Mangungu Awataja Wasaliti Wa Simba | Alikana Tawi la VIP

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 вер 2024
  • Murtaza Mangungu kwenye Sports Xtra ya Clouds FM akijadili kinachoedelea ndani ya timu hiyo ikiwa ni baada ya tamko la muwekezaji Mo Dewji #sportsxtra

КОМЕНТАРІ • 299

  • @righitkileo
    @righitkileo 3 місяці тому +5

    Kiuunqana tu mmninqekuwa ndo huyu mzee Ninqejiuzulu mapema sana. Unaweza jiuzuu.kwa hwahima yako ukabakia mwanachama wa kawaida inqekuwa.safi saba

  • @Nestorympika
    @Nestorympika 3 місяці тому +16

    Wewe mangungu Toka bwanaa,, HATUKUTAKI

    • @williamreuben4866
      @williamreuben4866 3 місяці тому

      Kwa nn haumtaki?

    • @vibetz9991
      @vibetz9991 3 місяці тому +1

      Kawakosea nn uyu babu,, Kwan yeye ndo anasajili wachezaj?

    • @SurprisedFullMoon-gg9vu
      @SurprisedFullMoon-gg9vu 3 місяці тому

      Alafu tumuwekee bibi yako awe mwenykitii???

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 місяці тому +1

      NYIE VIBARAKA WA MANGUNGU MNAFIRWA NYIE SHENZISTAN KABISA

  • @mwasunga
    @mwasunga 3 місяці тому +8

    Jaman ivi mnamuojije uyo atoke tu atumtaki

  • @rahplenyengerahplenyenge722
    @rahplenyengerahplenyenge722 3 місяці тому +6

    Mangungu aondoke

  • @OberthMhone
    @OberthMhone 3 місяці тому +9

    Mangungu na triy gan hawa ni niwahuni sana

  • @jamesmohamed4612
    @jamesmohamed4612 3 місяці тому +4

    Mzee shida transformation mbna inakuwa haifikii mwisho

  • @AllyIssa-k5k
    @AllyIssa-k5k 3 місяці тому +9

    Mo alisema, yeye aliongoza miaka mitatu akaiona timu imesimama vizuri akaamua kuwakabidhi wewe na try again ikiwa na vikombe vyote, yaani kama ni biashara ilikuwa imeshasimama vizuri, mategemeo yake nyinyi mtaitoa pale alipoicha yeye na kiipeleka juuu zaidi, sasa mnatakiwa mjiulize biashara mliyoachiwa mnaikuza au mnaiua? Miaka 3 duka limebaki jeupe ata kipande Cha sabuni hakuna na timu imeshika nafasi ya tatu tuwaeleje? Tumia busara achia ngazi.

  • @johnsonsabanya5860
    @johnsonsabanya5860 3 місяці тому +4

    Kikweli Sina Imani na huyu mzee aache tu timu atupishe

  • @PaulMasolwa-ir4fp
    @PaulMasolwa-ir4fp 3 місяці тому +3

    Unaweza kumpongeza mtu aliyefeli

  • @JohnGoryo
    @JohnGoryo 3 місяці тому +4

    Mangungu toka acha siasa we mzee mshowe tutakutukana

  • @jumandaturu954
    @jumandaturu954 3 місяці тому +2

    mim namkubali bwana mangungu for life

  • @madukaj.j.6999
    @madukaj.j.6999 3 місяці тому +4

    Ngungu Boy tokaaaa

  • @rwegoshoramichael3144
    @rwegoshoramichael3144 3 місяці тому +4

    Mzee wa hovyo sana

  • @emmasonanjawe9042
    @emmasonanjawe9042 3 місяці тому +6

    Hatukutaki mzee acha maneno mengi

  • @mathayojoseph5228
    @mathayojoseph5228 3 місяці тому +1

    Magungu your best kuliko una vision sana mzee natamani ungekuwa Yanga but hawawezi kuhelewa KBs kwa sasa but watakuhelewa siku moja mo nikwasababu hana toa pesa kwa watu ndio maana unatakiwa usichoke hata kdg mzee wangu

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 3 місяці тому +2

    Wewe banaaa ni Yangaa banaaa, acha kutuzugaaaaa banaa

  • @abdallahmdiliko8088
    @abdallahmdiliko8088 3 місяці тому +2

    Huyu mzee mpiga dili tu pale.. huyu mla pesa sanaaa za usajili

  • @zeddybass6672
    @zeddybass6672 3 місяці тому +3

    Mangungu now kaa nabibi tu nyumbani tuachie Simba yetu

  • @willysonmaliatabu1815
    @willysonmaliatabu1815 3 місяці тому +1

    Uondoke ky mangungu

  • @Sidemkondo
    @Sidemkondo 3 місяці тому +2

    Vip kuusu b.20

  • @S.Mwambapa
    @S.Mwambapa 3 місяці тому +4

    We mangungu umetumwa nn😮

  • @johnsonsabanya5860
    @johnsonsabanya5860 3 місяці тому +4

    Ondoka we mzeee

  • @brunomchalla4439
    @brunomchalla4439 3 місяці тому +6

    Acha woga Mangungu, itisha mkutano wa dharura wa wanachama ueleze matatizo ya club . Sio kukimbilia mahojiano na waandishi. Hujiamini . Club iko
    I C U tunamuhitaji MO Kuinusuru , utaratibu utafuata baadae.

  • @IssaAbdallah-rt2sh
    @IssaAbdallah-rt2sh 3 місяці тому +2

    Hawezi kua sahihi Tim imeshindwa vikombe vyote ni sahihi yeye kuondoka hiyo ndio kawaida

  • @Alute-son2003
    @Alute-son2003 3 місяці тому +2

    Shida sio kadi ya uanachama wa Simba tunasemea uhujumu

  • @HusseinKalamba
    @HusseinKalamba 3 місяці тому +1

    Mangungu yupo vizuri Sana piga kazi

  • @drankskhally7019
    @drankskhally7019 3 місяці тому +1

    Tangu Simba umechukuwa mwenyekiti unatufelisha hakuna maendeleo yyt

  • @RahimHussein-oy5ks
    @RahimHussein-oy5ks 3 місяці тому +6

    Hawa waondoke tu

  • @ramadhaniharuna5441
    @ramadhaniharuna5441 3 місяці тому +1

    Madrid ilishawahi kusajili wachezaji wote wazuri, miaka ya 2000 mpaka 2004.

  • @christopherjoseph9981
    @christopherjoseph9981 3 місяці тому +2

    MANGUNGU tuna imani kubwa sana na ww

  • @NoelKiwike-wc8wh
    @NoelKiwike-wc8wh 3 місяці тому +1

    Jamaa hadi.amekonda toka

  • @deniskaaya1117
    @deniskaaya1117 3 місяці тому +5

    Huyu ni tapeli tu😂

  • @nicolausmollel6212
    @nicolausmollel6212 3 місяці тому +1

    Mangungu piga kazi achana na hao wambea na wanafiki

  • @EbenezerReuben-jx5sg
    @EbenezerReuben-jx5sg 3 місяці тому +2

    Ulikuwa wap mzee at kwenye mech huonekan

  • @MohamedHassan-w6f9z
    @MohamedHassan-w6f9z 3 місяці тому +3

    Mangungu tokaaa hapo Simba hatukutakii

  • @MussaHajikimwaga
    @MussaHajikimwaga 3 місяці тому +1

    Mangungu jipange pamoja na wenzio tunataka simba.bora achana na wapiga kelele watanyamaza TU kinacholeta shida ni matokeo ya uwanjani hicho ndiyo tunachohitaji mashabiki

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 3 місяці тому +2

    Mangungu usiondoke , yaani ww ndio mtu muhimu hapo

  • @PichuMilingita
    @PichuMilingita 3 місяці тому +1

    Mangungu tuachiye Tim yetu kwani Simba imekuzaa

  • @shukuruiddi82
    @shukuruiddi82 3 місяці тому +1

    yaani huyu babu hajui chochote ni wazi anakaa tu ktk cheo chake anaulizwa wapi wanafanya kitu yeye anajibu venue au dah km ataendelea huyu tutasundana mangumi siku zijazo kwa kweli

  • @mafikrahamza-lm4yp
    @mafikrahamza-lm4yp 3 місяці тому +1

    Hatuitaji siasa katika mpira,tuachie simba yetu,we ni kirusi,siasa kafanyie kwako.

  • @jonasbenaster
    @jonasbenaster 3 місяці тому +1

    Wewe mzee nikiongozi unaona mupo sawa tulitengemea munaleta mabadiliko umekalia malubano naupiga dili

  • @shadrackkibona7178
    @shadrackkibona7178 3 місяці тому +1

    Mangungo aondoke tu

  • @RashidMwasiposya-ck6py
    @RashidMwasiposya-ck6py 3 місяці тому +3

    Liningaww toka

  • @worldwidemedia0410
    @worldwidemedia0410 3 місяці тому +1

    😂😂😂😂Ila mangungu

  • @drankskhally7019
    @drankskhally7019 3 місяці тому +1

    Unalazimisha nini hapo Simba kwann unatufelisha alafu unafaida gani hapo Simba tumekuchoka sana Mara unamleta mazoki

  • @ThomasMakarius-x9n
    @ThomasMakarius-x9n 3 місяці тому +3

    Kujivisha umwenyekiti unafanya wanachama tukutoe Kwa nguvu.

  • @petermilol2104
    @petermilol2104 3 місяці тому +1

    Huyu Mhuni alileta Manzoki kwa ajili ya Kampeni

  • @Ayubujallow
    @Ayubujallow 3 місяці тому +1

    huyo ni mamluki wa watu huyo ila atajuwa mwenyewe mungu yupo

  • @Raphaelchacha-wo6xq
    @Raphaelchacha-wo6xq 3 місяці тому +1

    Mangungu mxenge ww

  • @YohanaMwakaje
    @YohanaMwakaje 3 місяці тому +1

    Milion 10 izo ndo chenji za jobe

  • @leonardlunguya7112
    @leonardlunguya7112 3 місяці тому +1

    We Mangungu kwani huna kazi nyingine ya kufanya zaidi ya kuing'ang'ania nafasi ya uenyekiti wa Simba? Unachokitaka Hapo Simba ni kipi?

  • @LucasMalima-i9b
    @LucasMalima-i9b 3 місяці тому +1

    Wewe uli sitahili ukaongoze mashoga siyo Simba huna sura ya kuongoza

  • @kasimuhamidu8467
    @kasimuhamidu8467 3 місяці тому +5

    We
    Sema tu sisi atukutak

  • @allywaziri1343
    @allywaziri1343 3 місяці тому

    Akina mzaramo siwasikii na wala siwaelewi au ndio walewale tusiwe mamluki natusiishi kwa ajili wa watu Tuwe Simba nguvu moja

  • @jeromemmary9192
    @jeromemmary9192 3 місяці тому +2

    Mangungu anajibu maswali kisiasa tuu

  • @petro8010
    @petro8010 3 місяці тому +19

    Magungu uko sahihi mengine ni fitina tu. Piga kazi Boss wangu. Cha msingi kuwa makini tu na usajiri

    • @saidbakari2408
      @saidbakari2408 3 місяці тому +5

      Tokeni na mangungu wenu

    • @fatumasophu5855
      @fatumasophu5855 3 місяці тому +4

      Mangungu mangungu 😏😏😏😏hivi hiyo confidence unaitoa wapi we baba wewe kwani si utoke tuu shida Nini mwisho uje ufe kweli kisa simba tokaaaaa baba wewe hawakutaki

    • @mdoeAbuubakari
      @mdoeAbuubakari 3 місяці тому

      Muajili ww afany Kaz kwako

    • @jamesmohamed4612
      @jamesmohamed4612 3 місяці тому +1

      Upole huu wa mangungu ni kutokana na presha ya watu na jiulize mabadiliko kama hayaishi he hizo pesa za mwekezaji anaziweka kwa namna fan?

    • @FRESHNEWS171
      @FRESHNEWS171 3 місяці тому

      Endelea kuamini mwanasiasa😅😂..uyo ni mwanasiasa mwaka 2010 alikua mbunge
      Muongo muongo

  • @SurprisedFullMoon-gg9vu
    @SurprisedFullMoon-gg9vu 3 місяці тому

    Piga kazi baba"tunajua kuna watu wanatumwa"kwa maslah yaoooo"piga kaz babaaaaa

  • @allywaziri1343
    @allywaziri1343 3 місяці тому +1

    Mangungu huna jipya nini unangangania kunanini ndani ya simba ? Hutakiwi siutoke kama huna maslai? Ondoka hawakutaki

  • @RahimMahadi
    @RahimMahadi 3 місяці тому +1

    Tuoneshe iyo kadi ya 93

  • @azizajamary576
    @azizajamary576 3 місяці тому +1

    Kwani ngunguz huna kwenu

  • @SijaliMkota
    @SijaliMkota 3 місяці тому +2

    Tuachie Tim yetu

  • @drankskhally7019
    @drankskhally7019 3 місяці тому +1

    Nikisikia hata sauti nakereka kabisa

  • @FracsisiSiwale
    @FracsisiSiwale 3 місяці тому +1

    Magugu acha ujinga kwanini ukatarie kiti

  • @khadijayusuph5815
    @khadijayusuph5815 3 місяці тому +1

    Wewe achana na kadi usitagulize kadi kadi yako ni yamchogo ondoka

  • @evansdecaprio8196
    @evansdecaprio8196 3 місяці тому +2

    Mangungu Yuko smart sana aisee sikujua hilo

  • @mzeebabumzee
    @mzeebabumzee 3 місяці тому

    kumbe yupo uyu ali kuwa wapi uyu toka apa

  • @bakaribakari167
    @bakaribakari167 3 місяці тому

    Toka mbona mnang'ang'ania yapo maisha dhidi ya hapo

  • @mwajabuYusuph
    @mwajabuYusuph 3 місяці тому +1

    Mangungu piga kaziiii sisi wana chama wa Tanzania tuko pamoja usitishwe na mapimbiii piga kazi sisi serikali na wanachama tuko pampja na mooo ukiondoka simba itashuka daraja 😢😢😢😢😢😢

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 місяці тому +1

      ATOKE TUONE KAMA SIMBA ITASHUKA DARAJA

    • @UNKNOWN-np7qp
      @UNKNOWN-np7qp 3 місяці тому +1

      Nyinyi mbwa ndio mnaokula pamoja

  • @jumakalinga2812
    @jumakalinga2812 3 місяці тому

    Wahuni wapo kazini kumsafisha muhuni mwenzao yaani mnatamani tuharibikiwe

  • @victorgogadi55
    @victorgogadi55 3 місяці тому +2

    Lile swali la 20bn, halikuulizwa why?

  • @benjjlifetechnologie435
    @benjjlifetechnologie435 3 місяці тому

    Sisi wananchi wazalendo kabisa tunamuunga mkono mangungu...hana baya

  • @erickmasumbuko3841
    @erickmasumbuko3841 3 місяці тому

    Mangungu piga kazi😂😂😂 mie ni mwana Simba na kadi ninayo😂😂😂😂

  • @vicentnyanda828
    @vicentnyanda828 3 місяці тому +2

    We toka usitusumbue usisubiri kutoka kwa aibu we ni msaliti na muaji wa simba yetu,
    Toka Bwana

    • @AliiMkobe-en7df
      @AliiMkobe-en7df 3 місяці тому

      Kwa kweli aondokeeee anatuwekea Usiku tu

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 3 місяці тому

    Kwani Mangungu anataka nini Simba jamani kwani watu kma hawakutaki unang'ang'ania kitu gani?

  • @SurprisedFullMoon-gg9vu
    @SurprisedFullMoon-gg9vu 3 місяці тому

    Mangungu piga kaziiiii"huyoo anae jiita cjui docta moo ni chawa na anatumwaaa

  • @imanihassanisaidilumanga
    @imanihassanisaidilumanga 3 місяці тому

    Dr Mohammed ushauri wake unalenga kumponda mangungu

  • @ernestmkila9356
    @ernestmkila9356 3 місяці тому

    Huyo mzee hawezi kuachia ngazi hana pakushika

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 3 місяці тому

    Mangungu hana shida

  • @haulededonofficial-xd5nq
    @haulededonofficial-xd5nq 3 місяці тому

    kwani we mzee una shida gani si utoke hatukutaki unalazimisha nini ubaki kwenye timu HATUKUTAKI BWANA

  • @moshielfesty7992
    @moshielfesty7992 3 місяці тому

    Tuna Imani na Mangungu oyaaaa oyaaa oyaaaa simamia msimamo wako Baba 😂😂😂😂 pambania kombe 😂😂😂

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo 3 місяці тому

    Huyo dogo anayehoji kichwa ni Buyu kweli kweli hajui chochote amekuja na vitu vya kukariri. Arudi shule huku kwetu Kigoma tuna madarasa ya MEMKWA😂😂😂

  • @ngomazetu1965
    @ngomazetu1965 3 місяці тому

    Hichi kipengele kina ukakasi ktk ufafanuzi wake. Alafu kumbe 1993 ndio kawa simba😂

  • @RodrickMwakalinga
    @RodrickMwakalinga 3 місяці тому

    Atuitaji mtu mwenye kadi tunaitaji mtu mwenye mapezi nasimba

  • @PhilipoNjalika
    @PhilipoNjalika 3 місяці тому +1

    Kama mliwezi kulazimisha benchi la ufundi limpange Manula tukapigwa 5 Kwa moja ni ukweli usiopingika Haufai hata bure

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 3 місяці тому

      Ata golini angekaa nani kipigo Cha Tano kilikuwa pale pale ilikuwa Kun faya Kun mzee

  • @AlbertNshunju
    @AlbertNshunju 3 місяці тому

    Mangungu wasikusumbue hao

  • @RamadhaniDaudi-ui4wh
    @RamadhaniDaudi-ui4wh 3 місяці тому

    Kwani unarazimisha nn. kubaki Simba si undoke. kafanye shunguli nyingine kasimamie ata basi rako uliro tuhibia

  • @OberthMhone
    @OberthMhone 3 місяці тому

    Wew mangungu achaya tim

  • @Taito-brand
    @Taito-brand 3 місяці тому +1

    Mangungu mimi simba damu piga kaz iko siku watajua thaman yako

  • @LeninJonas-d3t
    @LeninJonas-d3t 3 місяці тому

    Sio kwamba ni mbaya ila sie tunasema utoke maana umeshindwa kufanya kazi

  • @j0sephmboya592
    @j0sephmboya592 3 місяці тому

    Ww ukiachia timu unaona shida gan au kuna unachokipata unajibu hovyo hovyo tuu na uhalisia wa timu unauona au huna cha kufanya

  • @userwalterreal
    @userwalterreal 3 місяці тому

    Jaman cloud mwambien basi ajiuzulu atumtaki atoke

  • @jumanuru8253
    @jumanuru8253 3 місяці тому

    Hauna kitu sisi tunataka mafanikio acha maneno

  • @rashidiiddi2433
    @rashidiiddi2433 3 місяці тому

    Hizo siasa unaleta hunamafanikio yoyo the ulio yapata ndani ya misimu mitatu mfululizo

  • @tintin0019
    @tintin0019 3 місяці тому +1

    USIONDOKE BABAAAA HUNA BAYA KAAA SANAAA SIMBAA YANGA TUCHUKUE BACK TO BACK MARA KUMI KAMA BAYERN😅😅😅😅

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 3 місяці тому

    Nendeni tu.simba imekuwa ya ovyo kama nini. Yaan tisa kumi. TIMU isukwe upya. Tunataka simba MPYA ya wachezaji na viongozi basi.

  • @mosesmajogoro863
    @mosesmajogoro863 3 місяці тому

    Mangungu unakitu usitoke mpaka wakuue....hahahaaaa

  • @suleimansuwed1846
    @suleimansuwed1846 3 місяці тому

    Nanjie wanachama wasimba njaaimekutawaleni

  • @JolotaErastoJuma
    @JolotaErastoJuma 3 місяці тому

    Hatuwataki tokeni sio dactor mo tu ambae hakutaki wote hatukutaki Toka toka

  • @IsihakaAlly-fj4qo
    @IsihakaAlly-fj4qo 3 місяці тому

    Siku zote kajificha juzi Mo katokea na yeye ndio wanaonekana

  • @janesiame9779
    @janesiame9779 3 місяці тому

    Muungwana akivulia nguo uchutuma,ukweli Timu imefanya vibaya Kwa miaka 3,Hy tu inatosha kujiuzuru kubali uondoke.