GB64-HATUMTAKI MANGUNGU,MWENYE PESA ZAKE KAJA,SPA NA WENZIE WASEME PESA ZA SIMBA ZIKOWAPI.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 чер 2024
  • #ahmedally #yanga #alikamwe #yanganasimba #kariakooderby #youngafricans #simbasc #hajimanara #simba #azamfc #azamtv #azam
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 45

  • @HamisiMichael
    @HamisiMichael 28 днів тому +6

    Yeah lazima Simba iludi katika nguvu Moja ❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l 28 днів тому +1

    SIMBA NGUVU MOJA

  • @clarencemeena1628
    @clarencemeena1628 28 днів тому +1

    GB 64 uko vizuri sana, kauli zako zimenyooka na ni mpenzi kweli wa Simba Sports, huna makondo makando

  • @richardnyarugenda9769
    @richardnyarugenda9769 28 днів тому +3

    Mtangazaji hajui kuuliza maswali.
    G64 uko sawa kwa kujibu maswali yako.

  • @venancemartin6734
    @venancemartin6734 28 днів тому +1

    Iyo suti (suit) aliyovaa mtangazaji bhana utazani umeletwa na silent ocean kutoka nyumbani kwa mangungu.
    NOTE,, Mangungu tupishe kama vipi kamwongeze Shafii.

  • @yusuphchingwi3754
    @yusuphchingwi3754 28 днів тому +1

    Mtangazaji bado haupo vzuri unauliza maswali ya kujirudia na ulishajibiwa awali alafu tafuta koti la suite zuri🤸🤸suite laki na 50 tu

  • @amanifadhi
    @amanifadhi 28 днів тому +1

    Wanaitaji Simba iferi zaidi

  • @ramadhanichubi9139
    @ramadhanichubi9139 28 днів тому +2

    Baadhi ya waandishi wanalazimisha migogoro idumu Simba,mtake mistake itaisha tu.

  • @user-sq3cu7dv7c
    @user-sq3cu7dv7c 28 днів тому +5

    Wanataman kuiyona simba ikizdi kuzama zaid😂😂

    • @BilaliBilaliamri
      @BilaliBilaliamri 28 днів тому

      Wanatamani wakina na nani nawakati mnatiana vidole wenyewe acheni utahira nyie mmeshakuwa misukule

  • @edsonhiza8519
    @edsonhiza8519 28 днів тому

    Hizi sio GB64 ni zaidi ya GB 100%🔞☢
    hawa CPA hawaaa..... wanatakiwa wasituchanganye kabisa yanii... wao ni Certified public Accountants ambao hawajui wanachokifanya shenziiii.... watupisheee njaaa tuuu

  • @SamuMushi-gk7jy
    @SamuMushi-gk7jy 28 днів тому

    Kama ujasoma uwezi kuelewa safi sana Gb 70 unajua San 🎉

  • @moyolameck555
    @moyolameck555 28 днів тому

    Nipo na MANGUNGU kwa 100%😂😂😂

  • @BilaliBilaliamri
    @BilaliBilaliamri 28 днів тому

    Mnahoji uyo kengele ya kanisa anasumbuliwa na njaa tu uyo bwege

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 28 днів тому

    Mtangazaji hujitambui unashindwa kutofautisha kati ya Mwenyekiti wa Simba na Mwenyekiti wa Board.
    MO sio Mwenyekiti wa Simba yeye ni Mwenyekiti wa Board. Mwenyekiti wa Board anatoka upande wa mwekezaji kwa hiyo upatikanaji wake unatoka upande wa mwekezaji kwa hiyo hakuna tatizololote kwa MO kuwa Mwenyekiti wa Board.
    Mwenyekiti wa Simba ni Mangungu anachaguliwa na wanachama ila kwenye Board hana sauti yeye ni member wa board tu. Labda katiba ingempa power juu ya member wengine Kwa kuwa anawakilisha wanachama ambao Wana shares 51%

  • @lucasshirima2880
    @lucasshirima2880 28 днів тому +1

    Sawa nimesubscrbe tayari 🎉🎉🎉

  • @ElizabethLukosya-lv2vf
    @ElizabethLukosya-lv2vf 28 днів тому

    Kumbe

  • @abbasisudi6899
    @abbasisudi6899 28 днів тому

    Kama mnamsifia saivi boss kaja msije kugeukana badae,mana matajir wanafikir mara tatu maskini mara Moja huwez jua mana mo na try again ndo huyuhuyo

  • @MzeewaYanga-hm8jq
    @MzeewaYanga-hm8jq 28 днів тому

    Acha ufala wew yanga anakua bingwa kw sababu amejipanga

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 28 днів тому

      Jifunze historia na siasa za mpira wa Tanzania kuliko kumtukana mtu vyema kuleta hoja kupangua zake

  • @AlfredMwakabana
    @AlfredMwakabana 28 днів тому

    Alitupwa ndani anaogopa nyosha maelezo yako mo aliikuta simba kwani katiba hiya nani Alitunga katiba mbovo hiyo

  • @HamisRashid-xl4mn
    @HamisRashid-xl4mn 28 днів тому

    WEWE MUANDISHI NDO SIYO MUELEWA KAMWAMBIA MO ALUDI KWENYE UWENYE KITI KWENYE ASIRIMIA 49 SASA WEWE UNATAKA ACHAGULIWE NANANI KWANI HUYO TRY AGEY ALICHAGULIWA NANANI

  • @Afsah90
    @Afsah90 28 днів тому

    Wee mtangazaji hujui matumizi ya r na l..?? Taalifa ndo nini..??

  • @user-yh3dv2bl7u
    @user-yh3dv2bl7u 28 днів тому

    Gb 64 naendelea kukufat kila uendako Nimefrah kuskia Mo wetu karud mzigon

  • @othumanambae761
    @othumanambae761 28 днів тому

    Uyujamaa anajierewa sana

  • @user-gb2pl3ln9m
    @user-gb2pl3ln9m 28 днів тому

    Shida ni kwamba watu wanamaumivu zaid ya maumivu mamae zao tumewapiga za uso Simba nguvu moja

  • @user-yh3dv2bl7u
    @user-yh3dv2bl7u 28 днів тому

    Mangungu asijioshe nae anasubir nn atembee maombietu yatajibiwa tu tumechoka

  • @simeonmazigo5918
    @simeonmazigo5918 28 днів тому

    Waifute tu katiba kama imeruhusu maandamano hlf wakipewa rushwa yanageuzwa kuwa uvunjifu wa Amani😅😅😅😅

  • @user-yh3dv2bl7u
    @user-yh3dv2bl7u 28 днів тому

    Mo dewji amerud mzigon furaha inarud hongera mo kwakurud

  • @AlfredMwakabana
    @AlfredMwakabana 28 днів тому

    Kwani huwajui wanao ikwanisha simba ni bosi mbona unasema wataonekana peupe rudia akaunti ya Kigwangalla hajapindisha hata kido

  • @othumanambae761
    @othumanambae761 28 днів тому

    Jaaamaaaa ajuikuhuriza maswari kabisa

  • @francomohamed-dh2rc
    @francomohamed-dh2rc 28 днів тому

    Hao watu wanaohosi mambo ya Simba ni kina nani?Waandishi upotoshaji na uchonganishi.....acheni Simba itulie

  • @samsonkingdom-xc8cg
    @samsonkingdom-xc8cg 28 днів тому

    Achatuwapelekee moto mpaka mseme

  • @edwardmbonika5102
    @edwardmbonika5102 28 днів тому

    Iko cku hao wanaoikwamisha Simba tutawajua mchana kweupe

  • @jeremiahkileo6641
    @jeremiahkileo6641 28 днів тому

    Kattiba ya nini hapo ww mtangazaji? acha simba irudi kwenye reli , hayo mengine baadae

  • @user-je9ek9mo3i
    @user-je9ek9mo3i 28 днів тому

    Tatizo kubwa ni katiba

  • @abbasisudi6899
    @abbasisudi6899 28 днів тому +1

    Mmh umaskini ni utumwa

  • @ramadhanichubi9139
    @ramadhanichubi9139 28 днів тому

    Wewe ni miongoni mwa wa hochezi kama kimya huo ni upande wake wewe huna hoja. siyo kukaimishwa Bali Madara yapo kwa MO kawaambie waliokutuma wamefeli,gb 64, heko.

  • @DM_15
    @DM_15 28 днів тому

    Muuliza swali wewe hujui.kitu mwandishi wahabari hujui lolote. Anaetakiwa kuchaguliwa nimwenyekiti wa wana chama .nasio upande wa muwekezaji .muwekezaji anateua mwenyewe mtuwake hana kundi lak8mpigia kura. Acheni uzwazwa

  • @user-ds3oi3tt8u
    @user-ds3oi3tt8u 28 днів тому

    Na kiongozi uking,ang,ania unakua dictoter

  • @kakururubambula7270
    @kakururubambula7270 28 днів тому

    Huyu GB ni mwehu na anatumika kumlinda mo ni mwehu huyo jamaa

  • @samsonkingdom-xc8cg
    @samsonkingdom-xc8cg 28 днів тому

    Mamlaka anayo iyo timu alishainunua wasijitoe akili

    • @beatusharald56
      @beatusharald56 28 днів тому

      Bodi hii Ina wiki moja sasa au inamiaka Hadi sasa