Hali kama ya huyo kaka.walikuja watu kazini kwangu kutoka marekani wakitaka majibunya miradi ya usaid yaani matron wa hospitali anababaika.mkurugenzi anababaika wakasema nani anaweza tuelezea walau kidogo ndipo nilivyosukumizwa mimi tena ni wa hovyo kabisa nurse wa kawaida nilivyosimama kiujasiri lila swali wananiuliza najibu waliniuliza elimu nikawajibu wako tunaomba jina lake na kila kitu huyu anahitaji kusoma zaidi ni hazina mliyonayo hamuuijui. Ndipo nikachukuliwa kuja canada masomoni nyumbani kwetu ni wa hovyo yaani tukibahatika wali ni christmas tena boxing day.
Inaonekana alikuwa intelligent and humble person
Dah kweli fanya kazi kwa uaminifu tu Siku Yako ikifika Mungu anakuinua kama huyu mtendaji
Classmate kaonekana
Yaani nimeipenda hii
100% . Makonda huyo Mtu anafaa kuwa msaidizi ofisini kwako big up
Hongera sana kwake mtendaji
Nimefurahia sana kazi nzuri ya mtendaji na alistahili kupandishwa yuko smart sana. Big up Paul Makonda Mungu yupo na wewe daima na sisi hatutachoka kuwaombea hongera sana pia Mtendaji.
Yupo smart sanaa, amejielezea vizuri aise
Na ana memory ya kutoshaaa YAANI kanifurahisha vibaya MNO huyo mtendaji na hata ningekuwa Mimi nisingemuacha hivi HIVI ❤ he deserve more than that
Baraka za wazazi pengine ni Dua za wazazi tuwafanyieni wazazi mazuri
Kweli kabisa dadangu❤
Baada ya mungu ni mzazi
Hata wakupinge vipi lkn wewe ni chaguo la wananchi Makonda makonda Mungu Akulindeeeeeeee
Kazi inaonekana hongera
Nimefurahi sana.. kwa namna Mtendaji alivyonyoosha Maelezo vizuri,huyo ni kiongozi Bora sana na Hongera Mh.Makonda kwa kumpandisha cheo hakika anastahili ....Namuona mbali zaidi na Mungu awabariki muendelee kusimamia haki za wananchi.
Kama wote wanamkubali makonda mimi ni nani nisimpendekeze achukue form !! Mungu tulindie makonda wetu
Amen mungu mlinde sana makonda wanyonge wananyanyasika sana
Wow MAKONDA MAKONDA MAKONDA HALLELUJAH MTUMISHI WA MUNGU ALIYE HAI WEWE UNALINDWA NA BWANA WA MAJESHI ....
njia za Mungu ni nyingi sana na hazichunguziki, pengine mtendaji alienda na hofu lakini Bwana akamfanyia kicheko, Bwana akamwambia kwani ungetenda vyema usinge barikiwa.?, tuendelee kujituma na kuwa waaminifu Mungu atatupandisha kwa wakati wake.
PIGA KAZI MAKONDA WE SUPPORT YOU 100%.....
Makonda ni nani Mtu uyu mbona Kila sehemu ana fit niwashauli wote wenye chuki na Mtu uyu acha neni nae amta muweza sehemu aliopo ni wito wa Mungu pia ni kipenzi Cha watu mfano mm nipo Dar Ila namfuatilia sana
Yaan, Mheshimiwa Makonda kila nikikusikiliza na kuona vitu unavyofanya sikosi kutoa machozi nikimshukuru Mungu kwa ajili yako. Mungu akulinde na kuzidi kukutumia kuleta faraja na tumaini jipya kwa Watanzania walio wengi.
Kwenye maisha kuna kitu kinaitwa bahat lakin kuna kitu kikubwa zaidi kinaitwa KIBALI, achana na mambo ya bahati coz unaweza kuwa na bahat usiwe na kibali ila kibali kinabeba Bahati....hongera Mh hongera kaka uliyepandishwa cheo Mungu Anawakat wake tupige makofi kwa wengine tukiamin na sisi saa yetu yaja❤
Mama mwangalie makonda atakusaidia sana kwenye selikali yako wengine wababaishaji tu ndiyo hao hawamtaki
Selikali ni nini?
@@Ndu-wa.uroony2hata wewe unaweza kutuambia serikari ni nini😂😂😂 mpaka unatunga mtihani wa swali maana yake jibu unalo mwenyewe kwan wewe unajuaje😂😂😂😂😂
Kweliiii🎉🎉🎉
Yani mimi atakae msema makonda vibaya na anguka nae walahi
@@judithkatabaro3294😂😂😂😂😂 kubabaabaaake😂
Afisa mtendaji ubarikiwe ur a good leader
Eti mtendaji wa kata
Halafu elimu kamshinda mkuu wa wilaya makonda hongera sana
Hujaambiwa kamshinda
I still don’t understand why most people hate Makonda it doesn’t make no sense to me.. at all
😂😂raha ya kuwa mkweli.wote kama ni wakweli katika maisha yenu piga like hapa😂😂
Bado kidogo Makonda ataachiwa Nchi..Japo watu wanasem kaul zake sio nzur, Namkubali Sana Makonda...
Hiii TZ inahitaji mtu kama Makonda
Maana nchi imejaa mitapeli.
@@gracemwakibolwa7910 ,.bila shaka mkuu
Huyo mtendaji amekaa smart kuanzia mavazi,kujieleza hadi kujiamini🎉🎉
Mheshimiwa MAKONDA ni miongoni mwa wakuu wa mikoa bora kabisa,hawa vijana ndo tunaowataka💪💪💪#CCM chama changu
Mh makonda ucku na mchana tunakuombea dua kwa Allah akulinde na husda za watu wabaya ili uzidi kuwatendea watanzania mema na haki zao amiin
Mtaje kwenye maombi kwelikweli
@@justussebastian4779 Lazima tumuombee kiongozi kama huyu kwa sababu anafanya mambo manzuri ya kumpendeza mwenyezi mungu
Mungu asikie duwa yako njema watu wanonewa haki zao Kwa kweli awana msahada
Cheo kizidi kupanda kakangu, hongera sana Mtumishi nawatakia mafanikio zaidi
Mh Paul Makonda nakukubali kwa kazi unayoifanya unastaili pongezi unanikumbusha mbali saana na utafika mbali kwa uwezo wa mwenyezimungu ishallah
Leader always aleader mungu akubariki sna makonda
Haya jamani wengine wanatumbuliwa na wengine wanapandishwa vyeo hapohapo
Ndo maisha yalivo jema na baya kucheka na kulia
Hili dude linatakiwa liwe lirahis la nchi. Kwanza Bado umri mdogo na,Lina nguvu.yaan naanza kulifananisha na captain Traole.Mungu amlinde aseee
Nikweli usemacho huyu ni Ibrahim Traole
Umeona ee
New jpm legas
Yaani mule mule hili jamaa likiwa Liraisi hii nchi itafika mbali sana
Kama kuwa Rahis hapo sawa, ila Rais bado
Allah amlinde na amuongoze katika haki makonda
Madonna wewe ndio yule Mungu aliempenda zaidi akaamua kumpumzisha.chapa kazi umerithi kipaji chema.
Kweli kwa ufanisi wake wa KAZI anastahili hiyo nafsi bravo👏
Mtendaji amenyooka. Hongera makonda kwa maamuzi uliyofanya . Anaonekana atakusaidia sn kwenye kitengo ulichompa
Kama wateule wote wanaomwakilisha Rais wangeiga mfano huu wa utendaji wa kazi wa Mh.Makonda Tanzania kungekuwa na kero chache kwa Wananchi.Hongera sana Mhe.Makonda Mungu azidi kukulinda
Mr makonda naikubali sana kazi yako,, chapa kazi
Kiboko Yao
Katika mikutano ya RC Makonda leo nmemsikiliza mtu smart na mwenye Brain. Afu ni mtu wa chini sana. Goood Mtendaji. Sio ile mianamke inapataje sijui izo nafasi?
Hata mimi sielewi wale wamama walizipataje zile nafasi kujibu hawajui kila kitu niwabishi
Aisee huyu mtendaji anastahili sana kiukweli. Kijana safi
Kweli wakati wa Mungu ni wakati sahihi.
Hakika kbsa
Kweli kabisa ukute jamaa hata hakuwa na wazo hilo
Halafu anatokea mtu leo,anamrushia mawe Makonda, kama Mungu aishivyo, hayo mawe yatawarudia wenyewe ktk jina la Yesu....
Hebu tukiona watu wanasimama ktk zamu zao kwa uaminifu na ujasiri, tuwapo geze, na tumrudishie Mungu Sifa Heshima Shukrani na Utukufu.
Huyo mtu angekua karibu yangu ningemmeza bila mate!😏😒
Ameeen!.Na waanguke katika.utelezi wao wenyewe
Makonda ubarikiwe sanaaaa mamayetu tuletee makonda mbeya
Hapana hatutaki huyu haondoki, nitafunga nakuomba a baki arusha
Weee mtuache na makonda wetu hata mwezi haijaisha 😂
Ila mtendaji nae ni kichwa du! Anakumbukumbu sana Yan Hadi nimelia jmn😭hongera kaka Kwa kazi nzuri mfanyie huyo mzee kazi yake
Genious sana mtendaji
Msaidizi wa mkuu wa mkoa wa Arusha mtarajiwa anajua kuongea kitu kilichonyooka bila mapindopindo utafkiri anasoma mahali, anastahili hongera sana na Mungu awalinde sambaba na mpendwa wetu Paul Makonda
Huyu Mhe alivyokuwa benchi baadhi yetu tulikuwa na huzuni kubwa na kubaki kumuombea tu Mungu, Mungu ibarik Tanzania, Mungu mbarik SSH
Kwa kweli anastahili pongezi Mungu aendelee kumbariki na kumlinda na watu wote wenye roho za chuki na husda dhifi yake
I love this man , na huyo jamaa ambaye ni afisa mtendaji ana vi element kama RC Makonda kushughulikia Critical issues ! Big up mtumishi wa umma
Dah Yani huyu mtendaji kanipa fundisho ewe mungu mpe wepesi kwenye kazi yake mpya
Ongera xna mtendaji upo vizuli unajua kujieleza unafanya kazi ya wananchi vizuli, kila la kheri kwako.
Makonda ni Kiongozi aliyesukwa vzr sana mzee Magufuli, Big up sana kiongozi
Tenda WEMA ipo siku ambayo huijui Mungu anawatumia watu dhaifu kuinua watu...hivyo Roho MBAYA HUTUFANYA KUKOSA maendeleo
nakukubali pia akili zangu na zako safi kbs
Daah aisee
Mwenyez Mungu amjaalie Makonda maisha mareefu yenye afya njema inshallah.
Mungu akubariki makonda kumpandisha cheo ikawe heri
Ameen Yallaaby Ameen 🤲🤲🤲
Kwakweli toka nimefatilia mikutano ya Makonda huyu mtendaji ametoa majibu ambayo hata sisi tusiojua huo mgogoro unaona kuna juhudi za kiongozi zimefanyika. Kuna wakurugenzi jana walichokuwa wanajibu wanakijua wao
Umeonaa kakaee?? Yani Leo Kwa mara ya kwanza Nimemsikiliza mtu smart afu ni mtu wa chini kabisa. Afu Kuna mtu anakula Mshahara Milion 5 huko juu akiongea Utasema anaharisha. Arusha Haina watumishi naona wengi ni wanawake wa kuweka wekwa tu na wakubwa
Wanapachikwa tuu, hawana kitu kichwani kabisa
😂😂😂😂😂😂
Mama samiha suluhu mpe cheo Mtendaji ni mchapa kazi balaa ebu mpatie hata ukuu wa wilaya hakika hutojutia
Kwa hapo big up....kwa maamuzi..ya kumpandisha cheo mtendaji...
Pongezi kwake Ndg. John Nkini hakika ni mtu mwema sanaaaa.
Mungu amtangulie
Haya wale wapumbuvu wanaosema makonda anazalilisha watumishi umeona uwadilifu anaofanya kwa watumishi wanaojitambua
Hongera kijana kwa kupanda cheo. Mungu akufanyie wepesi katika utekelezaji wa majukumu yako mapya ya kumsaidia Mkuu wa Mkoa.
Makonda ni makonda aisee huyu broo mungu ampe umri mrefu sanaaaaaa❤❤❤
Makonda anaielewa kazi yake na anaifanya ipasavyo. Naomba Mungu akulinde na akupe neema ya kukamilisha kazi aliyoiweka mikononi mwako. Nahisi kuwa viongozi wa Kenya wana take notes.
Daa hadi machozi yamenitoka,Makonda Mungu atakulipa kwa kazi nzuri na utendaji wako wa haki, asante sana mkuu
This is how God promotes people❤
🔥🔥🔥🔥✅✅✅makonda hakika utakuwa mtu mkubwa sana zaid ya hapo na mungu atazidi kukulinda baba
Uncle makonda mungu azidi kukupa nguvu na uzidi kuwatumikia wananchi
Simtofautishi Makonda na Captain wa Bukinafaso! Big up kijana!
Big up Makonda -USA
Chapa kazi msadiye Mama yetu Samia Suluhu
Hongera sana Mh Makonda kazi nzuri. Mafisadi mnaotuma watu kuwalipa milioni 6 iliwamuue Mh Makonda tuna mashaka hata kifo cha hayati Magufuli
Kumbe ww unajua mpaka bei wanayilipwa tutanza na ww kwenye hili.
@@romanilyimokwani wee hujaona wametumwa watu 8 malipo milion 6
Dah! Wakati wa mungu ni sahihi
Hakikaa🙌🙌🙌
Makonda. Oyeeeeeeee mung akulinde na mabaya na akujalie mema na afya njema daima inshaalah ❤️❤️❤️
Wakati wa Mungu ikifika hakuna wa kuzuia
Mwenyezi Mungu akihitaji kukupa hakuandikii barua..hongera sana Mtendaji kata
Ubarikiwe sanaà kwa kazi nzuri unayoifanya .ubarikiwe sanaaa
Makonda wewe ni kiongozi wa mfano na wa kuingwa haupo kisiasa upo kiutu zaidi raia tungepata viongizi kumi kama wewe nchi yetu tungeishi katika haki na usawa Mungu akutunze mkuu wangu baba yangu jasiri
Kijana wetu Makonda. Endelea kuchapa kazi. Kaa kwa kutulia. Nakuona ukifika mbali sana katika uongozi. Wananchi wanahitaji msaada kama unaoutoa.Barikiwa sana uwe na maisha marefu. Asante Mama Kutupa huyu kijana.
Yaan mpk nimetoka choz kwa Furaha hakika Mungu akutunze mh Makonda
Nimefarijika sana big up president wa Arusha
Nakuwa na wakati mgumu jinsi ya kumuombea kwa mungu ulinzi wa mungu mwenyewe sijui niombeje lkn hofu yangu haya maombi yanamfikia mungu? Au tutaumizwa kama tulivoumia kwa aliekuwa rais wetu mpendwa burudoza joni ee mwenyezi mungu nakuomba umlinde kijana huyu amen
Muovu haombewi maana amemwaga Damu za watu wengi watu kama ninyi ndo mtatumika kama kuni kumchoma moto mharifu huyu
hongera sana kupanda cheo afisa mtendaji. Mama Samia twaomba mrudishe Sabaya Ole kazini ni mchapa kazi mahiri mnoo kiongozi safi
jamani kuna mtendaji yupo kimamba kilosa jamani anafanya kazi vizuri na kwa waledi yaani i wish siku apandishwe cheo inshallah🤲🤲🤲
Hongera sana naipenda sana kazi unayoifanya ubarikiwe
Makonda safi unafaa kuwa mkombozi wa wanyonge .jitahidi kutenda haki mungu atakufikisha mbai .good job
maashaallah wakati wa mola ni wakati sahihi wallah.
mungu akubariki kwa uadilifu wako bwana mtendaji. kweli umenyooka.
hongera pia kaka makonda
salut savaaa
Mungu Tunakuomba umlinde huyu baba
8:41
Kiongozi, Mungu atakulinda katika kazi yako. Usichoke
Safi Sana mtendaji yaani kuna baadhi ya watumishi wako vizuri, mtumishi anaulizwa kitu hajui hata anaongea nn
Mungu ni Mungu tu. Hongera sana mtumishi wa umma Mungu akuinue zaidi.
Makonda wewe❤
Hongera sana mkuu wa mkoa na mtendaji ❤❤❤
Muito emocionante, isso é que é ser líder. Parabéns Makonda👌
Safi sana makonda uko vizuri sana Mungu awe nawe milele amiin
Jamaa anastahili sana, mfuatiliaji haswa
Kazi hadi usiku Big up saana makonda
Mungu zidi kubariki kazi za makonda uweze kumponya na wabaya ili aendelee kutetea wanyinge asante Mungu kwa mtumishi wako Makonda zidi kumpandisha cheo atetee wanyonge. Makonda Mungu akubariki hata kwa kumpandisha mtendaji nawe utapandishwa na MUNGU.
Jembe lime ondoka mpini ume Baki🙌waya lazima zigusane ⚡salute makonda mungu akutunze Amin
Safi sana makonda Kwa kumpandisha kijana mwenzako juu
Safi sana kijana ww nimtendaji bora
Kwelii jamaa ni haki yake apandoshwe cheo. Yuko vizuri kwenye kujieleza. Safi sana Mkuu wa Mkoa Paul Makonda
Huyu mtendaji Mungu ambariki
Hongora Sana makonda mungu akupe nguvu kuwatetea mwanyonge
Makonda Mungu azidi kukulinda kaka yangu karibu Arusha mkuu kweli tunahitaji watu kama wewe Tz🔥🔥🔥🙏 endeleza Mtetezi wa wanyonge ubarikiwe wewe na family yako❤
Hongera sana mh makonda kwa kazi njema
Mtendaji amevuna alichopanda ❤❤🎉
Big up makonda. Mungu azidi kukutunza na kukulinda🙏🙏🙏🙏