MATATU BUS IN KENYA 2020 |Matwana Culture

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 лис 2020
  • 👕 Thank you for making these reaction videos possible by supporting my clothing brand, JUST GO 🌎: van-isikaka.creator-spring.com/ Riding with Big Man Bazuu / Top Dawg
    • Riding with Big Man Ba...
    𝙏𝙝𝙖𝙣𝙠 𝙔𝙤𝙪 𝙁𝙤𝙧 𝙒𝙖𝙩𝙘𝙝𝙞𝙣𝙜!
    🚩 Remember to subscribe and hit the bell "🔔" icon, so you don't miss out of the crazy vibes reaction.
    Thank you for stopping by 😎 Welcome to #Vanisikaka🔥🔥 Swahili reactions , VanVlog and good series that happen weekly 🤘🏽🤘🏽
    For branding/ sponsors or any artist that want me to react to their music email me at Vanisikaka@gmail.com 🤘🏽🤘🏽
    #Vanisikaka #YouKnowWhaat #SwahiliReaction #Unyamwezi
    Support me on
    Donate PayPal: www.paypal.com/cgi-bin/webscr...
    Donate Gofundme: www.gofundme.com/manage/donat...
    Join this channel to get access to perks:
    / @vanisikaka
    Social media
    Facebook: / van.isikaka
    Instagram: vanisikaka...
    Tiktok: Vanisikaka
    Copyright Disclaimer Under Section 107 of the copyright Act 1976, allowance is made for “fair use” for purposes such as criticism, commenting, news, reporting, teaching, scholarship, and research. Fair use is a use permitted by copyright statue that might otherwise be infringing. Non profit, educational or personal use tips the balance in favor of fair use* ALL RIGHTS BELONG TO THEIR RESPECTIVE OWNERS

КОМЕНТАРІ • 218

  • @MatwanaMatatuCulture
    @MatwanaMatatuCulture 3 роки тому +71

    🔥🔥

  • @hassangingi7033
    @hassangingi7033 3 роки тому +36

    254 les show this guy some love❤

  • @ahutamorris
    @ahutamorris 3 роки тому +51

    Hiyo comment unasoma ni yangu ni yangu, nashukuru sana kwa kunitambua kaka. Ukitaka mengi kuhusu matatu au kitu chochote kile huku Nairobi basi usiwe na wasiwasi kunitafuta nikupe habari ya mjini

    • @Vanisikaka
      @Vanisikaka  3 роки тому +5

      Safi saana bro , utanifollow insta bro

    • @ahutamorris
      @ahutamorris 3 роки тому +2

      @@Vanisikaka freshy kabisa, kwa mpigo nitakufwata

  • @Iamcocosun254
    @Iamcocosun254 2 роки тому +17

    Let's show love ❤ Kenyans this is our boy

  • @Josh-gk8rd
    @Josh-gk8rd 3 роки тому +15

    Watu hawasimami. Kuna time nlikuja dar es salaam nkaona watu wanasmama kwa matatu lakini uku gari yaeza shikwa watu wakisimama

  • @dorothyshisia6320
    @dorothyshisia6320 3 роки тому +16

    Wakenya wanapenda kubadilisha majina ya Kiswahili Kwa kingereza. Matatu-ma3
    Magufuli_Mapadlock. Usipo pimp gari watu hawataingia.

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 3 роки тому +11

    Check nyengine kwa hio acount ya Matwana Matatu Culture, Matatu inaitwa BOOM BOX iko na speakers mpaka za nje nyuma ya gari, mambo moto

  • @ahutamorris
    @ahutamorris 3 роки тому +8

    Kwa mlango kuna makondakta wawili au zaidi na wanafanya madoido au styles za kuning'inia kwa mlango.

  • @patrickochieng79
    @patrickochieng79 3 роки тому +12

    Mziki wa matatu inategemea moods za dereva hehhe

  • @MartinezzJT
    @MartinezzJT 3 роки тому +7

    Huyo mshikaji amechambua fiti sana.

  • @egideniyonkuru9705
    @egideniyonkuru9705 3 роки тому +5

    Van8 nipo kenya ila natoka Burundi nakwambia hizo ghari za matatu unazoona zina unyamwezi mwingi xn maana zimepamba njee na ndani kuna ngoma ile balaa we acha tu ukija huku utaona mwenyewe kuta tivi kweny kila siti huku kenya razima ushangae poa Burundi tunakupenda🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @MartinezzJT
    @MartinezzJT 3 роки тому +9

    Matatu za mtaa wetu hata hazina milango -zimechapa sana 😅😅😅

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 3 роки тому +6

    Afro beat na bongo flavor ni matatu za Mombasa

  • @geemwangi2579
    @geemwangi2579 3 роки тому +14

    Zina hadi socket ndani na wifi

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 3 роки тому +7

    Matatu za Mombasa na Nairobi ni mambo mbaya

  • @elthedj3075
    @elthedj3075 3 роки тому +18

    ni post refu -- to elaborate more on your questions bro....saka moha grafix ,,,,uyo msee ndo most established and he is the founder of these grafiti kwa mat....tickets unalipa ukishaingia,,, it will depend na penye umetoka na unapoenda pia yategemea na wakati,,, wakati wa rush nauli hupanda ata ikafika double, rush hua hasa asubui watu wakienda kazini na jioni watu wakitoka kazini,,,mchana hasa bei huteremka sana lakini kwa izi nganya bei si rahisi ishuke so kama mwezi imfika kati kati na umeishiwa unaenda kwa izi mat zimechapa apo bei hua imeshuka utaenda ata na mbao which is 20bob,,pia, wakati wa mvua bei hupanda zaidi kisa ni kua jam yazidi kisha mat huchukua mda mwingi barabarani, kitu chengine, ukipeana hela kubwa wekaga kwa akili umepea conductor hela kubwa ywafaa akurudishie change ukusahau basi ndo ivo change yako imeenda ka sadaka msee. i used to live in kayole kisha nkahamia umo(umoja estate) basically time ya rush bei from kayole to tao(town) ni mia,,, pia umo. about the pimping(kurembesha ,kueka screen izo zote) yaeza fika millioni moja ya kenya, tafuta documentary fulani ambayo citizen tv wakihoji moha grafix. alisema kua client akija hua anamwuliza theme anayo taka, kisha akasema kua interior making hadi mziki na flat screen hadi viti kurembesha yote yaeza fika milioni moja ya kenya kwa mathree kubwa kama io banzuu,,,kwa 14 seater mathree izi ndogo ni nusu ya io hela .wakati wa rush ni ukweli watu husmama kama hakuna polisi barabarani,, na ndio mana kuna flat screen kila kona ndio kukijaa utaweza kutazama screen ilio kando yako,, pia kuna matatu zengine ambazo kila seat ya nyuma yake kuna screen..hua kuna mixtapes za ma dj .. djs wanatengeneza mamix kisha wanazisambaza kwa mamathree kila route,, by the way izi mathree zimepromote mziki sana,, dere(dereva) ndo hua anaremote apo mbele shida ni mpate dere ako veve yaani miraa mtakulishwa reggea ajab the whole route hadi destination arrival haha... kushawai kua na mat iko na ac,,, i dont remember the name,,, but madirisha hua mtu ywaeza fungua akifunguka hiari yake bora uchunge simu isivushwe dirishani ikaja pata mteja mgeni haha.. basically kuna car power supply specifically for the music system, the speakers, the lightngs ,, hua kuna car battery ya io kazi haswaa yategemea na watts zake,,, yaweza enda direct kutegemea na abiria ,, kama kuna abiria wa njiani basi itakua yaenda ikisimama ikiokota aboria wengine. kampuni ni nyingi kayole kuna base moja,, south b iko , githurai iko, dandora ipo,,, ronga iko , lakini moha grafixx ndo mwenyeji.. conductor huvaa red dereva huvaa shirt la blue government protocal.. kenya io mambo ya card itachukua mda kiasi maana ujue izi bara bara izi mathree ni a ma cartels fulani so wanapata kutokana na io biashara transport industry ina pesa uku kenya so mambo ya card kenya zii si ka sa hii, nairobi hasa vijanaa wapenda sana hip hop trapp ndo ngoma huchezwa sana kwa mathree sipendi pia haha.. kuhung kwenye mlango wa mathree ni kawaida ni ibada ni mila kwa izi nganya, ni hatari lakini hua wanawashwa ,, hua kuna wenye hubembea haswaaaaa,, yea true nairobi wanapenda reggea , gengetone zippo,, tuseme kila wakati una ngoma zake asubui ngoma relaxing kama rnb , mchana reggea hasa,, jioni ndo izo gengetone tuseme ama kitu kama icho, yes wi fi ipo kwa ma mathree sai,, kuna mat inatokea nganya mpya ,,, itakua route 125 ronga ,, inaitwa boom box,, ni ngori sana,, ni kali sana,,ebu tafta fb page ya matwana culture fb ,, utacheki progress ya ma mathree za nairobi vyenye zipo,,

  • @art.ikocreations
    @art.ikocreations 3 роки тому +12

    nganya mingi zinapigwa spray work but kuna zile zinatumia pia stickers.
    Kulipa ni baada ya nganya kujaa na iko njiani imeondoka.
    Ndio, wanatumia pesa nyingi kurembesha kama vile body kit, mziki, wifi na mengine.
    dirisha waeza kufungua lakini unafaa kuchunga ju kuna wezi so waeza poteza simu ama begi yako😂
    Matatu ikiondoka njiani inawashukisha watu kulingana na pale mtu anataka kushukia kwenye route inayopitia.
    mtu anayejulikana kupimp manganya mingi Nairobi ni Moha grafix.
    Conductor ama konda in sheng huwa na uniform ya maroon.

  • @lawruhns5132
    @lawruhns5132 3 роки тому +6

    kulingana na sheria mpya zakenya matatu ni kama radio station, ukitaka kucheza mziki wa humu lazima ulipie license

  • @sammura462
    @sammura462 3 роки тому +8

    Unapenya sasa

  • @paulinenjoroge.2236
    @paulinenjoroge.2236 3 роки тому +6

    Kuna matatu siku hizi zinwekeza kwenye kupata live Djs wanamix live kwa matatu 🤩😋

  • @djtucha
    @djtucha 3 роки тому +4

    Huyu jama na commentary 😂😂😂😂😂 ka furahisha sana 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽 good job sana. Keep it up.

  • @geemwangi2579
    @geemwangi2579 3 роки тому +5

    Muziki utalingana saa zingine utapanda nganya upate ngoma unapenda saa zingine upande ingine dereva ameeka ingine imeboeka sana

  • @saus7217
    @saus7217 3 роки тому +5

    Kuna Jamaa anaitwa MOHA he is the king of Graphic hapa 254

  • @godihkibe5728
    @godihkibe5728 3 роки тому +4

    Faida mingi gharama mingi msee wakenya wanajua ,,,,wajanja xana

  • @nicholaskimuyu369
    @nicholaskimuyu369 3 роки тому +5

    Van umecheki kaka bweha???...the interior is on another level, kwanza the floor🙌🙊

  • @christinezighe6916
    @christinezighe6916 3 роки тому +3

    Big up brother that's why I love you

  • @babanabil...1247
    @babanabil...1247 3 роки тому +4

    Hicho cha juu bro kimeua kaka...

  • @enockkorir4290
    @enockkorir4290 3 роки тому +3

    Maze hizi nganya hukua na loud 😂😂🔥

  • @KelvinKim-desu
    @KelvinKim-desu 3 роки тому +1

    Siku hizi kuna shengi ya nauli. Wauliza mangapi! Wakati wa kale waambiwa matatu. Leo waambiwa matano, masoo, marwabe (50, 100, 200). Representing 111. The baddest route!!! Tafuta hao matwana culture. Utashangaa mshkaji. 😁😂

  • @Isackdibogo1993
    @Isackdibogo1993 3 роки тому +2

    Akuna wasee wa MAMBA NI MOJA JU WANAKUANGA KILA MAHALI

  • @antonymangu3458
    @antonymangu3458 2 роки тому +1

    None stop sio kazi ,,,kkazi ya matatu ni mbemba shukisha ndoo fainda

  • @gedionsila6320
    @gedionsila6320 2 роки тому +1

    Hapo kila k2 inafanyiwa hapa Nairobi na watu na kampuni tofauti...very talented guys around

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 3 роки тому +4

    Saa zengne matatu kama Mombasa tunaita kitatu

  • @charleskabuchu7193
    @charleskabuchu7193 2 роки тому +3

    We love our matatu culture and that's why kenya we lead others follow and I norm think kenya we were made out of Africa

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 3 роки тому +8

    Conductors na drivers lazima wavae uniforms

  • @Dave-254
    @Dave-254 3 роки тому +1

    Unyamwez kama wote🔥🔥

  • @geemwangi2579
    @geemwangi2579 3 роки тому +11

    Naaam kuna kampuni mingi za vijana wanao fanya hii kazi ya kupiga graffiti kwa mat but mmoja legend anayetesa sana legend sana anaitwa Moha graffix mnyamwezi mwingi sana

    • @Vanisikaka
      @Vanisikaka  3 роки тому +2

      Kweli mnyamwezi nimekubali

  • @samuelwanjie3012
    @samuelwanjie3012 3 роки тому +4

    Hakuna kusimama..zina cheza video za muziki hawachezi movie

  • @ahutamorris
    @ahutamorris 3 роки тому +5

    Kuna betri kama tatu au mbili mahali pake na socket zake za kuweka umeme. Kuna makampuni mengi ya kuunda matatu na kondakta na dereva ni lazima wavalie magwanda yao. Huku kuna mabasi yanafwanana na yale ya Tz ya mwenzo kazi.

  • @kakerluder6567
    @kakerluder6567 3 роки тому +3

    Vaniskaka mbosso kashafnya mambo yake fanya unyamwezi

  • @dxhkitengela5454
    @dxhkitengela5454 3 роки тому

    Unywamez Mwingi sanaa😂😂😂

  • @geemwangi2579
    @geemwangi2579 3 роки тому +8

    Aaargh gengetone ndo inapigwa sana kwa nganya mingi

  • @africanmusic4602
    @africanmusic4602 3 роки тому +4

    Mattatu si nairobi tu kupakizwa it's alvoer d biggest city in kenya

  • @lavoste007
    @lavoste007 3 роки тому +1

    Kahawa sukari😂😂😂 iyo imekubamba... mombasa kuna mtaa unaitwa dunga unuse, mtaa wa mbuz na kadhalika

  • @andrewkim110
    @andrewkim110 3 роки тому +2

    wanachora bro gari kufanyiwa pimp itachukua hadi mwezi juu ni taratibu usikosee juu kurudia itakua noma tu sana

  • @billyjong2093
    @billyjong2093 3 роки тому +3

    Nauli ukitaka una lipa ata kwa mpesa hahhahaha namiss nairobi

    • @kingsan2548
      @kingsan2548 3 роки тому

      Karibu sana nairobery raha sana

  • @faithngendo2064
    @faithngendo2064 3 роки тому +3

    Mob love from kenyaa

  • @msaadaupo_ke
    @msaadaupo_ke 3 роки тому +2

    Mimi nachinja kuku bro! Nichapie reaction!!!!!! Rrrrrrrrrreaction

  • @capo_to_di_top
    @capo_to_di_top 3 роки тому +4

    wanachora hao ni magrafffiti masters na pia hizo gari huana wifi socket flat screen tv hd
    ni kama uko kwa ndege

  • @djjojaz254
    @djjojaz254 3 роки тому +6

    Ni kariako bro , kiriobangi ,kangemi pale nakotoka Mimi ,kaka twende mbele

  • @razorramoneentertainment9091
    @razorramoneentertainment9091 3 роки тому +5

    Ni kuchora na spray paint

  • @ahutamorris
    @ahutamorris 3 роки тому +7

    Noma, naona ushatoa reaction

  • @framoohuswazz2342
    @framoohuswazz2342 3 роки тому

    Nakubali mwana kwa Ku promote matwana huko bongo ,,

  • @MartinezzJT
    @MartinezzJT 3 роки тому +5

    MCSK walikataza matatu kucheza local songs bila license ama watakula bonge la fine 😄

  • @framoohuswazz2342
    @framoohuswazz2342 3 роки тому

    Ebu angazia mamba,,,the master mind

  • @miriammaina798
    @miriammaina798 3 роки тому +4

    18:25 LOL, "kaa pale pumbavu".

  • @georgembugua1565
    @georgembugua1565 3 роки тому +2

    Wanachora bro hamna sticker hapo,tafuta jamaa anaitwa Moha Grafix utaona akichora kinyamwezi sana

  • @wildcardstudios
    @wildcardstudios 3 роки тому +8

    Kila genre ya nyimbo ina wakati wake wakuchezwa😂... sio kila saa gengetone!

  • @ErickGuyayi
    @ErickGuyayi 3 місяці тому

    You love Kenya very much br you ,ve welcome

  • @eliasndungi9024
    @eliasndungi9024 3 роки тому +15

    Van, gari bonge lenye ubabe hivi sasa Nairobi laitwa MAMBA

    • @Vanisikaka
      @Vanisikaka  3 роки тому +1

      Ha ha poa nitaicheck hiyooo

  • @geraldopata8322
    @geraldopata8322 3 роки тому +3

    Van Isikaka reaction zake ni za kinyama,Unyamwezi kupitilizia mzee endelea ivo morio

  • @dionesiusmash55
    @dionesiusmash55 3 роки тому +2

    Am sure hujaona apo kwa first stop wamepita traffic police, the one in shouting green colour jacket 😂😂uku ni kenya

  • @sherwinhazelrugutt5560
    @sherwinhazelrugutt5560 2 роки тому

    Kuna zenye zikona screens Hadi nyuma ya viti🔥🔥

  • @adamcharo9327
    @adamcharo9327 3 роки тому +4

    Tafuta moha Graffiti....yeye ndo mkali wao nai

  • @ArarsoAli
    @ArarsoAli 3 роки тому +3

    Nganya

  • @nicoledinga9948
    @nicoledinga9948 3 роки тому +7

    Wakenya wanajiundia hizi matatu na wanafanya graffiti wenyewe...inaitwa talent my friend but we're happy soon hizi matatu hazitakua zaingia jiji😁

  • @Isackdibogo1993
    @Isackdibogo1993 3 роки тому +4

    Kariobangi code ya kwetu 14/28/26

  • @pflamesz
    @pflamesz 3 роки тому

    Unyamaz mwingi haha

  • @davychelsea6461
    @davychelsea6461 3 роки тому +2

    matatu pia sisi huita ma-three

  • @BaVaughn
    @BaVaughn 3 роки тому +3

    Moha grafix ndio anaziprint 😁

  • @phylipmelo8187
    @phylipmelo8187 3 роки тому +1

    Van isikaka.... What's popping

  • @jannetmaina6362
    @jannetmaina6362 3 роки тому +3

    Bongo apana haha

  • @andrewkim110
    @andrewkim110 3 роки тому +4

    matatu zina jina kibao bro kuna mat kuna nganya kuna manyanga majina kibao bro

  • @georgeotieno3497
    @georgeotieno3497 2 роки тому +1

    Nyingi zimechorua

  • @kelvomurithi3330
    @kelvomurithi3330 3 роки тому

    Moto sana✅✅😎😎

  • @ebenezerkipkirui
    @ebenezerkipkirui 3 роки тому +6

    Rush hour magari huwa mingi hakuna kusimama kwenye basi mabasi Nairobi ni mingi sanaa
    Pimping za hizi mabasi hufanya na jamaa anaitwa Moha

    • @ebenezerkipkirui
      @ebenezerkipkirui 3 роки тому +2

      Tafuta jamaa anaitwa Moha Graffiti Kenya 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥ametisha sana

    • @Vanisikaka
      @Vanisikaka  3 роки тому

      Nitamcheck jamaaa

  • @laurinenatasha2339
    @laurinenatasha2339 3 роки тому +2

    Nauli to and from ranges between 50 and 70

  • @telvinmoha5846
    @telvinmoha5846 3 роки тому

    Policia ,Big chief nganya

  • @austinwamono1226
    @austinwamono1226 3 роки тому +5

    pesa unlipia gari likisha toka stegi,,,nganya pia iko na free wifi nani mwake,,hakuna kusimama kama imejaa unachukua ingine ,

  • @willisonyiego9809
    @willisonyiego9809 Рік тому

    Hapo kwa Kahawa Chungu, huyo msee alikupiga kiswahili 🤣🤣🤣
    Hakuna mtaa Kanairo unaitwa hivoo. Yeyote anayekaa Nairobbery, anaweza niunga mkono🤣🤣🤣

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 3 роки тому +3

    Unalipa ukiwa ndani

  • @cullen1k
    @cullen1k 3 роки тому

    Walipia ndani😹🇰🇪

  • @anakalletyevansy8897
    @anakalletyevansy8897 2 роки тому

    kenya atutabui sticker .kuchora ndo kwenyewe💯

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 3 роки тому +2

    Bei ya ticket ni sawa tu na zengne

  • @georgemukoya8749
    @georgemukoya8749 3 роки тому +2

    +254 on top 👍💪👆👌😱

  • @maasaimkisii9089
    @maasaimkisii9089 3 роки тому +3

    *Kenya kama kenya unyamwezi mwingi*

  • @hassangingi7033
    @hassangingi7033 3 роки тому +3

    Eastleigh namba 9 na 6 little mogadisho!!

  • @anoldiaudifas6437
    @anoldiaudifas6437 3 роки тому

    Kuprint kak

  • @mtuwapicha5076
    @mtuwapicha5076 3 роки тому +3

    MAMBA NI MOJAA 🐊🐊

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 3 роки тому +4

    Kuna zile zinachorwa na kuna zile zmepigwa spray

  • @bantuvoicemuchaikinuthia2536
    @bantuvoicemuchaikinuthia2536 3 роки тому +4

    Alfajiri utapata sana ni gospel fulani hivi..... ama inspiration music...
    Lakini mara nyingi italigana na mood ya dereva... na management.

  • @christinezighe6916
    @christinezighe6916 3 роки тому +3

    Ticket iko available unalipa ukiwa ndani

  • @dylankanyubi3700
    @dylankanyubi3700 2 роки тому

    Tulikuwa tukiziita many anga kitambo sana miaka elfu moja mia tisa tisini hivi.

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 3 роки тому +5

    Kio ukitaka unafungua

  • @trevorgaiku5651
    @trevorgaiku5651 3 роки тому +2

    Vipi kaka??natumai uko salama.....enda ukacheki kitu linaitwa "nganya awards 2016.....utapata kujua mengi kuhusu matatu🔥

  • @ahutamorris
    @ahutamorris 3 роки тому +10

    Wanachora, wanabandika, wanafanya chochote kile ili kile wanataka kikamilike na gari lionekane. Tiketi unalipa gari likianza kuondoka au mkiwa kwenye safari. Kuna yule anatembea kwanzia mbele hadi nyuma akichukua nauli na kuwaregeshea haki yao. Kwenye Matatu ndani kuna runinga kila mahali ili kila mtu apate picha au video. Kuna speaker kila mahali alafu zenyewe zina base kali sana, ikiwa unajua masikio yako sio mazuri basi tafuta mabasi ya serikali, yale yamezeeka au yale ya wadosi pia ukiwa na gari lako heri ulitumie kwa sababu kwenye Matatu kuna kelele na sio tafadhali. Ukipanda matatu na ukose nauli basi unaweza kushukishwa kwa njia. Kuna WiFi humo ndani, vitu ni vya ngozi, kuna feni, mengine yana fridge, VIP, kuna Cctv, kuna screen ya kuonesha mtu ni wapi umefika pia unapata kujua njia ikoje labda kuna msongamano. Ukiwa jijini unaweka simu yako vizuri kwa sababu kuna wezi nje na ni kama wamesomea kufungua dirisha na kunyakua simu au ata pesa kisha kutimua mbio kama Kipchoge Keino. Matatu yana raha fulani na watu wa umri mdogo ndio wanayapenda sana, kisha wale wa umri wa juu wanapenda yale mabasi refu ya serikali. Haya matatu yako kwenye Sacco tofauti, Sacco ni muungano fulani ambao umesimamia matafu fulani. Area code au kwa mfano Kayole, utapata wana Sacco zaidi ya moja. Kayole au Oyole kuna sacco inaitwa forward travellers, prime pia Rongai, Umoja, Pangani na maeneo mengine yana Sacco zake. Nimefurahi sana kuona hii video kwanza umesoma comment yangu. Kuna matatu mengi ya kutisha sana, alafu gari jipya likiingia kwa root lazima lifanyiwe sherehe kwa kuzunguka vijana wakiwa wamening'inia kando kama mbonga zikiwa kwa fuso zinapelekwa sokoni. Pia kuna viwanda ambavyo vinaunda haya matatu huku Nairobi, Mombasa, Nakuru, Kakamega, Kisumu na Eldoret lakini Nairobi ndio mambo yote kwa ubunifu. Area codes ambazo zina matatu kali ni Rongai, Kasarani, Buruburu, Juja, Kiambu, Dandora (hiphop city), Umoja, Komarock, Pipeline, Kitengela, Uhuru na maeneo mengine. Katikakati ya jiji, kila matatu na area code yake ina pale inastahili iwe kwa mfano sehemu ya matatu ya Karioko ni makosa kuegesha yale ya area code nyingine.

    • @Vanisikaka
      @Vanisikaka  3 роки тому +1

      Umetishaa saana bro ,nitaitumia comment yako tena hiii

    • @ahutamorris
      @ahutamorris 3 роки тому +1

      @@Vanisikaka Asante sana kaka, twambie Tz mambo yako vipi kwa upande wa matatu

    • @ahutamorris
      @ahutamorris 3 роки тому +1

      @@Vanisikaka Tafuta video nyingi za matatu kisha uunde yako kali sana na pia kuna nyimbo kadha za kumpa mtu taswira ya Nairobi. Mfano wimbo wake Jua kali (karibu Nairobi), Ray c (kijana wa Nairobi), Jua kali (bidii yangu) na wengine wengi.

  • @Patrickmwai87
    @Patrickmwai87 3 роки тому +2

    mamba ni moja

  • @darkg2546
    @darkg2546 3 роки тому

    Niaje Kaka tufanyie analysis ya nyimbo Bado by KAKAZ047 all the way from 254. Unyamwezi mwingi i say.

  • @shakilsillah7497
    @shakilsillah7497 3 роки тому +1

    Watch out the new kid in town (Boombox KDA ) this matt is lit💣💉🚃🎶 🚨.. No stickers, this is pure art ( artwork by Lithuim) body build by Isuzu,Free WiFi ,DJ on board. Travel in style 💎💎

  • @africanmusic4602
    @africanmusic4602 3 роки тому +3

    Bus Kama elo hununuliwa Kama lory thn likabadilishwa so kununuliwa tu laeza cost 4m ksh na kupakizwa inaeza kucost eo 4m pia