Nondo za Profesa Kabudi mbele ya Rais Samia kuhusu mkoa wa Singida

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024
  • Msomi na Mbunge wa Kilosa mkoani Morogoro, Profesa Palamagamba Kabudi akielezea asili ya jina la Mkoa wa Singida leo Jumatatu Oktoba 16, 2023 katika hafla ya sherehe za miaka 60 mkoa huo iliyohudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.

КОМЕНТАРІ • 82

  • @mcback4384
    @mcback4384 11 місяців тому +3

    Mbongo anaijua sana history ya Marekani na UK kuliko ya nchi yake, tunahitaji reshaping kwenye history yetu!

  • @borysaronge1493
    @borysaronge1493 11 місяців тому +9

    Prof.Kabudi ni kitabu kikuu cha Hazina ya Historia ya nchi hii tangu kipindi cha koloni zote na biashara ya utumwa na mabadiliko mbalimbali yaliyopita ktk nchi yetu hongera sana professor Kabudi na mungu akubariki sana.

  • @martindonald804
    @martindonald804 11 місяців тому +4

    👍👍👍👍 hongera prof. Kabudi, Mungu akupe afya njema iko siku utabarikiwa na kutunukiwa.

    • @Mwalimuchannel208
      @Mwalimuchannel208 11 місяців тому

      huyu baba akiongea natamani Hadi kulia kea kumkumbuka Magufuli.
      lakini pia namna alivyowekwa pembeni ingawa ana akili kuliko Hawa ambao Mama kawakumbatia.
      be safe mzee kabudi. hunijui sikujui ila nakupenda mno baba.
      una madini makubwa na yenye ushawishi.
      mzee Kabudi sijui nikusemeeje

  • @saulikinahi6703
    @saulikinahi6703 11 місяців тому +3

    God bless you Prof. The living Legend, your always my insparation💪💪

  • @bishopfrederickchingwaba5337
    @bishopfrederickchingwaba5337 11 місяців тому +8

    Big brain Prof. Kabudi! Strong Speech! Our Library! Excellent.

  • @Oleikunda
    @Oleikunda 11 місяців тому +1

    Beautiful speech yenye full package kwa dakika chache

  • @timothykiyoya8313
    @timothykiyoya8313 11 місяців тому +1

    Huwa najiskia raha sana kusikiliza speech kama hizi

  • @pisperconstantine6111
    @pisperconstantine6111 11 місяців тому +2

    Pro. Kabudi is always something that is incredible for this country

  • @YahanaMolel-ws2ib
    @YahanaMolel-ws2ib 7 місяців тому

    Naenda Sana kuisikilisia history ya taifa professor kabudi kuitangazia taifa

  • @magigesabai8674
    @magigesabai8674 11 місяців тому +2

    Huyu Kabudi ni muhimu sana kwa taifa letu kama tutamtumia vizuri

  • @jamesmuringi1791
    @jamesmuringi1791 7 місяців тому

    Mie Mkenya na kwa kweli mie napenda semi na mihadhara ya Prof.Kabudi.
    Ufahamu wake uko kiwango cha juu.

  • @JosephMbise-eu6fw
    @JosephMbise-eu6fw 4 місяці тому

    My role model

  • @Monique906
    @Monique906 11 місяців тому

    On the spot and so educational! You rock, Cousin Pala! Hugs a congrats!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  • @marcobulili4341
    @marcobulili4341 11 місяців тому +5

    Prof Kabudi unadhihirisha kuwa wewe ni mwana falsafa wa uhakika! Mwenyezi MUNGU akubariki sana❤

  • @RobertPangaya
    @RobertPangaya 11 місяців тому +3

    UKIZUNGUMZIA WAZEE WA NCHI YETU WANAOJITAMBUA HUYU NAYE YUPO. 🇹🇿HAZINA YA TANZANIA 🇹🇿

  • @ibba8082
    @ibba8082 11 місяців тому +5

    Kutoka LWEBA FIZI D R Congo,Kuna watu UKIWAONA UNAMKUMBUKA JPJ MAGUFULI😢😢😢😢

  • @ahmedhamis
    @ahmedhamis 11 місяців тому +1

    Hizi nondo mara chache Sanaa kusikia 👏👏👏

  • @machiyakalemela135
    @machiyakalemela135 11 місяців тому

    Uko vzr prof,,we ni tofauti na maprof wengineeee

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 11 місяців тому +1

    Kweli bwana tupo wengi Oman

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 11 місяців тому +2

    Prof kabudi huwa ananikumbusha historia ya taifa letu huwa anashusha nondo wengine huwa hawajui historia vizuri huyu inaonyesha alisoma vizuri historia yote ya dunia nzima.

  • @stephennyagonde637
    @stephennyagonde637 11 місяців тому

    One of the best orator

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 11 місяців тому +1

    Kwani hii sherehe ya miaka 60 kuanzishwa mkoa wa Singida ni sherehe ya kitaifa.

  • @stevensenghana1593
    @stevensenghana1593 11 місяців тому +1

    nakubali sana mwamba kwa haya mahistoria lakini singida ilivyo na ilipo inasikitisha

  • @epimackjohn461
    @epimackjohn461 11 місяців тому +3

    Hii NDIYO HOTUBA YENYE ELIMU YENYE MANUFAA KWA WALIOHUDHURIA NA KUSIKILIZA .

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 11 місяців тому +1

    Kiandikwe kitabu cha historia.

  • @musamusa6213
    @musamusa6213 11 місяців тому +3

    Kwa nn mama hutaki watu kama hawa wakusaidie kujenga nchi ww unaweka majizi tu

    • @mcprincemfumbi
      @mcprincemfumbi 11 місяців тому

      Huyu ni msaidiz wa mama yupo ofisi ya RAIS ikulu pamoja na lukuvi

    • @geey7893
      @geey7893 11 місяців тому +1

      VILAZA Hawawezi kufanya kazi na wenye akili kama huyu

  • @josephsokhia
    @josephsokhia 11 місяців тому +2

    HUYU MZEE NILIOTA KUWA NDIYE RAIS WA NCHI AJAE BAADA YA MH SAMIA SULUHU

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 11 місяців тому

    Hongera sana Pr Kabudi

  • @paresamaseko5422
    @paresamaseko5422 11 місяців тому +1

    Nani kama kaka?. Very proud of uuuu

  • @jacksonmathayo3859
    @jacksonmathayo3859 11 місяців тому

    Hongera Profesa

  • @anytime5685
    @anytime5685 11 місяців тому

    Daaah nilimmsi sana huyu mz speech zake

  • @SudyMkele
    @SudyMkele 11 місяців тому +1

    Viongozi wenye ushetani

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 11 місяців тому

    Prof mbona hujasikika mkataba wa bandari,tungekuelewa vizuri.

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 11 місяців тому +1

    Raise wangu huyu awe waziri was mambo ya nje

  • @shokakazini7135
    @shokakazini7135 11 місяців тому +1

    Lulu hiyo, ambayo JPM aliikumbuka, kuing'arisha na bado ing'ara

  • @sadalaelias5882
    @sadalaelias5882 11 місяців тому +1

    MTU Hutu anastahili tuzo ya mwanahistoria mahili na mzalendo

  • @sadalaelias5882
    @sadalaelias5882 11 місяців тому +1

    Lulu ya thaman. inamaana hatuna uhitaji na watu wa namna hii katika nchi yetu

  • @sylvesterernest9582
    @sylvesterernest9582 11 місяців тому

    God bless you
    Kabudi

  • @pascalmakondo7976
    @pascalmakondo7976 11 місяців тому +1

    Genes man

  • @EmanuelJohnIbrahim-iw5kc
    @EmanuelJohnIbrahim-iw5kc 11 місяців тому +1

    Jembe la Magu hilo

  • @RemiFrancis-x3s
    @RemiFrancis-x3s 11 місяців тому

    Prof. Mwanasheria Msomi

  • @anthonymgina3893
    @anthonymgina3893 11 місяців тому +2

    Singida ni aina ya hereni za kiinyeji zilizoitwa singida na mbojo ni binadamu ambaye amebadilishwa kimazingara ya kichawi na ambaye ana wadhuru watu kipindi cha usiku hasa kipindi cha masika.

  • @ngisamakaranga
    @ngisamakaranga 11 місяців тому +2

    Naikumbuka tanzania ya uchumi wa kati

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm 5 місяців тому

      Imeishia wapi. Şu kWa vile Mungu mtu amekufa. Kafa na uchumi wake.

  • @stevensenghana1593
    @stevensenghana1593 11 місяців тому +1

    tuijenge inchi kabudi ni azina na mkumbukq kabla ya kuingia kwenye siasa

  • @allywilson4155
    @allywilson4155 11 місяців тому +1

    Rais mwenyewe hapo anaskia niupepo hapo hajuichochote hapo

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm 5 місяців тому

      Naamini kabisa hamjui hii .

  • @edgarmbegu1974
    @edgarmbegu1974 11 місяців тому +1

    Mbona Rais hasikilizi sasa

  • @geey7893
    @geey7893 11 місяців тому

    Singiera Mohera. Daah aisee lugha yetu Kumbe kubwaaa

  • @gabrielmdem4271
    @gabrielmdem4271 11 місяців тому

    Yaniii jamani wizara nyeti wanapewa majizi ona kicha hikoooo wewe acha kabisa jembejembejembeee hongera tz mwamba wetu k

  • @richardmuyango9157
    @richardmuyango9157 11 місяців тому

    Raisi wangu

  • @sadikidaudi460
    @sadikidaudi460 11 місяців тому +1

    Mkuu usiweunakaa kimya saana

  • @leonidaluwago6796
    @leonidaluwago6796 11 місяців тому

    Mlali kwetu

  • @mosesgaya201
    @mosesgaya201 11 місяців тому +1

    mama samia mkumbuke huyo baba kwakweli anaijua nchi hii

    • @salummbunga4167
      @salummbunga4167 11 місяців тому

      Yeye na lukuvi ndio washauri wa RAIS Sasa hivi

  • @patrickakitanda7709
    @patrickakitanda7709 11 місяців тому

    Sasa huyo ndo Professor

  • @geey7893
    @geey7893 11 місяців тому +1

    Samia na kundi lake wanamtaman wampe hata uwaziri mkuu lakini wanaona kabisa atawatoa ushamba

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 11 місяців тому +1

    Unastahili unaijua nchi

  • @JosephKingu-l4s
    @JosephKingu-l4s 11 місяців тому +1

    Munawaficha wazee mukiwa nashida ndio munawakumbuka kuwasaidia kwenye historia ya jambo mhimu

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 11 місяців тому

    Mtu na nusu huyu

  • @LudovickTibakyenda-gs2wh
    @LudovickTibakyenda-gs2wh 11 місяців тому

    Daaah! PhD 70 huku Kagera ni 600+

    • @agnessima5032
      @agnessima5032 11 місяців тому

      Kagera sawa..ila elimu inashuka si kama miaka ya nyuma.

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 11 місяців тому

    Hapa huwa nafaudu sio kufaidi nafaudu

  • @willardbarongo5076
    @willardbarongo5076 11 місяців тому

    Kama hutoki jalalani huwezi kuyafahamu yote haya

  • @edwardmakonge6951
    @edwardmakonge6951 11 місяців тому

    kabudi uko vizuri sana.

  • @JackSalala
    @JackSalala 11 місяців тому

    Mzalendo halisi

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 11 місяців тому

    Haraka sana aandaliwe kuwa Rais baada ya Rais Samia

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 11 місяців тому +1

    Chuma hicho mama kakificha kabisa ila hayatu

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 11 місяців тому

    Hivi jamaa bado anahusikaga na mikataba?? Ili tumuulize wa bandari

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm 5 місяців тому

      Bado tuna shida na mikataba ile ya madini aliyoisaini.

  • @josephmkami
    @josephmkami 11 місяців тому

    Nahisi kwenye viongozi wa kijeshi aliotaja, anayetoka singida ni Meja General Kodi sio Brigedia Kambenga, huyu ni wa Tabora kama nami sijakosea.
    Hii ni kuweka sawa historia.

    • @magigesabai8674
      @magigesabai8674 11 місяців тому

      Wewe uwezi kumzidi kabudi historia kaa kmya

    • @ngadupalaamour
      @ngadupalaamour 11 місяців тому

      Hawa Kodi ni wa Sasa,amewataja wale wazee kidogo na wastaafu

    • @atmonlinetv9450
      @atmonlinetv9450 11 місяців тому

      Uyo mzee ni wazamani sana ambaye alikuwa bregedia