ASANTE BWANA MUNGU WANGU KWA NEEMA,KIBALI,HESHIMA,UTAJIRI NA MVUTO MPYA NA AFYA NJEMA, NIMEPOKEA KWA JINA LA MWANAO YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI KWA UTUKUFU WA JINA LAKO BWANA🙏🙏🙏🙏🙏AMEN!!!AMEN!!!!.
God bless you Bishop am much blessed, am Christine from bungoma. Naomba uniombee pia ndoa yangu isimame sababu haina amani hata sahisi mume ameniacha na watoto,nayeye akaondoka akaenda kwao .uniombee kuhusu biashara yangu imerudi China.
Je! Mwenyezi Mungu hatoshi kwa mja wake, na wanakuogopani pamoja na wale wasiokuwa Yeye, basi hana wa kumwongoa? wa mbingu na ardhi, bila ya shaka watasema, Mwenyezi Mungu: “Je! .Mnazuia rehema zake?” Sema: Mwenyezi Mungu ananitosheleza wanaomtegemea itamfikia adhabu ya kumfedhehesha, na itamfikia adhabu ya milele. Hakika Sisi tumekuteremshia Kitabu kwa ajili ya watu kwa haki, basi ni kwa ajili ya nafsi yake Potelea mbali kwa ajili yake, na wewe si wakala wa Mwenyezi Mungu juu yao, anachukua roho wakati wa kufa kwao, na wale ambao hawakufa katika usingizi wao Huipeleka nyengine kwa muda uliowekwa. Hakika katika hayo zipo Ishara kwa watu wanao fikiri watajihadhari na mfano wa Mwenyezi Mungu wa miguu miwili ambayo ndani yake wana washirika wanaogombana na mtu aliyesilimu. Je! Basi mtakuwa mlangoni kwenu Siku ya Kiyama, Je! Na wale wanaoileta Haki na kuiamini, hao ndio watakao kuwa nao, hao ndio malipo ya watendao, ili Mwenyezi Mungu awafutie ubaya wa waliyo yatenda Naapa kwa aliye teremsha Taurati na Injili na Upambanuzi na Zaburi na Qur'ani yenye hekima kwa Bwana wa Mitume Muhammad rehema na amani ziwe juu yake. Mungu awe juu yake yeye na familia yake na maswahaba zake na awape amani wote, na kwa ukweli wa Mungu alivyoumba jua, mwezi, sayari, nyota, mbingu, ardhi, majini, wanadamu, Adam. , amani iwe juu yake, na Hawa, amani iwe juu yake, Shetani, pepo, pepo, wanyama waharibifu, ngamia, miti, mawe, miamba, milima, mchanga, ndege, simba, fisi, simba, nyoka, nyoka, nge. , na kila ndege wa angani, na kila mnyama kitambaacho juu ya nchi, na kila kiumbe kiendacho juu ya ardhi, na baharini, na mito, je! itokeze katika ardhi, kisha ikatoa mimea yenye rangi mbali mbali, kisha ikasisimka, na ukaiona inageuka kuwa ya manjano, kisha anaivunjavunja kifuani Mwenyezi Mungu anaufungua kwa Uislamu, basi yeye yuko juu ya nuru ya Mola wake Mlezi! Wale wanaomcha Mola wao Mlezi hutetemeka kwa hayo, kisha ngozi zao na nyoyo zao zikalainika kwa kumkumbuka Mwenyezi Mungu ubaya wa adhabu Siku ya Kiyama, na wataambiwa madhalimu: “Onjeni uwongo wa walio kuwa kabla yao, maadamu nyinyi mmekwisha pata Mungu aliwaonjesha fedheha ya maisha ya dunia na adhabu ni kubwa zaidi, laiti wangelijua, Mungu Wangu, nionyeshe nguvu zako na uweza wako katika kila jeuri na jeuri juu ya ardhi yako na chini ya ardhi yako. mbingu, Mungu wangu, na kila ninapowaita kuwasamehe, huweka vidole vyao masikioni mwao, Mwenyezi Mungu Mtukufu anasema: Na kila ninapowalingania ili watambue upweke wako, watii, na wakatae Kuabudu kila kitu isipokuwa wewe. , ili uweze kuwasamehe ikiwa watafanya hivyo Wakaweka vidole vyao masikioni mwao ili wasisikie wito wangu kwao kufanya hivyo, na wakajifunika nguo zao, Mungu Wangu, sasa wanakuamini. kwa hivyo usinionyeshe ila adhabu ndani yao, na uwaonyeshe adhabu chungu katika nafsi zao, katika mali zao, na katika watoto wao, baraka za Mwenyezi Mungu na amani zimshukie Bwana wetu Muhammad na ahli zake na maswahaba zake, ewe Mwenyezi Mungu, Amina, Mola wa Walimwengu.☝🏻☝🏻🤲🤲☝🏻☝🏻
Mimi niliaja manguo home nikienda kasi walifaa yote sina hata kitu kimoja so kwa ekima sako utarutisha kila kitu kienye kilijukuliwa mungu nibee baraka sako
Ubarikiwe askofu Huwa na barikiwa sana na huduma
Navuta baraka zangu na nyota yangu kwa jina la yesu
Narudishaa kwa Jina la Yesu Kristoo🙏🙏🙏❤❤❤
Aaaamen nakosa maneno ya Kusema Mungu wa Mbinguni akubariki
Lutisha ashima yangu Mungu wangu Asante yesu wewe baba ♥️ ❤❤
ASANTE BWANA MUNGU WANGU KWA NEEMA,KIBALI,HESHIMA,UTAJIRI NA MVUTO MPYA NA AFYA NJEMA, NIMEPOKEA KWA JINA LA MWANAO YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI KWA UTUKUFU WA JINA LAKO BWANA🙏🙏🙏🙏🙏AMEN!!!AMEN!!!!.
Natumaini.Mungu kuwa umerudisha heshima kwangu kwa mamlaka n'a uwezo wa jina la yesu christo amen
Mungu wa ajabu sana mpaka baba na mama wanafanana utadhani mapacha😂😂❤❤❤
Huwa nasema kila siku😂
Hata mimi pia napenda kuwatazama san Mung azidi kuwabariki na kuwarinda pia. Mbarikiw Baba na Mama 🧎♀️🤲🙏
Kabisa😂😂
Huyu ndio mojawapo ya watumishi pekee wa Mungu wa kweli 💯,,,,,
Na mnafanana kwel kwel Mung Awarinde na azidi kuwabariki zaidi n zaidi 🧎♀️🤲
Bishop mungu akubariki ,nikiwakenya ninafatiliamahubiri haya nmebarikiwa sana
Nafuruta nyota ya ndoa na utajili in Jesus name 🙏🏾 Ameeeeen
Mungu anisameeee
Barikiwa Bishop Elibariki Sumbe na Mama
Amen Mungu akulinde nahawa wanabii wauongo simama kama ulivo kuwajeshi la Mungu maana imeandikwa kwamba mutajuwaa kwamatenda
Asante Bwana yesu kristo
Amen amen amen Mtumishi Mungu akubariki wewe na famillia yote.
Roho ya umaskini na roho ya mauti ituondokee kwa famia yangu,Mu gu alete Baraka
Naitaji baraka zangu eeeh mungu, nakufata nikiwa drc
Naomba nivute ndoa yangu ing'ae iwe na amnani Mungu
Barikiwa sana mtumishi hiyo story imenikumbusha mbali
Ubarikiwe sana papa❤
Huu ni ufahamu wa mungu amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤❤
Ubarikiwe mtumishi mimi ni pastori jeremie na lubumbashi.
Amina sana baba ni kweli Iyo baba
Narudisha kwa jina la Yesuuu
Ndigu zangu tumjue sana MUNGU ili tuwe na amani, AYUBU 22:21
Aminaa
Asante yesu
ÀMEN ÀMENI UBARIKIWE SANA BABA
Napokeya kibari kipya ,Amennnn
amen mungu awabariki kabisa
Amen amen baba.na iwe ivyo
Niombee pia bishop na mim nibarikiwe,naomba namba bishop
God bless you Bishop am much blessed, am Christine from bungoma. Naomba uniombee pia ndoa yangu isimame sababu haina amani hata sahisi mume ameniacha na watoto,nayeye akaondoka akaenda kwao .uniombee kuhusu biashara yangu imerudi China.
Je! Mwenyezi Mungu hatoshi kwa mja wake, na wanakuogopani pamoja na wale wasiokuwa Yeye, basi hana wa kumwongoa? wa mbingu na ardhi, bila ya shaka watasema, Mwenyezi Mungu: “Je! .Mnazuia rehema zake?” Sema: Mwenyezi Mungu ananitosheleza wanaomtegemea itamfikia adhabu ya kumfedhehesha, na itamfikia adhabu ya milele. Hakika Sisi tumekuteremshia Kitabu kwa ajili ya watu kwa haki, basi ni kwa ajili ya nafsi yake Potelea mbali kwa ajili yake, na wewe si wakala wa Mwenyezi Mungu juu yao, anachukua roho wakati wa kufa kwao, na wale ambao hawakufa katika usingizi wao Huipeleka nyengine kwa muda uliowekwa. Hakika katika hayo zipo Ishara kwa watu wanao fikiri watajihadhari na mfano wa Mwenyezi Mungu wa miguu miwili ambayo ndani yake wana washirika wanaogombana na mtu aliyesilimu. Je! Basi mtakuwa mlangoni kwenu Siku ya Kiyama, Je! Na wale wanaoileta Haki na kuiamini, hao ndio watakao kuwa nao, hao ndio malipo ya watendao, ili Mwenyezi Mungu awafutie ubaya wa waliyo yatenda Naapa kwa aliye teremsha Taurati na Injili na Upambanuzi na Zaburi na Qur'ani yenye hekima kwa Bwana wa Mitume Muhammad rehema na amani ziwe juu yake. Mungu awe juu yake yeye na familia yake na maswahaba zake na awape amani wote, na kwa ukweli wa Mungu alivyoumba jua, mwezi, sayari, nyota, mbingu, ardhi, majini, wanadamu, Adam. , amani iwe juu yake, na Hawa, amani iwe juu yake, Shetani, pepo, pepo, wanyama waharibifu, ngamia, miti, mawe, miamba, milima, mchanga, ndege, simba, fisi, simba, nyoka, nyoka, nge. , na kila ndege wa angani, na kila mnyama kitambaacho juu ya nchi, na kila kiumbe kiendacho juu ya ardhi, na baharini, na mito, je! itokeze katika ardhi, kisha ikatoa mimea yenye rangi mbali mbali, kisha ikasisimka, na ukaiona inageuka kuwa ya manjano, kisha anaivunjavunja kifuani Mwenyezi Mungu anaufungua kwa Uislamu, basi yeye yuko juu ya nuru ya Mola wake Mlezi! Wale wanaomcha Mola wao Mlezi hutetemeka kwa hayo, kisha ngozi zao na nyoyo zao zikalainika kwa kumkumbuka Mwenyezi Mungu ubaya wa adhabu Siku ya Kiyama, na wataambiwa madhalimu: “Onjeni uwongo wa walio kuwa kabla yao, maadamu nyinyi mmekwisha pata Mungu aliwaonjesha fedheha ya maisha ya dunia na adhabu ni kubwa zaidi, laiti wangelijua, Mungu Wangu, nionyeshe nguvu zako na uweza wako katika kila jeuri na jeuri juu ya ardhi yako na chini ya ardhi yako. mbingu, Mungu wangu, na kila ninapowaita kuwasamehe, huweka vidole vyao masikioni mwao, Mwenyezi Mungu Mtukufu anasema: Na kila ninapowalingania ili watambue upweke wako, watii, na wakatae Kuabudu kila kitu isipokuwa wewe. , ili uweze kuwasamehe ikiwa watafanya hivyo Wakaweka vidole vyao masikioni mwao ili wasisikie wito wangu kwao kufanya hivyo, na wakajifunika nguo zao, Mungu Wangu, sasa wanakuamini. kwa hivyo usinionyeshe ila adhabu ndani yao, na uwaonyeshe adhabu chungu katika nafsi zao, katika mali zao, na katika watoto wao, baraka za Mwenyezi Mungu na amani zimshukie Bwana wetu Muhammad na ahli zake na maswahaba zake, ewe Mwenyezi Mungu, Amina, Mola wa Walimwengu.☝🏻☝🏻🤲🤲☝🏻☝🏻
Ameeeeen vilivyo chukuliwa na wachawi virudi in juses name
Nimempenda sana mama mchungaji hana mapambo ya yezeberi hata kidogo.
Yes
Mungu ni mkubwa kbs
Amen Amen amen 🙏 🙌 👏
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 amen
Mungu akupe neema tele
Amen Amen Amen 🙏 ❤❤❤
Nirudishie nyota yangu, baraka zangu eeeh mumgu
ndiyo.natakakuishi.maisha.yautaksso.nabaraka.zote.ni.mupendanze.MUNGU
Amen baba nakupenda sana 🙏
Amen amen amen 🙌🙌
Mazabau ya umasikini iondoke katika maisha yangu
Ameeeeeeen 👏🏼
Mimi niliaja manguo home nikienda kasi walifaa yote sina hata kitu kimoja so kwa ekima sako utarutisha kila kitu kienye kilijukuliwa mungu nibee baraka sako
Mungu lejeza baraka zilizoibiwa na abui
Amen and Amen asante Jesus
Kwa mamlaka kwa jina la yeeeeeeeesu
Mungu wa mazabau ya mtumishi wako uni kumbuke
Wow.... Amen 🙏🙏🙏.
Amin amin mtumishi
Ameen👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
baraka zamungu aziwezi zuhiliwa km mungu amesha sema labda Jéhovah awe ajasema lakini akisha sema nani wakupinga au wakusema apa akuna
AMEN 🙏 🙏 🙏
Amina
Jamani Baba na Mama mbona kama mapacha,, Ama kweli nitakupa msaidizi was kufanana nawe. ❤
Yaani mapacha mapacha
Amen amen amen 🙏🙏🙏
Amen 🙏
Barikiwa
Amina 🎉🎉🎉
Amen amen
Ameen Ameen Ameen ❣️
Amen
Ameen🙏🙏🙏
Amina baba
Naita baraka zangu naondoa mabaya
Amen Amen 🙏🙏🇨🇩✌️
Naitaki kukuona uso kwa uso pp i believe siku moja mmaishi yangu nitafurahi
Amen 🧎♀️🙏😊
Asate Yesu
❤❤❤
Iameeeeeen
Amen Amen Amen
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
Mama ni mrembo sana mayetu
Nawaonaaa
Na mmefanana vibaya mno
AMEEN
Ameniii
Kweli wana fanana
🙏
Navuta vitu zangu sote sile shetani aliniibia kwa njina la yesu
Baba na Mama wamefanana kama mapacha
amen
Asante yesu nime yapokea.
nadai chochote kimeibiwa
Aminaaaaaaaa
MUNGU awazidishie Baraka tele
👏👏👏👏👏👏👏🇨🇩✌️
Roho ya umasikini ishindwe
Huu ushuhuda umenipa nguvu
AMEN
Mungu mkubwa
Ameee
Najuwa baba wewe hauchindwake
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Amen Amen 🙌🙏