Samahani ndugu kuna mzigo nimetumiwa kutoka London kwenye kampuni ya NAPAREX COURIER COMPANY unashukia East Africa unaweza ukaletwa hadi huku Tanzania msaada kwako ndugu
Mambo vipi hivi kwa mfano nimeenda Zanzibar nikanunua labda tv yakumia mimi moja na laptop moja nikapanda boti kurudi dar nikifika nalipia hiyo tv na laptop au
Hongera kwa kz nzuri. Naomba kujua utaratibu wa kunioetea Laptop yangu niliisahau Rwanda nataka itumwe kwangu Tanzania Dar es salaam. Je nifanyeje? Ahsante
Nmetumiwa parcel kutoka London kuja Tanzania na mzigo umetua Kenya na nmeabiwa nilipe nauli ,clerence, na permit number sasa naambiwa permit namba za mwaka zmeisha na znasubiriwa vp n kwer iyo
Mimi nimeagiziwa mzigo kutoka Canada na ufikia Kenya wamenambiya nilipie tiketi mpka Tanzania nikalipa , ushuru nikalipa mwisho wananiamby nilipie kibali cha kupokelea je ni sahihi?
Kuna mzigo wangu upo Kenyatta airport lakini nimelipia air ticket na bado process haziishi kila process na ela yake ni iphone laptop na dollar kazaa lakin mpaka niupate bora nijichange ninunue tu
Mimi nimetumiwa package na lafiki angu sas akakosea akatuma Kenya nikapigiwa sim na wakala wa kenya ananiambia nitumie nahuli na ushuru je ni kweli nastaili kutoka ushuru
Vipi hali Mariam. shukraan kwa kuuliza swali. Mimi nakushauri fuata hatua hizi; - Muulize mtu alietuma mzigo thamani yake ni ipi? - Muulize ametuma kupitia DHL au UPS au yoyote, ikisha akwambie malipo ya kusafirisha mzigo aliofanya - Baada ya hapo waulize hao watu waliokwambia ulipe Milioni, waambie unataka uone hesabu za hizo gharama. Kwa kawaida unachotakikana kulipa ni ushuru wa forodha, na gharama kidogo. Lakini Anza kufuatilia hayo hapo juu kwanza ikisha tutaendelea. Shukraan
Asante naomba wewe unipe utaratibu kama labda kuagiza mzigo China nafanya MAWASILIANO na agent ama nafanya MAWASILIANO na mtu wa nje? Kama ni agent naomba namna ya kumpata na MAWASILIANO pia
Mim Kuna zawad ambayo nimzigo binafis imefika leo anadai nitume laki tatu na nusu ndio nipate mzigo wangu nimewaachia tu na ilitakikana nipokelee mkoan tabora Ila imefika dar napgiwa sim Kuna mzigo wangu Ila mpaka nitume laki tatu na nusu ndio niagiziwe unipate
Samahani ndugu kuna mzigo nimetumiwa kutoka London kwenye kampuni ya NAPAREX COURIER COMPANY unashukia East Africa unaweza ukaletwa hadi huku Tanzania msaada kwako ndugu
Very well described
Thanks a ton
Thankyou 👌🏽
You’re welcome 😊
Nipe namba zako tafazal
How
Okey if I buy thing with value of 1800000tsh from china how much sh will you charge as total value of tra?
1800000×57.1%= Jibu
Mambo vipi hivi kwa mfano nimeenda Zanzibar nikanunua labda tv yakumia mimi moja na laptop moja nikapanda boti kurudi dar nikifika nalipia hiyo tv na laptop au
Hongera kwa kz nzuri. Naomba kujua utaratibu wa kunioetea Laptop yangu niliisahau Rwanda nataka itumwe kwangu Tanzania Dar es salaam. Je nifanyeje? Ahsante
Naomba mnisaidie Nimepewa zawad ya simu Toka uingereza ili inifikie
Nmetumiwa parcel kutoka London kuja Tanzania na mzigo umetua Kenya na nmeabiwa nilipe nauli ,clerence, na permit number sasa naambiwa permit namba za mwaka zmeisha na znasubiriwa vp n kwer iyo
Hizi kodi kodi nyingi zinaumiza kichwa. Mtu wa kawaida shughuli kujua.
Mimi nimeagiziwa mzigo kutoka Canada na ufikia Kenya wamenambiya nilipie tiketi mpka Tanzania nikalipa , ushuru nikalipa mwisho wananiamby nilipie kibali cha kupokelea je ni sahihi?
Kma umetumiwa nzawadi ya cmu Ili kupata mzigo wako prose's zipoje?
Habari yako Teddy, tutaweka video hive karibuni juu ya jambo hili, usikae mbali
Asante yan mm kuna tapeli anataka laki tatu na nusu na ni mzigo binafsi sio biashara ni zawad. Ya mikoba. Miwili tu nimewaachia
Vipi hali Jenipha! pole sana!
Na mbona wengne wanaitisha pesa ya security
Is a walking machine some one is rewarding me tell me the total vat
Nahitaji namba ya muhusika
Mm kuna mtu anataka anitumie mzigo yupo senegal..mm nipo arusha ameniambie nitume..naomba mnisaidie napataje derivery address ..
We hukutapeliwa kweli?😅
Kuna mzigo wangu upo Kenyatta airport lakini nimelipia air ticket na bado process haziishi kila process na ela yake ni iphone laptop na dollar kazaa lakin mpaka niupate bora nijichange ninunue tu
vip
umetumiwa namtu kama zawad au vipi na mtu huyo yupo taifa gani
Yupo London
Kama zawadi
Vp uliupata
Mimi nimetumiwa package na lafiki angu sas akakosea akatuma Kenya nikapigiwa sim na wakala wa kenya ananiambia nitumie nahuli na ushuru je ni kweli nastaili kutoka ushuru
Nahitaji kuagiza mtumba Nairobi,sijui utaratibu wa kuingiza mzigo mpakani
nipe namba zako
Shukraan sana Thabit! naomba wasiliana nasi kupitia message twitter : @techwho01 au instagram: tech who_. Shukraan Tena kwa kuelewa.
So ni sahihi?
Kwa mfano mtu kakuagizia mzigo kutoka njee kias tu kunichukua airport inaweza galim kias gan?
Vipi hali Regina! shukraan sana kwa swali lako, tutatoa video hivi karibuni juu ya hilo swali lako. Shukraan
Habar. Nina mzigo wangu nimenunua aliexpress. Umezuiliwa bandarin mpaka niulipie. Lakin sijui wap naweza kuulipia.jee,unaweza nifahamisha?
Vipi hali Msa! salama! fuatilia kwa watt walokwambia ulipe, au wasiliana na TRA/ bandarini watakufahamisha haute zinazofuata.
Naomba mnisaidi nimetumiwa zawadi toka Canada nikaambiwa nitume million nizawadi tu hiyo.
Vipi hali Mariam. shukraan kwa kuuliza swali. Mimi nakushauri fuata hatua hizi;
- Muulize mtu alietuma mzigo thamani yake ni ipi?
- Muulize ametuma kupitia DHL au UPS au yoyote, ikisha akwambie malipo ya kusafirisha mzigo aliofanya
- Baada ya hapo waulize hao watu waliokwambia ulipe Milioni, waambie unataka uone hesabu za hizo gharama.
Kwa kawaida unachotakikana kulipa ni ushuru wa forodha, na gharama kidogo. Lakini Anza kufuatilia hayo hapo juu kwanza ikisha tutaendelea.
Shukraan
Mimi ni mjasilia mali mdogo kuanzia million 2 had 3 je naweza kuagza mzigo njee ya nchii?
Je mizigo inadumu kwz muda gani
Asante kaka na mimi nahitaji kuagiza mzigo wa biashara napataje MAWASILIANO ili niweze kuagiza bidhaa
Vipi hali Jasmin! shukran san kwa swali lako. Lakini naomba ufafanue zaidi mawasiliano ya nani unahitaji. Shukraan
Asante naomba wewe unipe utaratibu kama labda kuagiza mzigo China nafanya MAWASILIANO na agent ama nafanya MAWASILIANO na mtu wa nje? Kama ni agent naomba namna ya kumpata na MAWASILIANO pia
Vipi hali Jasmin! shukraan sana kwa swali lako tutatoa video juu ya hili swala hivi karibuni. Shukraan
tunangoja video
Vipi hali Tara! video iki kwenye maandalizi na itatoka karibuni. Shukraan sana kwa kusubiri.
Ni document gani Natalie kuwa nazo
Hi
Hi @saidi mgawe
Mim Kuna zawad ambayo nimzigo binafis imefika leo anadai nitume laki tatu na nusu ndio nipate mzigo wangu nimewaachia tu na ilitakikana nipokelee mkoan tabora Ila imefika dar napgiwa sim Kuna mzigo wangu Ila mpaka nitume laki tatu na nusu ndio niagiziwe unipate
Hili tatizo kabisa
Vipi hali Regina! pole sana kwa tatizo hilo. Tutatoa video hizi karibuni juu ya hili jambo! shukraan
Habari na vipi mtu ukitoa mzgo wa biashara kutoka tanga kwenda zanzibar unalipia wapi
Vipi hali Zaituni! shukraan sana kwa sali lako tutatoa video juu ya swell lako! shukraan
Naomba kujuwa wanatoza sh ngapi kupokea kutoka nje
Vipi hali Rehema! inategemea mambo mengi, wapi mzigo unatoka, aina ya mzigo, kiasi na pia kodi husika juu ya huo mzigo. Shukraan
kuna jambo naitaji unisaidie
Naomba nambaaa yako tafadhaly
Vipi hali Salha! salama? naomba wasiliana nasi kupitia e-mail ama weka nambari yako ikishatutakutafuta. Shukraan
Naomba kuja huyu wakala nampata vp?
Kuna mzigo unatoka Senegal unatumwa kama zawadi laptop 2 simu 2 na camera kodizake zipoje
Vipi hali Emanuel! shukran sana kwa sali lako, kuna video tutatoa hifi karibuni kuhusiana na hili jambo. Shukraan
Email Nami ninailo tatzo vp umepata ufumbuzi
Hellow
Hello! mambo Janeth
Mimi naomba kuuliza mzigo kama zawdi kutoka Senegal ni bei gani
Vipi hali Moses! shukraan kwa swali lako, hivi karibuni tutatoa video juu ya hili swali
Sorry walking tractor
kama mtu kakutumia zawadi
Habari Hussein! shukran sana kwa sali lako na hifi karibuni tutaweka video inayo husiana na swali hilo. Shukraan
Nipe namba zako
0676011098