NGUVU NA UWEZA WA MUNGU KWENYE MAISHA YAKO - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Shetani anapoamua kumshambulia mtu anakua amehakikisha lazima huyo mtu awe "mfalme" kwenye eneo fulani.
    Adui akikuangalia rohoni anajua wewe ni nani na unakoelekea.Akikuangalia anaona nyota na anajua baada ya miaka kadhaa utakuwa FULANI, atahakikisha kuna zinaanza kuja kwako, na hizo roho hazitakuja kwa namna ya kukutisha. ( Bahali aliingia Israel kama "mke")Yezebeli alibeba roho ya bahali kutoka Sidon akaingia nayo Israel, mfalme alipomwangalia Yezebeli aliona "mke".
    Watu wote ambao Mungu amewapa vitu vikubwa ndo watu ambao wanavamiwa sana.Wewe ni mfalme kwenye "engo" uliyoitiwa lakini kila mara ufalme wako unaharibiwa.Sidon ilitengenezwa kushughulika na "wafalme" haikutengenezwa kudeal na watu wa kawaida, kuna vitu Mungu amevuachia kwenye maisha yako, UNAVIJUA lakini HUVIONI.
    #PastorSunbella#Nguvu#Uliyonayo

КОМЕНТАРІ • 36

  • @maryandason1815
    @maryandason1815 2 роки тому +3

    Jaman sijui nifanyje ili tu,niweze kuonana na BABA Sanbella kyando.kila nikijarbu at kuomba no.sipewi.aisee! YESU nisaidieee 🙌🙌one day wakat wa BWANA nitakuona.barikiwa Sana🙏🙏🙏

  • @calorinemwoga2638
    @calorinemwoga2638 2 роки тому +1

    Nimebarikiwa Sana Asante pastol sanbell unazaidia wengi Mana wengi tumefungwa ila hatujui Asante kwa kutufundisha roho mtakatifu awe nawe daima

  • @maryandason1815
    @maryandason1815 2 роки тому +2

    Amen barikiwa Sana pastor Sanbella kyando🙏🙏🙏🙏🙏

  • @ExseviaSamwel
    @ExseviaSamwel Місяць тому

    Amin amin pastor 🙏🙏🙏🙏

  • @masprintventures7646
    @masprintventures7646 2 роки тому +2

    Pastor nilituma maombi kwako yakwamba nipate nyumbani ya biashara nanikapata sasa pastor stima pekee yake imekwamisha kufungua Hilo duka, niombee njia zifunguke mtumishi WA mungu,

  • @fabianalfredy5557
    @fabianalfredy5557 Рік тому

    Amen !! A'm blessed

  • @edithanyisile4001
    @edithanyisile4001 2 роки тому +1

    Napenda mafundisho yako pastor..Utukufu kwa Yesu,Amen

  • @user-rn7fj7wh4e
    @user-rn7fj7wh4e 6 місяців тому

    God bless us

  • @projestusvenant1475
    @projestusvenant1475 11 місяців тому

    Namkubari sana sanmbella

  • @happylesha3006
    @happylesha3006 3 місяці тому

    Amen

  • @adelaidanyange5896
    @adelaidanyange5896 2 роки тому +2

    Thanks Jesus..

  • @petermunuo1657
    @petermunuo1657 Рік тому +1

    Amen mtumushi barikiwa sana

  • @isaacisaya3113
    @isaacisaya3113 2 роки тому

    The real power of God is in you pastor

  • @joannelson1137
    @joannelson1137 2 роки тому

    Amen , thanks God for your servant 👏👏👏🙏🙏🙏

  • @helansakeyan5307
    @helansakeyan5307 Рік тому

    MUNGU AKUBARIKI SANA MTUMISHI,UWE NA UHERI

  • @beatriceresiato3308
    @beatriceresiato3308 Рік тому

    Amen mtumishi wa mungu mungu wako atufungue tukuwe huru kabisa maana vifungo ni mingi

  • @murekatetegermaine6559
    @murekatetegermaine6559 2 роки тому

    Mcungaji mwenyezi mungu awabariki asante sana tumebarikiwa na neno ra mungu yesu azidi kuwapakaa mfuta loho mtakatifu awe nanyi 🙏

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 2 роки тому

    Amina 🙏 hili somo pastor umefunika nimebalikiwa sanaaa Hadi nacheka mwenyewe

  • @veronikaaugustino2258
    @veronikaaugustino2258 2 роки тому

    ASANTE YESU kwa kunipenda zaidi ya upendo Amein

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому

    YESU AHSANTE

  • @joshuamutua3727
    @joshuamutua3727 2 роки тому

    Deep revaltion...
    GOD IS in this place

  • @patrickkatana8823
    @patrickkatana8823 2 роки тому

    Be blessed man of God

  • @paschaltimotheo5441
    @paschaltimotheo5441 2 роки тому

    Be blessed God's servant

  • @paulmwangi294
    @paulmwangi294 Рік тому

    Amen hallelujah

  • @stevenmponzi8168
    @stevenmponzi8168 2 роки тому

    Thankx man of God

  • @bonifacesimpoli5271
    @bonifacesimpoli5271 2 роки тому

    Ameni

  • @patrickmunishi2277
    @patrickmunishi2277 2 роки тому

    Mtumishi Bwana Yesu asifiwe,ushauri,kama una tumia kiswahili iwe kiswahili.tusaidie na sisi wa standard 7

  • @aronemakanyaga7284
    @aronemakanyaga7284 2 роки тому

    Asante yesu

  • @maryandason1815
    @maryandason1815 2 роки тому

    Kila ninapoendelea kufatlia mahubir na kusikilza.ndipo moyo ❤️ wangu unataman.sana .nionane na pastor..yako mengi tu.nataman kusher n pastor..coz vifungo n vingi shetan.anateseka kwel watu wa MUNGU.... barikiwa.piya kupitia mafundisho napiga atua moja zaidi.Asante🙏🙏🙏

    • @dollamtui5849
      @dollamtui5849 2 роки тому

      Yesu usinipite, nitoe kwenye vifungo mimi na familia yangu kwa neema yako Yesu

  • @elizabethlupatu7539
    @elizabethlupatu7539 2 роки тому

    Ameen

  • @alexneema7108
    @alexneema7108 2 роки тому

    Hili kanisa linapatikana sehemu gani??

  • @murekatetegermaine6559
    @murekatetegermaine6559 2 роки тому

    Mafuta sorrl.

  • @heriethaissa5972
    @heriethaissa5972 2 роки тому

    Amen

  • @annamadasha5631
    @annamadasha5631 2 роки тому

    Amen